WANAUME WA KIAFRIKA KUOA NYUMBANI NA KUWAACHA WAKE KWA KIPINDI KIREFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @misanamohamedi8438
    @misanamohamedi8438 10 หลายเดือนก่อน +3

    bro katika maisha yako yote usitegemeee hela ya mwanamke wala usiulize hela ya mwanamke,km unataka Aman ndani ya nyumba we fanya majukum yko km mwanaume, km ataona anaumuhim wa kuku support mwache afanye kwa mapenz yke,ishi nao Kwa akili

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว +12

    Huku lazma w’me mkuone kugumu kwa sbbu hakuna udhalilishaji wa mke. Ukimletea za kuleta anakuacha anashughulika na maisha yake. Kazi zimejaa tele na hata km hana kazi serikali inaeza kumsaidia. Tofauti na Afrika mke ataganda ndani na kushuhudia mateso yako yote lkn kutoka anakhofia wtto ataanzaje???

    • @nadystyle339
      @nadystyle339 11 หลายเดือนก่อน +1

      Chukua mauwa yako ❤

    • @hannymasu732
      @hannymasu732 10 หลายเดือนก่อน

      Wanaume waliokulia Afrika wakija ulaya wategaji sana wa majukumu. Wabinafsi.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@hannymasu732kumbe

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 8 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mwanaume mdhalilishaji, labda mlevi, mvuta bangi huyo.
      Nilipokuja ulaya nilijisemea hakuna mwanamke tutamkuta peponi, Eee Mungu wasamehe tu.

  • @Byme6434
    @Byme6434 11 หลายเดือนก่อน

    Hilo Swala kulala hapo Umenigusa Sana Wewe mwenyeji unahaha unatoka unarudi Unamkuta tuu mtu Amelala na kuchezea simu Mgeni WalaHashtuki km Mbona mwenyeji wangu Anahangaika Mwisho wa siku ukimwambia Mnagombana Anajitia kashatafuta watu Wengine Mwisho wa siku wanamponza Wanamuingiza overstay ncbi nyengine overstay unalipia

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naona hao watu wote wanaokimbilia kuolewa na wazungu ni maisha tu yaani wana maisha magumu wanadhani watatoboa. Ila sisi tunaoishi na hao wazungu na kufanya nao kazi wengi ni wanafki balaa

  • @estherbilima3469
    @estherbilima3469 8 หลายเดือนก่อน

    Watafute wanaume wengine tuwasikilize na tujifunze kutoka kwao.Hongera sana Shener.

  • @hassankhamis344
    @hassankhamis344 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka kuwepusha zogo katika nyumba bora mushee mabili nakila kitu huwenda ikasaidiya kupunguza zogo

  • @minacute3758
    @minacute3758 9 หลายเดือนก่อน

    Wallah nmejifunza mambo mengi sana kupitia mdahalo huu mwenyez mungu awalipe inshaallah mmetufungua akili wallah ❤

  • @user-mf2jf6dp7z
    @user-mf2jf6dp7z 2 หลายเดือนก่อน

    Brother uko sawa kabisa uko mwisho umeongeao point

  • @jazzymkalitv5535
    @jazzymkalitv5535 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huu ndiyo ukweli wa maisha ya Ughaibuni. Kuna baadhi ya watu wakisha pokelewa na kusaidiwa, na mwisho wa siku akisha fanikiwa na kuwa juu zaidi ya yule aliye msaidia, huwa huanza nyodo na kuongea vibaya kuhusu yule mtu aliye msaidia. Yaani huwa inakera sana . Na ndiyo maana baadhi ya watu hukataa kuwasaidia wengine.
    Rich aongea ukweli kbs.

  • @siasia5469
    @siasia5469 10 หลายเดือนก่อน +1

    Brother rich umeongea vzr lkn umekuja kuvuruga apo kwenye Age za kuona km mtu akili yke ipo sawa na yupo sawa mpk ki mwili basi Age iyo ni number tuu Kuna vijana wamezeeka at the Age of 30 na wapo wanaume wamiaka 60 lkn ki physically na ki mental yupo very strong kushinda ht yule kijana wa miaka 30 kwaio watu waangalie tuu uyo mtu alie mzidi umri je yupo katika hali gani

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 8 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana nawapenda ❤❤❤❤🥰🥰🥰

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 25 วันที่ผ่านมา

    Mdahalo unamashiko sana kwa pandezote 2 kwa upande wa European na Afrika , pia Rich na shenar wote mmeongea points. Kuhusu feeha za watoto European wasomali na waarabu wanaheshima anae zitunza na kuzipangia ni mwanaume ,kazi ya mwanamke ni kuzaa tu sio kushika feeha ,wa Tz na waafrika wengine wanatabia mbaya kugombea fedha za watoto. Tuache mwanamke apangie feeha.

  • @Aiisha901
    @Aiisha901 5 หลายเดือนก่อน +1

    hilo kweli pesa ya watoto watu wengi wanagombana ugomvi mkubwa

  • @kassiannyamba805
    @kassiannyamba805 13 วันที่ผ่านมา

    @shena next time discussion kama hizi jaribu kuongeza mtu mmoja iwe na watu hata watatu.

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 5 หลายเดือนก่อน +1

    Discussion nzuri nigependa kushiriki

  • @djoumoihamadi5728
    @djoumoihamadi5728 10 หลายเดือนก่อน

    Kaka yangu nakunga mkono Sana wanawake wengi wanabadilika hasa kwa pesa hâta watoto hataki uwaone

  • @NdayisabaKarim
    @NdayisabaKarim 11 หลายเดือนก่อน

    Assalam aikum warhamatullahi wabarakatuhu wallahi mafunzo mazuuuri

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว +1

    Mattzo makubwa ya w’me wengi wa kiafrika wanapenda bure. Ulaya ukitaka kuheshimiwa utaheshimiwa pia. Kuna w’me hawakuwapeleka wake zao serikali kuwafanya hawana waume tangu walipowachukua Afrika. Wao wenyew wanafanya kazi na kuwahudumikia wake zao kuanzia kodi ya nyumba, chakula mpaka mavazi. Na hata kuwaketa kwao hawakuwaripua. Lkn ukijifanya mjanja ukamripua mke na kumpeleka ajifanye hana mume hapo utakiona cha mtema kuni. Na w’me wengi sana wa KiAfrika wanapenda bure ndio mana yanawakuta.

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 11 หลายเดือนก่อน

    Pesa za watoto si za kuweka, pesa za watoto ni kwa ajili ya matumizi ya chakula nyumbani na mahitaji mengine ya watoto , sio za kutuma afrika nafikiri watu wanachukulia system vibaya ndio maana ndoa zinaisha .

  • @BarakaBitariho
    @BarakaBitariho 4 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mzuri. Ila siku zote wanaume tunapenda dogo dogo. Kabichi kabichi.... mjuu ni sawa tuu kuchukua kuliko kuchukua mbibi😂

  • @mwanahussein5935
    @mwanahussein5935 10 หลายเดือนก่อน

    Happy birthday shenaa da mzuri❤❤......

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 ปีที่แล้ว

    Rich yuko vizuri sanaaa, yuko wazi

  • @user-fz3fu1lc9h
    @user-fz3fu1lc9h 10 หลายเดือนก่อน

    Da shena plz naomba richi my nabar

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 11 หลายเดือนก่อน

    Awe ni mwanamke au ni mwanaume umeolewa na mzungu akakuingiza ulaya , ni haki yake kukutunza na hiyo ndio sheria , mpaka ifike miaka 5 , mambo ya pesa ni makubaliano yenu ninyi wote na ikiwezekana mfungue joint account

  • @IssaIddi-vb9yi
    @IssaIddi-vb9yi 9 หลายเดือนก่อน

    Anaurizaje'' utataka kula au kula kwanza

  • @djoumoihamadi5728
    @djoumoihamadi5728 10 หลายเดือนก่อน

    Hungera n'a kupamko kwa maneno Yako yaukweli Kaka yangu

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว +2

    Wanaooa Afrika wakaacha wake si kwamba hawaamini kuwaleta watawabadilikia, ttzo wanakua hawana pesa za kuwaleta wake Ila wakienda Afrika hujifanya wanapesa. Kumbe hawana kitu. Kumleta mke Ulaya lazma account yako iwe na pesa na uwe unajitegemea. Ssa w’me waliowengi wanalelewa na wake zao ambao wamewapeleka serikalini kujifanya hawana waume. Pesa ya kumleta mke wa pili ataipata wapi???

    • @hannymasu732
      @hannymasu732 10 หลายเดือนก่อน

      Fact.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 10 หลายเดือนก่อน

      Duh

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 8 หลายเดือนก่อน

      Mhn yaani mtu hana nyumba bado analelewa halafu anataka kuoa tena.

  • @minabelle353
    @minabelle353 ปีที่แล้ว +3

    Kaka yuko nchi gani?
    Nice mdahalo

  • @spaice995
    @spaice995 ปีที่แล้ว +1

    Abdul kama Rich kipenzi🥰

  • @valerieshinia8526
    @valerieshinia8526 ปีที่แล้ว

    Happy 🎉early birthday 😊❤ Mungu akuzidishie

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf ปีที่แล้ว

    Happy birthday shenner

  • @NdayisabaKarim
    @NdayisabaKarim 11 หลายเดือนก่อน

    Ivi naishi Nairobi naivi niko na Mtoto umoja angali Mchanga nampenda nayeye ananipenda alakini communication sinyingi

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 8 หลายเดือนก่อน

    Uyo alokuchukua alikuwa na moyo wake tu wa upendo , lakini si kwa sababu ya kutokuwa na famili.
    Lakin na uyo alotoka africa akatae kufanya kazi anabaki kalala siku nzima ,hata vyombo usioshe hapana hayo ni malezi ya mtu alozoea uvivu jaman unaendaje kwa mtu usifanye kazi jamani ????
    Ukiona anakusema nje ujue wewe pia haukubali kukosolewa , ila AFRICA IS THE BEST JAMAN UKO NJE WATU WAENDE TU WAKACHUME ELA TU AMBAZO WAKOLONI WALICHUKUA KWETU 😂😂 KISHA WALETE AFRICA ,LAKINI AFRICA NDO KILA KITUUUU

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 11 หลายเดือนก่อน

    Leta Elimu brother 😂😂😂😂

  • @salhakyande3905
    @salhakyande3905 ปีที่แล้ว +1

    Happy birthday shenner!🎊

  • @samniza1763
    @samniza1763 11 หลายเดือนก่อน +1

    Next time uje kuinterview wale wanaoleta ndugu zao, kuna ndugu ukimleta ughaibuni atakutenda na kukufanya public enemy number 1. Matokeo yake mnakua ni watu maadui halafu ni ndugu.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  11 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe limekukuta hilo ?
      Natamani nipate hao waliotendwa na ndugu

    • @samniza1763
      @samniza1763 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@OfficialDatingAssistance Tupo wengi sana, yaani unaleta ndugu zako ulaya halafu wakifika hapa wana join force kukupiga vita, that will be very interesting topic. But sitaweza share on camera ila ninaweza share
      my experience privately. Wapo nchi moja na mimi so ukisema uende online mpaka ndugu nyumbani watajua. Nilitaka hadi nihame nchi niende Marekani toka UK.

    • @ZuwenaSinde-hj9qg
      @ZuwenaSinde-hj9qg 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@OfficialDatingAssistance😂 pole

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 kama NAKUONA ulivyo na mood ya KUTUPA story ya ndugu vigeugeuuuuu

  • @NdayisabaKarim
    @NdayisabaKarim 11 หลายเดือนก่อน

    Na communication niyamuhimu saaana

  • @benjaminibanigwa5361
    @benjaminibanigwa5361 ปีที่แล้ว +1

    Richi yupo nçhi gani?

  • @user-fz3fu1lc9h
    @user-fz3fu1lc9h 10 หลายเดือนก่อน

    Richi my naomba namba yako my nahitaji kuongea nawewe kuusu ughaibn

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 basi mie ni mzungu mwafrica maana hata mie nataka jua kila kituuuu maana kama mko wawili ni mwili mmoja mnaficha nini , SO WAKAKA ZETU WA KIBONGO WEKENI WAZI TU PESA ZENU

  • @eganngowi727
    @eganngowi727 ปีที่แล้ว +1

    Hi,uko pouwa,nakupenda

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +1

    Happy Birthday advance dear💕

  • @NdayisabaKarim
    @NdayisabaKarim 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi nina Mke

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 ปีที่แล้ว

    🥰🥰

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana hii midahalo maana sio tu kupata mzungu na kuoa au kuolewa baadae kuishi nje na kuanza familia. Maisha na wazungu ni MAPANA KAMA PAZIA LA LEBA😅😅😅 kuna mengi mnooo, tusishangilie serikali inatoa hela ya watoto kila mwezi, wao sio wajinga, siku ya siku UTAJUA HUJUI unaweza jikuta unamuacha mtoto Ulaya we unarudishwa kwenu, utabaki 😳😳😳😳😳

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 11 หลายเดือนก่อน

    Maisha Ya wazungu ni MAPANA KAMA PAZIA LA LEBA😅

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

    Hao wenye wake Ulaya na Afrika karibu na wote unakuta wanakimbia majukumu Ulaya. Wake zao wanawapeleka serikalini na kuwaambia waseme hawana waume. Serikali inawashughulikia na yy anajificha jificha mwisho wa siku anaoa na Afrika. Na wkt mke mmoja alokua nae Ulaya hamuhudumikii hamuezi.

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 11 หลายเดือนก่อน

    Bonge la darasa