MKE WA TUNDU LISSU AWALIZA WATU, AELEZEA YALIYOMKUTA KWA MIAKA MITATU YA KUUGUZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2020
  • #ChademaMedia #Chadema

ความคิดเห็น • 100

  • @atiliogisanganga3964
    @atiliogisanganga3964 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama wa kazi uko vizuri wewe ni mke mwema Mungu akupe moyo huohuo wa hekima sisi hatuwaachi .tunakwenda na lisu tutamaliza na lisu

  • @shukranisekaga9609
    @shukranisekaga9609 3 ปีที่แล้ว +6

    Mwanamke jasiri sana ww, nakupenda sana first lady! Unaosha!

  • @musarichard2934
    @musarichard2934 3 ปีที่แล้ว +16

    Wapo wanaombeza Lissu,but if not today..it's tomorrow!..he must be the greatest leader!

  • @nuhuhatibu1617
    @nuhuhatibu1617 3 ปีที่แล้ว +10

    Yaani huyu mama kaongea kwa hisia sana na anaumia sana pole sana mama kwani hakuna mwanadam yeyote yule ambaye anaweza maumivu haya ila tumuachie MUNGU ndio ambaye atahukumu eee MWENZI MUNGU NAOMBA MWISHO MWEMA NISIJE NIKAWA MIONGONI MWA WATU WABAYA🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙏🏻

    • @user-do5by8jl6g
      @user-do5by8jl6g 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu mi mwamifu hakika hamtagarikishwa mungu atawalinfa

  • @jacobmayalla5698
    @jacobmayalla5698 3 ปีที่แล้ว +9

    Pole Malkia wa Tanzania,Umepambana Sana,hakika unafaa kuwa Malkia na ninaamini,Utamshauri vizuri Mfalme!!!!?

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 2 หลายเดือนก่อน

      Malikia gan au malkia wa manyumbu? Hahahaaaaa keeeenge

    • @ULUMBIADAM
      @ULUMBIADAM 2 หลายเดือนก่อน

      K,wewe

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 ปีที่แล้ว +1

    Jina la Yesu lilimuokoa mmeo nawashauri mpokeeni Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yenu tulimuombea mweshimiwa poleni Yesu yuko kazini tuliomba kuokoka ni vizuri mpeni YESU maisha yeni mama pole poleni sana

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 ปีที่แล้ว +5

    Mamma yetu wa Tz aliye tuuguzia kipenzi chetu Mhe Tundu Lisu Mungu akupe baraka zaid kwa mahaba makubwa zaid juu ya Rais wetu Mhe Tundu Lisu ❤❤❤❤❤

  • @hassansamo6823
    @hassansamo6823 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunaomba mola lissu afanikiwe insha allah

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana my wifi love u.

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 3 ปีที่แล้ว +4

    She a real strong 💪 woman💃👩, Much blessing to you mom.

  • @santosclassic9935
    @santosclassic9935 3 ปีที่แล้ว +12

    Unatetea wanyonge saf kabisa

  • @amanijoel3924
    @amanijoel3924 3 ปีที่แล้ว +5

    It wasn’t easy.... it’s not easy ..... we still have long way to go but there is a hope . Through the cloudy ⛅️ I can see an open window ... penye nia pana NJIA ....watching & following you from the 🇺🇸 But Tanzania 🇹🇿 is my home

  • @santosclassic9935
    @santosclassic9935 3 ปีที่แล้ว +11

    Rais wetu lissu 🙏 umeshapita

    • @katwigayona8041
      @katwigayona8041 3 ปีที่แล้ว

      Dua za kuku

    • @jevinjacob5439
      @jevinjacob5439 3 ปีที่แล้ว

      Katwiga Yona kwan ww nani.. paka uone ina shindikan... mbn mlimuombea afe lkn ni mzima wa afya... nyie wajinga tu tutawaonyesha

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq หลายเดือนก่อน

    Duu mungu yupo msjaribu ni sehemu ya binadamu waliofanya haya mungu anawaona

  • @simonmdulla8051
    @simonmdulla8051 ปีที่แล้ว +1

    Mungu.akutie.nguvu.mama.endelea.kua.hivyo.

  • @murugaisaya6681
    @murugaisaya6681 3 ปีที่แล้ว +2

    It's painful hongera sana mama we shujaaa

  • @simonfundi3609
    @simonfundi3609 3 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana First Lady wetu

    • @dorahy1579
      @dorahy1579 3 ปีที่แล้ว

      Mnajua mlichokoza boss wenu. Mnataka Italia kwa kufanya ujanja ujanja muonewe huruma na mambo yote mlipanga wenyewe. Mnadanganya bongo lala siyo werevu. Mnajuliakana mipango yenu. Tamaa bin Tamaa

    • @simonfundi3609
      @simonfundi3609 3 ปีที่แล้ว

      Dorah Y huruma za Mungu zinatutosha hatuitaji izo za maccm

  • @osodowilberforce
    @osodowilberforce 2 หลายเดือนก่อน

    Madam Lissu,we love you.Pole sana.

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 14 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 3 ปีที่แล้ว +4

    Mara pah'Antipasu ikulu ....yaan kuna watu sijui wataenda kuishi nchi ipi maan mzik wake hapatosh ...

    • @izackhongoli4017
      @izackhongoli4017 3 ปีที่แล้ว

      apo ukubali ukatae akipta lisu nakuingia ikulu vita inaanza amini nakwambia

    • @joramkimario2666
      @joramkimario2666 3 ปีที่แล้ว

      We endelea kuota na otakaaposhwa ukiamka ukafungue milango ya ikulu

  • @jonathanmundeda9714
    @jonathanmundeda9714 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana na familia yako mama

  • @ombenipenieli1432
    @ombenipenieli1432 ปีที่แล้ว

    Mama usiwashukuru watu,mshukuru Mungu aliemshindia na kumuepusha na kifo

  • @sebastiankessy1015
    @sebastiankessy1015 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah pole Kwa Yaliyo kukuta

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 3 ปีที่แล้ว

    Aliyempiga risasi ipo siku. Mungu ni mwema na muadilifu, hasahau, hali, hanywi, anampururia. Ipo siku yake

  • @shebymnazi3530
    @shebymnazi3530 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu atalipa kwa yote aliyofanyiwa kiumbe chake tundu lisu tunaamini ivyo

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 3 ปีที่แล้ว +1

    Wapinzani hasa chadema na Act kama mtawachekea hii Tume ya ccm watawatesa sana lakini ngumi jiwe ndo itaondoa huu upumbavu ya mungu mtu

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 3 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa mimi kula yangu utaipata iwapo tu utajibu masuali yangu haya -
    Kwavile wewe ni msema kweli. Na unadai unamuogopa Mungu : ___
    1. Uliahidi milioni 50 kila kijiji. Je! Ututajie kijiji Angalau kiMoja ulizowapelekea.
    2. Utuambie hizo ndege. Ni nani alieizinisha ununuzi? Na zimenunuliwa kwa Kiasi gani. Na hadi muda huu zimeingiza faida Kiasi gani.
    Utuambie sababu za kuzuiliwa ndege zetu mala kwa Mala zikienda nje. Mbona zinaMADENI $ 133 milioni ?
    Utuambie wanaozipanda hizo ndege ni akina nani?
    3. Utuambie Uwanja wa Chato wa kiMataifa ulijengwa kwa Kiasi gani. Nani alieizinisha . Na hela ya ujenzi imetoka wapi? Na kwanini Uwanja huo ujengwa kijijini CHATO ?
    4. Utuambie zile Trilioni 1.5 mfuko wa hazina ya selikali zimepotea wapi? Au zimetumika vipi ?
    Na kwanini Ukamtumbua CAG Mzee Musa Asadi?
    5. Mh.Laisi Utuambie kwanini vyombo vyako vya Dola vimeshindwa kuwatambua Na kuwakamata " KIKUNDI CHA WATU WASIOJULIKANA " .?
    kilichokuwa kinawanyonga Laia zako. Wengine kutekwa. Wengine kupigwa lisasi.
    Kama bado kipo inchini . Unawakikishiaje laia zako usalama wao?
    Ili Mo Dewji aondokwe Na hofu.
    6. Utuambie wale " mafisadi wawili wa ccm " walioekeza nje ya inchi. Uliwachukulia hatua gani? Mbona hatukukuona ukifatilia miHela yao iyo kwenye Account za nje ya inchi?
    7. Mh. Laisi unapoongelea COLONA. Kila kwenye kampeni zako. ivi ni Wapinzani ndio walioileta ? Na Je ! Imeondoka kwa Nguvu za mungu wa Chato au Mungu Mkuu wa mbinguni baada ya maombi yaliofanywa kanisani Na misikitini?
    8.Mh Laisi ulidai uchaguzi huu utakuwa wa haki Na hulu. Mbona tayali tunaona wagombea wengi tu wa ccm Na wale wa upinzani wakienguliwa ?
    9. Mh.Laisi uliahidi Utajenga mashule na MaHospitali hadi wilayani. Ni hospitali ipi iliojengwa hadi muda huu?
    10. Mh.Laisi ulisema inchi yetu ni tajili sana. Mbona laia wako wanaishi maisha duni. Hela haionekani. ?
    Tunaowaona wakifaidika ni vigogo vya ccm / vigogo vya selikali na watu wa usalama taifa. Wanaozi kujenga majumba ya kifahali kila sehemu Bila ya wasiwasi.
    11. Kwanini unawatumia wasanii kwenye kampeni zako zote.?
    Utuambie hiyo mikataba uliofanya na wasanii. .wanalipwa na hela za nani?
    KULA YANGU MHESHIMIWA NI KWAKO. UKINIJIBU VISUALI VYANGU IVO.
    BWANA YESU ASIFIWE !
    CCM OYEEE !!

  • @clemencekaogo8826
    @clemencekaogo8826 3 ปีที่แล้ว

    Inauma sana Kwa binadamu kumfanya mwenzako kama mnyama wa polini mungu atawalipa Kwa yote

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 7 หลายเดือนก่อน

    Lakini amesema ubavu wangu , kwani nisawa kweli nani hapo ndie ubavu wa mwenzake kati ya lisu na mkewe?

  • @faustinendama2304
    @faustinendama2304 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 ปีที่แล้ว +2

    Inasikitisha

  • @drtobias_
    @drtobias_ 3 ปีที่แล้ว

    Chadema Tunaomba SERA JAMANI

    • @mcjogopah8513
      @mcjogopah8513 3 ปีที่แล้ว

      Kwani Lazima, uje huku ambako hakuna Sera? Au wewe ndie wale wasiojulikana?

    • @drtobias_
      @drtobias_ 3 ปีที่แล้ว

      @@mcjogopah8513 ndugu yangu tusigombane ,sijasema hivyo kwa Nia mbaya,Hii Ni hamu tu ya kumwona Lissu akiwa IKULU

    • @zacijoe3772
      @zacijoe3772 3 ปีที่แล้ว

      Mbona Lisu kamwaga sera au umekuwa kipofu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Mkulya sura mbaya shapeless

  • @octavianadolph4577
    @octavianadolph4577 3 ปีที่แล้ว

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    RIP LISSU

  • @mussamapesa5632
    @mussamapesa5632 3 ปีที่แล้ว +3

    Tutamuomba magufuli ampe kazi mumeo ili na ww upate utulivu maana unaonekana mumeo anakutesa sana

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 ปีที่แล้ว

    Mmmmh, nao wanalia hawana wa kulilia

  • @endwardntandu3736
    @endwardntandu3736 หลายเดือนก่อน

    Mnafiki kama mumeo hats ubalozi was nyumba kumi hapati

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli anatuletea upumbavu was kitoto lazima aondoke. Kwa kutuletea vitendo vya kihuni akili zake taahira kutumia shooting act no good

    • @yusufuvea5311
      @yusufuvea5311 3 ปีที่แล้ว

      Utaondoka ww na mamazako Magufuli ndiye wa Tz maumbwa nyie

    • @katwigayona8041
      @katwigayona8041 3 ปีที่แล้ว +1

      Eti aondoke ,,wewe ni kagonjwa ka akili

    • @jevinjacob5439
      @jevinjacob5439 3 ปีที่แล้ว

      yusufu vea ndy umemaliza hapo.... mjinga mkubwa ww kwani yy nani paka asiondoke huyo magufuli yan amefanya nn toka aingike au kuongeza DENI LA TAIFA KAPA WATT HATUZA ZAA TUNATAKIWA KULIPA

    • @yusufuvea5311
      @yusufuvea5311 3 ปีที่แล้ว

      @@jevinjacob5439 kwani ww tangu uzaliwe umefanya nn mpaka ulipo unakua kama shoga bhana,, kwani we ni kipofu huoni si aliyoyafanya

    • @jevinjacob5439
      @jevinjacob5439 3 ปีที่แล้ว

      yusufu vea mashoga wanatambuana aise... mm sijaona kila kitu huwa kina fanywa hvy hvy na marais wote toka uhuru na hata wakoloni walifanya

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 6 หลายเดือนก่อน

    Safisana

  • @deodatusideostusi627
    @deodatusideostusi627 3 ปีที่แล้ว

    Baba I

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri หลายเดือนก่อน

    WEWE MBONA UNAUSO KAMA UNA PULIZA MOTO ALIPIGWA RISASI KWA SABABU YA KUTAKA KUTU SHAWI TUOWANE WANA UME KWA WANAUME NA WANAWAKE 2 KAMA NA WEWE NI MOJA WAO BASI MTAKAASANA BASI TAFUTE KAZI NYINGINE ZA KUFANYA AO NJOONI HUKU MIRERENI TUCHIMBE MADINI BLOCK C ASANTE SANA FATA USHAURI WANGU

  • @jamhurramadhan3707
    @jamhurramadhan3707 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo nihadis yk tukiruhusu kila moja aimuliye majaribu aliyo pitia sijuw na atakuwa rais mana kila moja atakua na matatizo makubwa zaid

  • @denismakono197
    @denismakono197 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwan tunaomba history ya maisha yako umekufa au mwanga Sera unishawish lakin najua rais anajulikana in magufuli upo mama

    • @mohdhassan8763
      @mohdhassan8763 3 ปีที่แล้ว +1

      wovu wakumwa jiji kazienu mbropa nganda

    • @jevinjacob5439
      @jevinjacob5439 3 ปีที่แล้ว

      Ww acha kuongea kama mtu unae kosa hoja... kwan hujui nani ndy msema sera saiv wa chama...😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tatizo watu wa sisim sio smart kbs mnafanya mambo kwa mazoea

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni kamanda, wewe ni malkia wa nguvu

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 2 หลายเดือนก่อน

    Huwa nacheka sana nikiwaona waigizaji kama huyu mama! Ulijichelewesha sana kuolewa na chozi anayepinga kila kitu! Hiv mtawaambukiza na watoto ujinga kama huo mlionao poleni sana!

  • @yusufuvea5311
    @yusufuvea5311 3 ปีที่แล้ว

    Sera hamna kila siku risasi risasi,,, mmekwisha nyie

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 3 ปีที่แล้ว +4

    Sera sera tunataka......... sio kuomba huruma........

    • @hijakisoro5376
      @hijakisoro5376 3 ปีที่แล้ว +1

      Sera na hamani broo kua care

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว

      kweli

    • @johnsonmarick45
      @johnsonmarick45 3 ปีที่แล้ว +1

      Wewe utampa huruma, au sifa

    • @jevinjacob5439
      @jevinjacob5439 3 ปีที่แล้ว

      Yan watu wa sisim bhn.. 😂😂😂😂 nyie mizik ndy sera sera..😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mm ww hata siku chekei nakutukan ww ni mjinga na utoke kweny ujinga... au umetuma... sasa kwa taarifa yako hakuna mtu anaongea sera saiv tofauti na MGOMBEA URAIS BASI NA SIO MTU MWNGN FALA WW

  • @hassannanji3564
    @hassannanji3564 3 ปีที่แล้ว

    Leteni sera sio kila siku kuhubiria kupingwa risasi.hizi stori zinachosha.You think you are going to win election by using this agenda.it's nonsense.absurd.I believe JPM will emerge winner by 85 percent of votes before 10.00 am

  • @subiraabeid588
    @subiraabeid588 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana mama lakini lisu kula yangu simpi

    • @bakariamour6024
      @bakariamour6024 3 ปีที่แล้ว

      Kwa iyo hutaki kujua habari za risasi daa we kweli ni fisiam

    • @bensonzabroni1809
      @bensonzabroni1809 3 ปีที่แล้ว

      Tunaweza kushinda but kama hatutaeleza lengo la kugombea tutashindwa tunahitaji sera sasa

  • @jandpelectronics363
    @jandpelectronics363 3 ปีที่แล้ว

    SIMLIJIFANYA MTAANDAMANA KUDAI HAKI ZENU KUTEULIWA WALIOFYEKWA NDIPO MUANZE KAMPENI !!!!MBONA HAMUANDAMANIIIIIII??????

    • @gizakazeno1688
      @gizakazeno1688 3 ปีที่แล้ว

      Alijifanya mjanja anajua sheria kumuwekea mwamba pingamizi ya kugombea urais,,, sasa watu wakaona isiwe tabu wakamwaga mbga kabisaa fyekelea mbali wagombea ubnge na madiwani...anatafuta jina kupitia jina la mwamba jpm

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubavu wa risas tunajua sasa mwagen sera story nying za nn

    • @bakariamour6024
      @bakariamour6024 3 ปีที่แล้ว

      Ata kupigwa risasi pia ni sera tena kubwa

  • @nebartmuyagala9545
    @nebartmuyagala9545 3 ปีที่แล้ว +3

    Historia tulishaisikia tupe sera mama baada yakufikilia kuchukua hii inchi pamoja nakua nindoto ya mchana

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 3 ปีที่แล้ว

    What's WOMEN?? _Is way organising men

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Sura mbaya ya kikulya

  • @kibwanaMAlly
    @kibwanaMAlly 3 ปีที่แล้ว

    Inahusiana nanin sasa .

    • @jevinjacob5439
      @jevinjacob5439 3 ปีที่แล้ว

      Kwan ww unatutakia nn... mbn wambea watu wa sisim, hofu yenu mnajua kuwa mnatetea uwovu... labla ni kwambie tu umasikin hauondoki kwa kujifangany sisi wenyw.... sisim imefanya nn kweny hii nchi toka 59 hakuna ambacho tuna jivunia ni kizur sio umeme, barabara, maji na biashara.. usiongee kwa ushabiki mjinga ww

  • @mwanasaid6177
    @mwanasaid6177 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa habari za risasi sisi za nini?

    • @abdulrahmansalim9773
      @abdulrahmansalim9773 3 ปีที่แล้ว

      Kama baba yako ingelikuwaje . Magufuli hafai akili zake taahira mpumbavu was kuileta mafundisho ya shooting act mjinga mwizi bustard

    • @mwanasaid6177
      @mwanasaid6177 3 ปีที่แล้ว +1

      @@abdulrahmansalim9773 mpumbavu mwenyew mbwa wewe habari za magufuli zimekujaje hapa?kwanza unaanzaje kumtukana kiongozi wa nchi? Ww ipo siku mdomo utakuponza

    • @agustinopaulo3650
      @agustinopaulo3650 3 ปีที่แล้ว +1

      Mweshimiwa lisu umesahau wapi nchi yetu ina rasmali nying sana ikiwemo madini y aina nying,hifadhi ya wanyam, maziwa, na megineo mengi vya kuingiza kipato serikali unashidwa nini kusema kila mtanzania aliyefikishwa umri wa miak18 anastahili kila mwish w mwezi apate fungu fulan y hela kweny hudum y benk ili kila mtanzania a enjoy matunda y nchi yake hii ni sehem moja wapo y kupunguza umaskin nchin kwa asilimia kubwa san

    • @hassansamo6823
      @hassansamo6823 3 ปีที่แล้ว

      Jiulize senge ww

  • @adenadolph1951
    @adenadolph1951 3 ปีที่แล้ว

    Magufuli rais asubuhi na mapema kabisa atatangazwa,NGARA CCM NGARA.....JPM 4 ALL 2020