BAADA YA KAULI YA RAIS SAMIA TUNDU LISU AMJIBU KWA UKALI AMTAJA MWANAE AMENILETEA RUSHWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 มิ.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

ความคิดเห็น • 115

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku หลายเดือนก่อน +11

    Heche,Mbowe,Mnyika na makamanda wengine mko wapi?

    • @Nyalafu
      @Nyalafu หลายเดือนก่อน +2

      Salum Mwalimu pia alipotelea wapi

    • @nabii-zc1hm
      @nabii-zc1hm หลายเดือนก่อน

      ​@@Nyalafuatakuwa alipotelea kwenye noti ya mia

  • @freddymtashi5020
    @freddymtashi5020 หลายเดือนก่อน +2

    Muungano unaumiza Tanganyika! Zanzibar kukoshwari lakini Tanganyika hakuna peace tunavurugwa sana.

  • @veronicanicholaus3375
    @veronicanicholaus3375 หลายเดือนก่อน +8

    Kigaboni nako tumefukuzwa.

  • @freddymtashi5020
    @freddymtashi5020 หลายเดือนก่อน +1

    Tanganyika tulipigwa changa machoni! Zanzibar wako vizuri.

  • @matiredms917
    @matiredms917 หลายเดือนก่อน +9

    Mbona hii ni hotuba ya Tundu Lissu ya tarehe nane June na siyo majibu ya Tundu Lissu wa kauli ya Samia? Huu ni uhuni tu kwa upande wa Mtangazaji?

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa huu ni uhuni kupitiliza.ujinga tu.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi หลายเดือนก่อน +1

      Ni kutokuheshimu watazamaji wenu na wasikilizaji wenu!

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu bwana hajitambui Kama kashapitwa na wakati maskini huyo mama Abdul ndio kashakua raisi wako wewe sema Tukana kejeli ukweli uko palepale ni raisiwako

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 หลายเดือนก่อน +2

    Tuambie utawafanyia nini watanzania? Ni kusema huyu mama si mama yetu! Wewe utaleta manadiliko gani?

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Watanzania tunakuwa walegevu kiasi cha kukatisha tamaa! Yaani hongo ya wazi ya hizo pikipiki 700 kila mkoa, tena zikiwa tayari na jina la anayetarajiwa kuwa mgombea u Rais 2025, bado watu hawataki TL aikemee kama rushwa ktk uchaguzi? Kama hilo halikemewi kwa vile ni la Rais SSH, hiyo rushwa nyingine kwingineko kwa nini inakemewa na kuchukuliwa hatua?? Inastaajabisha sana jinsi mambo yalivyo hovyo hovyo hapa nchini; someone once said: CERTAIN THINGS ONLY HAPPEN IN TZ!

    • @RutinikiGosbert
      @RutinikiGosbert หลายเดือนก่อน

      Kwakweli ndugu watanzania hatujielewi baadhi lakini maana hii ni hongo na pesa za umma ndo zinanunua izo pikipiki

  • @williammarete3970
    @williammarete3970 หลายเดือนก่อน

    Zungumza tu sera ili tukubali au tukatae. Usimguse mtu! Anaweza kuitwa mama kulingana na athari zake kwetu wote.Hilo tuachie sisi.

  • @charlzmboya
    @charlzmboya หลายเดือนก่อน +8

    MH LISU WATANZANIA TUPO PAMOJA NA WEWE UNACHO ZU NGUMZA UNAELEWEKA KWA ASILIMIA 100...CHAPA KAZI BABA AMSHA NA ENDELEA KUWAELIMISHA WATANZANIA ...TUNAKUPE DA TUNAKUAMINI TUPO PAMOJA MH

    • @salhaomar5382
      @salhaomar5382 หลายเดือนก่อน

      Katika hao watanzania mimi nitoe

    • @paulmathias6328
      @paulmathias6328 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂saf sanaaaaaa lisu nakukubar sanaaaaaa

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 หลายเดือนก่อน +3

    Mm kichwa kiko sawa kweli

    • @user-gy5gu1mn4x
      @user-gy5gu1mn4x หลายเดือนก่อน +1

      Wew shonga asha kiongosi wetu

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 หลายเดือนก่อน +1

    Huwezi kuzuia mafuriko kwa Mikono😂😂😂😂

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 หลายเดือนก่อน

    Tundulisu huwa hun 25:40 ahoja zaidi ya kumsema Rais hakuna Rais ambaye hujawahi msema .pikipiki hizo zinakuhusu nini nawewe nunuwa uwape wanachama wako

  • @Khalidhassan-fb2qm
    @Khalidhassan-fb2qm หลายเดือนก่อน

    Me lisu bamkubali ila sipendi akiongelea mambo ya dini tuu nd namchukia

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 หลายเดือนก่อน +1

    HIVI MBONA HAMTOI TATHIMIN YA MAANDAMANO AU ILIKUWA N JOGINGI😂😂 NAOMBA KUWASILISHA

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l หลายเดือนก่อน

    Nyie watanganyuka mnacheka kusema mtu atafanya mkurano au atakuwa mahabusu hayo ndo yakucheka lisu akiwa serious au mbowe nyie mnacheka

  • @dyoa6987
    @dyoa6987 หลายเดือนก่อน

    Upuuzi tu

  • @byamungujustin44
    @byamungujustin44 หลายเดือนก่อน +1

    Mungekuwa Congo

  • @williammarete3970
    @williammarete3970 หลายเดือนก่อน

    Swala la kuitwa MAMA tuachie. Uchungu wa mwana anaujua mama. Uchungu wa mama anaujua mwana! Ana UCHUNGU wa kweli na sisi watoto wake wa Kitanzania.

  • @JoelJoel-xu7lj
    @JoelJoel-xu7lj หลายเดือนก่อน +1

    Isitoshe hotuba kuwatukana polisi kila siku matusi tupe utatufanyia Nini wewe ukipewa nchi

    • @samwelnevele7796
      @samwelnevele7796 หลายเดือนก่อน

      Hana jipya kibaraka wa wazungu huyu

    • @makobamasawemangu4122
      @makobamasawemangu4122 หลายเดือนก่อน

      We ni mwehu police gani katukanwa

    • @samwelnevele7796
      @samwelnevele7796 หลายเดือนก่อน

      Ona ulivyo na tatizo la afya ya akili hiloooo jibu kwa hoja matusii yanakushusha utu wako na kama unahasira usijibu hoja nayo huwa ni hekima

  • @KayongoOba-ht2rf
    @KayongoOba-ht2rf หลายเดือนก่อน

    Mama Abdul izo ni mvua za Rasha rasha Bdo mda

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 หลายเดือนก่อน

    Lisu mungu hawezi kukupa nchi wewe kwa kuwa unadaiwa fedha nyingi na wafadhiribwako wakoloni weupe cha zaidi mungu atakunyang'anya pumzi kwa uchochezi

    • @aaronswai3092
      @aaronswai3092 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe nani umsemee Mungu kwa ishu za Lisu?

    • @samwelnevele7796
      @samwelnevele7796 หลายเดือนก่อน

      @@aaronswai3092 mkono wa mungu mfalme wa aman

  • @JoelJoel-xu7lj
    @JoelJoel-xu7lj หลายเดือนก่อน

    Toa Sera utatuletea Nini tupe ukitawara utaiendeshaje nchi elimu ndogo wewe huwezi ungekua umesomea uchumi kerere tuu

  • @user-kv6vc8sd7c
    @user-kv6vc8sd7c หลายเดือนก่อน

    Kwanza mimi na hasara kumsema vibaya Rais mala nyingi muache afanye kazi kama wewe huoni kazi anazofanya kasafishwe macho

  • @byamungujustin44
    @byamungujustin44 หลายเดือนก่อน

    Watu niwajinga kweli mumtu anasaidia wakaaji atinimubaya kuanzia wakatiwa maguli ilikuwahivyo tu watanzania hamunashukrani

  • @RichardMeena-sm5vm
    @RichardMeena-sm5vm หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @THEPOTTINGBENCH
    @THEPOTTINGBENCH หลายเดือนก่อน

    Lissu akachukue ubunge tu!

    • @RutinikiGosbert
      @RutinikiGosbert หลายเดือนก่อน

      Rais wa mioyo ya watu

    • @RutinikiGosbert
      @RutinikiGosbert หลายเดือนก่อน

      Mimi Lissu mwangu ni chaguo mpenda haki na mkweli kura yangu na familia yangu ni kwako 25

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA หลายเดือนก่อน

    LAKINI MBONA WALINZI NI KAMA NI MAPACHA?

  • @byamungujustin44
    @byamungujustin44 หลายเดือนก่อน

    Kamaunamradi wakufuga unapashwa kununua maeneo kwaajili yamifugo yakwako

  • @athumanimhina1869
    @athumanimhina1869 หลายเดือนก่อน

    Muandishi akili huna hutuba ni ya tarehe nane na mama kaongea jana wasemaje kuwa kamjibu mama?

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 หลายเดือนก่อน

    Jibuni hoja safari hii habebwi mtu na mama

  • @Abdallahshadia
    @Abdallahshadia หลายเดือนก่อน

  • @byamungujustin44
    @byamungujustin44 หลายเดือนก่อน

    Bila Kodi hakunamaendeleo

    • @user-jl5uh1xq9f
      @user-jl5uh1xq9f หลายเดือนก่อน

      Kodi inakanuni yake sio Kodi ya hovyohovyo.

  • @azruntravel4306
    @azruntravel4306 หลายเดือนก่อน

    kijiti kimekukaza jiulize wale waliowahi kutawala Zanzibar walikuwa kutokea wapi?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 หลายเดือนก่อน

      MAKAFIRI WA UINGEREZA
      NDIO
      WALIOTAWALA ZANZIBAR
      Waliotawala Zanzibar ni Makafiri kutoka Uingereza na ndio walotoa Uhuru Kamili kwa Sheikh Muhammed Shamte al-Shirazi kwa niaba ya Wazanzibari.🎉❤🎉
      Makafiri wa Tanganyika na Wabara walojiita Wafrika walikereka na waliubatiza kuwa ni Uhuru wa Bandia.
      Waliwapindua Wazanzibari kwa sababu ya Dini yao ya KIISLAM na kuunganishwa na Tanganyika kwa faida ya Kanisa na Usekula✝️
      KWAKHERI UKOLONI KHEKHERI UHURU
      ZANZIBAR ARIJOJO 😂😂

  • @josephbundala1475
    @josephbundala1475 หลายเดือนก่อน

    Hao wanaosikiliza kwako mkutanoni wachekapo wanakucheka wewe LISU. Hutambui hili? Sera zako Baba ndizo zinazotakiwa. Unatushangaza ati!

    • @user-kv6vc8sd7c
      @user-kv6vc8sd7c หลายเดือนก่อน

      Huyo Lisu ana tatizo la Afya ya Akiri Akatibiwe baada ya kuongea mambo ya msingi anamsema RAis kwanza anatuzazalisha sisi wanawake

    • @user-kv6vc8sd7c
      @user-kv6vc8sd7c หลายเดือนก่อน

      Hata mama wa mwenzio ni mama Yako

    • @user-kv6vc8sd7c
      @user-kv6vc8sd7c หลายเดือนก่อน

      Umechoka achia uongozi kwa vijana .kapumzike

    • @user-kv6vc8sd7c
      @user-kv6vc8sd7c หลายเดือนก่อน

      Kama unaweza kumsema vibaya mtu ambayo alikuja kukuona Nairobi hospital ulivyopigwa risasi jee sisi wengine wa mama utatujali?

  • @glorymungure7740
    @glorymungure7740 หลายเดือนก่อน

    😄😄😄

  • @ImaniAdam-go6eg
    @ImaniAdam-go6eg หลายเดือนก่อน +1

    gg

    • @femidayahaya9293
      @femidayahaya9293 หลายเดือนก่อน

      Yan baba unavyohangaikia mambo ya dunia achana nayo baba angu siasa co nzuri..nawa mikono kwenye mambo ya siasa saiv tafuta uso wa MUNGU na NGUVU ZAKE ingali bado unanguvu baba yangu..tangu umeingia kwenye siasa umepata nini. Sasa nakuombea na MUNGU akusaidie

    • @femidayahaya9293
      @femidayahaya9293 หลายเดือนก่อน

      Yan baba unavyohangaikia mambo ya dunia achana nayo baba angu siasa co nzuri..nawa mikono kwenye mambo ya siasa saiv tafuta uso wa MUNGU na NGUVU ZAKE ingali bado unanguvu baba yangu..tangu umeingia kwenye siasa umepata nini. Sasa nakuombea na MUNGU akusaidie

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd หลายเดือนก่อน

      Tatizo lako kubwa hujui lolote kuhusu siasa inahusisnaje na Mungu!!!

    • @femidayahaya9293
      @femidayahaya9293 หลายเดือนก่อน

      MUNGU AKUBARIKI

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 หลายเดือนก่อน +4

    LIsu hahahahahaha amegawa nini?kaka ndo maana wanakupiga hahaha ume mtait sana samia japo kuuza ardhi yetu sio sawa kabisa

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน

    Mkutano una watu kumi na migomba kibao

    • @exaverysimon1064
      @exaverysimon1064 หลายเดือนก่อน

      ,,,😂😂😂😂😂😂 em kunywa soda af ulipe ehenzi kabisa😅😅

    • @lucaschisamalo2852
      @lucaschisamalo2852 หลายเดือนก่อน

      Hujielewi wewe eti watu 10 lissu hasombi watu na malori

  • @abdallahhashim236
    @abdallahhashim236 หลายเดือนก่อน +1

    Binafsi sipendi approach unayoutumia mhe Lissu! Instead of critics mi nadhani ungejikita kwenye Sera zaidi. Sishabikii chama chochote ila nadhani watanzania wanapenda zaidi kusikia mikakati ya maendeleo rather than kusikia ukimtuhumu mtu kwa hili au lile. Angalia point zitakazomkomboa mwananchi ndio unaweza kuwavutia watu zaidi kuliko ku diss

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 หลายเดือนก่อน

      Umesema binafsi, so ungekaa kimya au husiangalie video crip zake. Hujalazimishwa

    • @karolikisaka8991
      @karolikisaka8991 หลายเดือนก่อน +1

      Sera chadema wameshasema kwa Sasa wanatufindisha tuwe na ufahamu wa kutambua Hali ya nchi na nini kinaendelea.anatufjndisha ni kwanini ccm wameshindwa kutupatia maendeleo

    • @adenmwakalobo760
      @adenmwakalobo760 หลายเดือนก่อน

      Kweli kuamsha mifugo ni kazi kubwa sana! Yaani wewe hutaki azungumzie rushwa ya wazi hiyo ya hizo pikipiki 700 ushee kila mkoa kwa wapiga kura, unataka badala yake azungumzie tu yeye atakavyoleta maendeleo kwa watu, hivi unaelewa usemacho wewe? Maendeleo gani yataletwa na Rais anayetaka achaguliwe 2025 kwa hongo ya pikipiki? Kama hilo kwako si hoja bali 'maendeleo' basi wewe kioja, mfugo😢

    • @leonardmallya7923
      @leonardmallya7923 หลายเดือนก่อน

      Kama hauna akili nzuri utashindwa kumuelewa mh
      Lisu.Mungu azidi kubariki na kulinda kwani anawazindua akili Watanzania hasa Watanganyika

  • @byamungujustin44
    @byamungujustin44 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania serkali imewadekesha kabisa huyu mupinzani alikosavyakushitaki serkali kabisa aje Congo mashariki. Aone wanaoteswa

  • @AishaAli-yo3zk
    @AishaAli-yo3zk หลายเดือนก่อน

    Toa sera zako kaka acha kumzungumzia rais sawa

    • @karolikisaka8991
      @karolikisaka8991 หลายเดือนก่อน

      Sera tusubiri kampeni kwa Sasa ni elimu ya kujitambua.
      Jitahidini kukubali mabadiliko

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 หลายเดือนก่อน +1

    Maandamano yenu faida yake iko wapi

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 หลายเดือนก่อน

      Vipi na wewe. Una ungainly nyumbani au umelala njaa

  • @HabibuSaid-up5sn
    @HabibuSaid-up5sn หลายเดือนก่อน

    Amna kitu apa Kwisha kazi

  • @athumanimhina1869
    @athumanimhina1869 หลายเดือนก่อน

    Tundu sera hana hajui akipata uongozi atatufanyia nini,kazi yake kulalamika

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 หลายเดือนก่อน +2

    Unapoendelea kumsema Vibaya Samia, ndio unaifanya nafasi yako ya kushinda hata nafasi ya Udiwani, hao unaowahutubia nusu na robo ni wapenzi wa Samia "keep my words"

    • @allonjoseph5467
      @allonjoseph5467 หลายเดือนก่อน +2

      ww lissu yupo sawa na wala haja msema samia vibaya anaisemea ccm bas namna wanavo tunynyasa

    • @xaixaiobrigado4846
      @xaixaiobrigado4846 หลายเดือนก่อน

      Wacha wamsemao vibaya waseme;Naa,
      amsemae vizuri aseme!

    • @xaixaiobrigado4846
      @xaixaiobrigado4846 หลายเดือนก่อน

      Anoweza kushinda uchaguzi huwa anaiba kura?

    • @michaelmabula7444
      @michaelmabula7444 หลายเดือนก่อน +1

      Lisu anaongea sahihi
      Sie watanganyika kama hatutajitambua
      Tumekwisha

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน +2

    Wajinga ni wewe mchawa wa samia nani anayetaka utumwa wa wa Zanzibar ila ninyi wachawa wakubw. Hongera mtangazaji na Hongera jembe la wa Tanganyika Tundu Lissu

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน

      kelele za chura tu hizooooo

    • @AlexanderJoachim-uu6rw
      @AlexanderJoachim-uu6rw หลายเดือนก่อน +1

      Demokrasiaaaaa

    • @AlexanderJoachim-uu6rw
      @AlexanderJoachim-uu6rw หลายเดือนก่อน

      Mimi nampenda sana rais wa nchi yangu.simtaji kwa jina kwa kuwa ni kumkosea adabu.yeye ni mh.mtukufu rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania.

    • @AlexanderJoachim-uu6rw
      @AlexanderJoachim-uu6rw หลายเดือนก่อน +1

      Pia nampenda saana mh.tundulisu kwa kuwa ni mwana harakati wa mageuzi kupitia chama chake ndani ya vyama vya upinzani.lkn pia namwona kama ni nabii au mtume wa kisiasa.e.bu tuone vissiom yake

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 หลายเดือนก่อน +1

      Eti jembe la Tanganyika! 2025 atakua mundu! Nimekaa palee!😅😅😅😅😅

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 หลายเดือนก่อน

    Wewe tukana Tu hupati Kitu nenda Kwa zungu wakufire

  • @user-cu9mj3xj8x
    @user-cu9mj3xj8x หลายเดือนก่อน

    hutba mavisana,haieleweki maanayake

  • @nassorcholo2515
    @nassorcholo2515 หลายเดือนก่อน

    Huna hoja utawapanda wadini wezako tu nawachaga

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 หลายเดือนก่อน

    Jinga sana wewe

    • @user-mo3ik6go6r
      @user-mo3ik6go6r หลายเดือนก่อน

      Kuwa na hakili kidogo

    • @allonjoseph5467
      @allonjoseph5467 หลายเดือนก่อน +1

      jinga ni ww unae pata lushwa kutoka ccm wana nchi tuna teseka huku mtaan

  • @yasakilube9946
    @yasakilube9946 หลายเดือนก่อน

    Mpuuzi huyu kwann hakufa

    • @sophiaamnaay9726
      @sophiaamnaay9726 หลายเดือนก่อน

      Kweli umepofuka wala huoni maovu hata kusikia hakuna. Si Shangai hata darasani mwl akifundisha wapo wapatao A na wapo wa pato F. Sasa wewe upo kwa hao wa F.

    • @sarahjames2287
      @sarahjames2287 หลายเดือนก่อน

      Nafikiri atapata 0 plus na ni kibaka ameache Lidu wetu ni mkombozi wa Taifa hili

    • @pennymahombo9528
      @pennymahombo9528 หลายเดือนก่อน

      Hivyo unajeuri ya kumwambia MUNGU aliyemuumba kwa nini kumpa uzima Kiumbe wake,naogopa sana, au una kiburi cha uzima au huamini kuwa yuko MUNGU anayesema USIUE roho zote ni Mali yake,ingia kwenye magoti utubu,maana hapo unamkosoa MUNGU anayetoa Amri. 'USIUE'!!!!!!!!!

    • @yasakilube9946
      @yasakilube9946 หลายเดือนก่อน

      @@pennymahombo9528 mtu anaesapoti ushoga anahaja gni kuishi dunian

    • @yasakilube9946
      @yasakilube9946 หลายเดือนก่อน

      @@sarahjames2287 mkombozi au mtetezi wa mashoga

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 หลายเดือนก่อน

    Muongo mkubwa Wewe

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 หลายเดือนก่อน

    Kuliko wewe Afadhali Samia Suluhu Hassan

  • @AishaAli-yo3zk
    @AishaAli-yo3zk หลายเดือนก่อน

    Hunachamaana tena lissu

  • @nassorcholo2515
    @nassorcholo2515 หลายเดือนก่อน

    Chama chachaga hii hichooo huna mpya

  • @AishaAli-yo3zk
    @AishaAli-yo3zk หลายเดือนก่อน

    Toa sera zako kaka acha kumzungumzia rais sawa

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 หลายเดือนก่อน

      Mfano sera zipi??

  • @charlzmboya
    @charlzmboya หลายเดือนก่อน +1

    Hawa vbaraka wa ccm wasio jielewa ipo cku wataelewa tu ni wajinga ila wataelimika tu ...LISU NO:¹