LIVE MAJINI YANAVYOTOLEWA NA SHEKHE MTAALAM AMKOSOA DR SULLE KUHUSU ELIMU YA PETE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มิ.ย. 2024
  • Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

ความคิดเห็น • 45

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndo sheikh sasa anowajua majin na kanuni zao Allah akuhifadhi sheikh

  • @Yesslarry
    @Yesslarry หลายเดือนก่อน +2

    Naombeni mnisaidie jaman aiseee shekhee maana nimeangaika sana

  • @aminaaziz7227
    @aminaaziz7227 22 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza, sheik. Naomba namba zake.

  • @KhadijaSultan-xp5ej
    @KhadijaSultan-xp5ej หลายเดือนก่อน +1

    Kweli sheikh mola akuweke

  • @user-ih4kw5eb3d
    @user-ih4kw5eb3d หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ustadhi ako sahihi kabisa nimemsikiza vizuri yupo sawa kabisa na anajua kuitumia quran pongezi sana

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh upo sahihi kabisa jini hutakiwi kumtumia ata kwa wema na jini mwema hawezi kushirikiana na binaadamu wala kupanda kichwani upo sawaaaa wallah kwa ilo tena uko sawa ww sio mshirikina

  • @user-rc2ye4ri6t
    @user-rc2ye4ri6t หลายเดือนก่อน +3

    Hyu shekh yupo sahihi ameongea ukweli

  • @user-xi4le1hp4y
    @user-xi4le1hp4y หลายเดือนก่อน +1

    Kwa ujumla kwa sule alivyo sema kutumia majini, sio sawa.bali ni ushirikina

  • @hamadmussa8402
    @hamadmussa8402 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani naomba kama kuna mtu ana namba zake za simu huyu Shek nipatieni.. Manake Mkewangu anausumbuliwa sana na haya Matatizo kwa muda mrefu sasa na ameshindwa kupowa hadi sasa!! Na watu wengi wametutapeli.

  • @user-lr6jd6zg9l
    @user-lr6jd6zg9l หลายเดือนก่อน

    Umejibu kisomi sana

  • @user-iz1er8vg7u
    @user-iz1er8vg7u หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @user-xi4le1hp4y
    @user-xi4le1hp4y หลายเดือนก่อน +1

    Wala usiogope kusema kuwa sule ufahamu wake sio sahihi kwa mujibu wa uisilamu, na haijuzu kutumia majini katika uisilamu

  • @rashidjuma9774
    @rashidjuma9774 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah haya ndio mafundisho ya dini sahihi

  • @user-fb9tu5vx9l
    @user-fb9tu5vx9l หลายเดือนก่อน

    Yeye ni mkweli.

  • @mwinyihajihassan9299
    @mwinyihajihassan9299 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc หลายเดือนก่อน

      Sasa HAPA tunapata elimu qurani NDIO Tina SIO vinginevyo KWAHIYO marashi ya sihiri tiba ni qurani marashi ya kisayasi NDIO jnaweza kutumia panado nakadhalika sasa watu wanasema tofauti KABISA shukrani shwikh

  • @MdungiKhamis
    @MdungiKhamis หลายเดือนก่อน +1

    Wambie wapemba hao

  • @MohamedNgaga
    @MohamedNgaga หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe yuko sahihi, hao wanaofua maulamaa wanaoruhusu kuamiliana na majini, wameshindwa kuelewa kuwa wao ni watu kama walivyo wao,, tumeambiwa tukitatazika na jambo turejee ktk qur’an na suna, leo mashehe wanaleta ujanja ujanja kutaka maslah ya kidunia, nawausia na kuusia nafsi yangu tumuogope allah, hakuna mwenye kujua ni wapi kapatia au kakakosea.

  • @DakorTrony
    @DakorTrony 8 วันที่ผ่านมา

    Ukweli waislamu hutumia majininkwa uchawi wao. Hakuna jini mzuri hata kamwe. Majini yote nibya waislamu na ni yote mabaya

  • @DakorTrony
    @DakorTrony 8 วันที่ผ่านมา

    Yale majini yanatii quran ni yale yale yamewekwa na muislamu

  • @Yesslarry
    @Yesslarry หลายเดือนก่อน

    Naomba nisaidie na mimi shekhee na majini yani shida huu mwaka wa 10

    • @Laizer3
      @Laizer3 หลายเดือนก่อน

      Kaombewe kanisaniii

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 หลายเดือนก่อน

    Kitendo Cha jini kuleta hela ela yenyewe ni haramu vipi jini huyo atakuwa mzuri.Sheikh yuko sahihi Huyu.Ela Ile ni ya wizi.Allah akulipe kher.

  • @IdrissaMoussa-tx7jy
    @IdrissaMoussa-tx7jy หลายเดือนก่อน +1

    Allah akibaru Allah akibaru laa illaha ILALAAH
    Dr sulle Jo ujifundishe apa mambo ya majini.

  • @abuabdurrahmaan6637
    @abuabdurrahmaan6637 หลายเดือนก่อน

    This guy makes lots of sence Allaahumma baarik. May Allah grant him steadfastness

    • @lifessecret6791
      @lifessecret6791 หลายเดือนก่อน

      Leo hii nimeamini kumbe tunaweza kuwa na viongozi wa Imani wenye nguvu za kuwasaidia watu kweli bila wao kujua nguvu hiyo inawezaje kuwasaidia watu, hiyo ni shida kubwa sana.
      Allah ndiyo Mungu kwa lugha ya kiarabu yeye Mwenyezi Mungu hufanya kazi na viumbe alivyoviumba mwenyew kama njia moja wa kirahisisha msaada kwa waja wake God is a spirit and that is devided into two type that
      1. Holy spirits like Jinn/Djinn, dragon, vampire, Ancestors, Aliens, etc
      2. Evil spirits are like Jinn/Djinn, dragon, vampire, Ancestors etc
      So, don't oppose if don't have full knowledge of Allah/God

    • @lifessecret6791
      @lifessecret6791 หลายเดือนก่อน

      Leo unakataa juu ya viumbe majini wa Mwenyezi Mungu naomba ujibu Mbele ya Umma kinachosababisha uwe na mvuto katika shughuri zako na kwenye ridhiki zako

    • @lifessecret6791
      @lifessecret6791 หลายเดือนก่อน

      Ni nini kilichoko kwenye Pete yako iliyoandaliwa kwa Majina yako, Tarehe yako yakuzaliwa (DOB ) and photo. Hivi kwann viongozi baadhi wa Imani wana vificho ndani ya huduma zao?

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน

    Wote wachaeiiiiiii

  • @user-ig1ds2eq4d
    @user-ig1ds2eq4d หลายเดือนก่อน

    Yana patikana wapi
    Pamoja na namba zake za simu kwa walio mbali

  • @kipchorngwonektiroto457
    @kipchorngwonektiroto457 หลายเดือนก่อน

    ANAYO VYOMBO VYA USHIRIKINA MKONONI!

  • @AzizMansur-uz1yv
    @AzizMansur-uz1yv หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @AzizMansur-uz1yv
    @AzizMansur-uz1yv หลายเดือนก่อน

    Namaba ya sheikh zinapatikana vipi?

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 หลายเดือนก่อน

    Kitendo Cha jini kuleta hela ela yenyewe ni haramu vipi jini huyo atakuwa mzuri.Sheikh yuko sahihi Huyu.Ela Ile ni ya wizi.

  • @khammadjeffa515
    @khammadjeffa515 หลายเดือนก่อน

    Huyu sheikh yuapatikana vipi?. Any contact

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kufanya jini akulinde ni shirki lakini jini waeza mtuma kama kumfanyia mtu dawa na kumtumia jini kukupa pesa hio pia sio kitu kizuri kwa sababu jini waeza mtuma pesa akaenda kuiba ila majini ustadh waeza mtumia kwa njia ya haki

    • @fadhilmandaliabdalla6736
      @fadhilmandaliabdalla6736 หลายเดือนก่อน

      Hakuna hiyo, huwez mtumia jini ktk njia yoyote ile, hakuna Ayah wala Hadith sahihi ya Mtume Muhammad S.A.W, wala yeye Mtume Muhammad S.A.W hajawahi mtumia jini kwa njia yoyote ile. Kwa nn umtume amtibie mtu, unajuaje kama huyo jini mzuri ama mbaya kajigeuza? Jini hafai kutumiwa na mwanadam kwa njia yoyote isipokua ya batili (haram)

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      @@fadhilmandaliabdalla6736 hawakuumbwa majini na binadamu ila kumuabudu Allah wako majini wazuri tena hao majini wazuri ni wale waisilamu na waeza kumtumia jini kwa njia ya sawa utake usitake kama haifai nabii suleiman hangewatuma majini

  • @zitoinze8953
    @zitoinze8953 หลายเดือนก่อน

    Sasaa mbona hautajy jinahilo lá muenhezimungu?

    • @omaar5693
      @omaar5693 หลายเดือนก่อน

      Al_Razzaq

  • @JackM.-mh5cs
    @JackM.-mh5cs หลายเดือนก่อน

    Jini hujamtoa kwa dua !!!

  • @otaibonny8835
    @otaibonny8835 หลายเดือนก่อน

    Hayo majini hurudi.. mwende kanisa Watoe hayo majini milele

    • @alyanibalbila
      @alyanibalbila หลายเดือนก่อน

      Utakufa nacho kiziba cha ukafiri

    • @otaibonny8835
      @otaibonny8835 หลายเดือนก่อน

      @@alyanibalbila sikiza hiii mkafir.. Mimi siamini majin, dini yako Ina tambua ukristo ndani ya Koran, ya kwangu hajui uislam..
      weee kwanza tafakari maneno hayo