MKIMSIFIA MTU ALIYEKUFA KATIKA DHAMBI SAUTI ZENU ZINAGEUKA MVUA YA MOTO WA MATESO KUZIMU•ACHENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 28

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mbarikiwe watumishi wa Mungu kwa kuisema kweli ya Kristo,kutufungua masikio, maana kuna watu wanaabudu majina ya watu waliokufa na kurithishana yaani jina linageuka kama mtakatifu fulani na kuwaombea sanaa hao marehemu na kutoa maneno ya kutiana nguvu kwamba haipasi kuacha kuombea marehemu ni ibada ya kumpendeza Mungu wanavyojidanganya na kuwasifu sanaa walikuwa watu wazuri

  • @user-wz5pw3wh3r
    @user-wz5pw3wh3r 4 หลายเดือนก่อน +2

    Soit abondamment béni Mon frère, que Dieu te donne bcp Des revelations et de prêcher la vérité de la parole

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu tusaidie mahali tunaishi sijaona watumishi wa wanao batiza kwa Jina La Yesu. Mahali tuko Mungu atusaidie. Kaka Jacktan Barikiweni sana

  • @ScolaMwanjoka
    @ScolaMwanjoka 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @saramss7262
    @saramss7262 4 หลายเดือนก่อน +1

    BWANA WA MAJESHI nimwaminifuuu SANA Akubarikiii Sana shaloom

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 3 หลายเดือนก่อน

    1Yohana 4;1-4"'tusiziamini kila roho,Bali tuzijaribu hizo roho.."

  • @saramss7262
    @saramss7262 4 หลายเดือนก่อน +1

    JACKTAN bee BLESED my young brother god blessing YOU soo much

  • @sarifusteven4634
    @sarifusteven4634 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbalikiwe sana

  • @user-fx4gf5yw9w
    @user-fx4gf5yw9w 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen

  • @KingBwoyMusic
    @KingBwoyMusic 4 หลายเดือนก่อน

    Noma Sana

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 3 หลายเดือนก่อน

    Kama huna Roho mtakatifu unaweza amini kila kituuu,Ila mi napembuaaa

  • @user-qg6rw5mh6r
    @user-qg6rw5mh6r 4 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba ufafanuzi kwa kifungo hiki Mathayo 28:19.
    Asante.

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 3 หลายเดือนก่อน

      Alisema nendeni ulimwenguni mkahubiri injili, mkawabatize watu kwa jina la Baba na la mwana na la roho mtakatifu. Hajasema kwa majina ya, alisema kwa jina la!!! Means that, jina ni mmoja tu!! La Yesu Kristo. Matendo ya Mitume2:37-38. Jibu. Soma hiyo.

    • @gracegelege1706
      @gracegelege1706 3 หลายเดือนก่อน

      Yes pls me too

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo umechemsha muhubiri Mama una kana utatu baaaaasiiiii

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli Watu hawapaswi Kusifia Waliokufa

    • @jayjoe5160
      @jayjoe5160 3 หลายเดือนก่อน +1

      kattika dHAMBI

  • @AnnaLwanda-oj4jn
    @AnnaLwanda-oj4jn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameentuache kabisa

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 3 หลายเดือนก่อน

    Yeah ndiye alisema mitume waende kubatiza kwa kina la Baba mawana ma Roho mtakatifu Matayo 28:19 Sasa ten aajipingeee?

  • @gracegelege1706
    @gracegelege1706 3 หลายเดือนก่อน

    So Mathew28:16-19 is what then please Pastor clarify it.

  • @yusufusennyzacharia6013
    @yusufusennyzacharia6013 4 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢

  • @ivomhagama9796
    @ivomhagama9796 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni ukweli mtupu.sio injili ya kufarijiana uwongo.

  • @leahdaniel1117
    @leahdaniel1117 3 หลายเดือนก่อน

    Math 28:19 mbona hilo ni agizo la YESU mwenyewe kubatizwa kwa jina la Baba Mwana na Roho Mtakatifu??? Iweje tena ajkataze???