Muhtasari: Mwanzo 12-50

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2021
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Mwanzo 12-50, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Mwanzo, Mungu anaahidi kuwabariki wanadamu waasi kupitia familia ya Abrahamu, licha ya ukosefu wao wa hekima na kutotii kwao kila wakati.
    #BibleProject #Biblia #Mwanzo
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 1