Mungu akubariki sana mtumishi Jacktan, hakika unatumia taaluma yako vyema. Vyombo vyote vya habar ingekua hivi, mavuno nyumban mwa BWANA yangekua ni mengi sana.
Tunaomba yesu kristo awawezeshe safari yenu mfike salama bila vikwazokutoka Kwa yule mwovu.karibuni Huku kwetu Kenya.nawatakia safari ambayo itafunikwa Kwa damu ya yesu.
Wow hongera sana pastor margaret
Wow hongereni sana Kenya kwa kutembelewa na watumishi wa Mungu hao.hongera ajacktan kwa kazi nzuri ya Mungu
Amina sifa kwa Yesu, karibuni sana kenya kwa jina la Yesu, Timu yote ya Promover Bwana Yesu awabariki sana
Hallelujah!! MUNGU ni mkubwa milele.Neema ya BWANA YESU iwe nasi.Nawakaribi kwa jina la YESU KRISTO.Nawapenda Akina dada hao.AMINA!
Hallelujah,hallelujah hallelujah,hallelujah,sifa ni kwa bwana wetu YESU Kristo.karibuni saana inchini kwetu Kenya .
Halleluyha sifa kwa Bwana YESU, karibuni sana watumishi wa Mungu, Asante sana mutumishi Jactan kwa kutuletea Ujumbe huu.
Wow Kenya you are so luck nawapenda sana hawa kina Dada Rachel na Mdogo wake ziporrah
Amen Amen karibuni sanaa watumishi wa Mungu
Karibuni Sana kenya watumishi wa mungu. Tunawasuburi mno uku kenya
Watumishi Wa Mungu karibuni sana kenya
Kenya is really blessed...... very highly annointed women of God.
Na Raisi wa Kenya anampenda Mungu mambo ni moto
Hallelujah karibuni kenya watumishi wa Mungu,,muwneze injili waliopotea wapate kukombolewa Amina
Yes wow nice AMEN AMEN hizo n baraka 🙏🙏🙏🙏
Karibuni dada zetu. Njoo mutuambie ukweli vile wanadada wanafaa kuvaa.
Amen Amen barikiwa sana mtumishi wa BWANA
Hallelujah Hallelujah Yesu Ainuliwe saaana Watumishi wa Mungu wabarikiwe saaana 🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera Jactan msafiri Kenya tuko lucky. Jactan na promover Tv hawataki tukienda hell fire God have mercy on us
Karibuni Kenya
Karibu kwetu amen
Amina Amina mchungaji Margaret na promover tv.hii ni baraka tele.
Wow we will be happy to see them live. Mungu awafikishe salama.
Amen ,kwa jina la yesu kristo tunawakaribisha watumishi wa mungu ,asante sana jacktan kwa kutuletea huu ushuhuda wa mungu .
Hiyo semina ni Moto
Wao...thats nice to hear.barikiweni sana.hua namfwatilia rachael mushala sana na bwana yake na dada yake zipporah.
Mungu nisaidie nipate chochote nichangie,
Amen Amen kwa kweli furaha kubwa sana waleteni Canada
Kiukweli Kenya wamebarikiwa, itakuwa siku nzuri sana na zenye baraka na Neema. Waje na Tanzania Jamanii
Wow karibu sana watumishi wa mungu
Heh huko nitafika, kwa Utukufu wa Bwana wa Majeshi, Thank you so much. welcome welcome welcome, and To God be the Glory 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nasubiri sana,niko nawafuatilia kila mnapoingia live
Halleluya bwana yesu abewe sifa, karibuni kenya watumishi wa mungu
Amina, hongereni sana kenya
Karibuni sana watumishi wote wa Mungu.
Tunawakaribisha Sana in Jesus name.
Kwa jina la Yesu tunawakaribisha nyote. Amen.
Asante mchungaji.
Ameeeenn pastor
Mbarikiwe sana sana promover Tv Kwa kazi nzuri mnayofanya
Karibuni Kenya
ningetaka kuja sana hiyo seminar lakini nko mbali lakini nitafuatilia online
PS t rose pastor karibu Kenya
Amen 🙏🙏
Mungu akubariki sana mtumishi Jacktan, hakika unatumia taaluma yako vyema. Vyombo vyote vya habar ingekua hivi, mavuno nyumban mwa BWANA yangekua ni mengi sana.
Asante sana
Karibuni sana
Karibu Kenya watumishi wa mungu
Karibuni Sana madada zangu hapa kwetu nchini i wish ningekuwa nihudhurie iyo seminar, but MUNGU NI MWEMA
This is a great news🤚🤚🤚🤚🤚 wow wow wow
Glory be to God .
Mtumishi naomba uyo dada esta masanja atembelee na makanisa dare salaam kwa ushuhuda wake huo watu wapate funguliwa wapo wengi sana
Kabisaaa
Wooow that's awesome they're highly welcomed
Waaaah .. ameeeenn
karubuni sana Kenya waaaaah
jamani tunawapenda sana yaani karibuni hata kama ni kenya nikama nitakua hapo kwa furaha niliyo nayo
Amina injili iende mbele
Huu ni uamsho mkubwa jina la Yesu liinuliwe juu sana Yoh 3 : 14
Welcome servants of God
Pst rose amen 🙏 0:53
Mioyo yetu ipo tayari kupokea neno la mungu kutoka kwa wabeba maono Hawa vingunge wa kiroho
Amen Amen
Tuko pamoja wapendwa wa Mungu
MUNGU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU
TAFADHALI SANA SANA SANA..........TAFADHALI SAAAAANA WAAMBIE WAJE MOMBASA.........PLEASE PLEASE PLEASE PLEEEEASE
Tunaomba yesu kristo awawezeshe safari yenu mfike salama bila vikwazokutoka Kwa yule mwovu.karibuni Huku kwetu Kenya.nawatakia safari ambayo itafunikwa Kwa damu ya yesu.
Kuna makanisa makubwa yenyewe hayajishughulishi na maonyo ya watumishi hawa.
Mbona wanasema mwanamke hatakiwi kuwa mchungaji mbona huyo anachunga...???
Mungu ana siri kubwa