@@ilynpayne7491 sheria hazitoshi ndo maana wananchi wanahangaishwa huku ulaya kuna sheria ngumu kila siku wakiona tatizo hapo hapo wabunge wanakaa chini wanapanga sheria mpya nchi za huku wanapanga sheria kila Mara lakini huku afrika nchi na wananchi wanaongozwa kwa maneno
Makona anasimamia mkoa utafikili anasimamia Tanzania kwahiyo Tanzania wenye madini niwachache na wenye huluma na wananchi niwachache tungekua na viongozi kama hawa 10 nchi ingekua imefika mbali wengine wanajali matumbo yao respect sanaaa makonda🙏🙏🙏💯💯
Mungu Mkuu Baba yetu wa Mbinguni, Upewe sifa na shukrani kwa kutupenda. sio kwamba sie ni wema lakini Wewe ni Mwema kwetu na Unatupendelea. Twakushukuru mno ZEE wetu wa mbinguni; Baba Utukuzwe kwa yote
Mh. Makonda mwenyezi Mungu akubariki Mungu amekupa maono makubwa umenifundisha mema na mazuri kupitia uongozi wako wa kuwa na hofu ya Mungu kwa kutenda haki
🌍🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕 ⭐🌟 ✍️ Jamani kama hapa duniani haki ina thamani kiasi hiki kiukweli sijui huko twendako mbele ya MUNGU itakuwa na thamani kiasi gani... ✍️ Ila mimi kutoka kwetu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 MAKONDA na Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 Mama SAMIA Na Mungu Awalinde popote walipo...
Ila Arusha du kwa wavamizi na matukio ua dhulma du nakumbuka shamba letu lilirudi kwa neema ya mungu na mkuu wa wilaya ya meru Jerry muro❤du tu nahitaji maombi sana arusha
Hakika,mungu hawatupi waja wake ..na maan kwamba mam piy hawatupi wanawe na ndy maaan akakuteua wew baba mak0nda kuwatibulia matatz0 na mig0g0r0 ya0.. AMINA SAN UBALIKIWE MAK0NDA PAUL🙏🙏🙏~=
Mheshimiwa makonda mafisadi sio wapo arusha tu hata mbeya wapo sana na maskini wanapata shida sana,mungu akubariki kwa kutetea wanyonge, gombea urais utachukua kula kama zote.
Makonda hataweza, wala hatamaliza. Tatizo ni mfumo, taasisi na watu kukosa dhamira na dini. WaTanzania walikuwa watu wazuri na wema sana katika Afrika Mashariki nzima. Hadi Azimio la Arusha 1967, lililohalalisha wizi na uporaji wa mali za watu. Laana ya tukio hilo ndiyo inayoendelea na ndiyo wizi na uporaji hivi sasa vimeshamiri na kuwa jambo la kawaida, tena unachukuliwa kuwa ni aina ya 'ujanja'. Si viongozi, si mwananchi wa kawaida, si mashehe,si wachungaji.... Nchi moja ya ajabu sana.
Na mimi namuombea raisi wetu Mungu amlinde,Na Mungu wangu asisimiache Makonda bila ulinzi wa kiugu,ni mtu aliekosekana kwa mda Arusha,sasa ni wakati wa Bwana na Bwana akatende sawa sawa na mapenzi yake
Chuma kama Makonda ni vichache sana duniani na hua wanapigwa vita kubwa na wasio penda haki Wenyezi Mungu akufunike kwa mwavuli wake wa ulinzi tunakuombea sanaa.
Mh Makonda unastahili kushika wadhifa wa Waziri Mkuu ili utaratibu wako wa kutatua kero za wanachi wanyonge na wapiga kura na walipa kodi ufanyike nchi nzima kwa usimamizi wako wa karibu!
Nimefurahia kukusikia Denis!huyu Denis kwanza ana akili Sana pia ni mtu mwenye kupenda haki ana huruma Sana ulituongezea kidato Cha kwanza Hadi Cha nne unastahili kazi hiyo!
Nimehudhuria jioni nikasikiliza kiukweli inatia aibu kwa ccm, serikali na watendaji wake. Watanganyika wanateseka sana,hii ni sehemu tu ya mkoa lakini Kwa nchi nzima Hali ni mbaya. Watu tunapowaambia katiba mpya ni muhimu basi tuelewe. Haya mateso yote ni matokeo ya .fumbo mbovu unaopendwa na ccm. Kadiri watu wanavyokuwa na shida Kwa ccm ni fursa na mtaji wa kisiasa. Inafika ofisi za serikali au taasisi kama hospital unakuta daktari anachati ,unakwenda ofisi nyingine humkuti mtu. Tuna taifa la hovyo sana
RC.Makonda he'z the best and very straightfully that's my lifestyle kiukweli napenda mfumo wako wa utendaji hupindishi pindishi Mungu akulinde mno.
Nafuatilia matukio mbali mbali kutoka Oman Kwakweli vocha yangu natumia kihalisia. Asant Mh Makonda barikiwa sana
Tanzania kuna uonevu mnoo😢
❤❤❤@@ilynpayne7491
@@ilynpayne7491 sheria hazitoshi ndo maana wananchi wanahangaishwa huku ulaya kuna sheria ngumu kila siku wakiona tatizo hapo hapo wabunge wanakaa chini wanapanga sheria mpya nchi za huku wanapanga sheria kila Mara lakini huku afrika nchi na wananchi wanaongozwa kwa maneno
@@ilynpayne7491❤
Kusema ukweli kabixa makonda upo sawa kabixa Mungu akulinde tu Baba
Makona anasimamia mkoa utafikili anasimamia Tanzania kwahiyo Tanzania wenye madini niwachache na wenye huluma na wananchi niwachache tungekua na viongozi kama hawa 10 nchi ingekua imefika mbali wengine wanajali matumbo yao respect sanaaa makonda🙏🙏🙏💯💯
We sio makona anaitwa makonda🤣🤣
Allah umlinde raisi wetu kipenzi za mh makonda😷🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Amen
Amen sana
Mungu akulinde makonda me si mtanzania lakini mungu akupe jannat fridhaus inshallah 😢😢😢😢
Ww si Mtanzania ni wawapi
Najikuta nampenda huyu babaa MUNGU AMLINDE
Mungu Mkuu Baba yetu wa Mbinguni, Upewe sifa na shukrani kwa kutupenda. sio kwamba sie ni wema lakini Wewe ni Mwema kwetu na Unatupendelea. Twakushukuru mno ZEE wetu wa mbinguni; Baba Utukuzwe kwa yote
Mh. Makonda mwenyezi Mungu akubariki Mungu amekupa maono makubwa umenifundisha mema na mazuri kupitia uongozi wako wa kuwa na hofu ya Mungu kwa kutenda haki
NATAMAN MH MAKONDA APELEKWE KILA MKOA JAMAN
🌍🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕 ⭐🌟
✍️ Jamani kama hapa duniani haki ina thamani kiasi hiki kiukweli sijui huko twendako mbele ya MUNGU itakuwa na thamani kiasi gani...
✍️ Ila mimi kutoka kwetu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 MAKONDA na Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 Mama SAMIA Na Mungu Awalinde popote walipo...
Nipo germany 🇩🇪 mm ni mtanzania nafatilia sana mijadala ya Mh makonda Mungu amlinde huyu kiongozi
Asalam alaykum nahitaji kuja huko namba niwe rafiki yko
MH makonda Mungu akutunze Sana wewe ni jicho LA Yesu kwa wa Tanzania kwa neema ya mungu itakua
Mungu azidi kuku saidia makondo unatusaidia sana
Alusha hiyo balaka imetoka Kwa mungu pamoja na wenzenu wa ilinga waombeeni maisha malefu halo wakuu wa mikoa yenu ANINA
Be blessed Rc mwanawane ,Ngosha Makonda.unapiga kazi
Ila Arusha du kwa wavamizi na matukio ua dhulma du nakumbuka shamba letu lilirudi kwa neema ya mungu na mkuu wa wilaya ya meru Jerry muro❤du tu nahitaji maombi sana arusha
Muro naye alikuwa anafaa sana
Makonda be blessed you are Man of God
Makondo noma sana aisee...mwamba anajua sana.. Mungu akujalie sana uhai. Kaz njema mkuu
Allah akulinde makonda wetu namahasidi wanaotuonea wanyongee 😭😭😭😭😭😭🥰🥰🥰🥰🥰😘😘😘❤️❤️❤️
Hakika,mungu hawatupi waja wake ..na maan kwamba mam piy hawatupi wanawe na ndy maaan akakuteua wew baba mak0nda kuwatibulia matatz0 na mig0g0r0 ya0.. AMINA SAN UBALIKIWE MAK0NDA PAUL🙏🙏🙏~=
Safi makonda endelea kutatua kero za wananch wako ndio tunataka viongoz nawengine wakuige Asante mungu akulinde
Jamani kweli madudu yapo hivi Mungu atusaidie.Mungu amwinue Paul's Makonda kuwa Raisi ajae
Kaka yangu makonda nakuombea kwa mungu nakufananisha na ile nyota iliotupa matumaini ya kutamani kuendelea kuishi mungu akubariki sana
Makonda uko vizuri, mungu akupemaisha malefu.
Mheshimiwa makonda mafisadi sio wapo arusha tu hata mbeya wapo sana na maskini wanapata shida sana,mungu akubariki kwa kutetea wanyonge, gombea urais utachukua kula kama zote.
CCM watamua
Kwani mbeya hawapo wakuu wa mikoa
mungu ame shusha Neema Arusha makonda mungu akupe Neema🙏
Mwenyezi Mungu Akuzidishie maono hayo ya kusaidia Wananch
Makonda endelea na huo moyo Mungu atakupigania unawasaidia sana watu wenye shida
Makonda, Mungu akupe maisha marefu
Kazi hii ilipaswa kufanywa na Wanasheria, ni vile tuu nchi yetu ina watu wachache wenye utu na hofu ya Mungu, hususan wataalam..
Mungu akubariki makonda akuinue kwa viwango vya juu
Ubarikiwe mheshimiwa MAKONDA,,kwa kusikiza kero za wanaichi
Mzee Malulu DADEKI big up sana
Mniite umbwa sijui kafundishwa nanan?
Mimi nampenda sana makonda na ananitoa machozi Mungu Akufadhiri na uzao wako wote matendo haya yatakufuata
Makonda hataweza, wala hatamaliza. Tatizo ni mfumo, taasisi na watu kukosa dhamira na dini.
WaTanzania walikuwa watu wazuri na wema sana katika Afrika Mashariki nzima. Hadi Azimio la Arusha 1967, lililohalalisha wizi na uporaji wa mali za watu. Laana ya tukio hilo ndiyo inayoendelea na ndiyo wizi na uporaji hivi sasa vimeshamiri na kuwa jambo la kawaida, tena unachukuliwa kuwa ni aina ya 'ujanja'. Si viongozi, si mwananchi wa kawaida, si mashehe,si wachungaji....
Nchi moja ya ajabu sana.
Asante Sana kuna uozo mwingi sana. System imeoza Wanatakiwa kufumua fumua la sivyo huu ujinga hautaisha
Ndugu zangu, Ardhi imeshakua shida kweny nchi yetu. Tuweni makini sanaa .tunaweza kuamka sku 1 hii ardhi ya Tanzania ina Mgogoro yote
Migogoro kila siku
Hahaha
Mh,, MAKONDA Mungu akulinde
Makonda ata akilipwa pesa analipwa kihalali maana halali anashughulikia kelo za watu
Global Tv mko vizuri kwenye content
JANGO KESHADHULUMU TENA HUKO!!
HUYO MZEE DHULUMA NDIO ALAMA YAKE YA UTAMBULISHO MAHALA POPOTE PALE.
Duh kumbe ndo zake..?
Duh,ni nani huyo 🤔
Msichana wa Mzee malulu. Uko vizuri
Tena Mrembo saaana Mashalla❤️
Mwenyeez mung akulind
Na mimi namuombea raisi wetu Mungu amlinde,Na Mungu wangu asisimiache Makonda bila ulinzi wa kiugu,ni mtu aliekosekana kwa mda Arusha,sasa ni wakati wa Bwana na Bwana akatende sawa sawa na mapenzi yake
Bongo unaweza kupigwa na aliekupiga akiwahi polisi imekula kwako.. hii ndio inayotokea
Next president in tanzania 2040
2040 mbali sana mzeee 2030 tu
Namuona rais wa 2035 kwa mbaliii✊✊✊anaitwa makonda mtetezi wa wanyonge
Hapati wala hapewi
@@hamidamussa-sy4fm niamin mim mzee
Akika mungu awenawe makonds
Duh! Watu wengi namna hii hawana imani na serikali!
Huyo jamaa wa madini anaonekana ni mwizi
Kweli Arusha ni nchi nyingine aseee 😂
Chuma kama Makonda ni vichache sana duniani na hua wanapigwa vita kubwa na wasio penda haki Wenyezi Mungu akufunike kwa mwavuli wake wa ulinzi tunakuombea sanaa.
Rushwa ni aduhi wa haki alisema nyerere
Hahahahahaha Makonda bana eti utafikiwa tu we chochea maombi hahahahaha
Hi nchi hata ina fika mda mtu una ogopa kumiliki ardhi😢
Mh Makonda unastahili kushika wadhifa wa Waziri Mkuu ili utaratibu wako wa kutatua kero za wanachi wanyonge na wapiga kura na walipa kodi ufanyike nchi nzima kwa usimamizi wako wa karibu!
hao jamaa ofisi ya madini wamedhulumu haki ya huyo mzee.
Ni kawaida serikali ina watumishi wezi sana 😢
Daaah! Inachekesha ila inahuzunisha sana😂😂😂😭😭😭
Nipo INDIA ila nafuatilia sana mikutano ya makonda Mungu amlinde
Hii musee naongea km lebo na senteu😂😂😂😂
Rais wetu jaman kugundua arusha kuna shida. Aongezewe miaka mingi ,, makonda oye
Nimefurahia kukusikia Denis!huyu Denis kwanza ana akili Sana pia ni mtu mwenye kupenda haki ana huruma Sana ulituongezea kidato Cha kwanza Hadi Cha nne unastahili kazi hiyo!
Hongereni wana Arusha
Makonda umechelewa sana kuja Arusha kaka
Mnapotaka msaada wa kisheria msitilie uongo ndani yake...mtajikuta mnaumia zaidi😊
Jungle master 😎😎
Nimehudhuria jioni nikasikiliza kiukweli inatia aibu kwa ccm, serikali na watendaji wake.
Watanganyika wanateseka sana,hii ni sehemu tu ya mkoa lakini Kwa nchi nzima Hali ni mbaya.
Watu tunapowaambia katiba mpya ni muhimu basi tuelewe.
Haya mateso yote ni matokeo ya .fumbo mbovu unaopendwa na ccm.
Kadiri watu wanavyokuwa na shida Kwa ccm ni fursa na mtaji wa kisiasa.
Inafika ofisi za serikali au taasisi kama hospital unakuta daktari anachati ,unakwenda ofisi nyingine humkuti mtu.
Tuna taifa la hovyo sana
Ni wachache tunaoelewa uongozi wa CCM ni janga la taifa letu katiba mpya ni sasa
Umeona were nchi ya hoovyooo kuwahi kutokea mmeuza bandari zetu ZOOTE MUNGU atalipa
@@MACHOYATAI-jk6fu sio bandari tuu na mbuga zote migodi, Mt Kilimanjaro
Yani ina sikitisha nchi hii😢
Makonda pole na kazi ya huko Arusha ss Wana Kilimanjaro tuna kuombaukaribie huku tembo Wana tutesa sana watu wamemaliziwa mazao yao watu wa kufa njaa
Kazi anaiweza makonda
Me uwa nikiona hizi mada za makonda me ulia kila siku😢😢😢😢yani myonge ana haki lakini kwako ndo ana pata haki😢
Wanyonge wana teseka sana nchi hii😢😢
Tunakutakia maisha mwema makonda yenye baraka tele usichoke kusikiliza kero za wananchi
Hizo system za kuhamisha ni kawaida sana
Chongolo akisema mimi iko ongo niite mimi umbwa😂😂
Wanaka kumdhulumu huyu mzee makonda usikubali 😢
Hili jamaa la ofis ya madin ongo😅
Kumbe uongozi ni kazi
Haya anayoyafanya Mh makonda Atakosaje urais Muda wake ukifika Wananchi wengi wanamatatizo ya kudhulumiwa wana kero nyingi wamueleze nani
Nimeanza kukubali makonda apo kweli umeanza kufata haki kwa watu wanao onewa Tz
Utakuwa President wa Tanzania
Matatizo ya Watz hatamalizwa na Makonda wala Raisi au Waziri, bali KATIBA BORA NA SHERIA IMARA, chini ya MIHIMILI HURU.
Kilahatua Dua kk WA, TANZANIA TUNAKUOMBEA KK
Huyu ni raisi wetu ajae
Matatizo hayo sio tu arusha yapo na mafisa wa morogoro
Mzee Monabani
💯
JUNGLE MASTER😂😂😂mtu mbadi...makonda anaijua vyema hiyo lebo
Jamaa wa madini kaongea chapu kabla ya makonda hajafika
😅😅😅
Uhuni umefanyika kupokonya hiyo mzee
Serekali imeshindwa kutatua migogoro ya wananchi
Hivi hizi kero mbona nyingine ni za Kisheria kwanini kwanini baadhi ya zisipelekwe mahakamani?
Hakika makonda apewe mauwayake
Huu ndiyo utapeli wa nchi hii Wenye pesa anapewa kwenye manufaa
Hao wa madini ndio tabia yao
Huyu kaimu nae ni walewale
uyumwamba independent sana tumpate mkoa wa rukwa uyomba nakuelewaga sana
Corruption toomuch
Watanzania mko swa
Mh rais SAMIA AMEKULETA UWASAIDIE WANANCHI WA MKOA HUU, WENGINE WAIGE MFANO HUU
NataMani makonda Aje morogoro
Hii issue nilitaka sana kauli ya RC Makonda ila alitoka cjui kwa nini
Muheshimiwa umevaa gwanda
Wamasai wananifurahisa wanavyovaa
I think Kenya need such people, corruption is too high, ukiwamulika they kill you ama unatekwa nyara