Ukisikikilza kwa makini na kufutilia darsa za Sheikh Qassim Mafuta na Sheikh Muhammad Bachu na masheikh wengine kama Dr Islaam unaona kabisa kuna sehemu ndogo sana Wallah wanatofautiana kwanini wasikae kama ndugu wakajadili kwa elimu kisha wamalize tofauti zao washikamne pa1 tufaidike zaidi maana katika hawa watu wa3 nikiambiwa mmojawapo nisimsikilize napata wakati mgumu maana nawapenda kwa ajili ya Allah pia nafaidika sana na darsa zao kama kuna mmojawao ana makosa afanye hakki ya kukubali mambo yaendelee huo muda mnaopigana raddi kuna watu wengi wajingaa wa kupigwa raddi kama wachawi wakina Sule na wengineo.
wallahi Mimi pia naona taabu kwamaana wote Hawa ni watu wa Sunna lakini Hawa kina mafuta mbona walazimisha watu salafi salafi kweni ni chama Fulani.Mimi naona wote ni watu wasunna bas salifi ni jina tu lakini muhimu ni wote wanalingania Sunna na kupambana na shirk na bid a
@@Alrisaalaturrahmahislamiccentehapana sio eti wanalazimisha salfy kama Chama,,,kitu wanachotetea kina sheikh mafuta ni misingi ya usalafy ,,na wanaona kina dr islaam na barahiyani wamekhalifu misingi ya usalafy ,,,na huwezi kuwa salafy na Hali umekhaalifu misingi yake ,,,kwahio kina abul fadhl wanatetea hilo ,,,sasa kuitetea misingi ya usalafy ndio kuunda Chama?
Pole sana akhin kareem ila tujitahidi kukaa chini kusoma ukweli upo wazi usiku wake ni kama mchana lkn huwezi kulitambua hili mpaka uwe ukunje goti usome ujue nn manhaji nn hizbiyya na mtu akifanya nn anatoka kwenye sunnah..... Baaraka llahu fiiyka
Alhamdulillah nimeona tu notification nikasema ngoja niweke GB kabisa kwa tahadhar, Allah Aijalie kher channel yetu hii na za masalafi wote na sheikh wetu Abul Abas Hasan wazir na sote pia ameen
Ilmu uliosema hapa ni kubwa sana wallah, Allah akulipe kheri, lakini naweza kuapa mahizby hawawezi kukuelewa kabisaaa... huo ndio mtihani... jamaa maskini hawana uzoefu wa maneno ya ilmu kama haya... barakallahu fiik akhy.
WAONGOOO😂😂 ETI KASSIM MAFUTA NI MKUBWA, hajibu maneno ya Muhammad BACHU ni uongo kisha ni uongo , tena ni unafiki MKUBWA 😮😮😮😮 Ukweli ni kuwa HAKUNA ja diidah mwenye uwezo wa kumjibu BACHU.
muhamed imam sio mada yetu, na aliingizwa kama mfano wa mtu aliefanya jambo wanazuoni wakakhitilafiana juu yake, baadhi wamemjeruhi na baadhi wamempa udhuru, sasa tumeelimishwa juu ya maana ya kupetuka mipaka katika kumjeruhi. mada hapa ni maswali sita juu ya abuu muawiya, maswali yajibiwe
Maswali yote 6 yamejibiwa kama kweli umesikiliza darsa nzima! Na sio lazima ajibu kwa kusema swali la 1,2,3,4,5 na 6 ila kama umesikiliza darsa nzima utagundua kuwa majibu yote yametolewa majibu! TAFAKARI,ACHA USHABIKI WA KUCOMMENT KABLA YA KUMALZA KUSIKILIZA DARSA!
Hamna kitu Mahizbi,tena wewe ndio unayajua yote nje ndani ni sio wewe ulianzwa kupigwa vita sababu ya Fuyush na leo ume unga safu na walio kupiga vita kina ibn Issa na ibn Amm yake Nurein kama si uhizbia mulio nao tuwaitaje ya Ab Ayman? Mcheni Allah
Shekh Awadh nakupa heshima yako ya shekh, ilanaomba nikuweke sawa yule haitwi Muhammad Bacho na Amekuweka sawa ww kwahilo alisema hivi jinakamili anaitwa Muhammad Nasour Bachu pili shekh sioni kama umejibu suali hata moja yeye ameuliza nilipi kosa la Abuu Muawiyya mpaka ametolewa kwenye usalaf jee amekhalif Quran, sunna au Ijmail ulamaaau , muje mutuambiye musitafte vichaka vyakujificha aje maalim kasim mafuta aje atubainishiye haqi sisi tunatafta haki nikwann asijibu yeye mwenye shekh kasim eti kisa suali alouliza nimtoto ndo ajibiwe na mtoto duh shekh ata fikra hutumii suali aulize mtoto ajibiwe nawatoto jee huyu mtoto atapata elimugani toka kwa mtoto mwenzake watu wanataka aje maalim kasim mafuta yeye nimtu mzima aje kumpatiya elimu mtoto mdogo wallah tunamsubiri ajehapa
Kosa la Abuu Muawiyah ni kumtetea Muhammad Al imaam (mtu wa bida'a) ....kipi hujaelew hapo sasa? Tatizo umesikiliza hyo audio kishabikishabiki na ndo mana huwez ukaelew kamwe labda Allah akuongoze uache ushabiki
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Jee shekh unaweza kuwashaaahid mbele ya Allah siku ya kiu na njaa kudhibitisha madai yako ya kuwa Shekh Abuu muawiya amemteteya mtu wa bidaa nahiyo ndo sababu tosha yakumtowa mtu kwenye sunna ukiachana na Quran hadithi na Ijmaial ulamaaa najee sababu hiyo unayodai ww unatosha kumkufurisha abuu Muawiya ???
@@mfalmenajjash2128 fatilia mising ya dawatusalafiyyah utajua....miongoni mwake ni kutowatetea na kuwahama watu wa bida'a...na ulamaa wamesema mtu akikhalifu hata msingi mmoja anatoka katika usalafy
@@mfalmenajjash2128 fatilia mising ya dawatusalafiyyah utajua....miongoni mwake ni kutowatetea na kuwahama watu wa bida'a...na ulamaa wamesema mtu akikhalifu hata msingi mmoja anatoka katika usalafy
Hii team yako yenyewe haielewani . Manhaj zao tofauti,,,abuu zagar na abuu nuamy hawako pamoja na bachu,,,kina abuu zagar wanaitakidi kina barahiyani na bachu ni mubtadi'u,,,sasa wewe uko upande gani wa kina bachu au kina abuu zagar? Na huwezi kuwa pande zote labda uwe jaahil . Lkn alhamdulillah wa maa shaa Allah, ،,,,majibu ya al akh abul abbas yamenyooka ,na yako wazi sijui huelewi nini .
@@ABUUJAAFAR92abu mu'awiya aliomba abainishiwe kpnd cha uhai wake ili atubie! Shida ilikuwa nini hata msimsaidie mwenzenu majibu ali akiona kosa atubie?
Na mpaka anakufa abuu mua'awiya hakuna sh hata mmoja alie kubali wote walimpuuza maana hapakuwa na nia walitaka azid kupotea kama wanavo dai wallahi yanaumiza ila ipo siku Allah atabainisha wapi wako sahihi kama ni upande wa sh kassim au abuu mua'awiya ipo siku tutaijuwa haki lakin kiukwel watu wanachuki binafsi ndan ya nyoyo zao dhidi ya abuu muaawiya na sikwamba twamtakasa ila alitaka sana suluhu lakin walizikataa ila Allah yupo hai bas itabainika haqi wallahu aghalamu @@hafidhwajina6718
Dini nikazi sana kazi kuwashughlisha watu wasomi wengi wazama hizi wsmezidi kutumia qauli zawana zuoni kuliko kutumia kitabu na sunnat kilasiku mizozo kaeni chini msomeshe mbona mnapenda umaarufu
Hivi sheikh Muhammad imam alitahadharishwa sawa ila jee si kuna wana wa chuoni waliompa udhuru? Sheikh mbona hujataka dondoo za waliompa udhuru muhammad imam? Na ikiwa ivo mbona ao wana wa chuoni waliompa udhuru hamujawapa majina ya watu wa bidaa? Cha msingi ni kuwa mumeshindwa kuwastahamilia ndugu zenu waliochukuwa msimamo mwengine ilikuwa jambo ni jepesi tuu wana wa chuoni wamegawanyika mapande mawili mulikuwa muchukuwe msimamo mmmoja na abuu muawiya kachukuwa msimamo mwengine kesi iishe ila mumeyachukuwa maugomvi ya wana wa chuoni na kuyabeba wanafunxi apo kama hatujapima uzuri ugomvi wa wana wa chuoni ukitokezea tufanye nini tumekwisha. Mwana wa chuoni akipatia ujira mara 2 akikosea ujira mara 1 jee tuna pa kujitetea apo? Allah atuongoze na fitna kwenye dini
Kina sheikh Fawzaan wale ni maimamu wana daraja ya mujtahid wakifutu mas'ala wakipata wanapata ujira mara2 wakikosa wanapata ujira mara1 sasa Abuu muaawiya yeye si imam bali ni sheikh kwetu sisi mimi na wewe ila pia ni mwanafunzi mbele ya maulamaa
@@abuubanyai8344 sawaa sisi wana funzii tuki tofautianaa kuwa elewaa maulamaa mfanoo sisii tuka ona tumfuate fauzanii na wengine wa hijazii na wa Yemen ambaoo wame mpa udhuru muhamad al imam udhuruu tuta kua tume koseaa??
Hapo unamsemea sheikh muhamad et sabab ya nyiny kuwaita majadida et kisa mwafanya rudi kwa muharifa....hapana hapana sheikh muhamad anajua haswa rudi ni lazima kwa muharifa ila nyiny mwafanyaa ghuluu
Wewe umeleta talbis tu huna kitu kipya ulicholeta na huwezi kutetea umeharibu Muhammad bachu haja wakosoa masalafiyun bali amewakosoa nyinyii majadida ndio mukaulizwa maswali 6
Uyo Bachu Amemjeruhi adi shekh Rabee wakat maulamaa wa kisalaf wote wanamzingatia kua ni Imamu yupo njia sahih ya salaf bachu yy anasema ndio muanzilishi wa jadida
Haikataliki kuwa kuwadiiisha watu ilikuwepo Muhammad bchu ansema jambo Hilo ss linafanyika kwa ghuluu hicho ndo kinachokatzwa na wanaofanya hivyo ni watu wanojinasibisha na usalafi si watu wa bidaa Kisha hebu jibu Yale masuali yake sita
Kweli nimeamini hakuna wa kujibu maswali ya ibnu bachu kijana anaelimu kubwa yule huyu anamangamanga kama kuku wa muhanga elimu hamna hapa ametumalizia bando2
Masunni waliokamata dola kwenye nchi za kiaarabu ni wanafik wanaojiunga na mayahudi na manaswara, ndio maana mungu amelipa nguvu jeshi la kishia kwa kuwa haliko pamoja na makafiri, japo mashia hawako kwenye hakki katika salafi, lakini sio wanafik
@@AbulqassimAshirazy-yd7th huo ndio ukweli, masunni saudia ndio wanao wakaribisha mayahudi na manaswara na kuwapa ardhi zao ili waweke kambi za kijeshi na Nia Yao ni kutaka kuivunja Dola ya Iran, unafki.ni.mbaya kuliko.ushia, ushia hawako katika salafi lakini sio wanafik kama wasaudi na WA Yemen wanaojifanya ni masunni, jihad ndio nguzo kubwa katika dini, kaaeni mkikurufishiana bila Hadith Wala ayah, mumejikita na kunukuu maneno ya Wana wachuoni ilhali wanawachuoni wametafautiana, toeni Aya na Hadith ndio muwakufurishe watu
Sheikh mimi nakushauri ungesikiliza kwanza maswali aliouliza mohamed bachu ndio ujibu Hujibu maswali unazungukazungukatu. Sasawewe ukaulize maswala ya dkt islam kwa kasim mafuta?
@@Hamis-ks1sy mbona hata yahya Al hajury kapewa udhuru na baadhi ya ulamaa! Lakin kwann Abuu Muawiyah alikuw akiwaradd mahajaawirah??? Kwo hapo shida sio kuwa Muhammad Al imam kapewa udhuru au la,shida kajeruhiwa kwa misingi gan na kapewa udhuru kwa mising gan
Upeo wako mdogo ila majibu ya huyu sheikh yanawajibu kuanzia muawiya na vifaranga vyake vyote hvyo usikilize kwa kuelewa sio kwa kutaka kukosoa hutaelewa MIMI NI MIONGONI MWA MASALAFI NAMUOMBA ALLAH ANIFISHE HALI YAKUA NI SALAFI
Sheikh muogope ALLAH....kwa7babu sheikh muhamadi bachu hakusema maswali nimagumu wala hakusema hayajibiki ....nyie kazi yenu kuwatoa watu ktk suna haliyakua wanaipambania suna...ebu jibu maswali kama yalivyoulizwa ili tupate elimu zaidi.(mimi nasema sheikh qassimmafuta ni salafi na anaitetea suna ALLAH ampe umr mrefu na wakina sheikh barahiyan dor islam muhamad bach pia nimiongoni wanaopigania suna ALLAH awape muda mrefu na awaongoze)lkn kila mmoja anamapungufu yake kwa7bu mkamilifu ni Allah pekeee
Nyie mnao washabikia hawa wanaojiita masalafi na uhalisia si lolote c chochote katika usalafi, angalieni je hawa watu ni wadilifu ..? Kwanini hawataji hayo maneno ya wanawazuoni wengine katika kumtetea Shekh Muhammadl imaam,
Halfu baadhi yenu walisem hmuwez mjibu shekh Muhammad ety hjielew nbki kucheka tu mm nikiwasikia vile. Hya ngoja nipte faida na mm ila zile nondo sidhni km znjibika kirahis😂😂
Alafu kumbe alie ulizwa ni Abul faadhil na kumbe mwenyewe yupo hai kwann asingejibu alie ulizwa? kuna ulazima gani kujibu ww Abul abbaas huko sio kutaka umaarufu au umetumwa ujibu? ebu tuwacheni ushamba wa elimu tumuogipen Allaah
Haelewek au nyiny ndio mnajifanya hamuelew jibun hoja za muhamad bachu maswal yako pale pale ...ameainisha makosa ya imam suyurtwi katika tafsirul jalalaan ya kiaqida mbna nyny masalaf hamumtoi kweny usalaf je abuu muwaiya kosa lake lipi la kumtoa kwny usalaf
@KhalfanMakota haya majibu ya abbul abbas umeyaskiza vizuri kweli? Si ameeleza hapo kwamba sababu aliamiliana na sheikh muhammad al imaam, ambaye wanawachuoni walimbidiisha baada ya kukhaalifu msingi,na ni kwamba alichukua mkataba na mashia ,,,lkn abuu muaawiya alikuwa akimdafi',,
@@ABUUJAAFAR92 pamesemwa au uo ndio uhalisia maan kama ni uhalisia cdhan kama ibn bachu hayajui haya why anamdifai ......au pana mahala anafaham kuwa ndio chanzo maan hata yeye muhamad bachu nasikia nae c salafi nawe pia kakosa nn...au kosa lake kum zaki mtu ambae umembidiisha kwako abuu jafar
@KhalfanMakota abuu muaawiya na bachu manhaj zao ni tofauti kwanza fahamu,,,bachu team yake ni ya barahiyani answari sunnah ,,na amebidiishwa kwa kuamiliana na barahiyani, mtu anaewatukana maulamaa wa sunnah .
Mlichofanikiwa nyie nikuwazuiya wanafunzi wenu kutowasikiliza kina sheikh bachu Laiti mkiwaacha wawazikilize kina bachu nyie majadida mgekimbiwa na wanafunzi wote
Nafikiri ingekuwa vizuri kama ungeenda na points kuanzia mwanzo mpaka mwisho maana naona kama umebase sana kwa sheikh Mohammed Imam lakimi points za Abu Muawiyah bado hujjajibu points zote
Kwa hiyo mulimuita hizbi kwa hoja ya Muhammad imàm pekee yake au kabla ya hapo alikuwa ameshaitwa? Pili, kama ni hoja hiyo ya Mohamed imàm waliompa udhuru hawakuwa na dalili kama wasio mpa udhuru kama ulivyosema sasa mtamuhukumuje kwa uhizbi na yeye aliwafuata wanazuoni waliompa udhuru Mohamed imàm kwa nini na yeye asipewe udhuru? Tatu mimi sio mfuasi au shabiki wa bachu unapoulizwa swali jibu Wacha kupachika watu majina Nne sijui umetumia kifaa gani kupima uwezo wangu wa akili maan akili ni abstract thing sasa kifaa ulichotumia pia chatakiwa kuwa abstract. Tano, ukiondoa issue ya Mohamed imàm jibu vipi Abu Muawiyah ni hizbi ni hilo tu
Mashia hawako kwenye hakki lakini wamejitolea kupigana na mayahudi.wanao waua wa Palestine, wanajiita masunni saudia ndio wanao wakaribisha mayahudi na wamerekani na kuwapa kambi za kijeshi katika mijii Yao, wacheni upumbavu
Hmtamuelewa yeye anatetea hakki shekh muhhammadi Lilo baya ndo ankemea na zuri ndo analispot haijalish lipo kwenu au kw upande Gani. Sasa tatizo ni lenu nyie mjiangalie
Shekh Samahan Ila nikosa Hilo unalosema Kama sisi tuko na maulamaa wakubwa manhaj haiangalii maulamaa wakubwa au wadogo yoyote atakae sibu hakk kwake itafatwa hakuangaliw ukubwa Wala udogo kaaida mbovu unatumia hiyo
huu upuuz sjui mtaacha lini??! zaman tulizowea kuwapiga radi masufi na watu wa bidaa ila xv mnalana nyie kwa nyie ..! kibaya zaid mtu mpak kashakufa ila bado mnae tu mnamuandama ..! nasema tena acheni upuuzi
majibu ya maswali 6 yako wapi????? Bachu aliuliza Watu wa Maulidi maswali 9 + hakukuwa na majibu Leo kauliza majadiida maswali 6. Kimyaaaaaa 😅😅 Bachu kipaji cha elimu ukimsikliza tu utaona huyu kijana ameeneemeshwa ktk elim ya dini ! Allah amuhifadh na cc sote! Pitaa mule mule alipopita İbnu BACHU NUKTA KWA NUKTA , tujue kweli elimu ipoo na sio chuki na kukaririshwa tu!
Kwa mantiki hii basi yeye kapewa moja tu na makhurafi wa mambrui akajikojolea na hakuweza kujibu.. Akaandika swaduku humo daftarini... swaduku... 😂😂😂😂😂
kwa hali hii, waislam yule dogo Tanzania tumepewa tumuombee dua kila anachofanya iwe kwa ikhrasi ili iwe sababu ya kuingia peponi, dogo elimu yake nzuri na imenyooka na tunafaida hawa mashekhe wengine sijui wametoka wapi.
@@abdurashidinasorodini mbona mnapenda sana kuwachokonoa wanazuoni? Kuna haja gani ya kumtaja Suyuutw sasa! Kwan lazima atajwe? Asipotajwa hamridhiki??? Hata kama sio ulamaa wa kisalafy ila kuexpose makosa yake bila sabab za msingi sio katika Twariqa nzuri....ikihitajika kuyataja yatatajwa ila so LAZIMA KAMA NYIE MNAVYOTAKA
Yani hawa watu hawa😂😂😂wanachekesha sana wallah yule kijana hamumuwezi, maswali yamewashinda yale na atakae subutu kujibu achomoki kwenye ule mtego atanaswa tuuh vungeni tu hoja hamna kabisa.
weye ND mshabiki maana sheikh wako azunguka ilikua anatakiwa some swali moja moja anasoma Kisha anajibu sasa aeeeeenda mbaliiiii asome swali ajibu swali ebu acheni ujanja ujanja enyi majadida
@@abdurashidinasorodini hilo neno JADIDA aliulizwa bachu nani kaanzisha UJADIDA kashindwa kujibu Kwa ihsani yako naomba jibu kutoka kwako Nani kaanzisha UJADIDA jibu kwa elimu lakini na muogope Allah
Yaaaan kiukweli nmecheka huyu jamaa kazungumz jambo la kunichwkesha eti yale maneno hayawahusu wao ya imam lbarjas ;yanawahusu nyiny kina wazir kabisa mnafanya ghulughuu
Kwakwel Alhamdulillah. Nashkuru sana kuifaham hii Dawa ya haki.
Allah awalipe khery Masheik zetu
Amin, baarak Allah fiyk!
Wallah elimu jambo zuri sana,pia tujiepushe kutoa watu kwenye dini tumche Allah
بارك الله فيك يا أخانا
زادك الله علما لما ينفعك
BarakAllah fiyk sheikh allah awaifdhi Allahuma AMIYN
Amin! Baarak Allah fiyk!
Ukisikikilza kwa makini na kufutilia darsa za Sheikh Qassim Mafuta na Sheikh Muhammad Bachu na masheikh wengine kama Dr Islaam unaona kabisa kuna sehemu ndogo sana Wallah wanatofautiana kwanini wasikae kama ndugu wakajadili kwa elimu kisha wamalize tofauti zao washikamne pa1 tufaidike zaidi maana katika hawa watu wa3 nikiambiwa mmojawapo nisimsikilize napata wakati mgumu maana nawapenda kwa ajili ya Allah pia nafaidika sana na darsa zao kama kuna mmojawao ana makosa afanye hakki ya kukubali mambo yaendelee huo muda mnaopigana raddi kuna watu wengi wajingaa wa kupigwa raddi kama wachawi wakina Sule na wengineo.
wallahi Mimi pia naona taabu kwamaana wote Hawa ni watu wa Sunna lakini Hawa kina mafuta mbona walazimisha watu salafi salafi kweni ni chama Fulani.Mimi naona wote ni watu wasunna bas salifi ni jina tu lakini muhimu ni wote wanalingania Sunna na kupambana na shirk na bid a
@@Alrisaalaturrahmahislamiccentehapana sio eti wanalazimisha salfy kama Chama,,,kitu wanachotetea kina sheikh mafuta ni misingi ya usalafy ,,na wanaona kina dr islaam na barahiyani wamekhalifu misingi ya usalafy ,,,na huwezi kuwa salafy na Hali umekhaalifu misingi yake ,,,kwahio kina abul fadhl wanatetea hilo ,,,sasa kuitetea misingi ya usalafy ndio kuunda Chama?
Wallah natamani itokee hivyo naumizwa na hili linanikereketa pia wote ni vipenzi vyangu kwasababu Wana mchango mkubwa wa kuwaamsha watu
Pole sana akhin kareem ila tujitahidi kukaa chini kusoma ukweli upo wazi usiku wake ni kama mchana lkn huwezi kulitambua hili mpaka uwe ukunje goti usome ujue nn manhaji nn hizbiyya na mtu akifanya nn anatoka kwenye sunnah..... Baaraka llahu fiiyka
@@abuubanyai8344 Ameen barakallahufik kadhalik
Alhamdulillah nimeona tu notification nikasema ngoja niweke GB kabisa kwa tahadhar, Allah Aijalie kher channel yetu hii na za masalafi wote na sheikh wetu Abul Abas Hasan wazir na sote pia ameen
Amin! Baarak Allah fiyk akhiy!
Tumekuelewa vizuri sana Al akhy Allah akulipe khery
Baarak Allah fiyk!
Baraka Allahu Fiikum👍🏿
wafiyk baarak Allah
Ilmu uliosema hapa ni kubwa sana wallah, Allah akulipe kheri, lakini naweza kuapa mahizby hawawezi kukuelewa kabisaaa... huo ndio mtihani... jamaa maskini hawana uzoefu wa maneno ya ilmu kama haya... barakallahu fiik akhy.
Ilmu kubwa sawa lkn inakuwa hain maan km maswali hayajajibiwa bd angejarb kuzngmz kwa nukt zile za yale maswali
Allaah akulipe sheikh umebainisha na umesafisha mazingira
Amin! Baarak Allah fiyk!
Allah akulipe kher shekh tumekuerewa vizur Sana,,,,
❤❤
We na nani
@@pavillioncry5241na mimi .na kila maenye kujiepusha na tazsubik Amma.
Baarak Allah fiyk!
@@pavillioncry5241 hahahahaha
جزاك الله خيرا
آمين بارك الله فيك
Maanshallah Allah akubaariki shekh wetu Kwa ufafanuzi huu hakika tumeelewa kadhia hii
Ami! Baarak Allah
WAONGOOO😂😂 ETI KASSIM MAFUTA NI MKUBWA, hajibu maneno ya Muhammad BACHU ni uongo kisha ni uongo , tena ni unafiki MKUBWA 😮😮😮😮 Ukweli ni kuwa HAKUNA ja diidah mwenye uwezo wa kumjibu BACHU.
Masala7i wako Makini sana
Baarak Allah fiyk!
Mashaallah nimeelewa sana Allah akubarik ndugu ndan ya hii clip kuna faida kwa mwenye kusikiliza bila ushabiki
Amin! Wafiyk baarak Allah akhiy!
Shukran baraka allahu fiikum.
Amin! Wafiyk baarak Allah!
KAKA TUNATAKA DALILI /NUKUU kama alivyo tuzoesha shekh wetu BACHU, Naona unaongea maneno yako tu meengi.
muhamed imam sio mada yetu, na aliingizwa kama mfano wa mtu aliefanya jambo wanazuoni wakakhitilafiana juu yake, baadhi wamemjeruhi na baadhi wamempa udhuru, sasa tumeelimishwa juu ya maana ya kupetuka mipaka katika kumjeruhi.
mada hapa ni maswali sita juu ya abuu muawiya, maswali yajibiwe
Wanatafuta njia ya kutoka kwa njia
Maswali yote 6 yamejibiwa kama kweli umesikiliza darsa nzima! Na sio lazima ajibu kwa kusema swali la 1,2,3,4,5 na 6 ila kama umesikiliza darsa nzima utagundua kuwa majibu yote yametolewa majibu! TAFAKARI,ACHA USHABIKI WA KUCOMMENT KABLA YA KUMALZA KUSIKILIZA DARSA!
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xbaarak Allah fiyk!
Maashallah majibu haya ni mujarrabu yamenyooka kama rula mbaka muhammad bichwa mtaka sifa kanyamaza kimya
hakuna haja ya kutumia majina mabaya kwani ALLAH KAKATAZA
@@RashidAbdallah-f8l,,ama kweli wewe ni salafy wa ukweli na umepata miongoni mwa unwaan za saada ,,Allah akuhifadhi al akh
Acha unafki sheikh mbn hujafuta hayo matusi yako ikiwa ww kweli ni mwenye kutubia!
Ndugu yangu tuelekezane nasio kutumbukizana kwenye unafiki wengine hatujui alafu nikuusie amiliana na dini nasio ushabiki
Ukisoma dini ukapata ilmu basi ushabiki utakukaa pembeni lakini ukakosa kusoma ukawa mjinga basi utakua mshabiki mbk unaingia kaburini
umeingia kwenye kimbunga cha maswali na hujajibu ..subiri kidogo tu ..
Hamna kitu Mahizbi,tena wewe ndio unayajua yote nje ndani ni sio wewe ulianzwa kupigwa vita sababu ya Fuyush na leo ume unga safu na walio kupiga vita kina ibn Issa na ibn Amm yake Nurein kama si uhizbia mulio nao tuwaitaje ya Ab Ayman? Mcheni Allah
Alhamdulilah twamshukuru allah
Kwa kuwafarakanisha hawa majadida
Ambao msingi wao mkubwa kuwakufurisha waislamu na kuwatoa katika sunna
Nani kaanzisha huo UJADIDA?
allah akubariki kwa ufafanuzi mzuri
Amin! Wafiyk baarak Allah!
Majibu m3ma bila majikwezo wa kujiona ilimu ime7ulia haqi ni nzu sana
Shekh uko makini sana na umepa7ia sana
Baarak Allah fiyk!
Sheikh unazidi kujitia kitanzi
Mpaka sasa hujajibu swali hata 1
Hukuelewa maswali?
Shekh Awadh nakupa heshima yako ya shekh, ilanaomba nikuweke sawa yule haitwi Muhammad Bacho na Amekuweka sawa ww kwahilo alisema hivi jinakamili anaitwa Muhammad Nasour Bachu pili shekh sioni kama umejibu suali hata moja yeye ameuliza nilipi kosa la Abuu Muawiyya mpaka ametolewa kwenye usalaf jee amekhalif Quran, sunna au Ijmail ulamaaau , muje mutuambiye musitafte vichaka vyakujificha aje maalim kasim mafuta aje atubainishiye haqi sisi tunatafta haki nikwann asijibu yeye mwenye shekh kasim eti kisa suali alouliza nimtoto ndo ajibiwe na mtoto duh shekh ata fikra hutumii suali aulize mtoto ajibiwe nawatoto jee huyu mtoto atapata elimugani toka kwa mtoto mwenzake watu wanataka aje maalim kasim mafuta yeye nimtu mzima aje kumpatiya elimu mtoto mdogo wallah tunamsubiri ajehapa
Kosa la Abuu Muawiyah ni kumtetea Muhammad Al imaam (mtu wa bida'a) ....kipi hujaelew hapo sasa? Tatizo umesikiliza hyo audio kishabikishabiki na ndo mana huwez ukaelew kamwe labda Allah akuongoze uache ushabiki
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Jee shekh unaweza kuwashaaahid mbele ya Allah siku ya kiu na njaa kudhibitisha madai yako ya kuwa Shekh Abuu muawiya amemteteya mtu wa bidaa nahiyo ndo sababu tosha yakumtowa mtu kwenye sunna ukiachana na Quran hadithi na Ijmaial ulamaaa najee sababu hiyo unayodai ww unatosha kumkufurisha abuu Muawiya ???
@@mfalmenajjash2128 kabis shekhe wangu hichi ndio tunachokisubir toka kwao nikipi kilimtoa kwenye manihaj
@@mfalmenajjash2128 fatilia mising ya dawatusalafiyyah utajua....miongoni mwake ni kutowatetea na kuwahama watu wa bida'a...na ulamaa wamesema mtu akikhalifu hata msingi mmoja anatoka katika usalafy
@@mfalmenajjash2128 fatilia mising ya dawatusalafiyyah utajua....miongoni mwake ni kutowatetea na kuwahama watu wa bida'a...na ulamaa wamesema mtu akikhalifu hata msingi mmoja anatoka katika usalafy
Tunashkuru tumepata ubao wa kusomea ..utafanywa ubao ..kuna Abuu Zagar ..Abuu Nuaimy.na Muhammad bachu washapata ubao wakutusomeshea
Hii team yako yenyewe haielewani .
Manhaj zao tofauti,,,abuu zagar na abuu nuamy hawako pamoja na bachu,,,kina abuu zagar wanaitakidi kina barahiyani na bachu ni mubtadi'u,,,sasa wewe uko upande gani wa kina bachu au kina abuu zagar?
Na huwezi kuwa pande zote labda uwe jaahil .
Lkn alhamdulillah wa maa shaa Allah, ،,,,majibu ya al akh abul abbas yamenyooka ,na yako wazi sijui huelewi nini .
@@ABUUJAAFAR92abu mu'awiya aliomba abainishiwe kpnd cha uhai wake ili atubie! Shida ilikuwa nini hata msimsaidie mwenzenu majibu ali akiona kosa atubie?
Kabisaa tushapata UBAO WA kujifunza na kusoma.
@@hafidhwajina6718 ni dhahiri kwamba walimdhulumu ndugu yao katika dini
Na mpaka anakufa abuu mua'awiya hakuna sh hata mmoja alie kubali wote walimpuuza maana hapakuwa na nia walitaka azid kupotea kama wanavo dai wallahi yanaumiza ila ipo siku Allah atabainisha wapi wako sahihi kama ni upande wa sh kassim au abuu mua'awiya ipo siku tutaijuwa haki lakin kiukwel watu wanachuki binafsi ndan ya nyoyo zao dhidi ya abuu muaawiya na sikwamba twamtakasa ila alitaka sana suluhu lakin walizikataa ila Allah yupo hai bas itabainika haqi wallahu aghalamu @@hafidhwajina6718
Nimesikia ilipofika saa1:10
Umeongea vitu vya maana sana.
mbona somalia hamyaoni hayo?
Majibu ya kielimu sana .
baarak Allah fiyk!
Ulitakiwa ujibu maswali kaka
Dini nikazi sana
kazi kuwashughlisha watu
wasomi wengi wazama hizi
wsmezidi kutumia qauli zawana zuoni kuliko kutumia
kitabu na sunnat
kilasiku mizozo
kaeni chini msomeshe
mbona mnapenda umaarufu
Maneno yako ni ishara kwamba bado hujajua maana ya kufuata kitabu na sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia. Allah atufahamishe wote.
Jibu maswali sheikh
Tumekuelewa sheikh wetu hujajibu swali hatamoja zidi yakututia aibu
Ssa sheikh fawazan aliyemsifia shee muhamad imam mbona usimseme?yaani masalafy ni uchwara
Sheikh naomba tofauti ya Salfi na Ahalsunnah wa jamaa
Hivi sheikh Muhammad imam alitahadharishwa sawa ila jee si kuna wana wa chuoni waliompa udhuru? Sheikh mbona hujataka dondoo za waliompa udhuru muhammad imam? Na ikiwa ivo mbona ao wana wa chuoni waliompa udhuru hamujawapa majina ya watu wa bidaa?
Cha msingi ni kuwa mumeshindwa kuwastahamilia ndugu zenu waliochukuwa msimamo mwengine ilikuwa jambo ni jepesi tuu wana wa chuoni wamegawanyika mapande mawili mulikuwa muchukuwe msimamo mmmoja na abuu muawiya kachukuwa msimamo mwengine kesi iishe ila mumeyachukuwa maugomvi ya wana wa chuoni na kuyabeba wanafunxi apo kama hatujapima uzuri ugomvi wa wana wa chuoni ukitokezea tufanye nini tumekwisha. Mwana wa chuoni akipatia ujira mara 2 akikosea ujira mara 1 jee tuna pa kujitetea apo? Allah atuongoze na fitna kwenye dini
Sikiliza darsa zima utapata majibu ya maswali yako
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xBaarak Allah fiyk!
Kama yamejibiwa nikuulixe hapa kwenye comments nijibu unaweza? Apo hakuna insafu ndo maana Pana tatiza
@@MALELEMBARIMOuliza tu usiogope
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x . Nini tumefahamishwa sie kwenye uisalmu yakitokezea maugomvi ya wana wa chuoni wa zama moja( Akranu)?
Mashekhe tunaomba elimu ya maswali yalio ulizwa,ili tuepuke kuchukiana
Huja tembelea point za Abuu zaghar kwamba waitenii mahizb na ma ulamaa walio mpa udhuru shekh mohamed imam
Wewe ni hewa
@@shabanrashid6009 sio hewaa msi chaguee waitenii kina fauzan mahizb Abuu muawiya kawa nukuu kina fauzanii.
@@NaduuAbdilah-uj5vjndugu yangu audio umeskiliza? Maana majibu ya swali lako yako hapo kwanini akina sheikh fauzan hawajaitwa mahizby! Wacha ushabiki
Kina sheikh Fawzaan wale ni maimamu wana daraja ya mujtahid wakifutu mas'ala wakipata wanapata ujira mara2 wakikosa wanapata ujira mara1 sasa Abuu muaawiya yeye si imam bali ni sheikh kwetu sisi mimi na wewe ila pia ni mwanafunzi mbele ya maulamaa
@@abuubanyai8344 sawaa sisi wana funzii tuki tofautianaa kuwa elewaa maulamaa mfanoo sisii tuka ona tumfuate fauzanii na wengine wa hijazii na wa Yemen ambaoo wame mpa udhuru muhamad al imam udhuruu tuta kua tume koseaa??
Hamna jipya hapo Hassan wazir unaleta mipasho na porojo tuuuu taasub zinawasumbuwa tuuuu mahadadiya
Hapo unamsemea sheikh muhamad et sabab ya nyiny kuwaita majadida et kisa mwafanya rudi kwa muharifa....hapana hapana sheikh muhamad anajua haswa rudi ni lazima kwa muharifa ila nyiny mwafanyaa ghuluu
Allah atongoze sote
Azungukaaa tuuu
Jibu maswali acha kukariri
Swali gani waona halijajibiwa hapo ?
Mana mm naona maswali yote yamejibiwa na majibu yameniridhisha ,,,
Nyie watu mnao mtukana huyu sheikh mna akili kwel za ufaham wa mambo hamupimi hata hizi hoja basi anazozitoa mnatakata amjibu vp Allah awaongeze
Wakitukanwa wengine useme pia
Wewe umeleta talbis tu huna kitu kipya ulicholeta na huwezi kutetea umeharibu
Muhammad bachu haja wakosoa masalafiyun bali amewakosoa nyinyii majadida ndio mukaulizwa maswali 6
Uyo Bachu Amemjeruhi adi shekh Rabee wakat maulamaa wa kisalaf wote wanamzingatia kua ni Imamu yupo njia sahih ya salaf bachu yy anasema ndio muanzilishi wa jadida
Hii dini umekuwa ya kiushabiki hamlinganii kwajili ya Allah Bali. Mwataka sifa
Haikataliki kuwa kuwadiiisha watu ilikuwepo Muhammad bchu ansema jambo Hilo ss linafanyika kwa ghuluu hicho ndo kinachokatzwa na wanaofanya hivyo ni watu wanojinasibisha na usalafi si watu wa bidaa Kisha hebu jibu Yale masuali yake sita
@@hajikanu ghuluu ipi ebu bainisha, hakuna isipokua kila anaebidiishwaa amekhalifu
@@hafidhsalum-jp2mwwapi bachuu kamjeruh Shekh Rabee kinyume cha kutanguliza Maullamaa.?
Mawahab kaz munayoo
Allah amsamehe madhambi yake na ampe qauli thabit
Amin! Baarak Allah fiyk!
@@sabrizamilalmendhryalitaka kutubia akiwa hai,alitaka mumbainishie uhzb wake sasa ashakufa,muhimu kuombea dua au ilikuwa abainishiwe atubie
Kweli nimeamini hakuna wa kujibu maswali ya ibnu bachu kijana anaelimu kubwa yule huyu anamangamanga kama kuku wa muhanga elimu hamna hapa ametumalizia bando2
Ulikua unajiskia kutapika.ilimradi useme tu. Fuata dalili
@@AbulqassimAshirazy-yd7thBaarak Allah fiyk!
Kwani wataka yajibiwe vipi?
Ama nipe pahali ambapo hapajibiwa ,,ikiwa umkweli na wewe si shabiki
Masunni waliokamata dola kwenye nchi za kiaarabu ni wanafik wanaojiunga na mayahudi na manaswara, ndio maana mungu amelipa nguvu jeshi la kishia kwa kuwa haliko pamoja na makafiri, japo mashia hawako kwenye hakki katika salafi, lakini sio wanafik
Jiangalie sana ewe kijana maneno yako ni ya hatar. Yaani unafadhilisha masuni kuliko mashia.! Hayya io Ndio hatar ya wathiqa wa muhammmad imam.
Jiangalie sana ewe kijana maneno. Maneno yako ni ya hatar. Yaani unafadhilisha mashia kuliko masuni. Hayya io Ndio hatar ya wathiqa wa muhammmad imam.
@@AbulqassimAshirazy-yd7th huo ndio ukweli, masunni saudia ndio wanao wakaribisha mayahudi na manaswara na kuwapa ardhi zao ili waweke kambi za kijeshi na Nia Yao ni kutaka kuivunja Dola ya Iran, unafki.ni.mbaya kuliko.ushia, ushia hawako katika salafi lakini sio wanafik kama wasaudi na WA Yemen wanaojifanya ni masunni, jihad ndio nguzo kubwa katika dini, kaaeni mkikurufishiana bila Hadith Wala ayah, mumejikita na kunukuu maneno ya Wana wachuoni ilhali wanawachuoni wametafautiana, toeni Aya na Hadith ndio muwakufurishe watu
Jadda na jadida tofauti ni ninn?
Sheikh mimi nakushauri ungesikiliza kwanza maswali aliouliza mohamed bachu ndio ujibu
Hujibu maswali unazungukazungukatu.
Sasawewe ukaulize maswala ya dkt islam kwa kasim mafuta?
Majibu ya Zuyutwi mbona hatuyasikii au hujaelewa swali?
Sheikh unazunguka tu huja jibu maswali yule tayari Ahllwa ameshampa elimu kubwa mujibu tu maswali msizunguke!
Nenda kapime akili yako kama iko sawa au haiko sawa
Kwani anasema si majibu ya kilichosemwa? Au wewe unisikia mawe tu yanaporimoka?
@@AbuuBakar1kama majibu unayajua c umjibu nduguyo
Hivi kama nakumbuka kuna sehemu Bachu aliuliza kukhalifu ijmaa ya wanazuoni wapi kahalifu Abuu Muawiya?
@@Hamis-ks1sy mbona hata yahya Al hajury kapewa udhuru na baadhi ya ulamaa! Lakin kwann Abuu Muawiyah alikuw akiwaradd mahajaawirah??? Kwo hapo shida sio kuwa Muhammad Al imam kapewa udhuru au la,shida kajeruhiwa kwa misingi gan na kapewa udhuru kwa mising gan
Upeo wako mdogo ila majibu ya huyu sheikh yanawajibu kuanzia muawiya na vifaranga vyake vyote hvyo usikilize kwa kuelewa sio kwa kutaka kukosoa hutaelewa MIMI NI MIONGONI MWA MASALAFI NAMUOMBA ALLAH ANIFISHE HALI YAKUA NI SALAFI
@@AbuJuhaifah-c8j waweza ukawa wasema waomba ufe ukiwa Salaf kumbe hata usalaf wenyewe huuelewi hebu anza kwanza kuomba ufe ukiwa muislamu kamili.
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ok,Allah amsamehe na amrehemu Abuu Muawiyah
@@AbuJuhaifah-c8jaamiiyn
Sheikh muogope ALLAH....kwa7babu sheikh muhamadi bachu hakusema maswali nimagumu wala hakusema hayajibiki ....nyie kazi yenu kuwatoa watu ktk suna haliyakua wanaipambania suna...ebu jibu maswali kama yalivyoulizwa ili tupate elimu zaidi.(mimi nasema sheikh qassimmafuta ni salafi na anaitetea suna ALLAH ampe umr mrefu na wakina sheikh barahiyan dor islam muhamad bach pia nimiongoni wanaopigania suna ALLAH awape muda mrefu na awaongoze)lkn kila mmoja anamapungufu yake kwa7bu mkamilifu ni Allah pekeee
Nyie mnao washabikia hawa wanaojiita masalafi na uhalisia si lolote c chochote katika usalafi, angalieni je hawa watu ni wadilifu ..? Kwanini hawataji hayo maneno ya wanawazuoni wengine katika kumtetea Shekh Muhammadl imaam,
majadida bwana mapimbi kweli yan
Nani kaanzisha huo UJADIDA?
@@AbuuBakar1uhzb kaanzisha nani?
Halfu baadhi yenu walisem hmuwez mjibu shekh Muhammad ety hjielew nbki kucheka tu mm nikiwasikia vile. Hya ngoja nipte faida na mm ila zile nondo sidhni km znjibika kirahis😂😂
salumu matako
Wacha kubabaika jibu maswali
Kama hujaona majibu basi nenda kapimwe akili
@@AbuuBakar1 majibu ya maswali yameulizwa mengine yuwajibu mengine km kwley ujadida ni ugonjwa
Alafu kumbe alie ulizwa ni Abul faadhil na kumbe mwenyewe yupo hai kwann asingejibu alie ulizwa?
kuna ulazima gani kujibu ww Abul abbaas huko sio kutaka umaarufu
au umetumwa ujibu?
ebu tuwacheni ushamba
wa elimu tumuogipen Allaah
Mm naona anakariri
kabisaaaaaa
Haelewek au nyiny ndio mnajifanya hamuelew jibun hoja za muhamad bachu maswal yako pale pale ...ameainisha makosa ya imam suyurtwi katika tafsirul jalalaan ya kiaqida mbna nyny masalaf hamumtoi kweny usalaf je abuu muwaiya kosa lake lipi la kumtoa kwny usalaf
Sijui uelezwe vipi hadi uelewe ,mbona majibu yametolewa kiilmu na yameeleweka
@@ABUUJAAFAR92 hapana abuu jaffar kuna mambo sheikh muhamad ameongezewa ....lkn pia tunataka jibu kwann abuu muawiya mnaotoa kwny usalaf amekhalif nn.....uyo muhamad bachu mwenyew mwasema c salaf amekhalif nn ktk manhaj salafiya
@KhalfanMakota haya majibu ya abbul abbas umeyaskiza vizuri kweli?
Si ameeleza hapo kwamba sababu aliamiliana na sheikh muhammad al imaam, ambaye wanawachuoni walimbidiisha baada ya kukhaalifu msingi,na ni kwamba alichukua mkataba na mashia ,,,lkn abuu muaawiya alikuwa akimdafi',,
@@ABUUJAAFAR92 pamesemwa au uo ndio uhalisia maan kama ni uhalisia cdhan kama ibn bachu hayajui haya why anamdifai ......au pana mahala anafaham kuwa ndio chanzo maan hata yeye muhamad bachu nasikia nae c salafi nawe pia kakosa nn...au kosa lake kum zaki mtu ambae umembidiisha kwako abuu jafar
@KhalfanMakota abuu muaawiya na bachu manhaj zao ni tofauti kwanza fahamu,,,bachu team yake ni ya barahiyani answari sunnah ,,na amebidiishwa kwa kuamiliana na barahiyani, mtu anaewatukana maulamaa wa sunnah .
Mlichofanikiwa nyie nikuwazuiya wanafunzi wenu kutowasikiliza kina sheikh bachu
Laiti mkiwaacha wawazikilize kina bachu nyie majadida mgekimbiwa na wanafunzi wote
Pumba tupu wallahi kibri tu ndo kinawasumbuwa majadidah
tajaaaaaaaaaaaaaaaa huo msingi aliokhalifuuuuuuuuu tunausubiriiiiiii mbona mnazungukaaaa bila majibuuuuu
Kaka skiliza makini utapata jawabu.
sasa labda utusaidie wewe kutuambia tu kwa ufupi msingi upi alioukhalifu... maana hata mm sijausikia ukitajwa humu@@مبغضالبدع-ع9ص
@@مبغضالبدع-ع9ص hakuna jawabu apo shekhe
@@مبغضالبدع-ع9ص nimesikiza kwa makini sijapata jibu, yeye ametunga maswali yake na akayajibu yaliyoulizwa hajajibu hata moja
@@مبغضالبدع-ع9صBaarak Allah fiyk!
Nafikiri ingekuwa vizuri kama ungeenda na points kuanzia mwanzo mpaka mwisho maana naona kama umebase sana kwa sheikh Mohammed Imam lakimi points za Abu Muawiyah bado hujjajibu points zote
Lazima abase kwa Muhammad Al imaam kwa sabab ndo kutetewa kwake kunamtoa Abuu Muawiyah kwenye usalafy
Tatizo lako ufahamu mdogo! Abuu Muawiyah kaitwa hizby na sababu ya kuitwa hizby ni hiyo kadhia ya Muhammad imam sawa ewe shabiki wa bachu?
Kwa hiyo mulimuita hizbi kwa hoja ya Muhammad imàm pekee yake au kabla ya hapo alikuwa ameshaitwa?
Pili, kama ni hoja hiyo ya Mohamed imàm waliompa udhuru hawakuwa na dalili kama wasio mpa udhuru kama ulivyosema sasa mtamuhukumuje kwa uhizbi na yeye aliwafuata wanazuoni waliompa udhuru Mohamed imàm kwa nini na yeye asipewe udhuru?
Tatu mimi sio mfuasi au shabiki wa bachu unapoulizwa swali jibu Wacha kupachika watu majina
Nne sijui umetumia kifaa gani kupima uwezo wangu wa akili maan akili ni abstract thing sasa kifaa ulichotumia pia chatakiwa kuwa abstract.
Tano, ukiondoa issue ya Mohamed imàm jibu vipi Abu Muawiyah ni hizbi ni hilo tu
sawa shabiki wa mafuta
Sina ushabiki wa yeyote yule hata huyo Qasim akiwa sawa nachukua na nasoro akiwa sawa nachukua pia hata wewe ukiwa sawa nachukua pia
Mashia hawako kwenye hakki lakini wamejitolea kupigana na mayahudi.wanao waua wa Palestine, wanajiita masunni saudia ndio wanao wakaribisha mayahudi na wamerekani na kuwapa kambi za kijeshi katika mijii Yao, wacheni upumbavu
KHAARIJIYYUN..... KILAABUNNAAR
Hmtamuelewa yeye anatetea hakki shekh muhhammadi Lilo baya ndo ankemea na zuri ndo analispot haijalish lipo kwenu au kw upande Gani. Sasa tatizo ni lenu nyie mjiangalie
Nauliza niko dakika 28 naaudio ina saa na nusu ameeleza amekhalifu wap Abuu muawiya
Unaharbu bado baba pita kweny zile nukta na ujibu yale maswali.. Sisi hatutaki story ya muhammad bachu
Kwani uyo Muhammad bachu Sio mwezenu
Tunataka imamu suyutwi rahimahullah vp nayeye anakuaje@@AbulqassimAshirazy-yd7th
Atanyooshw mpk ajute
Ushabikitu hamnalolote
Kabla anyooshwe ,,kwani wewe waona wapi hajajibu kiilmu ?
@@ABUUJAAFAR92ili ikusaidie nini
@@ABUUJAAFAR92kwa nini hakubaishiwa uhzbi wake akiwa hai na aliliomba hilo? Mulikuwa hamtaki atoke kwenye uhzb wake?
@@ABUUJAAFAR92dr islamu ni hizb,vipi munataka akaechini asomeshe, asomeshe nini?
Ni kweli ni washenzi wa kuwahukumu watu ndio kazi yenu
Shekh Samahan Ila nikosa Hilo unalosema Kama sisi tuko na maulamaa wakubwa manhaj haiangalii maulamaa wakubwa au wadogo yoyote atakae sibu hakk kwake itafatwa hakuangaliw ukubwa Wala udogo kaaida mbovu unatumia hiyo
Wapi kasim mafuta mbona anawatuma hawa wasiojua kitu maneno mengi?kama alienda kinyume na nyinyi ndo msimzike?salafi ni ugonjwa
Walio ulizwa ni masalafy au Qasim mafuta?
huu upuuz sjui mtaacha lini??! zaman tulizowea kuwapiga radi masufi na watu wa bidaa ila xv mnalana nyie kwa nyie ..! kibaya zaid mtu mpak kashakufa ila bado mnae tu mnamuandama ..! nasema tena acheni upuuzi
Maneno mengi na majibu hakuna yaani masalafy ni maneno tu mengi
Kapimwe akili yako hospital kama hujaona majibu
Hakunashaka yeyote nyinyi ni maswaafika hamko kabisa katika jaadda mliokuwanao ni uhzibi allah awaongoze mrudi katika usawa 😅
Bainisha kwa dalil uhizbi wetu ni upi. Wacha kujihurumia
@@AbulqassimAshirazy-yd7thBaarak Allah fiyk!
Utakatwa maana masharifu wa pongwe hawajakupa tazkiyya unazungumza wewe
Sio kwamba nimekubali ulichosema ila nimefurahi tu hahaha ywzkna😊
@@HajiHaji-r6n khatirr allah atustir
Istihzai kwa masheikh walio kuzidi elimu maarifa na umri ni sawa na kufanya istihzai kwa babako
muhammad bachu hamtetei mtu anatetea hakki
majibu ya maswali 6 yako wapi?????
Bachu aliuliza Watu wa Maulidi maswali 9 + hakukuwa na majibu
Leo kauliza majadiida maswali 6. Kimyaaaaaa
😅😅
Bachu kipaji cha elimu ukimsikliza tu utaona huyu kijana ameeneemeshwa ktk elim ya dini !
Allah amuhifadh na cc sote!
Pitaa mule mule alipopita İbnu BACHU NUKTA KWA NUKTA , tujue kweli elimu ipoo na sio chuki na kukaririshwa tu!
acha ushabiki kwenye din ya Allah utapotezwa ndugu yangu
@@ulimwengu-giza sasa hapo ushabiki aliofanya ni upi??
Kwel ndugu ni ngumu kupita kweny zile nukta alizopita bachu ni ngumu sana
Kwa mantiki hii basi yeye kapewa moja tu na makhurafi wa mambrui akajikojolea na hakuweza kujibu..
Akaandika swaduku humo daftarini... swaduku... 😂😂😂😂😂
@@مبغضالبدع-ع9ص naungana na wew
Porojo unazunguka saana
kwa hali hii, waislam yule dogo Tanzania tumepewa tumuombee dua kila anachofanya iwe kwa ikhrasi ili iwe sababu ya kuingia peponi, dogo elimu yake nzuri na imenyooka na tunafaida hawa mashekhe wengine sijui wametoka wapi.
@@mobilespecialschool4216 Allah akujaalie uwache ushabik na uangalie kweli pasina kujua amesema shekh gan
Hatari sana Wallah,hawa bna wote masheikh wetu katika sunna sema kuna sehemu ndogo sana watofautiana'
Sijaona maswal yalojibiwa apaaa na hili ndo tatzo shekh twaomba majib kwanz kisha utupe darsa
Kama umesikiliza darsa zima na hujaona swali lililojibiwa basi uwezo wako wa kureason ni mdgo..kwo rudi darasan na uachane na ushabiki na matamanio
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xbaarak Allah fiyk!
Hapa ndo utajuwa kwamba majadida hamna kitu
Maswali matano tangu 2021 mpaka leo hamjajibu genge la sheikh Salim barahiyyan ila nyie jana tu leo mwataka majibu?
Hassan waziri jibu maswali ya muhamadi wacha kuzunguka kija Allah kamjaliya elimu kuja kuwaonesha ujadida
Maswali yashajibiwa..muombe Allah akupe akili uweze kuielewa hyo audio... mbona majibu yapo waz tayar
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xbaarak Allah fiyk!
suyuttwi nae vipi mbona hujamtolea majibu ebu jibu maswali kama yalivyo ulizwa
@@abdurashidinasorodini mbona mnapenda sana kuwachokonoa wanazuoni? Kuna haja gani ya kumtaja Suyuutw sasa! Kwan lazima atajwe? Asipotajwa hamridhiki??? Hata kama sio ulamaa wa kisalafy ila kuexpose makosa yake bila sabab za msingi sio katika Twariqa nzuri....ikihitajika kuyataja yatatajwa ila so LAZIMA KAMA NYIE MNAVYOTAKA
Acheni ujadida rudini katika manihaji salafi sahihi acheni kutowa watu kwenye salafi
Eb rudia tena kuskiliza io clip Naona hujaelewa
Nani kaanzisha huo UJADIDA?
Unazunguka tu .
Yani hawa watu hawa😂😂😂wanachekesha sana wallah yule kijana hamumuwezi, maswali yamewashinda yale na atakae subutu kujibu achomoki kwenye ule mtego atanaswa tuuh vungeni tu hoja hamna kabisa.
Ilimradi nawewe useme.
@@AbulqassimAshirazy-yd7thbaarak Allah fiyk
Mmmmmh unajua huyu hawezi mjibu bachu ukweli ni huo kbsa
Ndugu yangu audio umeskiliza au ushabiki?
weye ND mshabiki maana sheikh wako azunguka ilikua anatakiwa some swali moja moja anasoma Kisha anajibu sasa aeeeeenda mbaliiiii asome swali ajibu swali ebu acheni ujanja ujanja enyi majadida
@@abdurashidinasorodini hilo neno JADIDA aliulizwa bachu nani kaanzisha UJADIDA kashindwa kujibu
Kwa ihsani yako naomba jibu kutoka kwako
Nani kaanzisha UJADIDA jibu kwa elimu lakini na muogope Allah
sheikh kamaliza bando langu afu hajajibu swali hata moja 😬😬😬😬
Kasome kwanza
@@babatchi9169baarak Allah fiyk!
Kasim mafuta alisema Dokta Iislaam halinganii dawa ya salaf kwa dalili zipi????
Kaskilize muhadhara wake wacha kupelekwa kama kondoo
Kwa dalili ya kwenda kwa Barahiyan
@@jumannemwaye4060 kaenda na kamsaport
Huyu nimemsklza ameleta porojo tu hakuna raddi hapo
Huwezi kuelewe mambo ya kielimu eti
Wewe subir mambo ya ushabiki ndio utaelewa
@@hafidhsalum-jp2mw asante kwa jibu zuri
Kasome Kwanza
Yaaaan kiukweli nmecheka huyu jamaa kazungumz jambo la kunichwkesha eti yale maneno hayawahusu wao ya imam lbarjas ;yanawahusu nyiny kina wazir kabisa mnafanya ghulughuu
Tumekuelewa vizuri sana Al akhy Allah akulipe khery
Amin! Baarak Allah fiyk.