Aziz KI atua Dar kininja na mabegi sita, atuliza presha za mashabiki Yanga, kumaliza utata leo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • Taarifa itakayowashusha presha mashabiki wa Yanga ni kwamba hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephanie Aziz KI, amewasili nchini huku alitolewa Uwanja wa Ndege kininja.
    Aziz KI, amewasili nchini alfajiri ya leo Julai 10, 2024 akitokea mapumziko nchini kwao kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia lakini akatoka kimkakati uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere terminal 3.
    Alichofanya Azizi Ki, kwanza akamtanguliza mfanyakazi mmoja wa Uwanja wa Ndege kutangulia mbele na mabegi yake makubwa sita aliyotua nayo.
    Hatua ya pili ikawa Ofisa mmoja wa Yanga Godlisten Anderson 'Chicharito' aliyekuja kumpokea uwanjani hapo kumpenyezea kofia maarufu kwa jina la kepu, ambayo kiungo huyo ilipomfikia akatoka akiwa ameishusha kijanja mithili ya mtu asiyetaka kujulikana.
    Hatua ya tatu akatoka akiwa peke yake huku Ofisa huyo wa Yanga akitangulia mbele wakiachana kwa hatua sita na kiungo huyo kisha kupanda kwenye gari moja aina ya Toyota Alphard iliyotoka uwanjani hapo kwa kasi.
    Hatua ya nne mara baada ya kufika nje ya uwanja wa Ndege kiungo huyo akakuta gari nyingine aina ya Toyota Harrier ikimsubiri kisha kupanda humo huku ile Alphard ikiondoka na mabegi yake pekee.
    Ujio wa Azizi Ki ambaye ndiye mfungaji Bora wa Ligi msimu uliopita akimaliza na mabao 21 utawashusha presha mashabiki wa Yanga ambao wanadhani anaweza kuondoka.
    Yanga bado haijatangaza kwamba Azizi Ki ameongeza mkataba lakini Mwananchi linafahamu kwamba kiungo huyo raia wa Burkina Faso bado ataendelea kuitumikia timu hiyo kufuatia kukubaliana na mabosi wa timu hiyo kwamba atasalia.
    Pia, kupitia mitandao ya kijamii ya Yanga imetangaza kuwa staa huyo atazungumza mchana wa leo.
    #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 25

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 16 วันที่ผ่านมา

    KAMA SIO SIMBA MNGEMJUWA AZIZI KI MACHOGO FC NYIE 😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 17 วันที่ผ่านมา +1

    Utopolo fc mpoooooooo

  • @user-dd8oc6yw9n
    @user-dd8oc6yw9n 17 วันที่ผ่านมา

    Asante

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 17 วันที่ผ่านมา +6

    Akibaki asibaki ni juu yake na Maisha yake sisi wengine hayatuhusu

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 17 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni KOLO

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 17 วันที่ผ่านมา

      Kama hayakuhusu si ukae kimya kwa nini unachangia? Unachangiaje kitu kisichokuhusu?

    • @DannyMasuka-ut4oq
      @DannyMasuka-ut4oq 17 วันที่ผ่านมา

      Kolo wewe

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 17 วันที่ผ่านมา

      Upo apa wafanya nn na haikuhusuuu 😂😂😂

    • @magrethyeremia2279
      @magrethyeremia2279 17 วันที่ผ่านมา

      Lisilokuhusu lakuwashia nn Sasa???

  • @Claudi-sv2rb
    @Claudi-sv2rb 17 วันที่ผ่านมา

    Kwaio??????

  • @user-wc5kh1sl6g
    @user-wc5kh1sl6g 17 วันที่ผ่านมา

    Aende TU sis yang hatujinyongi

    • @brighlusemsomba3014
      @brighlusemsomba3014 17 วันที่ผ่านมา

      Wewe sio Yanga mwehu tu wewe wa makolobwanji. Roho imekuuma mlidhani anaondoka. Jiandaeni aibu yenu.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 16 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@brighlusemsomba3014TULIZA KIJAMBIO HICHO WEWE

  • @AjiaMohamed-rt5pb
    @AjiaMohamed-rt5pb 17 วันที่ผ่านมา +3

    Nyie msisumbuliwe na mashabiki wa simba ss ni levo nyingine

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 16 วันที่ผ่านมา +1

      LEVO YA EDA MIAKA 26 😂😂😂😂

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 17 วันที่ผ่านมา

    Chama anazidi kusahalika

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 17 วันที่ผ่านมา +1

    Yanga wamsamehe tu, atawafilisi pesa anazozitaka ni nyingi.
    Amekuwa kama Mayele.

    • @amramthobias6303
      @amramthobias6303 17 วันที่ผ่านมา

      NYIE MAKOLO MMESHINDWA KUMLIPA CHAMA MNATAKA KUSEMA NINI, KUWENI TU WAWAZI YANGA TUNAJIWEZA, TUKIMTAKA MCHEZAJI LAZIMA TUMPATE

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 16 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@amramthobias6303MSHAMBA WEWE UMETOKEA WAPI HUYO CHOGO FC MWEZAKO SIO SIMBA MJINGA WEWE

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 16 วันที่ผ่านมา

      ​MADENI MPAKA MIKUNDUNI MWENO MATOPOLO MACHOGO FC NYIE 😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

  • @muhengamakunga
    @muhengamakunga 17 วันที่ผ่านมา

    Sasa mie sijui nini shida hebu aendelee ili kusiwe na sabab