Pastor Mimi ni Jackson Ramadhan umewahi hubiri Kigoma Somo la MADHABAHU wakati unaanza kuhubiri mwaka 2017. Namimi ndo nilikuwa nimeokoka. Kwasasaa nahubiri Injili najifunza mengi lakin natamani nije nikuone maana nimehubiri Dar siku moja nikaulizwa kama wewee ndugu yangu kwamba tunafanana pia siku moja niko stend kigoma nasubiri gari nashangaa watu wananiita katekela nikawaambia sioo. Natamani Bwana aje atukutanishe kabla ya parapandaa Hahahahah
Napenda sana mafundisho na mahubiri ya mch katekela.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu...kazi yako ni njema. Bwana azidi kukupaka mafuta
Barikiwee sana pastor kwa mafundisho haya na maombi mazuri naamini nimekombolewa dhidi ya madhabahu ya shetani kwa jina la YESU
Hallelujah praise the LORD 🙏 ubarikiwe mtumishi unazidi kutupa Siri za watu wa giza ..nikuwakunguta Kwa jina la YESUU
Amen mungu akubariki mchungaji
Ubarikiwe sana mtumishi
Asante barikiwa sana mazabahu zinatutesa sana
Watching from Embu Kenya
Praise God
Watching from Nairobi Kenya
amina xana
Amen Amen
Pastor Mimi ni Jackson Ramadhan umewahi hubiri Kigoma Somo la MADHABAHU wakati unaanza kuhubiri mwaka 2017. Namimi ndo nilikuwa nimeokoka. Kwasasaa nahubiri Injili najifunza mengi lakin natamani nije nikuone maana nimehubiri Dar siku moja nikaulizwa kama wewee ndugu yangu kwamba tunafanana pia siku moja niko stend kigoma nasubiri gari nashangaa watu wananiita katekela nikawaambia sioo. Natamani Bwana aje atukutanishe kabla ya parapandaa Hahahahah
Amen
Which church. I would like to meet the Men of God
Watching from Nairobi Kenya
Tupatie number ya simu tuonge na muchunaji tafadhali tuko nashida ya familia
Niko Kenya taita
Watching from Kitui Kenya
Kitui wapi mimi niko kitui