Ndomana ile njia ni ndogo sana Nitapambana kwakadri niwezavyo Ili niepuke na hukumu ya milele Ubalikiwe Jacktan nakutakia MUNGU akupe mwisho mwema. Jina la YESU CHRISTO litukuzwe milele Amen
Shukrani nyingi kwa Bwana wetu Yesu hataki tuendemotoni ndiyomana yakutufunulia siri zake zote nilikuwa nikipenda nyama sana lakini kwauwezo wake sitakulatena piya na samaki pamoja na mayayi Mungu atusaidiye sana ubarikiwe sana kwa ujumbe Mzuri kabisa
Aise hiz sehemu tatu ni shida sana maana zinatupoteza sana hasa sehemu za siri aise,,,, ila Juhudi ya kumtafuta Mungu ndio suluhisho pekee . Ushuhuda mzuri sana Jactan Mungu akubariki.
Naomba kujua siri Zako.Mambo yote ya huko mbinguni. Mungu muumba mbingu na nchi .Aombaye hupewa kama hadi ya NENO.yoh 14:14na math 7:7 yeremia 33.3.Naomba KWA neema Yako tu sistahili ewe YEHOVA MUNGU.ktk Kristo Yesu nashukuru.Ameeeen♥️⛪💝🌺😍
Una weza kusoma mwanzo 9:3-4 Tuna Nashukuru Mungu kwa ushuhuda huu bali naomba tusome neno la Mungu kwa umakini,tusije tuka jichanganya. Mungu nwenyewe ana turuhusu tule kila kitu kyenye kutembeya na kuwa na maisha. Ana sema tusile nyama na damu yake. Siyo kusema tusile nyama
naona wengi hamko makini katika kusikiliza, Bali misingi ya dini zenu ndo zimwgandamana na mioyo, kuna mambo mawili hapa. 1. chakula kabla ya anguko ,mwanzo 2:29 2.chakula baada ya anguko, mwanzo 9:3, pia anasema hatamhukumu mtu kwa kula isipokuwa alaye chakula cha baada ya anguko hatafunikwa na nguvu za Mungu za kutosha kama anayekula chakula baada ya anguko. Hii Haina uhusiano na hukumu Bali uvuli wa nguvu za Mungu
Ili kuweza kurejea katika hali ya utimilifu wa kiroho ni lazima kurejea Eden,huu ndio mpango wa Mungu. Kumbe wasabato tuko sahihi. Ondoa nyama kwenye seheme ya chakula chako. Ondoeni dhana za kilokole eti vimetakaswa tule tu,nimempenda mtumishi Iyke,Bwana azidi kumbariki sana.
@Simon Revelian hata asipokuwa msabato,mimi ninachoangalia ni ukweli unaposemwa,kama mtu yeyote atapewa mafunuo na Mungu na yakawa sawasawa na Neno la Mungu na Roho akinishuhudia ndivyo yalivyo,mimi ni nani hata nipinge,zaidi ya kuomba neema na nguvu kuyaishi.
Mwanzoni Mungu aliwaamuru wanadamu wale matunda na mboga pekee, yaani mimea tu. Baadaye Mungu aliwaambia binadamu wale nyama ya wanyama ila baadhi yao tu, si wanyama wote. Alisema wanyama wengine ni wachafu(unclean). Baadaye, Yesu Kristo akiwa ulimwenguni, aliwaambia wafuasi wake wale vyakula vya kila aina, akisema kuwa maovu yanatokana na yale yatokayo mwilini kama chuki, masengenyo, wivu, nk, ila yanayoingia mwilini hayafanyi mwili ukose kuwa takatifu. Kwa kusema hayo, alimaanisha sasa tuko huru kula vyakula vya kila aina na si dhambi tena. Mfano: nyama ya nguruwe. Lakini mwishowe, katika dunia mpya na mbinguni, itakuwa kama mwanzoni. Wanadamu wote, pamoja na wanyama wote, watakula vyakula ambavyo vimetoka kwa mimea pekee. Kwa sababu hatutakuwa na kifo tena. Ukichuna matawi au matunda ya mmea, huo mmea hafi. Ila ili ule nyama ya mnyama, itabidi afe kwanza. KWA HIVYO KWA SASA SI DHAMBI KULA CHAKULA CHO CHOTE KINACHOKUFURAHISHA, ISIPOKUWA NYAMA YA BINADAMU MWENZAKO, KWA SABABU HUO NI UCHAWI.
Sio kweli,sio kweli kabisa,Mungu sio kigeugeu wala hajabadilika,again jipya wala Yesu hakuja kutangua torati na manabii,kile ambacho Mungu alikizuia,ni najisi,hakijabadilika,kwa dunia hii inayozidi kuharibika ni Vyema kujitenga kabisa kw vile ambavyo Mungu amekataa tusivitumie. Kuna ushuhuda niliusikia humu yule aliyekuwa anatumika katika ulimwengu wa giza kwamba nyama zingine kwenye mabucha ni nyama za binadamu,ni vyema tukawa waangalifu sana.
@@agathaladislaus8991 kwa kwelii sikuwezaa kukaa Naye nimuulize zaidi Ila yeye aliniambia kabisa kwamba yeye amekatazwaa asile nyama kwahiyo halagi nyama hata mafuta ya kujipaka roho mtakatifu alimwambia kabica Aina ya mafuta ya kujipaka akanunua nitapata muda nimuulize tu siku moja.
@@agathaladislaus8991 usijali Ila kaa na mungu vizuri hatakuficha neno lake Kama umesikia ushuhuda wa Siri za mbinguni hakikisha hivyo maan hayo ndo maisha ya mwamini kweli kweli naishi ivyo naon power of God in my way.
@@agathaladislaus8991 Mamy Simama Kiroho Sanaa Muulize MUNGU Atakuonyesha na Kukuelekeza Simama mwenyewe Utaona tyuu.mim mwenyewe nilipata ujumbe wa kuhusu Hereni mapambo haya .ukiwa karibu na MUNGU ATAKuonyeesha kilakituu
MUNGU hajawahi jichanganya hata siku moja NO NO NO leo aseme YES kesho aseme NO haijawahi.huyo sio MUNGU may b miungu ya dunia hii.siye aliyemba mbingu na nchi ambaye ni Jana Leo hata milele aliyejua yatayokuwepo milele iweje leo ajipinge kwenye biblia yake au neno lake???? jactan
naomba nkushauri kitu kama umeokoka na unaamin katika maombi bas ni mda wako sasa ingia kwenye maombi muulize Mungu atakufunulia makubwa zaidi ya hayo ya chakula adi utaogopa kusema kwa mtu yyte sababu utaona kama watakuona umechanganyikiwa Yer 33:3
Johns acha ubishi Bora kunyamaza kuliko kupinga shuhuda za Roho wa uzima, Kama zimekua mzigo mwombe Mungu akurehemu ,kwani wewe unajitetea au unatetea nyama? Kwani usipokula nyama utapungukiwa Nini? Kuliko kuanza kubishana Kisha uingie kwenye hatia mbaya, yako mambo lazima yadhihirike siku za mwisho na mambo mengi yatafunuliwa yalio kua yamejificha.
@@fideforceinnocent5427 na mbona mtume Paulo alisema Tumfuate yeye kama yeye alanavyomfuata kristo sasa ni mafundisho yapi sahihi ya mitume au tuanze kufuata maono ya huyu
Bro this message is contravening the Bible which is the word of God. My spirit is rejecting this doctrine and to accept it is to nullify the warning of apostle Paul.
Ndomana ile njia ni ndogo sana
Nitapambana kwakadri niwezavyo
Ili niepuke na hukumu ya milele
Ubalikiwe Jacktan nakutakia MUNGU akupe mwisho mwema.
Jina la YESU CHRISTO litukuzwe milele Amen
Ameeen, Haleluyaaaa litukuzwe milele Jina la BWANA wetu YESU KRISTO
Ubarikiwe professor
Haleluya tumebarikiwa kwa kupata Siri za mbinguni. God bless promover TV.
Asante kwa kutujulisha hili mwenye sikio na Asikie tuishinde tamaa
Shukrani nyingi kwa Bwana wetu Yesu hataki tuendemotoni ndiyomana yakutufunulia siri zake zote nilikuwa nikipenda nyama sana lakini kwauwezo wake sitakulatena piya na samaki pamoja na mayayi Mungu atusaidiye sana ubarikiwe sana kwa ujumbe Mzuri kabisa
Aise hiz sehemu tatu ni shida sana maana zinatupoteza sana hasa sehemu za siri aise,,,, ila Juhudi ya kumtafuta Mungu ndio suluhisho pekee . Ushuhuda mzuri sana Jactan Mungu akubariki.
Samahan jaman najiuliza mf kula dagaa,maziwa,au blubend/siagi ni kosa?kw mujib w ushuhuda nilivosikia naomb kueleweshwa;
Hee Mungu wa mbinguni Yesu christo niwezeshe kwa nguvu ya Damu yako
Asante jacktan kwa ushuhuda kwakweli ninahitaji Sana msaada wa YESU ili kushida kuhusu chakula
Naomba kujua siri Zako.Mambo yote ya huko mbinguni. Mungu muumba mbingu na nchi .Aombaye hupewa kama hadi ya NENO.yoh 14:14na math 7:7 yeremia 33.3.Naomba KWA neema Yako tu sistahili ewe YEHOVA MUNGU.ktk Kristo Yesu nashukuru.Ameeeen♥️⛪💝🌺😍
Amina.
Amen,Asante sana mtumishi kwa kujitolea kwako kuokoa roho zetu kutoka kwa njia ya upotevu,Mungu akubariki
Amen🙏🏾
Ahsante Sana Jacktan.
Mungu tunahitaji msaada wako.
Bwana Yesu asifiwe
Mungu nisaidie nipone katika haya Mambo matatu maana naogopa
Thanks... It's not simple but let us pray for each other..
Blessed a lot in Jesus Christ... I learn
And waiting for continuations
Eee.mungujirako.ritukuzwe.duniyani.hadi.mbinguni.a santé.mutumishi.kwakutupa.ujumbehu.kwakweri.yesu.nimwema.tujitahazari.kwahayo
Asante kwa shuhuda
Asante kwa mafundisho
Amina asante sana kwa ushuhuda Mtumishi.
Tunashukuru kwa hili
Mungu nisaidie peke yangu siwezi.
Amen Amen.
Una weza kusoma mwanzo 9:3-4
Tuna Nashukuru Mungu kwa ushuhuda huu bali naomba tusome neno la Mungu kwa umakini,tusije tuka jichanganya. Mungu nwenyewe ana turuhusu tule kila kitu kyenye kutembeya na kuwa na maisha. Ana sema tusile nyama na damu yake. Siyo kusema tusile nyama
Unapingana na Mungu mwenyewe? Sikiliza tena siri hii zaidi ya mara 3,mpango wa Mungu nyama sio sehemu ya chakula,ilitolewa baada ya anguko
Wenye masikio watasikia
naona wengi hamko makini katika kusikiliza, Bali misingi ya dini zenu ndo zimwgandamana na mioyo, kuna mambo mawili hapa. 1. chakula kabla ya anguko ,mwanzo 2:29 2.chakula baada ya anguko, mwanzo 9:3, pia anasema hatamhukumu mtu kwa kula isipokuwa alaye chakula cha baada ya anguko hatafunikwa na nguvu za Mungu za kutosha kama anayekula chakula baada ya anguko. Hii Haina uhusiano na hukumu Bali uvuli wa nguvu za Mungu
Amen Amen Amen 🙏🙏 nashukuru sana kwa kutuletea mafunzo haya. Na mungu akubariki sana Mr Jacktan kwa kuelimisha ulimwengu
Jamani vp kuhusu kula dagaa,mazwa,asali,blubend na soda naomba kueleweshwa;
Ili kuweza kurejea katika hali ya utimilifu wa kiroho ni lazima kurejea Eden,huu ndio mpango wa Mungu. Kumbe wasabato tuko sahihi. Ondoa nyama kwenye seheme ya chakula chako. Ondoeni dhana za kilokole eti vimetakaswa tule tu,nimempenda mtumishi Iyke,Bwana azidi kumbariki sana.
ila iyke sio msabayo ujue
@Simon Revelian hata asipokuwa msabato,mimi ninachoangalia ni ukweli unaposemwa,kama mtu yeyote atapewa mafunuo na Mungu na yakawa sawasawa na Neno la Mungu na Roho akinishuhudia ndivyo yalivyo,mimi ni nani hata nipinge,zaidi ya kuomba neema na nguvu kuyaishi.
Ndio naanza...ndani ya promover tv sichelewi kufwatilia maanake napata kubarikiwa sana.
HALELUYAH
Ameni
Mwanzoni Mungu aliwaamuru wanadamu wale matunda na mboga pekee, yaani mimea tu.
Baadaye Mungu aliwaambia binadamu wale nyama ya wanyama ila baadhi yao tu, si wanyama wote. Alisema wanyama wengine ni wachafu(unclean).
Baadaye, Yesu Kristo akiwa ulimwenguni, aliwaambia wafuasi wake wale vyakula vya kila aina, akisema kuwa maovu yanatokana na yale yatokayo mwilini kama chuki, masengenyo, wivu, nk, ila yanayoingia mwilini hayafanyi mwili ukose kuwa takatifu. Kwa kusema hayo, alimaanisha sasa tuko huru kula vyakula vya kila aina na si dhambi tena. Mfano: nyama ya nguruwe.
Lakini mwishowe, katika dunia mpya na mbinguni, itakuwa kama mwanzoni. Wanadamu wote, pamoja na wanyama wote, watakula vyakula ambavyo vimetoka kwa mimea pekee. Kwa sababu hatutakuwa na kifo tena. Ukichuna matawi au matunda ya mmea, huo mmea hafi. Ila ili ule nyama ya mnyama, itabidi afe kwanza.
KWA HIVYO KWA SASA SI DHAMBI KULA CHAKULA CHO CHOTE KINACHOKUFURAHISHA, ISIPOKUWA NYAMA YA BINADAMU MWENZAKO, KWA SABABU HUO NI UCHAWI.
Sio kweli,sio kweli kabisa,Mungu sio kigeugeu wala hajabadilika,again jipya wala Yesu hakuja kutangua torati na manabii,kile ambacho Mungu alikizuia,ni najisi,hakijabadilika,kwa dunia hii inayozidi kuharibika ni Vyema kujitenga kabisa kw vile ambavyo Mungu amekataa tusivitumie. Kuna ushuhuda niliusikia humu yule aliyekuwa anatumika katika ulimwengu wa giza kwamba nyama zingine kwenye mabucha ni nyama za binadamu,ni vyema tukawa waangalifu sana.
Wewe hujasoma Biblia vizuri. Yote ambayo nasema yako katika Biblia.
P m
Ewe bwana usifiwe milele yote na ahimidiwe milele ,unisaidie ni malize mwendo salama.
Amen
Mmmmh
Ameeeeen ❤️, muulize kuhusu mapambo
Mungu hapendi mapambo. Heri kukaa tu jinsi aluvyotuumba
Mungu hapendi mapambo. Heri kukaa tu jinsi aluvyotuumba
@@monicahwanjira9038 ❤️😍
afadhali nilikuwa napasubilia hapa
Na ukila lazima chakula kitakaswe Na damu ya yesu
Kumekucha sasa
Ninakupata vizur Kaka Jactan kutoka IRINGA mjini
AMINA MUNGU NI MWEMA amejaa Neema na Rehema si mwepesi wa Asira Naamini
amina
Kaka jaktan mbn tumeisha kwhy nyama haturuhusiwi?? Mbn mkanganyiko
Ni maombi yangu tu kwamba badala ya upeo/mawazo yako bali awe Roho mtakatifu akuongozaye kuyabainisha maswala ya kiroho
Duuu ♥️♥️♥️
🙏🙏
Yaani tutaenda kweli mbinguni
Tutaenda maana ndio maana MUNGU anatupa siri
@@highzacknnko9685 lakini ngumu kweli
@@naomytemba4348 sio ngumu naomi temba!!!!!! Maana kama kitu usicho kijua ndio kinakuwa kigumu!!!! Lakini ashukuriwe MUNGU afumbuaye siri
Jeremiah 30:21 leader is Kenyan Gikuyu
Adamu mmbaya anakuja lini
Hivi karibuni, endelea kufuatilia
Namsubir kw ham Sana Adam Mbaya aje kutusaidia tafcri za maandiko,tuna hitaji kuelew
Eeh bwana wetu yesu kristu utupe nguvu ya kutawala mdomo, tumbo Na kiungo cha siri
Baba yangu wa kiroho amekatazwaa asile nyama kwahiyo halagi.
Vp kuhusu kula dagaa,maziwa,blubend asali,hapo ipoje naomb kueleweshwa
@@agathaladislaus8991 kwa kwelii sikuwezaa kukaa Naye nimuulize zaidi Ila yeye aliniambia kabisa kwamba yeye amekatazwaa asile nyama kwahiyo halagi nyama hata mafuta ya kujipaka roho mtakatifu alimwambia kabica Aina ya mafuta ya kujipaka akanunua nitapata muda nimuulize tu siku moja.
@@emanuelmsaky8074 Kwa kwel muulize na hayo ili atusaidie kuelewa,napenda kujifunza ktk hili"bnafc cjaelewa
@@agathaladislaus8991 usijali Ila kaa na mungu vizuri hatakuficha neno lake Kama umesikia ushuhuda wa Siri za mbinguni hakikisha hivyo maan hayo ndo maisha ya mwamini kweli kweli naishi ivyo naon power of God in my way.
@@agathaladislaus8991 Mamy Simama Kiroho Sanaa Muulize MUNGU Atakuonyesha na Kukuelekeza Simama mwenyewe Utaona tyuu.mim mwenyewe nilipata ujumbe wa kuhusu Hereni mapambo haya .ukiwa karibu na MUNGU ATAKuonyeesha kilakituu
Tukoko pamoja mtumishi nikomakinisana
Duuu hii ni hatari, kweli njia ya mbinguni ni nyembamba, MTU toka kuzaliwa tunakulaga nyama Leo hairuhusu duuu. Mungu nisaidie
MUNGU hajawahi jichanganya hata siku moja NO NO NO leo aseme YES kesho aseme NO haijawahi.huyo sio MUNGU may b miungu ya dunia hii.siye aliyemba mbingu na nchi ambaye ni Jana Leo hata milele aliyejua yatayokuwepo milele iweje leo ajipinge kwenye biblia yake au neno lake???? jactan
naomba nkushauri kitu kama umeokoka na unaamin katika maombi bas ni mda wako sasa ingia kwenye maombi muulize Mungu atakufunulia makubwa zaidi ya hayo ya chakula adi utaogopa kusema kwa mtu yyte sababu utaona kama watakuona umechanganyikiwa Yer 33:3
Johns acha ubishi Bora kunyamaza kuliko kupinga shuhuda za Roho wa uzima, Kama zimekua mzigo mwombe Mungu akurehemu ,kwani wewe unajitetea au unatetea nyama? Kwani usipokula nyama utapungukiwa Nini? Kuliko kuanza kubishana Kisha uingie kwenye hatia mbaya, yako mambo lazima yadhihirike siku za mwisho na mambo mengi yatafunuliwa yalio kua yamejificha.
Jaktani nimejifunza xana kwa habari ya kinywa maana ndio konachotoa uchafu
Sasa itakuwaje?? Mbona watu wameishi tofauti??
Jactani sijaelewa kwa hivyo haturuhusiwi kula nyama?
Kama ulivyoelewa
Kwani sio ajabu
Kwakua MUNGU kutompa nyama Adam arikua anajua sababu

Amen 🙏