Mchungaji Leo umetukumbusha jambo la maana sana katika maisha yetu,ahadi na sadaka,kipekee imenigusa sana mchungaji,mungu anisaidi e kuweka ahadi na kuzitimiza na sadaka kwa ajili ya Asante kwa uweza wa mungu.mungu azidi kututia nguvu kwaajili ya meno lake kupitia kwako mchungaji barikiwa sana.
Nampenda sana huyu mtume wa Mungu. Kuna mahali imenigusa ya kweli hapo kwa kuahidi pesa kwa Kanisa na unakosa nakwambia mtu hukula shinda mpaka unaanza kulaumu Mungu. Pastor you're talking to me in this Sermon. Following from Seattle Washington.
Kwa nijuavyo mimi Mungu huangalia nafsi yako inawaza nini, sitegemei kwamba Mungu angeruhusu huyo binti aharibikiwe kisa tu baba yake hajatimizi kwa wakati nadhiri aliyoweka ilihali bado moyo na shauku yake ni kutoa.sometmes siyo kila jambo linalotokea maishani litafsiriwe kama ni pigo kutoka kwa Mungu mimi na wewe hatuna haki ya kumhukumu huyo mtu .maana waliyokuwa wananena na mungu wake wanajua wenyewe ila kupitia maelezo ya pastor sioni kama yanawezakuwa 100% what was the reason!
❤ mafunzo ya.Rev Kimaro.yananifariji sana.Iam blessed
Mchungaji Leo umetukumbusha jambo la maana sana katika maisha yetu,ahadi na sadaka,kipekee imenigusa sana mchungaji,mungu anisaidi e kuweka ahadi na kuzitimiza na sadaka kwa ajili ya Asante kwa uweza wa mungu.mungu azidi kututia nguvu kwaajili ya meno lake kupitia kwako mchungaji barikiwa sana.
Yesu Kristo ni Bwana. Lets preach gospel. Injili inajitegemeaa
Whenever I listen to your sermons,I feel blessed and born again christian.God be with you 4ever.
Am in Kenya... That's true story Keroche family
Oh wawapi?
Nampenda sana huyu mtume wa Mungu. Kuna mahali imenigusa ya kweli hapo kwa kuahidi pesa kwa Kanisa na unakosa nakwambia mtu hukula shinda mpaka unaanza kulaumu Mungu. Pastor you're talking to me in this Sermon.
Following from Seattle Washington.
Baba mchungaji umenichekesha Sana na ushuhuda wako kwakweli nimeongeza siku
Barikiwa mno Mtumishi wa Mungu
Love his teachings from Kenya🇰🇪
MUNGU AKUBARIKII.MNOOO
Mchungaji Asante naongeza siku za kuishi kila nikiangalia shuhuda zako baba
Umenisemea yaliyokua moyoni mwangu hakika
Amen,mchungaji,nakufualia,naomba,uniombee,NAMI,niinuliwe,kiroho,na,mungu,anilindie,utakatifu,naneno,like,Kwa,wingi,ndani,yangu,
Umeomba Jambo jema sana, MUNGU akutendee sawasawa na hitaji lako.
Amen mko station gani kwa tv
You are the best Paster,umenibariki sana.
MUNGU AKUBARIKII.MNOOO❤
Hahahaaa ,Mungu akubaliki Pastor
Barikiwa Sana mchungaji
Unanifundisha mengi pastor
Mungu akubariki
Daaaah mawe mtumishi umetupa gizani lakini yamenipata asante kunikumbusha mema mtumishi wa mungu
Mungu atuhurumie sana
Amina mtumishi
Barikiwa babaa
Mtumish endelea kutufundish nimejifunza kitu kutoka kwako
NIMEBARIKIWA SANA NA USHUHUDA HUU
Kwa nijuavyo mimi Mungu huangalia nafsi yako inawaza nini, sitegemei kwamba Mungu angeruhusu huyo binti aharibikiwe kisa tu baba yake hajatimizi kwa wakati nadhiri aliyoweka ilihali bado moyo na shauku yake ni kutoa.sometmes siyo kila jambo linalotokea maishani litafsiriwe kama ni pigo kutoka kwa Mungu mimi na wewe hatuna haki ya kumhukumu huyo mtu .maana waliyokuwa wananena na mungu wake wanajua wenyewe ila kupitia maelezo ya pastor sioni kama yanawezakuwa 100% what was the reason!
Soma HAGAI 1.2-11
Kweeeli kabisa Baba
Mungu turehemu
Amina kimario
Amen 🙏 🙏
Ameni
😊hi
Ameeni
Ameeeeen
Mwee Mungu nijalie nimtimizie Mungu nadhiri niliyoiweka
Nouma sana!!!!!
Msg imeenda hio.. jmn nimejifunza kitu..
Aseh wasomali
Walae hapa nimejifunza
👆😘
😁😁😁😁😁
Nguvu ya nadhirii
Wakikuyu tumefikiwa na padre
Wachaga
Na we umoò
Mchongo.....😜😂😂😂
😅😅😅😅😅
Uyu mchungaji kanisa lake likowap?
Kkkt kijitonyama dar es salaam
Nielekeze unapanda gar gani ukiwa unatoka kigamboni samahani lakn🙏🤝
@@aishalucas3502 Panda Daladala za kijitonyama,ukifika ulizia kanisa la KKKT kijitonyama,
@@aishalucas3502 sijui kwakeli
@@aishalucas3502 ebu fuatilia ibada zako pia kuna number za sim hapo utapata
😊hi