VUNJA JUNGU MDUDU MAANA KUBWA, UKIMUONA USIFANYE HAYA USIJEKUJUTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 849

  • @jacintamungai6493
    @jacintamungai6493 3 หลายเดือนก่อน +7

    Jehovah mungu wangu 🙏 naomba msamaha kwa sababu nilimuona kwa nyumba yangu Nika mfukuza hata Nika muua .. for give me Jesus Christ 🙏🙏🙏

    • @MasanjangwesaJiganga
      @MasanjangwesaJiganga 2 หลายเดือนก่อน

      Hata wewe unaanza amini ujinga Bora ATA usimtaje JEHOVAH wetu hapo Kama unaamini vitu vya hovyo soma kutoka 20:8

  • @AliceAlbert-o9j
    @AliceAlbert-o9j หลายเดือนก่อน +1

    Daaah.....skujua Ana ishara za kipekee namna hii
    ...mdogo wangu alimkuta chumban akamuuwa jmn.....😢😢

  • @maulididrissa5023
    @maulididrissa5023 ปีที่แล้ว +156

    Kueni makini kila kitu hupanga Allaah, huyo mdudu hana uwezo wowote wala hajui lolote kuhusu hayo. Imani nyingine hupelekea kwenye ushirikina.

    • @omarymollel-pl4tf
      @omarymollel-pl4tf ปีที่แล้ว +9

      Kuna bahazi ya maneno ni kweli

    • @maulididrissa5023
      @maulididrissa5023 ปีที่แล้ว +13

      @@omarymollel-pl4tf ni makosa kuamini hivyo, kama yanatokea wewe jua ni mipango ya Mungu na sio kwajili ya kumuona huyo mdudu. Kwanini leo uokote pesa bila kuonana na huyo mdudu useme Mungu kakusaidia, halafu mwezi ujao uokote pesa useme ni bahati ya kumuona mdudu kwakua tu ulikutana nae? Mungu hapendi imani hizo.

    • @mwinyikambi
      @mwinyikambi ปีที่แล้ว +2

      Kweli muwamini allhwa

    • @oneboytzoneboytz6789
      @oneboytzoneboytz6789 ปีที่แล้ว +4

      Sana baba umetisha

    • @oneboytzoneboytz6789
      @oneboytzoneboytz6789 ปีที่แล้ว +3

      Umetisha Sana

  • @REBAWANYAMA-mk7ng
    @REBAWANYAMA-mk7ng ปีที่แล้ว +3

    Damu ya YESU inaweza yote msalabani,huyu mdudu yuko China yangu katika Jina la YESU. Hizo ni itikadi tu ,mimi naamini MUNGU. Muache kupotoshwa jameni!!

  • @ShanazShaheen-gr6gd
    @ShanazShaheen-gr6gd 8 หลายเดือนก่อน +2

    Weeh mm nilimpata kitandani nikamgonga na kiatu tobah sikujua kama ni mbaya kumfukuza wala kumpiga Mwenyezi Mungu anisamehe nilimuogopa ila naomba Mungu anisamehe sasa nimepata ilmu kumhusu siku nyingine sitowai mfukuza wala kumgusa

  • @Shedrackngailo255
    @Shedrackngailo255 ปีที่แล้ว +11

    Ni kweli uyu mdudu ana baraka nyingi sana tena ana ulinz mkali ..ukiwa na Imani so kila mdudu anatumika kwa mambo ya kishirikina hapana ...uyu mdudu anaishara kubwa sana sana ukimuona kwenye nyumba yako usimuee muache ataondoka mwenyewe

    • @AliciaMwalimu-ce2qt
      @AliciaMwalimu-ce2qt ปีที่แล้ว +3

      Jmn mimi namfukuzaga tena nakemea, uwiiii simuuwi tena

    • @consolatadhiambo6978
      @consolatadhiambo6978 11 หลายเดือนก่อน

      Mimi humuuwa eti kaweza niuma

    • @JacquelineIbrahim-xj9mp
      @JacquelineIbrahim-xj9mp 9 หลายเดือนก่อน

      Jaman huyu mdudu kakatalia kwenye nyumba ya rafik angu Leo siku ya tatu na ni mjamzito , anavyosema anatua kwenye vitu vyenye rangi ya blue na blue bahari sijui ana maanisha nin , hebu mtusaidie jaman Hadi tunamuonea huruma atakua anahisi njaa ,
      Mpaka rafik angu aliamua kumpa Jani la tembele Wala hajala

    • @lilianhermenegild7175
      @lilianhermenegild7175 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@JacquelineIbrahim-xj9mpAtajifungua mtoto wa kiume

    • @vengageorge6574
      @vengageorge6574 8 หลายเดือนก่อน

      Nimenunua Jana usiku ndan kwangu

  • @anndaniel4055
    @anndaniel4055 ปีที่แล้ว +7

    Hii ni kweli kabisa juu juzi juzi nimepata kwa mlango yangu sikufukusa , but after some days Baraka miracles nimepata , na shukuru Mungu 🙏🙏🙏 kumbe ni kweli

    • @vailethmaji2158
      @vailethmaji2158 ปีที่แล้ว

      kumbe alikua na rangi gani mimi nimemuona wa kijivu

    • @karenwillypaulthisiswhatwe127
      @karenwillypaulthisiswhatwe127 8 หลายเดือนก่อน

      I feel so bad nilikua nikimuona nsmuwa namini ni mdudu mbaya tangu udogoni bt I thank to god now nimejua hata nimempata sijafanya kitu I just feel blessing in my home alhamdulillah 🙏❤

    • @happyerasto-yt8sh
      @happyerasto-yt8sh 3 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊

  • @user-ul2og2md9w
    @user-ul2og2md9w ปีที่แล้ว +56

    Huyu mdudu akiingia kwa nyumba ni ishara ya mambo mazuri au wageni wenye nia nzuri

    • @rehemaomary1739
      @rehemaomary1739 ปีที่แล้ว +1

      Mmh! Mm sikujua kuna siku nimemuona chumban juu ya begi lakin nilimtoa nje

    • @user-on3kz2kq7k
      @user-on3kz2kq7k ปีที่แล้ว +1

      Duu Kila mara huwa anapenda kuingia ndan kwangu

    • @kassebo
      @kassebo 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂

    • @suzanbegas4139
      @suzanbegas4139 4 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kbs

    • @juliethhope7281
      @juliethhope7281 3 หลายเดือนก่อน

      Yan mie nimemuua week ilopita.uwa nawaua jmn.sijuagi mm

  • @Dullah_plachu
    @Dullah_plachu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo n ishara2 jaman mungu wetu anatupea kupitia viumbe, sas nashaa hao wanosema tunaabudu sio kweli. Mbona tumepewa ishara nyingi sna na mungu wetu kupitia viumbe wake. ❤

  • @user-ch5tg5cg5i
    @user-ch5tg5cg5i หลายเดือนก่อน +1

    Me kila nikimuona huyo mdudu kuna jambo baya lazima litokee namuomba mungu aniepushe nae jmn

  • @atuganileluvanda1525
    @atuganileluvanda1525 ปีที่แล้ว +9

    Kama n kwel basi MUNGU ashkuriwe sn Kwa kutuletea wanyama/ wadudu 🙏🙏

  • @MerinaJohn
    @MerinaJohn ปีที่แล้ว +11

    Jamani mm 😭😭 mwenzenu nimuona karuka kaja kutua kwenye mtandio wangu ambao nimevaa nikuwa sehemu ya kazini kwangu nikamfukuza Na kumpona Na jiwe maana kimuona vunja jungu natamani kutapika 😭😭jana tena nikuwa nafua kaja kutua mngongoni mwangu nikapiga kelele nimponga nda tena Na jiwe jioni naenda dukani kwamangi bodaboda nusu inikate mguu eee MUNGU naomba unirehemu

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 ปีที่แล้ว +7

    Katika Iman ya jamii yetu tunaamin mdudu huyu huhusika na kufikisha ujumbe, akija nyumban kwako akawa amekaa juu ya mlango wako au akaingia ndani ni ujumbe kaleta baada ya siku utapokea taarifa yoyote kutoka nyumban mara nyingi huleta taarifa nzur au mbaya mfn msiba au ajali

    • @OlyUpowerfuljesus
      @OlyUpowerfuljesus 5 หลายเดือนก่อน

      Juzi nilimkuta mlangoni kwangu nikitoka kazni nilimpiga na kiatu nikamuua

  • @user-ss4lx5en7z
    @user-ss4lx5en7z 8 หลายเดือนก่อน +5

    Oooh anapenda kuingia ndan sana anafat taa huw mi namuua yesuu,, kumbe anamaana mungu anisamehe,

  • @Irene-qt5zq
    @Irene-qt5zq ปีที่แล้ว +5

    Ni kweli huyu mdudu alinipandilia mama mmoja akaniambia kuna bahati inakuja akataka kumtoa nikamwambia amuache mpaka atoke mwenyewe zilipita siku tatu nilikuja kupata wateja kwenye biashara yangu ambao sikuwahi kuwaona tangu nianze biashara siku nzima nilifanya biashara hadi usiku

  • @ORG960
    @ORG960 ปีที่แล้ว +15

    Ni kweli huyu mdudu yupo lkn kwa namna anavyoelezewa mpaka anapata hadhi ya ki- Mungu fulani, kimsingi ikiwa jambo lotote Mungu hajalizungumzia kwa namna ambavyo watu walitafasiri unakuwa unatenda dhambi tena ni kufulu mbele za Mungu aliye juu sana. Take care

    • @mariachacha9572
      @mariachacha9572 ปีที่แล้ว

      Watu wanaabudu miungu so kwao ni kawaida..... na ndio maana wakimuona wanamwabudu.....

    • @JoanThomas-og7dv
      @JoanThomas-og7dv 9 หลายเดือนก่อน

      Mimi nilisikia kua ana aminika ktk ushirikina

  • @user-yn5gd1uj4z
    @user-yn5gd1uj4z 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu atusamehe maana na sisi tume wauwa wakiingia kwenye nyumba

  • @yvettemamdogo2289
    @yvettemamdogo2289 11 หลายเดือนก่อน +6

    Asante Sana Mungu akubariki

  • @mugishapanther
    @mugishapanther ปีที่แล้ว +16

    Hii nime ipenda
    Ila kusemakweli nilikuwa sijawahi kusikia haya kabla lakini nilijikuta na mpenda tu mdudu huyu
    Mi ni mkatili kwa wadudu wengine ila huyu kanishinda kufanyia ukatili
    🙏

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 ปีที่แล้ว +9

    Huyu mdudu kwa kiluga chetu tuna mwita Tengasi huyu mdudu alikuaga akionekana kwetu mida ya usiku basi mzee wetu alikuaga akituelekeza aachwe asisumbuliwe na alikua akituambia ujio wa huyu mdudu kuna jambo jema litatokea na kweli mambo yalikua yakitokea

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว +7

    Mwezi Wa Tano Dar.Wanakua Wengi Sana Ndio Msimu Wao Ndio Hu

  • @joyceeshunwa6549
    @joyceeshunwa6549 ปีที่แล้ว +14

    In our culture we believe when it comes in your house you will get visitors

  • @everlinemuhadia2754
    @everlinemuhadia2754 ปีที่แล้ว

    Our grand parent used 2 tell us takecare it s dagerous . With our Nose. . Surgry direct.

  • @veronicamabele8462
    @veronicamabele8462 ปีที่แล้ว +23

    Mi huyu mdudu Kila akinirukia Huwa nashika ujauzito...... Watoto wote huyu mdudu kanipa ishara Naamini Mungu aliweka kitu KWAKE.... Sifa na utukufu umwendee Mungu muumbaji wetu. 🙏

    • @dianachivui290
      @dianachivui290 10 หลายเดือนก่อน

      😮😮

    • @lebonlbk2577
      @lebonlbk2577 9 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa inamaana huyo ndiyo baba watotowako?

    • @merryaugustin8814
      @merryaugustin8814 9 หลายเดือนก่อน

      @@lebonlbk2577😂😂😂😂ww

    • @Maua-jq3tt
      @Maua-jq3tt 9 หลายเดือนก่อน

      Mimi nikimona chumban kwangu nikamuuwa na kweli nilkkua na mimba dah mungu anisamehe kwali sikujua

    • @angolina1768
      @angolina1768 3 หลายเดือนก่อน

      Amina na mm nikapate watoto kama ww mpenzi wangu ❤❤

  • @FelixJKwechi
    @FelixJKwechi 2 หลายเดือนก่อน

    Mm binafsi namushukuru mududuhuyu ananipatia baraka napia ninamuheshimisana naomba nawengine wamu2nzevizuri mududuhuyu amina

  • @carolinemwita7197
    @carolinemwita7197 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu ndio mwenye uweza wote sio vunja chungu🥰😘😄🙏😇

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว +11

    Subhana Allah

  • @ErikJeremy-go6nf
    @ErikJeremy-go6nf ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli uyo mdudu ni ishara njema has ukimuta ndani kwako au akakupanda mwilini sio imani ila ni vitu ambayo mungu kaviweka tu kumpa ishara mwanadamu

  • @gressluhimbo1020
    @gressluhimbo1020 ปีที่แล้ว +8

    kweli mama angu akikutana nae Kama ananguo iliyochnika anakata kipande anasema nenda kavalishe wanao nilikuaga sielewi 🤔

    • @msemombelwa47
      @msemombelwa47 ปีที่แล้ว

      Baada ya hapoo inatokea nin

  • @eliassaguda50
    @eliassaguda50 ปีที่แล้ว +10

    Hii story ni ya kweli kunajamaa alimkuta huyu mnyama kwenye pikipiki yake akamuacha asaiv jamaa NA hella chafu sana

  • @user-qr8nz2xs4e
    @user-qr8nz2xs4e ปีที่แล้ว +3

    Aliwahi kutua kifuani kwangu nikamtoa kwa unyenyekevu nakumpeleka kwenye tawi la mti nikamwambia nenda kwa amani
    Lakini nikaomba mambo yangu yaende vzr
    Baada ya wiki mtoto wa dadangu alinitumia niliomba moja na laki 3 akasema amenipa tu nifanyie mbambo yangu wala nisihangaike kumlipa
    Kwahio huyo mududu ukimuona usimuue ila muweke mahali salama muombe jambo lako hakika lira kuwa kwa muda mipira sana

    • @sarahtz4936
      @sarahtz4936 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli 🙏🙏🙏🥰

  • @user-bj7yo9cp5r
    @user-bj7yo9cp5r ปีที่แล้ว +7

    imani niliyowahi kuisikia na ikanitokea kama mala mbili ni ile ya kukutana nae nabukaweka imani kuwa nyapata bahati kweli ni kama mala mbili napata bahati mbili nzuri tofautitofaut

  • @SauliNdinadyo-ht5op
    @SauliNdinadyo-ht5op ปีที่แล้ว +31

    Tumupe mola wetu maisha na sifa siyo vinja chungu

    • @astridachiwalala9664
      @astridachiwalala9664 6 หลายเดือนก่อน

      Amina.

    • @user-vk2ir7vn5q
      @user-vk2ir7vn5q 2 หลายเดือนก่อน

      Kijijin kwetu wamejaa mashambani tu apokua tunalima niwengi tu

  • @sabrinageofrey-pf5fq
    @sabrinageofrey-pf5fq ปีที่แล้ว +3

    Ahaaa sawa mtaalamu Justine Shedy kanyewest la Kibena

  • @janethedward4631
    @janethedward4631 ปีที่แล้ว +13

    Mimi kiukweli 🙌namuogopa Sana huyu mdudu 😥 na Huwa nikimuona namfukuza

    • @wambuaphianah1874
      @wambuaphianah1874 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @GraceHessah-ly5op
      @GraceHessah-ly5op ปีที่แล้ว +4

      Aisee hata mimi nikimuona naweza vunja miguu kwa kukimbia🥲

    • @mohamedmasauni3609
      @mohamedmasauni3609 ปีที่แล้ว +1

      Ww unamfukuza mm namua kila ninapo muona simpendi haswaa

    • @iyayummy9941
      @iyayummy9941 ปีที่แล้ว +1

      Namuogopa kupita maelezo

    • @vailethudson2771
      @vailethudson2771 ปีที่แล้ว +1

      hahahah hata mm nimekoma

  • @pezasally8204
    @pezasally8204 ปีที่แล้ว +9

    Naomba utuelezee Ukweli juu ya Wimbo mpya wa Jericho ambao unatrend sana mtandaoni ni kweli wa kishetani..?

  • @user-pw5qe6ni9o
    @user-pw5qe6ni9o ปีที่แล้ว +9

    Huyu mdudu ni mzur sana kwetu tunamuita ngogotwadeno ndiyo anabaraka nyingi

  • @SamiMapesa-jg6xo
    @SamiMapesa-jg6xo ปีที่แล้ว +7

    Niliwai kusikia mdudu uyu anatumika sana kwenye swala LA 👊👊💪💪💪 nikweli kabisa

    • @hawaladha
      @hawaladha ปีที่แล้ว

      Nikweli hiyu mdudu anaishara Nzuri saana akija ndaniyanyumba lazima utapata mafanikio makubwa pesanyingi saana nikweli kabisa

  • @justinsimbeye
    @justinsimbeye ปีที่แล้ว +33

    Mimi nakumbuka nilipo muona huyu mdudu nikataka kumshika ghafla mama akaniambia usimshike huyo ukimudhika utaenda kivunja vyungu nyumbani nika shanga kweli 🥱 lakinin nime amini huyu mdudu anatambulika kote duniani from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲

    • @musyokimary845
      @musyokimary845 ปีที่แล้ว +1

      Oh wow 😳 am impressed 🎉

    • @amonkalungula-tf9wt
      @amonkalungula-tf9wt ปีที่แล้ว +2

      ​mdudu huyu anamikosi sana

    • @justinsimbeye
      @justinsimbeye ปีที่แล้ว

      @@amonkalungula-tf9wt na ukimkuta usimguse

    • @justinsimbeye
      @justinsimbeye ปีที่แล้ว +2

      @@musyokimary845 👍🏾

    • @juma67
      @juma67 ปีที่แล้ว

      Pande zipi zm

  • @MilkaMuro-qz1yw
    @MilkaMuro-qz1yw ปีที่แล้ว +9

    Kweli huyu mdudu namuogopa mno maana wanasema anakata masikio

  • @saidkasonta3174
    @saidkasonta3174 ปีที่แล้ว +34

    Huyu mdudu ana pande zote mbili, negative and positive! Itategemea umemuona katika mazingira gani? Na akiwa na Hali gani!
    Mfano ukimuona yule mwenye rangi ya kijani, mkubwa, na baadae ya kukuona akatanua mbawa zake kama anataka kuruka! Basi ni ishara mbaya ya mikosi na kuharibikiwa jambo lako kubwa ulilokuwa ukitarajia karibuni.
    Ukimuona, akakuona na akawa mtulivu kabisa, basi mambo Yako yatafanikiwa bila shida,bila makelele Wala mivutano na watu!

    • @adammyemba659
      @adammyemba659 ปีที่แล้ว

      .. .... ..mmĺ. MP.........

    • @adammyemba659
      @adammyemba659 ปีที่แล้ว

      .. .... ..mmĺ. MP.........

    • @sophiamasalu4429
      @sophiamasalu4429 ปีที่แล้ว +2

      wewe nmekuelewa kabisa

    • @liliandaudi4394
      @liliandaudi4394 10 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli haloo

    • @user-uz5fl1nu8y
      @user-uz5fl1nu8y 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli mm amewai kunipanda mwilini akinipanda huwa napata pesa

  • @soundsteps255
    @soundsteps255 ปีที่แล้ว +6

    Me nawauwaga sana hawa, nikitembelea maeneo ya ifakara 😂😂

  • @ShaniaAbdalah-z8b
    @ShaniaAbdalah-z8b 24 วันที่ผ่านมา

    Ukiamini kutipia Mungu, unapata baraka nikweli vunja chungu anabaraka

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 7 หลายเดือนก่อน

    Ukweli kabisa huyu mdudu huyu kwetu kimila ni mwendo wa kufanikiwa ❤❤ tena ni baraka kwa wazazi wetu huwa na wapenda nikii kutaa amekufa napo ishii ni maumivuu

  • @MONIKALOBI-hu8pv
    @MONIKALOBI-hu8pv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mim nilishi nikiambiwa na bibi ukimuona huyu mdudu usimpige wala usimufukuze hatakama atakuwa amekupangiria mwirin akidai kuwa nibalaka ko Mimi huwa nawaheshim sana kama nikiwaona hao wadudu

  • @user-ey8yc6bw4m
    @user-ey8yc6bw4m 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu hutaka kujitukuza pia Kupitia viumbe wake. Lkn huyu ni sawa na wadudu wengine tu. Japo anaakili nyingi na wakati mwingine hujibadili kama kinyonga.

  • @marcd.masalla1491
    @marcd.masalla1491 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kuna ukweli wa hayo ulosema, hasa ukikutana na yule wa Kama kahawia... Ni ishara ya pesa na bahati nyingine ziletazo furaha, (huleta habari njema)

  • @frolashulla9337
    @frolashulla9337 ปีที่แล้ว +8

    Mungu ameumba viumbe na maajabu yake❤

  • @oscarmangwangwa1052
    @oscarmangwangwa1052 ปีที่แล้ว

    Neno ushirikina limetumika kama siraha yakumtia ujinga mtu mweusi. Pia neno ushirikina limetumika kumtia usingizi mtu mweusi asijitambue. Poleni watu weusi.

  • @JoanithaLutenta
    @JoanithaLutenta ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana nimefahamu maana yake,mmi nilikuwa nikimuona namkandamiza na jiwe maana niliambiwa eti analetaga uchonganishi na ugomvi

    • @habibashaibu5584
      @habibashaibu5584 ปีที่แล้ว

      Sio siri ni kweli sijawai muua maana anakua mkubwa wa kijani hila nikimuona tu kitu chochotee kibaya kitatokea

    • @evenymathias3788
      @evenymathias3788 3 หลายเดือนก่อน

      Na mimi muanga wa hilo nikimuona mlangoni kwako mpaka nigombane na mume wng

  • @seciliafabian1222
    @seciliafabian1222 ปีที่แล้ว +17

    Akii nimemwona usiku huu na mamaang akampiga na kumuua daa roho imeniuma Sana kusikia hiviii...

    • @elisimalongo4965
      @elisimalongo4965 ปีที่แล้ว

      Elisia nilimkuta ndani mkubwa kiasi kwamba niliogopa na Mara nyingi namkuta mlangoni mwa nyumba yangu au mlango wa ofisi na Mara zote nikimwona lazima nimuue na kumchoma moto daa nasikitika kusikia hii.

    • @KulwaSaid-cx8lo
      @KulwaSaid-cx8lo 2 หลายเดือนก่อน

      Mam kakoxea xn

  • @AmandaNelson-bi6gr
    @AmandaNelson-bi6gr 24 วันที่ผ่านมา

    Subutu kamamdudu anakula nyika mzimamzima atashindwa kunikula mm nampiga namkiatu wa Mumewangu mpaka nihakikishe nimemuuwa acha nipatwe n mabaya potelea mbali

  • @rebeccahnyaleso-rl8zr
    @rebeccahnyaleso-rl8zr ปีที่แล้ว +2

    Mimi nilimuona kwa nyumba kama leo na kesho nikabarikiwa na mtoto.he is such ablessing in your life

    • @maulididrissa5023
      @maulididrissa5023 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo usingemuona usingebarikiwa kupata mtoto? Mungu hapendi imani hizo.

    • @neemalaizer-hv9ef
      @neemalaizer-hv9ef 2 หลายเดือนก่อน

      Ukapata wa kike ?

  • @sabbathmtesigwa7848
    @sabbathmtesigwa7848 ปีที่แล้ว +4

    Asante Sana baba nimejifunza mengi

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 ปีที่แล้ว +6

    kule kwetu tuna muita Mako, lakini ajabu ya mdudu huyu ukinuuliza upande wa dunia kama upande wa kasikazin kusini , mashariki na mgaharibi ana kuonesha bila wasi kwa ishara ya mikono yake

  • @shakacharles9634
    @shakacharles9634 ปีที่แล้ว +2

    Mke wangu alitaka sana mtoto wa kike ,ila kuna siku alitokea mke wangu alikuwa na ujauzto wa miezi saba alitokea vunja jungu mkubwa tu nikamwambia usimpige mimi nitamtoa nje huyo hana sumu basi nikamtoa nje inawezekana hiyo imani ni kweli mke wangu kajifungua mtoto wa kike aliomba Mungu kila kukicha apate wakike tena ana afya nzuri mweupe

  • @user-yg1iw1rw7w
    @user-yg1iw1rw7w ปีที่แล้ว +1

    Jaman uyo mdudu kwetu tunamwita tengas yan mm ata simuogop bali nampenda toka nipo mdogo nimekua nikisikia mdudu huyu kama akija nyumban ikiwa kuna mtu ni mjamzito bas atazaliwa mtoto wa kiume, na hata kwangu imetokea nilikua mjamzito na wakawa wanakuja sana kwangu tena ndan mme wangu alitaka kumuuwa nikamkatalia na kumwambia mdudu huyu mzur na ni kwel nilijifungua mtoto wa kiume

    • @msemombelwa47
      @msemombelwa47 ปีที่แล้ว

      ❤❤❤

    • @neemalaizer-hv9ef
      @neemalaizer-hv9ef 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi wanapokezana hapa kwangu mlangoni ,mara wa kijani mara brown ila mi mjamzito wacha nkijifungua ntajua ukweli

  • @neemanicholaus5468
    @neemanicholaus5468 ปีที่แล้ว +3

    Duh nilimuona dirishani nikamfukuza, natamn arudi nimuombe msamaha anaeza kuwa amekasirika eti jaman?

  • @StelaEnyasi
    @StelaEnyasi ปีที่แล้ว +1

    Jaman niliambiwaga na mama kuwa huyo mdudu hatakiwi kupigwa lkn mm jaman nimemkuta chini ya kabati ya nguo amekufa amekauka jaman sijui inamaanisha nn Mungu tu anisaidie

  • @JacquelineIbrahim-xj9mp
    @JacquelineIbrahim-xj9mp 9 หลายเดือนก่อน +1

    Vunja chungu akikatalia nyumbani kwako Kwa siku tatu Zaid i unaweza kumpa chochote ili aondoke au unamuacha tu?

  • @An-neema
    @An-neema 8 หลายเดือนก่อน +7

    Allah Anadufunza binging gupjtia viwumbe vyake

  • @user-dz2lb7zz3z
    @user-dz2lb7zz3z 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mdudu namuogopa sana huyu mungu anisamehe nisha wauwa mno nawanapenda kwangu mno

    • @suhaabomar8144
      @suhaabomar8144 3 หลายเดือนก่อน

      Basi weye kma mie na mie wanapenda sana kuja wangu na nawaogopa asaaa

  • @kingofart2999
    @kingofart2999 ปีที่แล้ว +3

    Nilimuona mwenye rangi za maua maua ya kupendeza mchanganyiko na meupe mazur mixer combat si combati dirishan kwetu kipindi bdo mdogo wa miaka kama saba,nikata kumuua marehem babaangu akaniambia usimuue leo tutapata pesa,kweli nikashangaa tuna siku kama mbili pale nyumban hali ilikuwa mbaya lakin siku hiyo alipoenda miangaikon alirudi boss.

  • @nusurasalumnusura1106
    @nusurasalumnusura1106 ปีที่แล้ว +3

    Nimemuona jana tu kwa kweli nilifurah mana tulifundishwa uyu ni mdudu wa kuleta baraka

  • @user-ob3cz7ey4l
    @user-ob3cz7ey4l ปีที่แล้ว +2

    Mdudu huyu ni kweli inatumika sana konye masala ya imani sana maana sisi kikwetu akija kwako airusiwi umpige yaani akija inatakiwa umletee masiwaa au chochote ulicho kuwaa nayooo ❤❤ inafurahisha sana tu Kikwete

  • @machibyajohn9746
    @machibyajohn9746 ปีที่แล้ว +15

    Wasukuma tunamwita LUGAKA tunaamini ni Mdudu wa Bahati edapo utakutana nae mambo mazuri yatakutokea baadae

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa ปีที่แล้ว

      Maelezo yako ni yakweli ,, ila lugaka ni mwembamba sana tofaut na huyoo vunja chungu

    • @aryanamendes8700
      @aryanamendes8700 ปีที่แล้ว

      Mi nnimemuona Hadi ndani na nje. Piaa

    • @obaidothmanalbulushi9196
      @obaidothmanalbulushi9196 ปีที่แล้ว

      Yaya gete watulemba lyanili le nchamba ndinho

    • @user-ix4sr1yi1d
      @user-ix4sr1yi1d 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤

  • @user-cv3xy5tc5e
    @user-cv3xy5tc5e 7 หลายเดือนก่อน

    Mm na fahamu pia kama mdudu aletaye Baraka katika nyumba au maeneo yalioko Karibu na nyumba yangu hata ni kimwona huwa si mufukuzi Wala la Kumuua na amini Kua yy mi wa baraka

  • @magomunathan
    @magomunathan 6 หลายเดือนก่อน

    Please can you give us or else you have that in english thanks so much god bless you

  • @madammipasho2640
    @madammipasho2640 ปีที่แล้ว +2

    Jamn juzi nimekutana nae mnene mkubwa akawa ananifata nikamkimbia kwaiyo nitajifungua mtoto wakike waooo

  • @christinezosi3317
    @christinezosi3317 ปีที่แล้ว +8

    Wow mimi ni mmoja wa haoo wenye kuamini mdudu huyu kweli usimfanye lolote huwa ni wa baraka na nimeamini ni kweli..imeshawahi tokea kwangu mara nyingi..dada yangu alinishauri kuhusu huyu mdudu..na nikaona kweli ..

    • @abdulraufshabani4269
      @abdulraufshabani4269 ปีที่แล้ว +2

      Xio nyie tu hata mm pia nilikua naaamini kwmba anauchawi ndani yake ila kumbe hata ni mdudu kama wengine

    • @user-mn4wg8jc1u
      @user-mn4wg8jc1u ปีที่แล้ว +1

      Duh mi nimemfukuza juzi ijajua kama ni asifukuzwe

  • @happinesspamba3834
    @happinesspamba3834 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nilivyokua mjamzito nilikuta Vunja changu mkubwa kitandani yaaani kanona na badae nkajifungua Bby girl

  • @reshimaa3274
    @reshimaa3274 ปีที่แล้ว +1

    Ngoja nione mana ni juzi tu kanipandia begani kutokujua nikampiga kwelikweli kwa uoga asee akafa ila nitaendwlea kuchunguza

  • @LovelyKiteFlyer-tv9bd
    @LovelyKiteFlyer-tv9bd 7 หลายเดือนก่อน

    Mim nilimuona uyo wa aina ya panzi kadooogo kma mala mbili ila cha kushangaza mambo yangu yanaenda vibaya sana tofauti na nilivyokuwa sijamuona

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 ปีที่แล้ว +2

    Imani nilioikuta mm kutoka kwa wazee ukimshika huyo vuja chungu utavunja vyombo nyumbani

  • @MmM-dl9yl
    @MmM-dl9yl ปีที่แล้ว +4

    Nikiwa mdogo mara kwa mara nilikua nikiona kwa nguo yngu ama kwa kitanda shosh wangu aliniambia leo tunakula nyama na ni ukweli

  • @shufaadagharo3443
    @shufaadagharo3443 10 หลายเดือนก่อน

    Asante mwandishi huo ni ukweli mtupu mm huwa nikikutana naye lazima nishike pesa

  • @AshuraJackson-jh7cu
    @AshuraJackson-jh7cu 6 หลายเดือนก่อน

    Nampenda huyo mdudu akingiaga ndani mwangu nashika Hela sana tna anapenda sana kuingiza ndan mwangu nampenda sana

  • @aswaneliphas2271
    @aswaneliphas2271 9 หลายเดือนก่อน +1

    This guy is so talented like back guys

  • @ShamimChepkorir
    @ShamimChepkorir หลายเดือนก่อน

    Iliingia kwangu nikamfukuza mungu anisamehe sikujua

  • @sarhafrancis8824
    @sarhafrancis8824 ปีที่แล้ว

    m nliambiwa akiruka kuj kwako anaweza kuingia puani namuogopa lakn kila sku wapo ndan kwetu najiuliza hua wanatoka wapi na tunaishi kweny appartment sio hata sehem ya kufkiwa na waddu kwa urahs aloooh!!! 😢

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q ปีที่แล้ว

    Ni kama tupo kiwango cha chekechea afu babu "anatupunga" (anatuhadithia stori ya kutisha isiyo kuwepo)... kwenye usiku wa mbaamwezi (mbalamwezi) .

  • @mooh_silver_tz
    @mooh_silver_tz 9 หลายเดือนก่อน

    Ndio nikweli kabisa huyu mdudu ukikutana mae lazima mazurii yaja naukimuona usmfanyie roho mbaya

  • @mansoormannix1753
    @mansoormannix1753 ปีที่แล้ว +4

    Mimi nishampata mkubwa sana lakini nika hofu atakanyagwa, nikamchukua kwa karatasi na kumpeleka kwa bustani na kumwacha huko.

  • @dianaalbert4848
    @dianaalbert4848 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mbona Huwa anakuja ndani kwangu lakini hata cjaelewa Kuna jambo Gani linaweza kutokea lakini pia mama angu Huwa akimuona anatuambia lazima Kuna mtu atakuwa mjamzito na inakuwa ni kweli kwahyo kwa kiasi Fulani Huwa na ishara nzuri

  • @juma67
    @juma67 ปีที่แล้ว

    Kikubwa ulichokisahau nikwamba mdudu huu unasumu balaa tena hatari sana.brothers, sisters
    Imani ni kitu kingine, kwa hiyo usituaminishe vitu ambavyo havipo

    • @naylamohamed517
      @naylamohamed517 ปีที่แล้ว

      Lkn kwny maelezo yake kasema hana sumu

    • @juma67
      @juma67 ปีที่แล้ว

      Marehemu bibi yangu ulimung'ata matokeo tuliyaona

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂tlikua tkimuona tnamliza kwenu wpi akigeuza kichwa tu basi tnaridhika very funny 😊

  • @musasamson5422
    @musasamson5422 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna viumbe wengine Mungu amewaweka kwetu ili liwe funzo kama binadama haimnanishi tuwaabudu,sifa na Heshima zibaki kwa Mungu tuu na sio vinhinevyo

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 ปีที่แล้ว +2

    Inawezekana wazee walitafuta maneno ya Busara Ili watoto wasimuuwe huyo mdudu sababu ha mdhara na mtu Kwa nn umuuwe na hapo pa kumuona kama ngekewa ndio wakaweka maneno haya

  • @RukiaMdide
    @RukiaMdide 3 หลายเดือนก่อน

    Mwezi wa 2 mwaka huu alinitambalia kaka angu akaniambia una baraka sana kweli baada ya wiki nikapata safari ya kwenda Oman

  • @user-jn8ho1ki2c
    @user-jn8ho1ki2c 10 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa kunifungua akili, me nilikuwa namuona tu lakn cjui chochote, ckumbuki mara ya mwisho nilimuona lini ila nmepitia mengi mazuri na mabaya

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nikiona vunja jungu huwa nakimbia 😅😅😅😂😂

    • @LearntowinLTN
      @LearntowinLTN ปีที่แล้ว +1

      Hahahah

    • @BerylSeer1
      @BerylSeer1 ปีที่แล้ว

      ​@@LearntowinLTN ee ni kweli eliud wanatisha Sana siwezi Ata wakaribia 😢

  • @HarimaAmiri-xy2zf
    @HarimaAmiri-xy2zf ปีที่แล้ว

    Haa nikweri Kuna siku kanipambandiya mwirini kwakuwa namuogopa nikamtupa nawatoto wakataka kumuua nikawaambiya muacheni Hana hatiya baada ya siku mbili nirigombana na mume wangu roborobo ndoa ivunjike kwanziya reo namueshimu huyu mdudu

  • @ColethaTheodory
    @ColethaTheodory 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu mdudu anatumiwa sana na wachawi kuvuta pesa,ukimuona kwako usimpuuzie it's either kuna jambo zuri linatokea au watu wa giza wameweka rada kuvuta Mafanikio yako

  • @aishaidd-sc4xl
    @aishaidd-sc4xl ปีที่แล้ว

    yani kwenye mlango wa kingilia kwenye ofisi yatu unaweza kuwakuta watatu hadi wanne ila nilikua sifaham kwamba wanamaanisha ishala fulani nilikua nikiwafukuza na kuwatimua kuanzia sasa sito fanya hicho kitu nitawaacha hapa mlangoni

  • @patrickfupe
    @patrickfupe 10 หลายเดือนก่อน

    Nikwl unayo sema mm mwaka huu alinitokea nikiwa kazn kwng ukweli alichonifurahisha ni langu yake yakupendeza kama herufi fulani hv ulikwl limueshim sna pia sikuweza mfanya chochote lkn baada kama wiki mbili nilianza kupata pesa bila kutegemea mambo yng yakienda vzl sna

  • @jamesjameswisdomtz1577
    @jamesjameswisdomtz1577 ปีที่แล้ว +12

    Duh nimekumbuka Mbali Sana kumuona huyu mdudu

  • @BenMula36925
    @BenMula36925 ปีที่แล้ว +24

    Dah Mungu anasababu zake hakuna kitu hapa duniani ambacho kipo bure

    • @japhetjacob4800
      @japhetjacob4800 ปีที่แล้ว

      AP

    • @aquarianairy4740
      @aquarianairy4740 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kaka

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 ปีที่แล้ว

      Ndivyo ilivyo.
      Kila kitu Mungu kakiweka kwa sababu maalumu.
      Tunabaki kutitambua kabisa,au kutambua machache tu.
      Mungu ni mjuzi wa kila jambo.
      Tumuombe atufundishe Siri za mambo ya viumbe

  • @halimankwanga3756
    @halimankwanga3756 ปีที่แล้ว +1

    Kila nikimuona uyu mdudu ndan bas miongon mwa wanawake tuliomo umo ndan mmoja wapo atakua na mimba na ndivyo inavyokua

  • @blessedggithinji6192
    @blessedggithinji6192 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeenda kumutoa kwa dirisha akaponyoka nikabaki na mguu wake akiingia chini ya kitanda saahi ako chini ya kitanda nifanye aje mtalamu nimtoe chini ya kitanda 🙎??

  • @hafidhali
    @hafidhali ปีที่แล้ว +2

    Asubuh ya leo nimemzaba kofi, nilikua dukani muuzaji ananitajia bei ya juu zaid ya bajet , na yeye Vunja jungu kanirukia kwenye bega. Nusu ya Hasira za bei ziliishia kwake.. Im sorry Jungu😢