MBOWE AKINUKISHA KIKUNDE TANGA, AMDAKA MWALIMU MKUU ALIYEJARIBU KUZUIA MKUTANO WAKE, AMPA ZA USO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2024
- #TANZANIA: Mwenyekiti wa #Chadema Taifa, #Freeman #Mbowe akinukisha #Kikunde #Tanga, amdaka Mwalimu Mkuu aliyejaribu kuzuia #mkutano wake, ampa za uso, aivaa #CCM.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram
Hasante Mbowe. umemvua Binti mpya.Hongera.
Kwa Hizi Nondo CCM Must End, Adui Wa Tanzania Ni Ccm, Ahsante Mwamba Kamanda Wa Anga.
Huyu mwamba huyuuu mmh!! Kama ni SIASA anaijua kudsdeki !!! Tumpe maua yke ". ..kweli wewe ni mwamba wa miamba !!!
✌✌✌✌💪💪 chadema nguvu ya tazania
BRAVE ENOUGH 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Bravo Chairman Mbowe. Your efforts are commendable. Keep on the effort.
Hongereni watu Watanga
Chadema daima
Good 👍kamanda thanks for your message today 👍and we will have our first of good 👍
Mungu akulinde
Msisahau kwenda Songea , Lindi, Mtwara, Sumbawanga, Katavi, ,huko bado Wana tongotongo , Tunawaombea , pia muazishe Tv tuwe tunawaona , hizi tv zingine hamuonyeshwi
Safi kamanda
Nawewe utakufa tuu 😢😢
HONGERA SANA JASIRI MAIMUNA PEOPLE'S ""POWER ""
Mwambaaaaa👏👏👏👏
Vyama vya ukombozi havibadirishi wenyeviti hadi uhuru upatikane upooo
Kweli kabisaaa ✌️
Mzee huna roho mbaya,Mungu akulinde sana
Hongera Maimuna mbona hamkumwambia Mwalimu Nyerere kuondoka? Unajua kuanzisha kitu alafu unaachia katikati. Ni lazima kulea kitu unacho kianzisha ukizaa mtoto huwezi kuacha mtoto wakati anatambaa. Ukiacha mtoto anatambaa utaonekana kichaa. Muache Mbowe CHADEMA anayejisemesha kuhusu Mbowe ati kuachia uongozi ni upotovu kabisa. Anzisha chama chako uone ugumu ulivyo
People the are hungry for the change
Naona kama tukiwachagua nyie tutakua nchi yenye furaha ya kwanza kama sio ya pili duniani
Mungu aendelee kuwatunza na kuwalinda ❤❤❤
Chapa kazi mbowe MUNGU akifadhiri chama chako ,akibariki,akiinue na chaguzi zijazo tuko nyuma yako.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌
Hongera Sana kamanda lol
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤The nation worrier of Tanganyika
Ninaiman nahawa watu tuwaunge mkono jaman
Hongera sana
Huyo mwalimu mkuu ni msukule wa fisiyemu
Ni kweli kabisa hata ccm yenyewe inachukuwa ruzuku kubwa inayotokana na kodi ya wananchi
Haki haipotei teacher umefanya Nini teacher but I know it might be because of fear of the gvt
🔥🔥
Rais anaapa kulinda roho zatu mmoja mmoja. na hakuapa kuilinda CCM.
❤❤❤
Usajili ho😢😢😢
✌️✌️
Mwamba piga kazi usiorudi nyuma.
Hamna kitu hapo
Duu kweli kuna watu vichwa vigumu kama mawe wagumu kuelewa sawa kama sera zote izo baki na uchawa wako wa ccm na sisi chadema hatutaki kuwa na watu wenye vichwa vigumu kama wewe
Huna maamuz ya kibabe km lissu, hapo ndo unapofel
WEWEE ACHA UJINGA TANGULIA KUSEMA UNAMSHUKURU MAMA YETU MAMA SAMIA SULUHU HASSANI
Wewe mpuuzi kwahiyo mungu humtambui
Brain washed symptoms
Sawa chawa tutajibu badala yake
Tatizo letu kubwa@@richardnganya2311
Samia ni nani Mbele ya Mungu?
Hacha zarau basi wewe sema yako usizara chama wenzako
Unajidanganya mbele ya jeshi kubwa la CCM
Hovyo wee
Fisi yemu tylia sindano iwaingie muache kisebusebu
Mbona unakataa kuachia uwenyekiti ndio demokrasia hiyo kweli au udkteta huo
Gombea
wewe ndie hujierewinyumbu bado mpowengi
Mbona chama chako hakitoki madarakani au hukioni
Waambie hao vijana wa GEN Z wajiandikishe kwa daftari na wakap8gieni kura bila kusahau wagimbea kwa wingi.
Vinginevyo ni mzaha!!
Mwamba piga kazi usiorudi nyuma.