CHECHE ZA MWALIMU: ''Mkinikamata Ninamaelezo Mfukoni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2018
  • Salamu Mwalimu amepata nafasi ya Kuongea Katika Ufunguzi wa Kampeni Jimbo la Ukonga na Ameongelea Namna walivyojipanga kulirudisha Jimbo hilo CHADEMA

ความคิดเห็น • 24

  • @godhelplatia3044
    @godhelplatia3044 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahaaaaaaa Mh unatembea na maelezo mfukoniiii?? Ahaaaa

  • @prosperndonjekwa5143
    @prosperndonjekwa5143 6 ปีที่แล้ว +2

    Wewe, unapigia kampeni saccos. Na hata Mkishida watafit wa maharufu wa dunia yetu watakuja kufafanya utafit ili wajue ni jnsi gani tofali la barafu linatumika kujenga nyumba. Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

  • @fortunatuswangubo6013
    @fortunatuswangubo6013 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe nae kichaa unasema hakuna kilichofanyika huna macho utaibika wewe nawezako siku hio

  • @mtimbwayamtimbwaya1740
    @mtimbwayamtimbwaya1740 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mashine salum mwalim

  • @aristarkamanzi1762
    @aristarkamanzi1762 5 ปีที่แล้ว +1

    pole sana

  • @denissafari199
    @denissafari199 6 ปีที่แล้ว +1

    Watu upeo mkubwa hujadili mada, watu wenye upeo was kati hujadili matukio na wenye upeo mdogo kama wangu hujadili watu. sasa sjui jamaa huyu yuko upande gani wa uelewa (I.Q)

  • @petercosmas4376
    @petercosmas4376 6 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli mtupu

  • @edwinsamray411
    @edwinsamray411 6 ปีที่แล้ว +3

    Ndomaana wanasema cdm ni wahuni MTU timamu anasimama anasemasera sake na mambo utakayofanya alafu unaomba kura nyiemnatukana wavutabangi wanawashangilia mtapata sana tabu

    • @bonnyngowo7567
      @bonnyngowo7567 6 ปีที่แล้ว

      Edwin uliwahi kuona wapi upinzani haina msaada wowote wa jeshi la polisi usalama wa taifa wala FFU halafu wana Viti kibao bungeni?Je wangesaidiwa na hizo taasisi nilizozitaja unafikiri ingekuwaje?

    • @joachimerass389
      @joachimerass389 5 ปีที่แล้ว

      Bangi unavuta wewe sio sisi boya wewe

  • @edwinsamray411
    @edwinsamray411 6 ปีที่แล้ว +4

    Mnashindwa kusema Sera zenu mnawasema walinzi wenu mkiachwa bila ulinzi mnalalamika mkishindwa mmeibiwakura kwani hamuwezi jizuia kutukana?

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว

    Je kuna jipya au ni yale yale
    Eti ana mdomo mchafu
    Majungu hayo ujue

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 3 ปีที่แล้ว

    Kijana mkomavu kaza but

  • @henryndosi8569
    @henryndosi8569 6 ปีที่แล้ว +3

    CCM ushindi mapemaaaaaaaa,,,

  • @chambimagele6726
    @chambimagele6726 5 ปีที่แล้ว

    Wew ubunge ulishindwa kinondoni

  • @henryndosi8569
    @henryndosi8569 6 ปีที่แล้ว +3

    Mbona unaongea ujinga alafu mnasema mnaonewa

  • @mselematiku2366
    @mselematiku2366 6 ปีที่แล้ว +1

    sema babaa

  • @frankmhanga476
    @frankmhanga476 3 ปีที่แล้ว

    Dogo hujielewi

  • @ayubujohnayubujohnjohn8924
    @ayubujohnayubujohnjohn8924 3 ปีที่แล้ว

    √100%

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 6 ปีที่แล้ว +2

    Hawa jamaa huwaga siwaelewi

  • @mako331
    @mako331 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi Chadema mnamdanganya nani? Mlishindwa mpaka sanya juu nyumbani kwa Mbowe, ilala wewe Salum ukashindwa WAPI MTASHINDA??

  • @petetpaul2728
    @petetpaul2728 6 ปีที่แล้ว

    Mdomo mchafu