HALELUYA sifa na Utukufu ni kwa MUNGU alie juu .. YESU NI BWANA WA MABWANA Msifu yeye tuu Ufunuo 4 11 Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa. Haleluya amen
Pastor Katekela, Kwa nini haukuombea ukombozi wa nafsi ya msukule badala ya kumuua kwa vile inaonesha msukule alikuwa anaomba msaada? Au uligundua alikuja kukudhuru?
Mungu akutie nguvu hata nami nakuombea. Wambie watu wa mungu ukweli huooo mungu akutie nguvu Kwa jina la yesu
Mungu awabariki Promover TV na Mch. Katekela
Amina
Ubarikiwe wewe no macho ya mungu duniani, nazidi kufuatilalia maubiri yako
Tume barikiwa sana, na UBARIKIWE wewe mtumishi wa mungu
Hakika ni neema
Imekuponya
Mungu aniokoe
Na hukumu ya Adhabu
Yupo mungu hakika
Powerful Testimony
MINA MCHUNGAJI MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU KWAMAHUBILI NAMAFUNDISHO MANZURI NA UFUNUO MUNGU ALIOUWEKA DANI YKO
MNG akubariki na akujalie uwe na mwisho mwema
Ameeen. .baba. yet. Umbarekwe. Sana
Amen 🙏
Amen
HALELUYA sifa na Utukufu ni kwa MUNGU alie juu .. YESU NI BWANA WA MABWANA Msifu yeye tuu
Ufunuo 4
11 Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa.
Haleluya amen
Ss
@ i correct
I HOPE HIO KANISA NI NEW LIFE CHURCH MAVUENI MOMBASA, HAPO MOTO. WA YESU UNA WAKA KWELI KWELI
Wewe hapo sio mavueni huko ni TZ
Singida
Pastor Katekela,
Kwa nini haukuombea ukombozi wa nafsi ya msukule badala ya kumuua kwa vile inaonesha msukule alikuwa anaomba msaada? Au uligundua alikuja kukudhuru?
Mchungaji samahan naomba mawasiliano yako
Misukule Ni ma what
Goritha, aliubeba msalaba akaelekea gorigotha
Amen