Muhtasari: Luka 1-9

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 มี.ค. 2021
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Luka 1-9, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Luka, Yesu anaifikisha simulizi ya agano kati ya Mungu na Israeli katika kilele chake na anatangaza habari njema ya ufalme wa Mungu kwa maskini na matajiri.
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA
    #BibleProject #Biblia #Luka

ความคิดเห็น •