Uchambuzi kuhusu mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Rais Samia Suluhu Hassani Julai 21, 2024 amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali.
    Fuatilia mjadala huu kufahamu mengi zaidi.

ความคิดเห็น • 74

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y หลายเดือนก่อน +12

    Rais Samia simpendi lakini kwenye hili la kumuondoa Nape Nnauye na January makamba amefanya moyo wangu uwe mzuri sana na asije akawarudisha tena wabaki kwenye ubunge wao kwa sababu walianza kuwa mungu watu na walikuwa wanajifanya nchi kama ya wazazi wao yaani ni watu ambao hawafai kabisa kwenye uongozi

    • @user-it7ih1it3m
      @user-it7ih1it3m หลายเดือนก่อน

      Wote tunafuraha ila kaa ukijua furaha ya masikini huwa ya muda mfupi😂

    • @joezeno8
      @joezeno8 หลายเดือนก่อน

      @@user-it7ih1it3m😂😂😂😂

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 หลายเดือนก่อน +5

    Nape alichemka sana kule Bukoba...ulimi umemponza, ila Slaa angebaki ardhi....hizi kazi za kuteuliwa, ikifika Ijumaa unatakiwa kubeba vitu vyako vyote ofisini maana hujui kitakachotokea Jumatatu!!

  • @user-gh4mg2wn8y
    @user-gh4mg2wn8y หลายเดือนก่อน +3

    Mama yetu samia umefanya vizuri Sana kumuondoa nape na January usiwarudishe tena big up mother....

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa hao watu kuwatoa hujakose na umefanya la maana,kura yangu unayo hapo

  • @abraham92268
    @abraham92268 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchambuzi ni smart sana
    Is so knowledgeable and wise

  • @user-xh8kd9ze7o
    @user-xh8kd9ze7o หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli mama Samia kwa hili umefanya vizurrrrrrrrrri sana kuwa ng'oa hawa watu.

  • @user-zd1zc8dr1f
    @user-zd1zc8dr1f หลายเดือนก่อน +4

    Yani huyo makamba hafai hata kuwa mjumbe nyumba 10

  • @fredrickkaaya6287
    @fredrickkaaya6287 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Rais wetu hakika nimekukubali naona Mungu amekuonyesha nyumba yako ilipokuwa inavuja. Ni muda mrefu tulikuwa tunajiuliza na hatupati jibu kama Baba yetu Magu hawa watu aliwaacha ni kipi kiliwasafisha na kuwatakasa mpaka ukawachagua?

  • @MusaMwanawima
    @MusaMwanawima หลายเดือนก่อน +2

    Mama samia kwenye hili umefanya vzr kuwatoa hawa watu lkn bado mwigulu naye mwangalie vzr ikiwezekana naye mtoe kitendo cha kusema hakuna mtu atakayepgiwa hod kulipa deni la Tai akat kla mweziii tunakatwa Tozo ya jengo hiii nchi ni ya kwetu wote.

    • @charlesshitobelo6870
      @charlesshitobelo6870 หลายเดือนก่อน

      Umesahau, Mwigulu aliwaambia Watanzania ambao walikuwa hawakubaliani na tozo katika miamala ya simu waende Burundi. Ana kiburi na hafai kabisa kuwa kiongozi

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 หลายเดือนก่อน +2

    Nape alikuwa hafai kabisa. Rais Samia alichelewa. Nape alipopewa nafasi ya uwaziri straight alienda ubalozi wa Marekani na kupiga picha na balozi. Alikuwa anacheza bawo mała akaanza kucheza golf. Kwa Ridhiwani Kikwete, ni jina la baba yake ndilo linamufanya apande na siyo waziri bora. Sijui kwa nini Slaa ameondolewa, kazi yake aliifanya vizuri.

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 หลายเดือนก่อน +3

    Mama awafu wakina nape na mtt wa makamba CCM awafute kabisa sio watu wema kwake

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 หลายเดือนก่อน +4

    Bado Mwigulu

    • @charlesshitobelo6870
      @charlesshitobelo6870 หลายเดือนก่อน

      Siku Mwigulu akitumbuliwa taifa litapona .
      Rais Samia asimcheleweshe Mwigulu hafai kabisa.

  • @user-bo4pq2bh3f
    @user-bo4pq2bh3f หลายเดือนก่อน +3

    Mimi nasheherekea kwa kumutoa nape alikua anajigamba sana

    • @khamisawadh1086
      @khamisawadh1086 หลายเดือนก่อน

      hakika, jamaa alifanya ujeuri

    • @blessingntuli3796
      @blessingntuli3796 หลายเดือนก่อน

      Hata Mimi siwapendi hawa jamaa wawili
      Bado mwigulu nchemba

  • @EvelinMinja
    @EvelinMinja หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Ridhiwni umeshemsha ña kumtoa s8laa ardhi umeshemsha mama yangu kwa kweli hebu fikiri kabla ya kuwaapisha

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 หลายเดือนก่อน

      Kweli kumtoa Silaa wizara ya Ardhi ni makosa kwa utendaji wa Silaa ulivyokuwa yaani Imani ilishaanza kujengeka na pia Silaa mwenyewe kisiasa alianza kupanda pia.

  • @user-jo3cs3yu3o
    @user-jo3cs3yu3o หลายเดือนก่อน +2

    Nafkiri ma waziri wanapo fanya vikao na Raia, ni zizuri chama kimpangie maneno atakayo zungumza. Hiyo itaepusha kuropoka kwa Maneno hovyo.

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 หลายเดือนก่อน

      Kama waziri hana akili na hekima ya kufikiri cha kuongea na wananchi basi hata huo uwaziri haumfai

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ หลายเดือนก่อน +2

    Subra inahitajika saaana

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 หลายเดือนก่อน +2

    Slaa amepelekwa kwa makusudi Habari kuna watu wanatumia Mitandao vibaya wacha waje kunyooshwa na Slaa mtaona

  • @medardkalinjuma5503
    @medardkalinjuma5503 หลายเดือนก่อน

    Nape na Makamba hawajawahi kuwa moyoni mwangu hata siku 1, sikuwahi kuwapenda kwasababu ya sifa zao, japo Silaha angebaki ardhi angesaidia sana ,maana ni mtu anaenda had field

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza หลายเดือนก่อน +1

    The man he was overcofendece so that no body even samia she cant take ection

  • @drbalagomwatvonline4937
    @drbalagomwatvonline4937 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli mama yetu tunakuomba Slaa mludishe kwenye ardhi hakika huko Kuna madudu makubwa watu wanadhulumiwa ardhi zao Jerry Slaa amejitahidi kutetea wanyonge na nilitegemea huyu Slaa atakaa sana kwenye wizara hiyo.

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg หลายเดือนก่อน +2

    Nape alilewa madaraka akatumia lugha chafu ambayo naamini mama pia imemuudhi.. hii nashauri ajiuzuru na ubunge pia

  • @eddyjabry6939
    @eddyjabry6939 หลายเดือนก่อน +1

    I agree with the President Suluhu absolutely 💯…Makamba hafai kabisa …keep going Mama Samia

  • @EvelinMinja
    @EvelinMinja หลายเดือนก่อน +1

    Mama tunamuomba Silàa wizara ya Àrthi hapo alipaweza mama tuonee huruma

  • @sabrinaali9750
    @sabrinaali9750 หลายเดือนก่อน

    Hajatenguliwa japewa kazi maalum ya ucgaguzi ni waongo

  • @froma3732
    @froma3732 หลายเดือนก่อน

    Katiba ndio inahitaji lkn Rais akishaamuwa ndio imetoka Kenya wanapelekwa Bunge na hkn kitu kimeonekana kimebadilika

  • @AbuJunaidi
    @AbuJunaidi หลายเดือนก่อน

    Nape na makamba magufuli aliona mbali aliwatowa katika uongozi wa.serikali.sijui ilikuqje wakarejeshwa serikali.makamba kashavujisha siri za serikali..kwa wazungu. Hao.hawafaidaima

  • @drbalagomwatvonline4937
    @drbalagomwatvonline4937 หลายเดือนก่อน

    Mama narudia tena kama unafuatilia hizi komenti zetu tunakuomba mrejeshe Slaa kwenye ardhi mama yetu hakika wanyonge wanazulumiwa ardhi zao Jerry Slaa amekuwa mkombozi wa ardhi, sijui Kwa nini umemtoa kwenye wizara ya ardhi,kama Kuna watu wamekushauli uwatoe basi hao hawakupendi hakika Slaa wizara hiyo mrejeshe mama yetu.

  • @leonardlushika
    @leonardlushika หลายเดือนก่อน

    Rais hongera sana kura yangu unachukua mapema tu

  • @ErickKilusu
    @ErickKilusu หลายเดือนก่อน

    Ni uamuzi sahihi. Rais awe makini na watu wa kujikweza tena wenye kumezea mate cheo chake.

  • @ClaudCarlos
    @ClaudCarlos หลายเดือนก่อน

    Mama bado yulee alituambia TUHAMIE BURUND

  • @yusuphyahayaissa4863
    @yusuphyahayaissa4863 หลายเดือนก่อน

    Nimefurah sana nape kukaa pembeni maana mitanda ilikuwa ikilala ikiamuka wanapandisha bei ya vifurushi

  • @joezeno8
    @joezeno8 หลายเดือนก่อน

    MAKAMBA na NAPE NI WAHUNI tena MAJIZI TU! Hawa Washenzi nimefurahi wametumbuliwa 😂😂😂😂

  • @swelehemkumba5007
    @swelehemkumba5007 หลายเดือนก่อน

    Mama yetu, Rais wetu, pamoja na yote mazuri lakini nakuomba umrudishe slaa kwenye ardhi.

  • @user-bo4pq2bh3f
    @user-bo4pq2bh3f หลายเดือนก่อน +2

    Nape ni mtu wa ajabu ajabu sana

  • @newtonnyembe8228
    @newtonnyembe8228 หลายเดือนก่อน +1

    Mama kawavumilia mno wanae Sasa kaamua liwalo na liwe kawapiga chini.

  • @saidimwanga444
    @saidimwanga444 หลายเดือนก่อน

    Namwomba mama Raisi wetu mpendwa kama ikimpendeza amrudishe Jerry Slaa wizara ya Ardhi tafadhali naona alikuwa anaendelea vizuri katika kutatua changamoto za Ardhi

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 หลายเดือนก่อน

    Kubadili mawaziri kila siku haina faida yani wizara zna lega lega 😢

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 หลายเดือนก่อน

    Huyu Nape amekusanya pesa za watanzania nyingi sana,,
    Haiwezekani vocha imeandikwa tsh500 halafu ikauzwa tsh 600.

  • @StephenTsoray-r1b
    @StephenTsoray-r1b หลายเดือนก่อน

    Pamoja na kutambua kuwa rais ndy anayetambua utendaji wa wasaidizi wake, Mh Slaa angeachwa pale alipo. Sasa muda mfupi tu mabadiliko!! Why all this ??

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 หลายเดือนก่อน

    Rais wangu mama yangu naomba uende pale kwa mangi ukachukue pepsi ya baridi ushushe kidogo nimefurahi sana nape kumtoa kwenye hiyo secta alikuwa mchumia tumbo

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mchambuzi muogope Mola wako anachanganya maneno sana Rais Samia ni Kiongozi makini sana

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน

      Samia ni pumba tuu , hajui nyuma wa mbele

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 หลายเดือนก่อน

      @@whatisthetruth.8793 udini unakutesa wewe

  • @medardkalinjuma5503
    @medardkalinjuma5503 หลายเดือนก่อน

    Nahuyo Riziwani, sina imani naye hata

  • @RaphaelMdindile
    @RaphaelMdindile หลายเดือนก่อน

    Mama muangalie na mwigulu.

  • @LisaBandiho
    @LisaBandiho หลายเดือนก่อน

    Silaa alikuwa jembe saana cjui kama mteuliwa ajae atavaa viatu vya silaa na ilemela bado kidogo kuna shida baadhi hatujapata hati

  • @froma3732
    @froma3732 หลายเดือนก่อน

    Kama hafai atakwenda tuu hata kama ni masaa Ukieleweka utakaaa

  • @SaimoniMarandu
    @SaimoniMarandu หลายเดือนก่อน

    Mama umefanya vzr hata baba alikua hawataki wapigaji Sana walikuchafulia jina

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kitu ardhi Jerry alikuwa anakikosea ndio maana amembadilisha

    • @khadijayusuph2634
      @khadijayusuph2634 หลายเดือนก่อน

      Hakujali atenda haki hata kwa vigogo"kitu ambacho huwa hawapendi

  • @user-dq1ss2uq6u
    @user-dq1ss2uq6u หลายเดือนก่อน

    Kiujazacho moyo ndicho kimtokacho mtu.msimlaumu Nape. Lakin pia mama amesoma alama za 2025. Lkn je ni kwel hawapo tena? 😂😅😅 tuombe Mungu jmn

  • @user-ms1xg1fp4v
    @user-ms1xg1fp4v หลายเดือนก่อน

    Hao Awape ubalozi kidogo uchaguzi ukiisha Bado wanahitajika katika chama na Serekali

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 หลายเดือนก่อน

    Kwenye slaa ametuonea kweli

  • @issamuhammedi
    @issamuhammedi หลายเดือนก่อน

    Bado wa dar

  • @AbuJunaidi
    @AbuJunaidi หลายเดือนก่อน

    Mwigulu mchemba hafai

  • @yassinmruma9706
    @yassinmruma9706 หลายเดือนก่อน

    Mchambuzi huyu ni mbumbumbu bado ni mbinafsi Hugo na Anaupande ajitambue kwanza bwana Lukuman mawazo yangu.

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏✍️✍️✍️✍️✍️🤝🤝🤝

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 หลายเดือนก่อน

    Bado mwigulu

  • @yassinmruma9706
    @yassinmruma9706 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kumuondoa Nape Rais alichelewa huyu ni mnafiki no moja kwenye watu wake na Makamba hawa wameihujumu his nchi vibaya mno walijiona wao ni wao hakuna wa kuwagusa mama Hongera wanafiki usiwape nafasi his nchi ni yet sote.

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 หลายเดือนก่อน

    Wa tozo amesahaulika?

  • @jumashedafa
    @jumashedafa หลายเดือนก่อน

    Subirin cku ya uapisho mama samia yakifika koon huwa friji lake haligandishi...Yan watu wa kufanya kazi na samia ni kama vile makonda, Slaa, Magoti watu wenye karba kama hiz tutafika na wiz utaisha

    • @issamuhammedi
      @issamuhammedi หลายเดือนก่อน

      Polepole na docta bashiru na medadi kalemani na jafo

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni หลายเดือนก่อน

    Safi sana samia walikua wanajiona sana

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 หลายเดือนก่อน

    Kwenye ardi amechemsha mama

  • @Didaskamili
    @Didaskamili หลายเดือนก่อน

    Mtu kuongo,a ni kipaji sio vyeti amepewa