Utani wa Makongoro Nyerere kwa Masista na Abate Mbele ya Maaskofu, Watu waangua Vicheko Kanisani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 29

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 ปีที่แล้ว +5

    Makongoro Nyerere tena katika ubora wake. Huyu anajua kulisha mgonjwa akala akashiba huku mwenyewe akiwa hakumbuki kama aligoma kula!... Speech flani nzuri haichoshi na yenye kuburudisha. RUKWA HOYEE😂😂

  • @nyamaiwayika5466
    @nyamaiwayika5466 9 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda mistari na misamiati yake jinsi anavyoipanga mwana huyu ya marehemu raisi mstaafu Mzee Nyerere,Hongera sana

  • @DevDavid-d2q
    @DevDavid-d2q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba so kwautani huu nakukubali sa

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupendaga kaka yangu wewe ni mfaliji sio mbabe vitisho majivuno na uchwa njaa wewe ni kiongozi wa mioyo ya watu

  • @FrenkSemzungu
    @FrenkSemzungu 26 วันที่ผ่านมา

    Inapendeza

  • @deograsiusgasper8735
    @deograsiusgasper8735 ปีที่แล้ว +2

    Stendap comed

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 ปีที่แล้ว +4

    Yaaa Serikari rudisheni shule

  • @silasmwendwa7320
    @silasmwendwa7320 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa anatosha kuwa Rais

  • @paulyvonne1147
    @paulyvonne1147 ปีที่แล้ว +1

    Maisha kujipendekeza 😊 kujipendekeza oyee

  • @tevinmae6217
    @tevinmae6217 9 หลายเดือนก่อน

    💯

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 2 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tunajifariji kwa watoto wa ayati mwalim baba.wa taifa ametuachia picha yake na ucheshi wake akupenda watu wanune aliingiza kichekesho sio wale wa utajili mwingi na kujilimbikizia ufisadi

  • @RichardMlaguzi
    @RichardMlaguzi ปีที่แล้ว +1

    Kiki oyeee

  • @qwirinishao1003
    @qwirinishao1003 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂aisee

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa mpenda kiki

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 ปีที่แล้ว +1

    Mtu wa amani, anapenda watu wacheke lkn ktk kazi ni jembe..

  • @davidgitonga7799
    @davidgitonga7799 10 หลายเดือนก่อน

    Kiki ni nini?

  • @adsonmbosso1202
    @adsonmbosso1202 ปีที่แล้ว +3

    Mpeni maua yake mzee wa Manyara

  • @velejilyomhongole1641
    @velejilyomhongole1641 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂Chai mmekunywa.

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 4 หลายเดือนก่อน

    Pombe pombe 😂

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 10 หลายเดือนก่อน

    madaraka kwa nini hapendi siasa naona kama angefaa sana kama kaka yake huyu

  • @michaelthadeos1025
    @michaelthadeos1025 ปีที่แล้ว +1

    Hanaga la msingi ni masihara na utani tu

    • @victormtani7170
      @victormtani7170 ปีที่แล้ว +1

      Wewe lako la usenge liko wapi pumbu sana ww. Hivi ww na makongoro Nyerere unamzidi nini kama siyo ww ni msenge tu michaelthadeos. Eti hanaga la msingi ww la chooni tu ndio unaona hanaga. Ww hata cheo cha kusimamia mashoga wenzako haujapewa. Wachana na Mh. Makongoro Nyerere hauna Legacy ya kumfikia

    • @SimonAmon-dr8xw
      @SimonAmon-dr8xw 29 วันที่ผ่านมา

      Mpuuzi Wewe ndio Huoni LA maana

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 ปีที่แล้ว +2

    Acha uongo wenyewe degree walikuwa zaidi ya kumi hasa degree za ualimu

    • @DICKISONJULIUS-z1x
      @DICKISONJULIUS-z1x ปีที่แล้ว +1

      Kama umepinga apo bas umetokea Kenya au uganda hujui lofoten kuusu histor ya tz

    • @jimmymbella997
      @jimmymbella997 10 หลายเดือนก่อน

      Ulikuepo miaka hiyo au unataka Kiki nawewe??😂😂😂😂😂

    • @victoriamazula5592
      @victoriamazula5592 10 หลายเดือนก่อน

      @@jimmymbella997 sikuwepo lakini baba yang alikuwrpo na akiwa mmojawapo waliokuwa na degree tena aliipata kabla ya baba wa taifa .

    • @MwazoaMwazoa
      @MwazoaMwazoa 10 หลายเดือนก่อน

      Makongoro ni mtu mzuri anaejua kuchomeka points muhimu mkapokea kama utani.kumbe ndio wameshamaliza linalotakiwa