Dr Kimaro umeongea point kubwa sana. Niliacha kwenda morning glory lakini leo nimepata changamoto naomba Mungu anisamehe na anisitiri sitaacha tena kwenda hata kama Sina pesa
Umenichekesha Sana mchungaji, ila nakukaribisha tena ukerewe shida ulipanda mitumbwi itwayo Yamaha siku hizi tuna vyombo imara vya usafiri hivyo karibu Sana
MUNGU ALIKUWA NA KUSUDI LAKE!HATA INGEKUWA NI HIVYO VYOMBO VYA KISASA VISINGEMZUIA MUNGU APENYEZE KUSUDI LAKE! MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI ,NIMEJENGEKA MNOO!
Mungu hana formula, na akili zake hazichunguziki kamwe! Na pia anaweza tumia hata mnyama, hata mawe kufikisha ujumbe ! Ilikua ni siku ya kufundishwa na mtu tusiedhania
Nabarikiwa sana MUCHUNGAJI MAFUNDISHO MAZURI
One of the best Evangelists that the country has. Ishi sana Baba.
Nabarikiwa sana na mtumishi huyu.MUNGU azidi kukupigania.
Mungu akubariki baba. Nimejuwa kucheka
Daaah wew ni nomaa!Mungu amekupaka mafuta kwel kwel😍
Yan nimecheka kwa sauti kyaaaaa! Barikiwa baba.
Mungu ni mwema.Nimejifunza jambo kubwa sana
Barikiwa mchungaji mungu mwema Kila wakati nimecheka xana Lakn nimejifunza kitu kweli Kila jambo ni kumtanguliza kwaza mungu🙏🙏🙏🙏
Mungu Baba Mwenyezi Anakupenda sana mtumishi.
Ahsante pastor kwa ushuhuda. Bwana Yesu aendelee kutufundisha na huruma yake iwe juu yetu siku zote. Amen
Mungu akubariki sana Pastor ushuhuda huu unainiinua kiwango changu cha Imani .Bwana Yesu azidi kukutunza
Dr Kimaro umeongea point kubwa sana. Niliacha kwenda morning glory lakini leo nimepata changamoto naomba Mungu anisamehe na anisitiri sitaacha tena kwenda hata kama Sina pesa
Mchungaji Mungu akutunze kwa kwel nmefurah
Ubarikiwe.mtumishi kwa ushuhuda huu unaotujenga na kutuongeza imanii na.kujifunza tumtegemee yesu ktk kila jambo.
Amen 🙏
Ushuhuda mzuri sana,Mungu akubariki
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
God bless you man of God
Duh mch, nimecheka kwelikweli, na mm nimejifunza mengi pamoja na kucheka
Aki Kwa kweli Mungu akubariki mchungaji umenichekesha mno atlist umetoa sumu mwilini mwangu
Ushuhuda mzuri hongera mch Kimaro
Amen man of God
Subhanallah, nimecheka na kuhuzunika dooooh
Ubarikiwe Sana baba
Amen Amen Amen!!!!!
Ubarikiwee
Mtumishi umejua umenifurahisha na kunielimisha,Mungu aendelee kukumiminia mibaraka tele
Amen amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏽🙏🏾🙏
kila kitu ni mtumishi wa Mungu!
BIG statement.
Amina
Nabarikiwa sana
Amen
Umenichekesha Sana mchungaji, ila nakukaribisha tena ukerewe shida ulipanda mitumbwi itwayo Yamaha siku hizi tuna vyombo imara vya usafiri hivyo karibu Sana
Mmhhh maji hayana urafiki ndugu
MUNGU ALIKUWA NA KUSUDI LAKE!HATA INGEKUWA NI HIVYO VYOMBO VYA KISASA VISINGEMZUIA MUNGU APENYEZE KUSUDI LAKE! MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI ,NIMEJENGEKA MNOO!
Nasikia Kuna uchawi balaa huku
Kweli Mungu anatumia chochote
God bless you father
Dah nimecheka sana lakini pia nimejifunza kitu Mungu azidi kukuinua zaidi mchungaji
Kweli
Daaa huyo Teja unaweza mtumbukiza Kwaaji
👋👋🙏🙏
Kweli Mchangaji unajua kututia moyo kwa mafundisho yako
Mchungaji mie nakupenda BAC TU
4:13 😅😊
Balikiwa sana
Nimebarikiwa mno
Teja kanichekesha Sana
😃😃😃 Amen nimejifunza kitu ubarkiwe Mtumish
Pole sana mungu akbark
😃😃😃😃
Emen hakika ushuuda umenibariki
Kunja kenya pastor tunakupenda
Msg na simu 1995-96
Nimecheka kifara………….Barikiwa mtumish wa Mungu😅😅🤣🤣
Htr pata picha watu WA MV Bukoba n precion walivokunywa maji
Pole kaka angu 🤣🤣
Eliona au Eliyona
Eliona
Mungu Alimtumia huyu mtu kukumbusha umuhimu wa kumjtambulisha Mungu wetu.
Ah hii nayo testimony ya ajab... nakwambia wacha tumkiri Yesu wakati wote..
ASANTE MUNGU KWA HUDUMA ILIYOTUKUKA.USICHOKE SONGA MBELE
Nimecheka jamn
Amen😂😂😂😂😂
Kujifunza kwa njia ngumu
😁😁😁😁😁teja mweeh
😅😂😂
Yaan umenichekesha
Hahahaha teja nomaaaa
Maombi ya kistaarabu hakuna hapo
Walokole vp hapo injili imepigwa na teja
Sipati picha hapo pastor
Sijui ulisha wahi mjua Yesu hapo
Utaanza kutubu Kila dhambi naona
Mchungaji hapo KKKT Kijitonyama usihame utawaacha waumini wapweke.
Waumini msikubali Mchungaji Kimaro shame.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani nimecheka mpaka machozi
Nimecheka🤣🤣
Hahahahaaaaaa uuuuuuuwiiii.
😂😂😂Teja kibokooo
Nimecheka mpaka nimejikojolea uuwiiiiiii
We betrece sa itakuwaje ??
Hahahaha Apo kwenye kujiandika mchaga wa marangu..jmn
Hhhhha jamani Mungu atupe ulinz mkali amen Mtumishi barikiwa
Teja 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Mbavu zangu
Ila hilo kanisa lina wanawake wazur cheki walivyo valia matiti nje nje dada vaeni vizur bac mbona mitego live kwa mchungaji
Haaahaaa,oyaa skliza mahubiri usiangalie titi
Auwe wote na yeye akiwa wapi
😄😄😄 Yeye alikuwa anajua kuogelea
Umeona eh
Alikuwa mfanyakazi Wa Boti inaelekea
Magogo ziwani jamani
Popote mtambulishe Mungu wako
Coolio to simon o8y9mkg
Walokole vp hapo injili imepigwa na teja
Mungu hana formula, na akili zake hazichunguziki kamwe!
Na pia anaweza tumia hata mnyama, hata mawe kufikisha ujumbe !
Ilikua ni siku ya kufundishwa na mtu tusiedhania