MUNGU ANAKUANDAA KWA KILE ALICHOKUANDALIA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 6 หลายเดือนก่อน +28

    Ee Bwana niaandae kwa ajili ya ndoa uliyonipe,mm pamoja na Ibrahim kalaita, kwa jina la yesu, mungu tusaidie ameeeeeeeennnnnn 🤲🤲🤲🤲

  • @FanuelMkimbo
    @FanuelMkimbo 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu nakuomba uniandae kwajili ya kusudi la kuwepo kwangu duniani pamoja na familia yangu🙏🙏🙇🙇🧎

  • @mwashitv715
    @mwashitv715 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu nakuomba unitete mimi uniokoe na hatari zote

  • @AlicePaul-ro1lu
    @AlicePaul-ro1lu 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu naomba uniandae kwa Kile kichopo mbele yangu. Amen

  • @judithpeter2013
    @judithpeter2013 6 หลายเดือนก่อน +8

    Amen Tunaomba utuwekee full ibada ya mwisho tuangalie

  • @JamesLudovic
    @JamesLudovic 3 หลายเดือนก่อน +1

    eeeh YESU naomba unipe mke mwema 🙏

  • @PeterIsaya-b8o
    @PeterIsaya-b8o 19 วันที่ผ่านมา

    Napokea..

  • @Msuya-w4v
    @Msuya-w4v 2 หลายเดือนก่อน

    Thanks lord ... Mungu najua umeniweka kuwa kiongozi ajae ... Nibarik kuwa wako

  • @FaridaSamwasa
    @FaridaSamwasa 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu nisaidie niandae utakapokuja kuchukua kanisa nami niwe mmoja wao. Bwana awe nawe mtumishi wa Mungu alie hai. AMEN

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 6 หลายเดือนก่อน +8

    Bwana Yesu niandae katika kuifanya kazi hii nitakayo ianza tarehe 22/5/2023 ambayo nakabidhiwa 15.5.2023

  • @scolaoisso9156
    @scolaoisso9156 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu najua ulivyo mkuu naomba nisamehe uinue Tena biashara yangu iliyo anguka

  • @JoyceLyimo-yi2ey
    @JoyceLyimo-yi2ey 3 หลายเดือนก่อน

    Leo hii nimeota mwalimu ukinitamkia kuwa manyoka yote yamenitoka.... namtukuza Mungu na naomba Mungu akulinde wewe na familia na huduma. Amen 🙏

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amina Mwalimu MUNGU Akubariki azidi kukuinua zaidi Shaloom

  • @jacksonmenas6026
    @jacksonmenas6026 หลายเดือนก่อน

    Baba niombi langu mnapoombea mabinti wapate waume sahihi msitusahau sisi vijana wa kiume, maana apatae mke mwema apata kitu chema naye apata kibali kwa Bwana naitwa Jackel menas mpwepwa nina miaka 28 naomba BABA uniombee nipate mke mwema nipate kibali Amen

  • @JackIbra-b3f
    @JackIbra-b3f 5 หลายเดือนก่อน

    Amen, UTUKUFU KWA YESU KRISTO❤

  • @mesiamkisi6518
    @mesiamkisi6518 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ameni naomba mwendolezo wa ibada Mungu awabaliki

  • @sarahbarnaba8833
    @sarahbarnaba8833 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu naomba uniandae Kwa ajili ya ndoa yangu

  • @TEDDYmichael-z8f
    @TEDDYmichael-z8f 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze baba usiache kutuombea na sisi tumtumikie kwa bidii

  • @JoyceLyimo-yi2ey
    @JoyceLyimo-yi2ey 3 หลายเดือนก่อน

    Nina Imani ya kuwa Kuna mahali napaswa kuwa ni hii imenisumbua Sana naomba Mungu mapenzi yake yatizwe kwangu Kama alivyokusudia.

  • @LovelyJoel
    @LovelyJoel 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen faith without action is die 😇🙏 I believe in the word of God as he says must be

  • @frolencialupilya6209
    @frolencialupilya6209 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen

  • @PeterIsaya-b8o
    @PeterIsaya-b8o 19 วันที่ผ่านมา

    Ameni

  • @yassinshaban1343
    @yassinshaban1343 6 หลายเดือนก่อน

    Niombee ninayo huduma ira nayumba sana mtumish ubarikiwe Sana niombee sana

  • @omuze1290
    @omuze1290 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ni kweli kabisa ila madarasa mengine ni magumu sana. Bila kuwa na tunda la uvumilivu na unyenyekevu, pia neema ya Mungu kukufunika hamna kufuzu.

  • @JoyceLyimo-yi2ey
    @JoyceLyimo-yi2ey 3 หลายเดือนก่อน

    Namuomba anijalie kumsikia katika Kila Jambo nitakalomuomba

  • @frankwilfred726
    @frankwilfred726 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu niandie kwa ajili ya uponaji

  • @AugusterJackson-eb6er
    @AugusterJackson-eb6er 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu niandae bwana

  • @willbroadkaizirege4470
    @willbroadkaizirege4470 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina, Amina, Amina.

  • @rachelkamaze
    @rachelkamaze 6 หลายเดือนก่อน

    Amina baba barikiwe nimetoka na kitu

  • @godfreyoisso-mw2rr
    @godfreyoisso-mw2rr 6 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa maarifa mtu wa Mungu, barikiwa sana

  • @RachelBundala
    @RachelBundala 6 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @salomengowi3383
    @salomengowi3383 6 หลายเดือนก่อน +3

    Amen 🙏

  • @marryedson2762
    @marryedson2762 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unisaidie kuyajua mapenzi yako juu ynagu

  • @emykimaro564
    @emykimaro564 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mbarikiwe sana

  • @TyasonKinyaga
    @TyasonKinyaga 6 หลายเดือนก่อน

    Ahsant Sana baba

  • @sarahvenance
    @sarahvenance 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie mm na mume wangu kutuandaa kiuchumi na ndoa yangu . Mwl nakupenda sana kila unapofundisha napanda kiimani Mungu akutinze Baba❤

  • @Esta-c2e
    @Esta-c2e 6 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaa 😭🙏

  • @TinaKisomba-jt6yr
    @TinaKisomba-jt6yr 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙏🙏

  • @yolandaluvakubusa8516
    @yolandaluvakubusa8516 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @ona_dr6555
    @ona_dr6555 4 หลายเดือนก่อน

    🙌🏾🙌🏾

  • @LennyMallya-oj7nj
    @LennyMallya-oj7nj 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen tuomba full semina

  • @LilianOlengeile
    @LilianOlengeile 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @SillahjrMolam
    @SillahjrMolam 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @jomomwalubandu6468
    @jomomwalubandu6468 6 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @msambwajoseph
    @msambwajoseph 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeni 4:31

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 6 หลายเดือนก่อน

    💯♥️👏

  • @christinamasanja8698
    @christinamasanja8698 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tuwekeeni kipande Cha mwisho tumalizie somo

  • @StanleyMoshi-r8e
    @StanleyMoshi-r8e 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman nomben msaada nahitaj kuongea na mwalimu na niko mkoan na mpataja jaman wapendwa

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kilitokea nini jumapili siku ya mwisho ya seminar kahama? Kwanini hatukuwa live?

    • @magrethmarco89
      @magrethmarco89 6 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo la network mpendwa...karibu nchi nzima,mpaka leo hii ni shida tu

    • @cmoshi7014
      @cmoshi7014 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@magrethmarco89 ohhh Asante kwa kunifahamisha. Barikiwa

  • @LyimoMhagama
    @LyimoMhagama 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @vincentonsomu8372
    @vincentonsomu8372 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu niandae ajili ya neno lako

  • @amanikisanga
    @amanikisanga 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba uniandae kwa jili ya ndoa yangu

  • @RachelBundala
    @RachelBundala 6 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @tumainmwamatenge4575
    @tumainmwamatenge4575 6 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @neemakhamissy
    @neemakhamissy 6 หลายเดือนก่อน +1

    ameni 🙏🙏

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @irynaedward2765
    @irynaedward2765 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @laizerlusiana9215
    @laizerlusiana9215 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @paulaugustino3242
    @paulaugustino3242 6 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏

  • @beibenyangi8595
    @beibenyangi8595 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @edwinmshana1376
    @edwinmshana1376 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @marthagwalema4393
    @marthagwalema4393 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @EMMANUELCHOMO
    @EMMANUELCHOMO 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @sarahmwakagugu6663
    @sarahmwakagugu6663 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @YohanaBuzinza
    @YohanaBuzinza หลายเดือนก่อน

    Amen