Yesu ni Mungu,akiketi kwenye kiti cha enzi anakuwa Jehovah,anakuwa adonai,alipokuja duniani kumwokoa mwanadamu anakuwa mwokozi wa ulimwengu,yesu Kristo,anapokuwa katika huduma ya kufanya miujiza,kuponya wagonjwa,kuwaombea watoto wake anaitwa roho mtakatifu,haya yote ni Kristo yesu ni Mungu.
Ameen na Pia Asante sana mtumishi wa Mungu Mzee fumbua macho kakaangu umenene maneno mazuri sana huko ndiko kuitetea injili ya imani yetu Asante sana nami naandi kutoka ughaibuni Texas Frisco
Kama umemkataa YESU ktk fikra zako kamwe usije kutarajia kama utaweza kumwelewa YESU KRISTO kama Mungu. Mambo ya Roho yanajulikana kwa jinsi ya Roho. Mkubali kwanza YESU aliye uzima wako na ndipo akili zako hizo changa zitakapopata Uelewa wa mambo haya yote. Asante sana Mtumishi wa KRISTO YESU BWANA kwa ajili ya fundisho hili la Thamani mno!! Roho wa KRISTO azidi kuwafungua watu wake kupitia mfululizo wa mafundisho haya
Mimi sina maswali kwasababu Yesu Kristo ni Mungu mkuu!! Tito 2:13, amwaminiye hahukumiwi, asiyemwamini amekwishakuhukumiwa kwasababu hakuliamini jina la mwana pekee wa Mungu. Yohana3:17-18. Kwahiyo yeyote chini ya hii jua asipomwamini Yesu bac ujue amekwisha kuhukumiwa. Afu Mungu alikuwa ndani ya Kristo akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao, 2Wakorintho 5:18-19. Yaani vyote vyatokana na Mungu. Hapo mwanzo kulikuwako neno naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa ni Mungu, neno akafanyika mwili akaja kwetu nasi tukaona utukufu wake, yaani Yesu Kristo, Yohana1:1-14. Aliyemwona Yesu amemwona Mungu Yohana 14:8-9. Bila kusahau Yesu ni njia ya kwenda Mbinguni Yohana 14:6, 13-14. Amen. Haleluyaaaa!! Bwana Yesu Kristo ni Mungu!!
Hapana. Unafikiri hawajui? Shida hawa baadhi ya watumishi (kama mzee wa upako) wanapenda misifa..wanajua vizuri ukweli juu ya Uungu wa Yesu ila wanapendaga tu kuropoka ili watrend..Kazi kutuharibia dini tu.
Yesu ni Mungu mkuu ni Baba wa milele ni mfalme wa amani alikuja kama mwana ilikukomboa ulimwengu ndiye imanueli ndiye atakayekuja kulichukua kanisa.❤
YESU NI MUNGU ITABAKI HIVYO... SHUKRAN MCH.. KUWAELEWESHA WANAO BISHA TUENDELEE KUWAOMBEA BWANA YESU AWAFUNGUE UFAHAM WAO....
Yesu ni Mungu,akiketi kwenye kiti cha enzi anakuwa Jehovah,anakuwa adonai,alipokuja duniani kumwokoa mwanadamu anakuwa mwokozi wa ulimwengu,yesu Kristo,anapokuwa katika huduma ya kufanya miujiza,kuponya wagonjwa,kuwaombea watoto wake anaitwa roho mtakatifu,haya yote ni Kristo yesu ni Mungu.
Ameni umechambua vyema sanaaa umeleweka
MODALISM
Asante saaana mtumishi wa MUNGU alie juu saana
Ameen na Pia Asante sana mtumishi wa Mungu Mzee fumbua macho kakaangu umenene maneno mazuri sana huko ndiko kuitetea injili ya imani yetu Asante sana nami naandi kutoka ughaibuni Texas Frisco
Shkamo baba upo juu km YESUKRISTO bwana na mwokozi wetu😊
Yesu ni Mungu hata kama dunia itapinga lakini Yesu atabaki kuwa Mungu maana ndiyo alivyo.
Utukufu kwa BWANA!
Amen, Yesu wetu ni Mungu mkuuu sana
YESU NI MUNGU
BWANA YESU KRISTO NI MUNGU
Baba Mungu akubariki sana nimejifunza kitu kikubwa sana.
Kama umemkataa YESU ktk fikra zako kamwe usije kutarajia kama utaweza kumwelewa YESU KRISTO kama Mungu.
Mambo ya Roho yanajulikana kwa jinsi ya Roho.
Mkubali kwanza YESU aliye uzima wako na ndipo akili zako hizo changa zitakapopata Uelewa wa mambo haya yote.
Asante sana Mtumishi wa KRISTO YESU BWANA kwa ajili ya fundisho hili la Thamani mno!!
Roho wa KRISTO azidi kuwafungua watu wake kupitia mfululizo wa mafundisho haya
uitaji ni mkubwa sana
Watu wanapotosha sana simu hizi lkn tunashukuru kwa sababu ya kuletea maarifa team ya promover pia wakristo tujitahidi kusoma neno la Mungu.
somo liwe hadi part 10
YESU ni MUNGU yohana 1:1-3
Amen, mtumishi
Asante sana Bishop!
Binafsi naamini Yesu ni Mungu, swali langu kwanini alikataa kuitwa mwema
Wapi alikataa alisema hakuna aliye mwema ila Mungu Nani kweli hakuna Mwema ila Mungu siuna amini Yesu ni Mungu ndo hivyo hakuna mjadala
Mimi sina maswali kwasababu Yesu Kristo ni Mungu mkuu!! Tito 2:13, amwaminiye hahukumiwi, asiyemwamini amekwishakuhukumiwa kwasababu hakuliamini jina la mwana pekee wa Mungu. Yohana3:17-18. Kwahiyo yeyote chini ya hii jua asipomwamini Yesu bac ujue amekwisha kuhukumiwa. Afu Mungu alikuwa ndani ya Kristo akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao, 2Wakorintho 5:18-19. Yaani vyote vyatokana na Mungu. Hapo mwanzo kulikuwako neno naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa ni Mungu, neno akafanyika mwili akaja kwetu nasi tukaona utukufu wake, yaani Yesu Kristo, Yohana1:1-14. Aliyemwona Yesu amemwona Mungu Yohana 14:8-9. Bila kusahau Yesu ni njia ya kwenda Mbinguni Yohana 14:6, 13-14. Amen. Haleluyaaaa!! Bwana Yesu Kristo ni Mungu!!
It's true only Muslims can deny Jesus is not Lord,bt I declare Jesus is God 😢
njia ya tano ya kumpata mwanadamu ni Roho kuvaa mwili ilitokea kwa Ibrahim
Tatizo ni kwamba baadhi ya watu wanatafuta kulielewa Neno la Mungu kwa akili badala ya kwa ROHO.
YESU ni Mungu!
Hapana. Unafikiri hawajui? Shida hawa baadhi ya watumishi (kama mzee wa upako) wanapenda misifa..wanajua vizuri ukweli juu ya Uungu wa Yesu ila wanapendaga tu kuropoka ili watrend..Kazi kutuharibia dini tu.
Hii ni Kwa wale wanaotaka kujifunza tu ukitukana utakuwa na kichaa Cha nyoka
YESU NI MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. MSIONGEZE WALA KUPUNGUZA. MNAHANGAIKIA NINI?