MAAJABU YA POPO, MNYAMA PEKEE ANAEPAA ANGANI, AKIINGIA NDANI HAYA HUTOKEA.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 60

  • @MwanahalimaMohammed
    @MwanahalimaMohammed หลายเดือนก่อน +5

    Huyu popo nimtu mbaya sanaa akiwa anaingia ndani ya nyumba yako..mm nimeamini kwangu yashanifika kuhusu mnyama huyu popo ilikuwa hata simshuhuliki akiingia usiku asubuhi hayupo lkn kila akija mgeni kulala kwangu akimuona tuu popo huyo lazima mtu atapandaaruhani kupandisha nakuleta fujo nyumbani...kisa popo huyu siwapendi ndio chanzo chakunigunjia ndoa yng laana huyu

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ila kukariri muelekeo nakubali kwakuwa anamakazi mwalimu na kutembea umbali bila kupoteza makazi yake

  • @Rich_-tx4si
    @Rich_-tx4si 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mimi wa kwanza like zangu

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana jastin shad

  • @user-od7tb9ch9n
    @user-od7tb9ch9n 13 วันที่ผ่านมา +1

    Maajabu mengine ya popo hata akifa ukamrusha juu haangukii hapo hapo anaenda kutua mbali

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 2 หลายเดือนก่อน +10

    Tulikuwa tunawaua sana hawa wanyama popo. Walikuwa wengi sana kule kwetu!! Lkn tahadhari, aise mkojo wa huyu mnyama popo isije ikaingia machoni mwako. Utakuwa kipofu sasahivi. Mkojo wake ni sumu kali sana ahhh, sijui mkojo wa haka kadudu kananini!! Ni kali balaa!!

    • @davidmarik4633
      @davidmarik4633 2 หลายเดือนก่อน

      Asee mkojo wake unanuka bala Sasa ukigosa macho ni hatari

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Kwa Elimu

  • @davidmarik4633
    @davidmarik4633 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vichwa vyao vilivyo kaa kama cha mbwa,paka au panya😂😂😂

  • @nguvuyamaonomedia
    @nguvuyamaonomedia 2 หลายเดือนก่อน

    Great brother 💪

  • @gadluck4362
    @gadluck4362 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa wana relate sana na vampire

  • @maleekaabdullah9960
    @maleekaabdullah9960 หลายเดือนก่อน +1

    Africa wanatumika kwa uchawi na kudhuru watu mimi alikua akingia ndani ya bedroom yangu na madirisha yamefungwa ndio nilipo jua ni uchawi

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 หลายเดือนก่อน

    Thanks mkuu

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa twende kazi ❤

  • @MOASLLY
    @MOASLLY 3 วันที่ผ่านมา

    Watam sana hawa viumbe..!

  • @user-eo4pv8zy2o
    @user-eo4pv8zy2o 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vinyesi vyao pia ni mbolea yenye nguvu kubwa ....

  • @DubuNobad
    @DubuNobad 26 วันที่ผ่านมา +1

    Tup story dragon

  • @khadijatirionaire2510
    @khadijatirionaire2510 หลายเดือนก่อน +1

    Asante

  • @shantiMickel
    @shantiMickel หลายเดือนก่อน +1

    Mnyama wa uchawi😢😢😢😢

  • @user-be8iq9dl3o
    @user-be8iq9dl3o หลายเดือนก่อน

    Iko kwangu kwa nyumba

  • @abuubakar7594
    @abuubakar7594 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila hawa ni watamu sana

  • @bilhaviregwa6867
    @bilhaviregwa6867 23 วันที่ผ่านมา

    Asha mm popo alinizunguka mara mbi naomba usnauri wenu plz

  • @naohzebronzo4410
    @naohzebronzo4410 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kwetu juu ya dari wapo kibao zaidi mia2 😂 miaka zaidi 10 now

    • @user-sw6uo6rv6j
      @user-sw6uo6rv6j 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hko kwetu kulkua na nyumba Dari lao hivo hivo tunaita nyumba ya majini kisa mapopo ni Imani za kitoto landa

    • @MethodJulius-fu9hf
      @MethodJulius-fu9hf 2 หลายเดือนก่อน

      Mnaish kwenyegof au

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 2 หลายเดือนก่อน

      Hahahahahahahaaaa 😂😂😂😂🎉🎉

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 2 หลายเดือนก่อน

      Wachafu nyie

    • @user-ly8cf1fw8q
      @user-ly8cf1fw8q หลายเดือนก่อน

      Huyu mnyama anafanana na mmbwa but hayo ya kuingia ndani ya nyumba mtu afe ni urongo juu kuna sometimes huingia kwetu na kuruka huku na huku akitafuta njia yakutoķea 😂

  • @MasumbukoPaulo
    @MasumbukoPaulo หลายเดือนก่อน

    😊😊 6:06

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 2 หลายเดือนก่อน

    Hio popo kuzaa mtoto mmoja nakataa kwakua kwamigomba nawakuta ma na watoto wanne

  • @dinagasper1097
    @dinagasper1097 หลายเดือนก่อน

    Mbona kwangu wamejaa kama kuku janani sawa yake yaan sum inapatikanaje niwauwetuu

  • @gracekarugo2445
    @gracekarugo2445 หลายเดือนก่อน

    Kwangu wako kwa ceiling,nitawatoaje

  • @MonicaRaila-tn5rb
    @MonicaRaila-tn5rb 2 หลายเดือนก่อน

    Wana zaa

  • @AgustinoMsemakweli-om7qx
    @AgustinoMsemakweli-om7qx 13 วันที่ผ่านมา

    Hata sisi kanisani wapo Asa tutumie njia gani ili watoke?

  • @user-xl9oi3cl9c
    @user-xl9oi3cl9c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Je popo Wanataga mayayi ama Wana zaa

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 2 หลายเดือนก่อน +2

      Wanazaa na wananyonyesha, hao ni MAMALIA, yaani wanalea watoto wao kama binaadam , Tofauti wao hawafanyi kazi OFISINI ..!

  • @ruu6592
    @ruu6592 หลายเดือนก่อน

    Apo akija mtu atakufa kweli uleta tarifa za kifo nimeshudia kwa ndugu yangu na kwa jirani na kazini

    • @IsmailMjesh
      @IsmailMjesh หลายเดือนก่อน

      Niliwah kumkuta mlangoni kwangu, siku2 nzima....... Ila sikumgusaaa mpk kaondoka mwenyeweee.......

  • @JsonResius
    @JsonResius 2 หลายเดือนก่อน +1

    popo😢😢😢

  • @MwanahalimaMohammed
    @MwanahalimaMohammed หลายเดือนก่อน

    mpk kuna cku nikaambiwa km huamini ngoja tumkamate tumvunje baba kisha umtizame jirani yako km atakua sawa.tungangana usiku huo kumkamata alikuwa ndani mpk tukamkamata tukamvunja mabawa wallai sikuamini kilicho tendeka kwa jirani yng tuuu....toka hapo nikaanza wachukia popo hao

    • @user-zy2vg6kl1s
      @user-zy2vg6kl1s หลายเดือนก่อน

      Ikawaje?

    • @emillymulinge
      @emillymulinge หลายเดือนก่อน

      Kwa hivyo popo ni mwanandamu??

  • @ManuelinaAngelo
    @ManuelinaAngelo หลายเดือนก่อน

    Muchaw

  • @blackjack3356
    @blackjack3356 2 หลายเดือนก่อน

    Kutoka Lusaka

  • @hemedimuna1400
    @hemedimuna1400 หลายเดือนก่อน

    Kumla apana

  • @user-mk6vm8ub2u
    @user-mk6vm8ub2u 2 หลายเดือนก่อน

    Jee akikaa badae badaa yasiku tatuu akifariki nayo inamanishaa nini???

  • @linetkimto4904
    @linetkimto4904 2 หลายเดือนก่อน +1

    🥰🥰🥰🥰😇👊💪💕💕💕🙏🏻🙏🏻

  • @DEOAnelka
    @DEOAnelka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Je pop anamkia

  • @user-oy9ps1us2w
    @user-oy9ps1us2w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wapemba wanakula popo

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 หลายเดือนก่อน

      Wanakula haram hao wapemba

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน

      Hata wachina na baadhi ya waty weupe wanakula

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน

      Mpka hata paka kuna waty wanakula

  • @ZainaMkamba
    @ZainaMkamba หลายเดือนก่อน

    Kwangu kaingia nakutoka kaingia ndani kama dakika mbili tu nakutoka pale alipo ingilia mlangoni

  • @user-qw2ez8ok3i
    @user-qw2ez8ok3i หลายเดือนก่อน

    Popo ni mnyama mwenye bahati?

    • @veronicamaghembe2102
      @veronicamaghembe2102 หลายเดือนก่อน +1

      Je popo ni mnyama au ni ndege?
      Mnyama ni kwa sababu anazaa
      Ni ndege kwa sababu anapaa

  • @DEOAnelka
    @DEOAnelka 2 หลายเดือนก่อน

    Ana mkia

  • @annmuthoni52
    @annmuthoni52 หลายเดือนก่อน

    Nakupupu atapupu ivyo tu.?

  • @nguvuyamaonomedia
    @nguvuyamaonomedia 2 หลายเดือนก่อน

    Great brother 💪

  • @Daudi-hh5mx
    @Daudi-hh5mx 2 หลายเดือนก่อน

    Ama kweri kila kiumbe kina umhimu wake