Injlii Ya Marko Utangulizi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2021
  • Utangulizi Injili Ya Marko
    Mwandishi
    Tangu mwanzo wa historia ya kanisa Yohana Marko anayetajwa katika Mdo 12:12, 15:37, Kol 4:10, 1Petro 5:13, 2Tim 4:11, Filemoni 24ndiya anayedhaniwa kuwa mwandishi wa Injil ya Marko.
    Kwa vile hakuna ubishi juu ya hoja hiyo ni salama kuamin ikwamba yeye ndiya mwandishi
    Aliandika kutoka wapi?
    Hapo kuna pendekezo zaidi ya moja.
    Galilaya
    Alexandria
    Na pia Roma
    Roma ikiwa inaelekea kuwa ndiyo inaleta maana zaidi lakini uhakika hatuna.
    Tarehe ya kuandikwa
    Kwa kawaida pendekezo ni kwamba Injili hii iliandikwa kwenye mwaka 64 AD (BK) kwa wakristo waliyokuwepo Roma na wakiishi kwenye matesommakali sana kutokana na serrekali.
    Tarehe kama hiyo inaleta maana kwa sababu inaeleza juu aya hekalu kuja kuharibiwa najiyo ilitokea baadaye 70AD
    Kusidi ya Marko ni wazi!
    Injili maana yake ni tukio ya muhimu itakayo badilisha historia.
    Mara nyingi ilitumika kwa kuashiria kuzaliwa kwa mfalme na mambo makubwa ya kisiasa.
    Marko anatoa hiyo injili kama andiko nzima ya yote yaliyotokea
    Pia maana yake ni habari njema
    Na kweli Marko anaonyesha kwamba anayoyaelezea yatabadilisha ulimwengu, haita rudi kuwa kama zamani tena
    Yesu ndiye Injili yenyewe na ni Masiha ambaye ametarajiwa na kutabiriwa na Agano La Kale (1:2-3)
    Anatanguliwa na Yohana, na ni Mwana wa Mungu atakye wakomboa wanadamu. (4-8, 11)
    Huyo Yesu anatangaza na kushusha utawala wa Mungu duniani (1:14-15)
    Anaendela kwa kusimulia juu ya miujiza na maajabu yanayofanyika kupitia huduma ya Yesu mpaka watu wanashangaa wal´kisema ”hatujawahi kuona jambo kama hili” 2:12
    Kusudi nyingine ni kuonyesha kwamba kuna jawabu la kiufanya kwa kila mtu anayesikia habari za hiyo injili. Huwezi kukaa tu bila kuitikia, kukubali au kukana
    Wapokeaji
    Inavyoonekana wapokeaji na watu wa kabila mbali mbali, na hiyo inaendana na wazo ya kuwa walikuwepo Roma ambayo ilikuwa mji wa makabila.
    Lakini pia tunaposoma anaelezea tabisa na desturi za kiyahudi kwa njia ambayo isingehitajika kama wapokeaji wangekua wayahudi tu.
    Uhusiano na Inili zingine
    Marko tunaamini ni injili ya kwanza tuliyonayo, na inaoneakana kwamba Mathayo na Luka ”wameazima” rejea nyingi kutoka injili hii na kuitumia katika ”injili zao”
    Mpangilio (moja)
    Utangulizi 1:1-13
    Huduma inaanza 1:14-3:6
    Ujumbe na matendo Galilaya 3:7-6:13
    Umisheni unapanuka 6:14-8:26
    Safari ya kwenda Yerusalemu 8:27-10:52
    Yesu anaingia Yerusalemu 11:1- 13:37
    Kuteswa, kusulubiwa na kufufuka 14:1-16:20
    English, D. (1992). The message of Mark: the mystery of faith (pp. 7-9). Leicester, England; Downers Grove, IL: InterVarsity Press.
    Outline of Mark
    1:1-3:6 Promise, Fulfillment and Conflict
    1:1-15 The Time Is Fulfilled
    1:16-39 An Exposition of Authority
    1:40-2:17 Three Healings
    2:18-22 Parables About the New and Old
    2:23-28 The Son of Man Is Lord of the Sabbath
    3:1-6 Conflict in the Synagogue
    3:7-6:6 The Power of God in Parable and Miracle
    3:7-35 Jesus and the People of God
    4:1-34 Parables of the Kingdom of God
    4:35-41 Jesus Rebukes the Wind
    5:1-20 Jesus Casts Out a Legion
    5:21-43 Jesus Heals Two Daughters
    6:1-6 Jesus Goes Home
    6:6-8:26 Miracles as Parables About Faith
    6:6-30 Repenting and Believing
    6:31-44 Five Loaves and Two Fish
    6:45-52 Walking on Water
    6:53-7:23 Clean and Unclean
    7:24-30 Someone Speaks His Language
    7:31-37 Hearing and Speaking
    8:1-13 Jesus Feeds a Mixed Crowd
    8:14-21 A Little Yeast Goes a Long Way
    8:22-26 Healing a Blind Man
    8:27-10:52 The Way to New Life
    8:27-9:1 Messiah and Son of Man
    9:2-13 The Transfiguration
    9:14-29 A Near-Resurrection Experience
    9:30-50 The Second Prediction of Jesus’ Passion
    10:1-12 Creation, Marriage and Divorce
    10:13-16 Jesus Blesses the Children
    10:17-31 Entitlement and Wealth
    10:32-45 The Third Passion Prediction
    10:46-52 The Blind Man Who Saw
    11:1-13:37 Faith in the City
    11:1-11 The Entry into Jerusalem
    11:12-25 Jesus Condemns the Temple
    11:27-12:12 A Question of Authority
    12:13-17 Land and Loyalty
    12:18-27 The God of the Living
    12:28-34 The Greatest Commandment
    12:35-44 David’s Lord and the House of God
    13:1-37 A Prophecy About the Temple
    14:1-16:8 The Cross as the Gateway to the Future
    14:1-11 At the Home of Simon the Leper
    14:12-31 Jesus and God’s Covenant
    14:32-42 The Son of Man in the Hands of Sinners
    14:43-52 Judas’s Betrayal of Jesus
    14:53-72 Jesus’ Trial Before the Elders of Israel
    15:1-15 Jesus, Pilate and the Crowd
    15:16-39 Jesus’ Humiliation and Death
    15:40-16:8 The Empty Tomb
    Kernaghan, R. J. (2007). Mark (pp. 24-25). Downers Grove, IL: InterVarsity Press.

ความคิดเห็น • 2

  • @MonicaNyakulinga-ts8qo
    @MonicaNyakulinga-ts8qo 25 วันที่ผ่านมา

    We ni dhehebu gan?

    • @KoinoniaEducation
      @KoinoniaEducation  18 วันที่ผ่านมา

      Evangelical. Kimafundisho tuko karibu na wabaptisti na wapentecoste.