Wewe ndiye uliyefaa kuwa katibu mkuu wa CCM. Hiki chama kinatakiwa kuwa nawatu wasema kweli nawasiojali chochote ila nimaslahi ya Tanzania. Ubarikiwe sn' MUNGU akupe umri mrefu.
KAULI NJEMA. Hizi hata nyerere alikuwa nazo lakini hazijawahi kuleta tija kwa watu. Tumeishia kuwa watumwa kwa waTZ wenzetu. Nchi inahitaji uwajibikaji sio tena hotuba nzuri
Ccm aiseee kama mungu anahukumu kweli yy ndo anajua maana sio vizuri hali ya tanzania.sio nzuri kabisa kila.kona.ccm imechukiwa ila.ikulu wapo kwa mabavu isingekuwa.hivo mhh ikulu ingekuwa na chama.kingine
Viongozi wote wa ccm ni wabinafsi sana wanajilimbikizia mali utafikiri wataondoka nazo akhera kumbe watandoka na sanda tena rangi moja nyeupee innalillah waynnailahin rajun
Kwakweli leo Makongoro,(mzee wa mauzauza umeongea ya maana na ukweli usiopingika kuhusu ccm nimekuelewa sana na kl alie na akili timamu atakua nimekuelewa, tunaomba muambiane ukweli ndani ya chama na badilisheni mfumo wenu huo wa kupata mgombea
Ukimwangalia Mzee huyu na kumsikiliza unaweza kuona kama masiharaa.ila hapa kicheko chake kinadhihirisha wazi anachukizwa na mambo haya.leo wapo baadhi ya viongozi wanamuharibia mama samia.na mama anachapa kazi kwelikweli ila jitihada zake zinakwamishwa na wasio mpenda ili wamuharibie.watanzania tulijue hilo mama anachapa kazi
Na kamwe hasingeweza kukusaidia,,,ulitakiwa hujipabanue na kukubalika ww kama ulivyo.,...siasa n juu ya hoja,,,,na hitikadi ... Nyerere alizigatia kwanza uzalendo,,,uliobebwa na hoja za kupambania wananchi....mbali na taratib za kichama....lkn hoja bnafsi na mitazamo bnafs vnatakiwa vikubebe ,..
Nyote ni vibaka hata Wewe mwenyewe ndiye kwani hamujuikani muliyoyafanya mwaka 2020 hata mmoja hamukuchaguliwa na wananchi mulipewa na Dola na Tume ya Uchaguzi wote Wabunge nani anabisha
Aya!! Bhana ....Ila kama hayati jk Nyerere angefanya siasa kama zako ,sidhan kama angefika mbali...ukiwa kiongoz mkuu na kuendekeza marafk ,,,kamwe huwez kupata ufanis.....wewe Huna itikad za kizaledo,,,Bali za kishabiki...rip julias kambarage Nyerere...,.
Wamezidi sana hao c c m kweli Makongoro unasema ukweli wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya arusha hawajalipwa mafao Yao mpaka Leo Makongoro tusaidie tupate haki yetu
@@saliminyusuph6122 Hakusema ACT kasema NCCR mageuzi, hakuna alichoongopa nikweli amewahi kuwa mbunge wa Arusha kwenye uchaguzi wa vyama vingi kwa mara ya kwanza 1995
Asante saana Makongoro Isaidie Tz Ndoto ya Baba Yako Inazama Hiko Matopeni!
Kikwete ndiye Kibaka mkubwa kuliko hata hao
Umeongea kweli tupu Mungu akulinde
Napenda sana hotuba yako hiyo Unaongea UKWELI mtupu sasa basi unakwaza wapigaji wa CCM lakini UKWELI ni UKWELI asante kwa hekima zako na UBARIKIWE
Hongera sana Mzee makongoro, you did a good work.Welldone.
Na kweli maneno ya mwl yametimia! Nawe mwanae ubarikiwe kwa kuwa muwazi bila kujali chama chako huo ndiyo uzalendo
Wewe ndiye uliyefaa kuwa katibu mkuu wa CCM. Hiki chama kinatakiwa kuwa nawatu wasema kweli nawasiojali chochote ila nimaslahi ya Tanzania. Ubarikiwe sn' MUNGU akupe umri mrefu.
Yaaan wewe saiz ulifaaa uwe rais basi tu mmepigwa vita 😅😅😅😅
KAULI NJEMA. Hizi hata nyerere alikuwa nazo lakini hazijawahi kuleta tija kwa watu. Tumeishia kuwa watumwa kwa waTZ wenzetu. Nchi inahitaji uwajibikaji sio tena hotuba nzuri
This man was one year behind me huko minaki high school and he was a very quiet man
Asante kumbe una hekima ya mzee wako hongera kwa kuwa mkweli
Wachane mzazi
Natumai watakuelewa
Na (muumba) akulinde na ubarikiwe.
Wameanza kusuntana wao kwa, wao😅😅😅
Ccm aiseee kama mungu anahukumu kweli yy ndo anajua maana sio vizuri hali ya tanzania.sio nzuri kabisa kila.kona.ccm imechukiwa ila.ikulu wapo kwa mabavu isingekuwa.hivo mhh ikulu ingekuwa na chama.kingine
Mbona wezio huwa wana fosi baba ako alikuwa sahii sana kuliko hao majambazi walio achiwa hicho champ.
Hii Ccm ni Majanga,wali
Umefanana na baba Ako wallah mungu amlaze maali pema peponi yaraby 🙏🙏🙏😭😭😭
Unafahamu na unachokisema dada
JJ@as qq
Hata kuchekà,
Fatumaaa
Unaweza kuwa na rafiki mlevi au mvuta sigara lakini wewe usiwe mlevi au mvutaji. Ila ni nadra sana uwe na rafiki mwizi halafu wewe usiwe mwizi!
Mh huyu namkubali sana makongoro
Kweli mzee baba umenena kwa luqha
❤ nakukubali sana nyerere mdogo
Uko sawa mkuu
duhh UKWELI MTUPU SIO UTAMADUNI WETU KUSEMA UKWELI
Nimependa maneno mazuri sana
Vizuri sana wachane mzazi
Kuzaliwa ni sku 1 nakufa ni siku moja.
(Mwenyezimungu) akulipe mzazi.
Haya maneno ni ya ukweli kwa mwenye hofu hata sasa anaeza timua mbio akawa free heart fully 🎉
Viongozi wote wa ccm ni wabinafsi sana wanajilimbikizia mali utafikiri wataondoka nazo akhera kumbe watandoka na sanda tena rangi moja nyeupee innalillah waynnailahin rajun
Mwamba nimekubali
Hiii bwana hiii n kweli kabisa hiii kweli tupu
Sikujua ! kumbe ni kama Mwalimu mwenyewe!. Vladimir atachumbia binti yako ili kutimiza maono Well done SANCHI
Hii kabla ya Hayati
Magu. Ni ya zamaniii
Nikweli mkuu
Umezeeka mzee
Safi Kabisaa
Kihame cha kinachokinzana na maoni ya mwasisi
RC wa rukwa ,,akiwakirishaaa
Kweli kabisa
Makongoro unajifanya nichekee simu...
Makongoro Nyerere hoyeeeee🎉
CCM WENGI NI VIBAKA 2
So amazing, so ambitious
Safi sana
Ni kweli yote unayosema. Maskini hana nafasi CCM hasa ya sasa.
Acha kupotosha huyo ni mkuu wa mkoa.
Baba yako alikuwa nimtu anayeheshimumaadili.
Tatzo linalokitafuna chama cha mapinduzi ni ufamilia zaidi
Wachache sana wanaosema kweli
Vigeugeu ni mithili ya macho ya Vinyonga ,njaa +kelele ,(shibe +ukimya .Hovyooo😂
Most they don't know you,but your very very resourcefully person.
Your level is presidential post.
Utauawa wew
Chukua nchi ya baba yako
Kwakweli leo Makongoro,(mzee wa mauzauza umeongea ya maana na ukweli usiopingika kuhusu ccm nimekuelewa sana na kl alie na akili timamu atakua nimekuelewa, tunaomba muambiane ukweli ndani ya chama na badilisheni mfumo wenu huo wa kupata mgombea
Pombe inamazara Rose mhando
Busara
Yatatimia tu.
Ukimwangalia Mzee huyu na kumsikiliza unaweza kuona kama masiharaa.ila hapa kicheko chake kinadhihirisha wazi anachukizwa na mambo haya.leo wapo baadhi ya viongozi wanamuharibia mama samia.na mama anachapa kazi kwelikweli ila jitihada zake zinakwamishwa na wasio mpenda ili wamuharibie.watanzania tulijue hilo mama anachapa kazi
Ukikaa na mwizi na wewe unakuwa mwizi kwanini usimtoe
sasa hao si waondolewa na mama tuu
Umbea tu uongo!
Heee sauti kama anatafsiri muvi zakigeni !!!
M
R Makongoro Uko Unasema Nini Unahamaje Chama Chako? Si Ulizaliwa nacho. Usikiache Endelea kukosoana ni Kawaida.Kula nao.
Na kamwe hasingeweza kukusaidia,,,ulitakiwa hujipabanue na kukubalika ww kama ulivyo.,...siasa n juu ya hoja,,,,na hitikadi ... Nyerere alizigatia kwanza uzalendo,,,uliobebwa na hoja za kupambania wananchi....mbali na taratib za kichama....lkn hoja bnafsi na mitazamo bnafs vnatakiwa vikubebe ,..
Ameeleza vzr angekuwa mzazi mwingine angeinua simu tu na wangepitisha jina
YETUMACHO CCM INAVITUKO WA TANZANIA
Mtoto wa simba ni simba 🤔
Waambie ukweli hao
Kama mwalimu!!
Yaani kumbe mzee nyerere sio mchezo aiiseee asante mh .makongoro kwa kuongea ukweli
Tema nyongo
Umenena lakini Chama ch Mapinduzi ni cha maheremu babako unaondoka kwenda wapi?warekebishe tu.
Ni kama wanavyomuharibia Mama samia yaani kwa sasa hivi kila kona viliio😢
Mmmmmmmh
Nyote ni vibaka hata Wewe mwenyewe ndiye kwani hamujuikani muliyoyafanya mwaka 2020 hata mmoja hamukuchaguliwa na wananchi mulipewa na Dola na Tume ya Uchaguzi wote Wabunge nani anabisha
😅😅😅😅😅
Wataje kama inawezekana
Huyu mwamba kiondoka ccm kutakuwepo na mpasuko mkubwa sana
Tv ya kipumbavu sana hiii
Tafsiri yke ukiwa na rafiki kibaka tusemeje😅😅😅
Kama wenzako hawakutaki kua mpole, nenda kafanye siasa sehemu nyingine. Iko siku watajua umhimu wako, Wakijua umhimu wako watakutafuta
Ibula
Anaugonjwa waa kucheka k
❤
Kumekucha
Ukweli mchungu lkn umewachana
Anacheka kama baba ake
Kakuahidi nafasi nini?.
Anachukua video ya miaka tisa nyuma. Anaileta leo. Ili apate VIEWS!
Mh. Makongoro umenena yote! Huu ndio uhalisia na ukweli wa CCM. Katiba na miongozo imelemewa na 'wamiliki wa chama'
Kamanda wangu hekima huu kama babako
yani makongoro anaongeaga ukweli kabisa hawa ndo watu wanaye takiwa wapewe inch najiulizaga kwanini hagombei urais sio ubunge
Kati yawezi wakubwa ..nchini... ni hao nahuyo..
CCM 99% ni vibaka
Kama mtu ni rafiki yako mantis heshma umenena vyema
Aya!! Bhana ....Ila kama hayati jk Nyerere angefanya siasa kama zako ,sidhan kama angefika mbali...ukiwa kiongoz mkuu na kuendekeza marafk ,,,kamwe huwez kupata ufanis.....wewe Huna itikad za kizaledo,,,Bali za kishabiki...rip julias kambarage Nyerere...,.
😂😂😂😂😂😂
Hii Ccm imetuchosaa,kikwete anamharibia Mama 5:50
Nitafurahi km kuna siku apata nafasi ya kugombea urais wa jamhuru ya muungano wa Tanzania
Alishagombea
U
😂
Clip ya enzi za awamu ya 4 hii.
Kinacho shangaza ni kama ameongea Jana!
HAPO UMEPATIA KABISA.
Wamezidi sana hao c c m kweli Makongoro unasema ukweli wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya arusha hawajalipwa mafao Yao mpaka Leo Makongoro tusaidie tupate haki yetu
Msilete utani kwenye mambo serious. Huu si utani. Ni mambo yanawagusa watu moja kwa moja. Be serious.
Anachukua video ya miaka tisa nyuma. Anaileta leo. Ili apate VIEWS!
We jamaa muongo sana 1995 Act wazalendo?
We ujui kitu ulikuwa ujazaliwa labda. Alikuwa NCCR MAGEUZI.
NCCR MAGEUZI ,IMEKOSEWA TU CHANGAMOTO ZA KAZI
@@saliminyusuph6122 Hakusema ACT kasema NCCR mageuzi, hakuna alichoongopa nikweli amewahi kuwa mbunge wa Arusha kwenye uchaguzi wa vyama vingi kwa mara ya kwanza 1995
Hii Ccm ni Majanga,wali
Wachaneeee wezi tu eti mtumishi wa Uma anakuwa milionea kwa wizi mtupu
😂