Ameeeen asante sana kwa ibada nzima na maombezi hakika naamin hakuna umbali kwenye maombi ,nimewekwa huru kwa jina la YESU, ubarikiwe Sana mchungaji🙏🙏🙏
PROMOVER TV MUNGU AWABARIKI KWA KAZI NJEMA MNAYOIFANYA.. ..Nahitaji kujua huduma ya Mch katekela iko wapi na pia nahitaji mawasiliano yake tafadhali naomba mnisaidie 🙏❤
Mchukaji, Mungu akupariki,nimejifunza mengi kwa mafundisho Yako Mungu akutie nguvu,
Ameeeen asante sana kwa ibada nzima na maombezi hakika naamin hakuna umbali kwenye maombi ,nimewekwa huru kwa jina la YESU, ubarikiwe Sana mchungaji🙏🙏🙏
Much, Kattekela ubarikiwe mahubiri yako yametufungua vifungo mungu alikuchagua ukiwa tumboni kwa mama yako:
Karibu kwetu mkoa Njombe wilaya LUDEWA na sisi tupone kiroho
PROMOVER TV wana wa Mungu mbarikiwe sana sana.
Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU nashindwa nisemeje juu huduma ulopewa na Mungu aliye hai,naomba uniombee nipo karagwe
Kwa YESU watu ubadilishwa ata na mwili ung'arishwa
Asante kwa mahubiri pastor
Mungu awabariki sana
Mungu nimwema sikuzote
Mch Katekella ubarikiwe sana
Amen sana
Amen Amen 🙏 ❤
PROMOVER TV MUNGU AWABARIKI KWA KAZI NJEMA MNAYOIFANYA.. ..Nahitaji kujua huduma ya Mch katekela iko wapi na pia nahitaji mawasiliano yake tafadhali naomba mnisaidie 🙏❤
Chukka namba kwenyee hii PROMOVER wapigie watakupa namba zao
Amina.
Ubarikiwe sana mtumishi naomba nipate namba yako.
Jactan group za kuchangia huduma zimejaa nimeshindwa kujoin