HII NDIO SABABU YA KUPATIKANA JINA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD | CHANGAMOTO ZA KANISA NA KUSIMAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Mchungaji Solomoni Mwagisa ametoa ushuhuda mzito sana kuhusu kanisa hili zuri la Tanzania Assemblies of God, amezungumza mambo ambayo wengi wanayafahamu kama propaganda ila Mchungaji na Profesa Mwagisa amesema kiini cha kupatikana kwa jina la TAG. amesimulia historia ya kweli na safari ya Kanisa pamoja na Mungu.
    katibu huyu mkuu mstaafu wa TAG na aliyesimama imara kwenye kipindi cha badiliko la kanisa, na mpaka kupatikana kwa jina la TAG na kua kanisa la kiroho lenye nguvu kubwa sana Tanzania kwa sasa, likiwa na zaidi ya washirika 1,000, 000 nchi nzima na majimbo 76 section 860 na makanisa zaidi ya 15,000 pamoja na wachungaji 15,800.

ความคิดเห็น • 7

  • @raphaelmitimingi6081
    @raphaelmitimingi6081 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mchungaji Mwagisa kwa historia hiyo fupi wa kanisa letu wa TAG. Hongera pia kwa kuendelea na kanisa lako. Wasalimie mama na watoto wote. Mimi baba mkubwa! Msalimu Gideon na Shifla na wote! Mbarikiwe!

  • @fadhilidronarashidjr9422
    @fadhilidronarashidjr9422 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki

  • @selegioelias9076
    @selegioelias9076 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe mzee yamkini ulishiriki kumuumiza mtumishi wa MUNGU kulola

  • @babumrisha
    @babumrisha 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa wasihame kwa sababu gani? Si uongozi umeamua? Kwa muktadha huo kweli hata mimi nisingemuelewa Kulola na kundi lake.

  • @evangelist22
    @evangelist22 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hata hamuogopi. Wazee wazima mnajua msimamo wa upentekoste wa mwanzo kuhusiana na mapambo, make-up, kuvaa vito, kufunika nywele,n.k lakini sijui mnaogopana. Nawaambieni kati yenu mna maagent.

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 3 หลายเดือนก่อน

      "Maagent"??...Mpendwa @evangelist22 fikiri tena juu ya "hukumu" hiyo....Ombea...Shauri....

    • @evangelist22
      @evangelist22 3 หลายเดือนก่อน

      @@mackfasonmoshi4629 Hii ndio hukumu? Hukumu ipo inakuja.