The Story Book : Kisa cha Shetani ‘Lucifer’ Kulaaniwa (Kwa Mujibu wa Bibilia)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 เม.ย. 2024
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Wakwanza leo jamani naomba like 100 tu😢
Chukua
😂😂😂😂 atutaki jilike mwenyewe😂😂😂
Mmbwa wewe
Kwani hizi like zinamsaidia mtazamaji nini maana utakuta jitu Zima linaomba like tena kwa kutia emoji za kulia
Sikiliza story acha kuomba likes
Mbona like wanapewa wengine tu, me sipati
We ni mwanaume au mwanamke mbona unaomba likes
@@georgejovin6873 natamani na Mimi kujua 😂
@@georgejovin6873nakazia sio kwa ubayaa ivii ukipataa like unalipwaaa😂😂
Hahaha kwan like ni za nn 😂😂😂 no need 😂😂
Basi mimi yangu hiyo❤😊
Si pia Mimi mnipe like ata kama ni 10
Nimekuwa wa60 Leo naomben like jmn sijawah PATA ata moja
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Eeeeeee
Leo nimekaribia kwa wakwanzaa nipeni like zangu jmn 😊
Good days everyone my family people's ❤
From BURUNDI 🇧🇮
jamali april ni zaidi ya anachokifanyaa..pure talent mzee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
This is what I was waiting sasa, hapa jamal umefanya vizuri umetumia na biblia pia🎉🎉🎉😍🥰
Jamal wew n noma sana wew n hatariiii unasimulia vzur mnoooo
Kwani izo like mnazoomba uwa zinanini jmn duuuh
😅😂😂😂😂ngoja nawewe tukupe.
Like sio ktu chakukunyima bhana.
Nikweri kabisa
Leo nimeipta Live. Professor jamal we kiboko nakupta nikiwa doha kma wamkubali Professor gonga like kwa jamal more love❤❤
Kazi safi sana Wise Jamal
Jamani mbona wanadamu muna upendeleo mimi sina hata like Moja 😢😢
Jishikilie
Aya likes ndizo hizo enda kachemshe
Nime ku like sasa
Jishikirie
Bigup Professor Jamali
Napenda zaidi story za historia za WANASIASA au story za manabii wa zamani na wafalme WALIOPITA
Allah is great for everything
unasimulia vzr sana prof..unanifanyia nijihis kama mwenye dhambi Yan...Asante kwa kutukumbusha sisi wanadamu kufanya Yale mungu ayapendayo...
Hivi Hiki Kipindi kwenye Wasafi tv ni Siku gani na Saa ngapi? Naje marudio ni siku gani na Saa ngapi? Tafadhali mniambe ili niweze kufuatilia
Ameni
The Story book Ya kuamkia Weekend ni tamu sana😂
Alaaniwe Shetaniiii
😢
Watching live from Romania let goo naomba like hapa
Kali hii
Tunakupenda jamal
Wa kwanza
Wanaomkubali Jamal April the professor raise up your hands
The big brain 🧠 of this man ♂️
Kila siku nikicoment huaga sipati like hata Moja kwa nini? Simlizi hii niya afia 😊
😂😂😂😂
Nafuatilizia nikiwa Mombasa Kenya,nipeni like hata kama ni 10.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤ asaaaaante kaka unaihubiri pia kupitia the story book
❤prof.naomba kuliza swali kwenye eppo na ngano Kuna Siri gani ukiangalia mashirika makubwa yana nembo ya mmea wa ngano na eppo Kuna sili gani naomba msaada wako. Asante kwa kazi nzuri kwa kutukumbusha kumujua muumba
Wafuasi wa ibilisi
Jamal April ndio heart ya wasafi media💯
Naombeni like 3 tu jamani
Si mnipe like jameni mi mkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na mie mzanzibari nipewe like zangu
Mwambien rais wenu aboreshe viwanja vya mpra hko kwenu
@@personpeter2221 Hilo sio jukumumu langu bana sasa wacha kilamtu ashugulike na yanayo muhusu.
@@personpeter2221 Hilo sio jukumumu langu bana sasa wacha kilamtu ashugulike na yanayo muhusu.
@@honeyflower254 mwakaa huu hatuwapi mahindi yetu 😂😂
Aisee tuwe watiifu kwa mungu tusiwe wakaidi kama shetani.
Nipokee likes zangu jamani kutoka🇰🇪
Nice professor
Mungu akubariki Sana jamal your the best sana najifunza sana kupitia ww
Professor ujengewe sanamu🔥🔥🙌
Naomba like zenu jamani am watching from Zambia
Me naomba subscriber kumi tu asante
Gonga like Wasafiiiiii
Ni muda wa the story book tujuane hapa 🔥🔥
PROFESA SAFI SANA KWA UCHAMBUZI MAKINI KTK BIBLIA TUKO PAMOJA JABIR
na mimi mchelewaji jamani nipewe like 100 tuu
Prof Jamal ❤🎉 mapema san 😊
❤ hakika mungu anatisha sifa nautukufu zirudi kwake maneno yanafunza mengi
Nice story Jamal... The best, binadamu tuishi maisha bora tukimpendeza Mungu Amen!!! ... But nakaa nikijiuliza ivi Adam angewahi akala na Tunda la uzima sjui ingekuaje....All in all Mungu ni Mkuu.
Nikweli jamani tu mkubali only Jésus n'a basi❤❤❤❤
Asante sanah kwa story book zr
Ibilisi mjaaa laana
Nimependa sana hapo mwishoni
Najifunza mengi kweli...jamal, you're really a talented man ❤❤❤
Vipi Tanzania ❤
Mwisho wa story ndo nimepata somo🙏🏽
Bro,ulipotea umeludi ukiwa na sauti nyororo sana mungu akulinde sana
safi kaka mungu aendelee kukuongeza ktk duniani
Ay
Tupo sawa much love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪nawapenda sana
Keep it up bro 👍
❤❤❤
Storybook❤
👊👊👊nakubali
Mungu tu samehee sisi wamawake tuliho lahaniwa
Namimi nahomba like 10
Amazing one atlist tunkajua ukweli😢😢😢😢
Very good story. Inamafundisho makubwa sana
thank you my brother educating us about these religions
Jamani mnipitie pia mmi
Tunaomkubali professor like hapaa
representing THIKA massive
Jamal april kazi safi ni ulekeo sahihi wa kazi ya mungu ndani yako ,,ubarikiwe
lmagin mungu kamsamehe bila kumua shetwani inakuwaje Muhammad kawalazimisha watu kumfata mungu na kuwasababishia vifo .lets keep the commandments of God and follow Jesus Christ he's the only way of life 🙏🙏
Nakukubali San blo selimu mzuri ninapata
nakukubali sana unatusaidia sana kistoria
Baada ya simba kufungwa nimeona nijikiwaze kwa story book huku nikisubir Drama za boss Mudy
Prof Jamar nina swali au maswali kwako. Kama huy rusfa alifahamu ili inamaana naye alikula tunda au yeyee alikuwa ni tofauti na sisi binadamu make alifahamu Mwenyezi Mungu ni chini yake kulingana na maneno yako .
Malaika waliumbwa kabla ya Dunia kuumbwa Lucifer aliingiwa na tamaa ya mamlaka alipo fukuzwa mbinguni ndipo mungu aliumba mbingu na nchi na baadae akamuumba Adam na Hawa mungu aliwapenda sana ndiposa Lucifer akaamua kuenda shamba la Eden kuwadanganya wale tunda Lilo laaniwa
Maraika wote hawajaumbwa Kwa udongo kama binadamu Sisi tumeumbwa Kwa udongo wao wameumbwa Kwa moto
Nakubar jamal
Naombeni like mie wa367😅😅😅
💪🏾💪🏾
This is love From mozambique 🇲🇿❤🥰🤗
Story ni nzurii na nmeipenda sasa naomba tena kusikia kwa upande wa pili kwa ndugu zetu waislamu Quran inamzungumziaje shetanii...
Kashazungumzia week iliyopita,
Imeshatoka nenda You tube utaiona
Wakristu na waislamu wanatofautiana kwa tafsiri ya shetani ila zote huonyesha ni kiumbe mwema aliyegeuka mui
Uisilamu haufanani na dini zingine
Hatusemi inafanana na dini nyingine. Elewa hiyo comment@@SimbaHaji-jm7md
@@SimbaHaji-jm7md ndio utofauti huo
Ndio
@@SimbaHaji-jm7mdni watumwa wa waarabu kisa Muhammad.
Safi sana jamal
Asante sana Jamal mwenyezi mungu mwingi wa rehema azidi kukupa maarifa .... ubarikiwe kaka
Nimechelewa bt c sana.....Bado na request unifanyie black dolphin prison in.........Russia
Like zenu jaman
Jaman na0na sijachelewa sana
"Kama alitua kwa kiuno au kwa Shingo hakika vilitenguka"😅😂😂😂😂
Wa mwisho naombeni like at 10😔
Like itakusaidia Nini hebu wacha ushamba
@@user-ki1yx5kr2l😂😂
Asante sana kwaujumbe
nimeikubali sana story ya leo🙏🙏🙏
Dó! Leo staki like nime pewa sana
Jesus ❤ love❤
More knowing and talented
Unajua sanaaaa 🔥🔥🔥
Yesu akubariki kwa hii ya Leo kaka
Wa nne leo naombeni like zangu
Umepoteha jamal mbonda sisi mbona tunakupenda San tupo na wewe❤❤❤❤❤👍👍👍👍👍🤲🤲🤲🤲
Unajua Mr Jamal uko vyema
nakubali xna bro jamal❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊
😂😂😂😂😂 Estein 😂😂😂😂 Nimecheka Sana
This story is driving me crazy😢
Na usipige watu na huo u crazy basi 😂
Wa 16 leo naomba likes😅
Excellent bro
Nakukubali mwamba
Kama unamkubali professor jamal April gonga like hapa
Ndioooooooooo
Nimependa story book😮😮😮