Hii ndio SIRI ya MIJUSI Ndani ya NYUMBA | kamwe USIPUUZE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 212

  • @daudmasige-xx9sx
    @daudmasige-xx9sx 6 หลายเดือนก่อน +18

    We Binti nimekukubali sana tena sana hasa kwenye kupatwa jua,mwezi na Dunia kwa mara Moja nilifata maelekezo yote uliyo yatoa nikanunua mishumaa udi na kusoma Dua na kurudia maneno niliyo yatamuks nikakaa kama ulivyo shauri hakika nimeanza kuona matokeo chanya hakika nimekukubali mama MUNGU wa mbinguni akutunze sana

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  6 หลายเดือนก่อน +4

      Amina 🙏🙏🙏,, nakutakia mafanikio zaidi kwako 🤝❤️

    • @maryaugustino8716
      @maryaugustino8716 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani ulijuaje kwamba jua na mwezi vinashikana? Maana ilikuwa mbali na nchi yetu na hilo tukio hatujaliona hapa nchini kwetu

    • @veronicamtanga3348
      @veronicamtanga3348 6 หลายเดือนก่อน

      Kwangu wamejaa nina matatizo kama yote

    • @PaulMrema-z1e
      @PaulMrema-z1e 6 หลายเดือนก่อน

      Mijusi pia ni jamii zinazotokana na nafsi za fulan za wanadamu.mijus nyoka kenge mamba

    • @charlesonditi-jl8eu
      @charlesonditi-jl8eu 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi nilimpta kwa nguo niliofaa. Maanake

  • @joycekimambo1602
    @joycekimambo1602 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante sana kwamaelekezo kwasababu mimi nilikua naiona mijuis kama mkosi kumbe inamaana yake🙏

  • @AgnessLwena
    @AgnessLwena 6 หลายเดือนก่อน +2

    Duhu mm kwakwel mijusi siipendi kabisa ,,,naomba Universe mnipe tu ishara sio kwa njia ya mijusi mana nitauwa

  • @emmyteyani4194
    @emmyteyani4194 6 หลายเดือนก่อน

    Oooho haleruya MUNGU akutunze dada🙏nmengi umegusa ktk hawa wadudu niwapo ktk room yng dah nimepata majibu mengi mnooo asante nakupenda sn

  • @yahyachang8531
    @yahyachang8531 6 หลายเดือนก่อน +1

    ATA Mimi alikua naona iweje jama tuwauwe mijusi wakati NAO vile vile ni viumbe walioumbwa kwa kusudi maalum Asante umenitoa mashaka

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 3 หลายเดือนก่อน +2

    mimi nimeshauwa mjusi mmoja jamanii mwenyezi mungu Anisamehee

  • @Analystohbo
    @Analystohbo 6 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa elimu hii nzuri na muhimu sana

  • @Aisha-wr3dc
    @Aisha-wr3dc 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa elimu hii❤❤❤

  • @annahmukai7775
    @annahmukai7775 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dada nakupara vizuri

  • @lusekelomwasandube2992
    @lusekelomwasandube2992 6 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana keep sharing madame 🙏

  • @ElodyDjasmine
    @ElodyDjasmine หลายเดือนก่อน

    Asate nguvu zayunise kumusaada asate dada❤

  • @Fridafrida-q2p
    @Fridafrida-q2p 2 หลายเดือนก่อน

    Asante dada kwa maelezo yako

  • @Felister-jh1zb
    @Felister-jh1zb 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana dada kiukweli unatufungua macho Mungu akubariki

  • @nonequeartur126
    @nonequeartur126 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe, siku chache nimeviona

  • @CatherineFabian-nv4ss
    @CatherineFabian-nv4ss 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mjusi akiwa anaunguruma ndani niishara Gani dada

  • @catherinemondo8717
    @catherinemondo8717 3 หลายเดือนก่อน

    😢 Asante dada

  • @JolieKanyama
    @JolieKanyama 6 หลายเดือนก่อน

    Asante saana

  • @salomeoiruria3069
    @salomeoiruria3069 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana. Naulisa ndege inapokuja kwa dirisa Ina maana gani

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  3 หลายเดือนก่อน

      Ishara ya bahati nzuri

    • @MwanjiNzala-mo5ni
      @MwanjiNzala-mo5ni 2 หลายเดือนก่อน

      Mwe.kuna ndege.kila.asubuhi.ananisha anagonga.kioo nilimfukuxa anarud Tena so.ni.bahat.kumbe

  • @RichardBalige-v6j
    @RichardBalige-v6j 9 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kwa elim hii mjusi alinidondokea kwenye bega aliponidondokea bahati mbaya aliliwa na kuku inamaana gani?

  • @florah-jw9wk
    @florah-jw9wk 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dada Mimi kwangu kwenye TV wanapenda sana maranying wanakua wawili. Nikimfukuza anajishosha halafu handoki kwaharaka hataakiondoka. Atarudi pia kunasisimizi wale wakubwa

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 6 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa mafunzo na kuelimisha❤

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  6 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana 🤝❤️

    • @candidadilemile5882
      @candidadilemile5882 6 หลายเดือนก่อน

      Ahsante nishakaribia ktk Ulimwengu wa mafanikio

  • @azizakisugar7969
    @azizakisugar7969 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @HarerimanaPatrick-dn1nr
    @HarerimanaPatrick-dn1nr 6 หลายเดือนก่อน

    Hatari sana nduguyetu

  • @atuganilemwakasangam2018
    @atuganilemwakasangam2018 5 หลายเดือนก่อน

    Hizi ishara zinachanganya sana

  • @GggvvKkhhu
    @GggvvKkhhu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna mjusi mwingne mwingne alitoka juuu ya nyumba akaja kudondoka pale nilipo af alikosa nguvu nilimpga mpka picha nikamtumia mume wangu badae mume wangu alipata msiba wa kaka ake af kwa ajali kama alivokufa mdogo wangu mimi wakume na shemeji yangu alikufa tarehe ile ile na ajali kama ilee mpk leo cjaweza kujuaa yani daaah 😭😭😭😭

  • @shadyahamy4681
    @shadyahamy4681 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba no zako dada

  • @MichaelaPhilip-q9k
    @MichaelaPhilip-q9k 14 วันที่ผ่านมา +1

    Sipendi mijusi nikiwaona ndani nawaua tu
    Na kuna mjusi nikimuona nastuka sana hadi natetemeka....

  • @FarajaJustine
    @FarajaJustine 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @HasaniFundi
    @HasaniFundi 6 หลายเดือนก่อน

    asante dada kwa dalasa mdhur

  • @PurityWangari-ws6qx
    @PurityWangari-ws6qx 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maana ya mujusi kukuangukia kwa bega(shoulder) ninini?

  • @NahimanaZubeda-v1i
    @NahimanaZubeda-v1i 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana❤

  • @gladyedwards3097
    @gladyedwards3097 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @ephrathamsuya3445
    @ephrathamsuya3445 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani kwangu wamejaa hadi naogopa

  • @NurdinChacha
    @NurdinChacha 3 วันที่ผ่านมา

    Mijusi ni sumu lakin yawezekana ukizifuatilia izo ishara ni za kweli

  • @LilianMosha-hd6mj
    @LilianMosha-hd6mj 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @elizabethamon2801
    @elizabethamon2801 6 หลายเดือนก่อน

    Nyumba yangu ilikuwa inamijus ming sana baada ya kuweka maji ya chunvi na karafuu kwenye kona siku tatu waliondoka Mungu akubariki dada asante

  • @KhalifaChuma
    @KhalifaChuma 2 หลายเดือนก่อน

    Dad embu nisaidie kuhs wadudu waitwao mchwa kwangu upenda sna kujenga kila nkifnya usafi nikiwek daw nk. Lakn wanapenda kujenga sna

  • @javerymsangi2856
    @javerymsangi2856 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada mm mliniona mjusi mwenye mistar ndan kwangu na alikuwa anapenda kitandani Kila mda Sasa nmeshindwa kulew naomba niambie anamaana gan

  • @MichaelaPhilip-q9k
    @MichaelaPhilip-q9k 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna siku mijusi wale wa nje wenye mistari walitudondokea kitandani usiku walikua wanakimbizana tukaamka tukawaua😊

  • @LEONADYTCHIFULALO
    @LEONADYTCHIFULALO 6 หลายเดือนก่อน

    Nipo tayari kupokea mujiza

  • @ChampionDullah
    @ChampionDullah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada mm nililala mida ya saa12 jion nikashtuka ghafla katika mto lilio ulalia km mungu tu kaniamby niufunue uwezi kuamin chini ya mto wanetoka mijusi wawili wakakimbia mmoja kushot mwengine kulia mpk sasa sielew nini kinaendelea natak nijue hii inakuaje

  • @zakayo-eh3uq
    @zakayo-eh3uq 6 หลายเดือนก่อน +3

    Itabidi mimi niwe wa pili

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  6 หลายเดือนก่อน

      🤝❤️

    • @simutengene4730
      @simutengene4730 6 หลายเดือนก่อน

      Universes ni ya wote utapata ukitakacho

  • @severinimchuka3155
    @severinimchuka3155 6 หลายเดือนก่อน

    Asante dda

  • @CleopaLufumbe
    @CleopaLufumbe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilikutana na hii ya mjusi Alie katika mkia chumbani kwangu lakini mke wangu aliua nifanyaje sasa dada

  • @ashuramohammed8659
    @ashuramohammed8659 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mm naomba nkuulize mimi huwa nakutana sana na hawa wadudu wanaitwa washawasha hasa kupindi hiki cha mvua yaani kwa siku naweza waona hata 4-5 mpka najiuliza kwanini wanakuwa ridishani kwanje ama mlangoni pakuingilia ndani kwahyo huwa naishia kuwauwa sijui kwangu wanamaanisha nini naomba nisaidie ufafanuzi hapo dada

  • @mamahidaya9566
    @mamahidaya9566 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye ugonjwa dada ni sahihi kabsa

  • @kiwangochristian67
    @kiwangochristian67 6 หลายเดือนก่อน

    Maana Jana nimefanya spel ya kusafisha nyota na akaoita hyu kalunguyeye

  • @matatamsimu5703
    @matatamsimu5703 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi ndani kwangu ipomingi Sana na nikiiuwa napata balaa Sana kwasasa siuwi tena

  • @WitinessSanga-s6q
    @WitinessSanga-s6q 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dada samahan naweza kufanya spell kwa ajili ya mtu mwingnge mfano mume au mtoto

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  6 หลายเดือนก่อน +1

      Ndiyo

    • @WitinessSanga-s6q
      @WitinessSanga-s6q 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@NGUVUZAUNIVERSE naomba spell ya kupata kitu kwa mdaiwa

  • @AngelJimmySangweni-y9h
    @AngelJimmySangweni-y9h 3 หลายเดือนก่อน

    Samahani sana dadaangu
    Je,huyo mtu unayekaa nae akiwa ni nduguyako na hana mtu mwingine wa kumsaidia nitamuondowaje?

  • @Mwakalimga
    @Mwakalimga 6 หลายเดือนก่อน

    THANK YOU 🙏😍😘❤❤❤❤

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  6 หลายเดือนก่อน

      You are so welcome 🤗

    • @kvoca8248
      @kvoca8248 6 หลายเดือนก่อน

      Madam vip kuhusu mjusi anaye toa sauti usiku, mana naona kama anaunguruma hivi na ni ucku tu, kweny majira ya saa 8 au saa 11 karibia na kucha

  • @AishaRobert-cz8ms
    @AishaRobert-cz8ms 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi mwenyewe kila siku naona mjusi chumbani kwangu haonyeshi ishara yoyote Ile yaani hadi sielewi

  • @luqmanally4823
    @luqmanally4823 หลายเดือนก่อน

    UHAKIKA MDADA, XEMA STEVE HAJAELEWA KI2 C UNAEZA UKAMUELEZEA SISTER

  • @DEBORAITEGANA-wg7vo
    @DEBORAITEGANA-wg7vo 4 หลายเดือนก่อน

    MMhhh😢😢😢😢😢 dada tatizo hata haunijibu nakata tamaa ya kuwa nauliza mimi ndani kwangu walikuwepo kama hao pichani kwako ila sasa kaja mjusi wa ajabu anamistali miwili harafu ni mnene mi naogopa aseee hatakama ni ishara😢 au huyu hamaanishi ishara

  • @periskerubo388
    @periskerubo388 6 หลายเดือนก่อน

    Mijuzi ipo kwa nyumba yangu nitahiondoa aje kwangu

  • @zainaomar1545
    @zainaomar1545 3 หลายเดือนก่อน

    mjusi nihatari sana mm huwa namuwa mjusi kwasababu nihatari sana basi huwa mm namuwa

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  3 หลายเดือนก่อน

      kila la kheri katika kuua mijusi 🤝❤️

  • @AthumanJawab
    @AthumanJawab หลายเดือนก่อน +1

    Sisi waislamu tuliruhusiwa kuwauwa maana ni hatari, we ongea tu

  • @BarakafitiyeFatu
    @BarakafitiyeFatu 3 หลายเดือนก่อน

    MIM kwangu mijusi tudogo.muno Kila nikipita Kona ninauuwona Adi cooni.ndani tena jamani Adi Dani nasiko mujamuzito

  • @the_base-lq8mp
    @the_base-lq8mp 6 หลายเดือนก่อน

    Yes

  • @simutengene4730
    @simutengene4730 6 หลายเดือนก่อน +9

    Leo mm ni kwanza nipeni like zangu😂

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  6 หลายเดือนก่อน +1

      🤝❤️

    • @SeciliaMkonga
      @SeciliaMkonga 6 หลายเดือนก่อน +1

      Una buku nikupe😂😂

    • @sarahfeni1866
      @sarahfeni1866 6 หลายเดือนก่อน +1

      Lazima upate dear 👌

    • @simutengene4730
      @simutengene4730 6 หลายเดือนก่อน

      @@SeciliaMkonga ilo hutoboi hapa wewe kafanye remered upate buku😂😂😂

    • @simutengene4730
      @simutengene4730 6 หลายเดือนก่อน

      @@sarahfeni1866 nakubariki kwa nguvu za universe Huu mwaka uwe na mafanyikio,kila hitaji lako likafanyikiwe Kwa jina la Mungu.

  • @RahelMrope
    @RahelMrope 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani mimi mjusi alikuwa anakuja kulala juu ya neti eneo ambalo mm nalala,kila siku jamani mpaka niliogopa,usiku wa manane nikistuka namkuta yupo juu usawa ambao nalala,na hatoki hata ufukuze,na ukimtoa ukilala kidogo unamkuta tena yupo palepale,ila sijui ilikuwa nini.

  • @bunuzingondo527
    @bunuzingondo527 5 หลายเดือนก่อน

    Leo asbh nimeona mijuzi miwili ukutani inakimbizana

  • @fadhilrehan5727
    @fadhilrehan5727 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi ndani kwangu kulikuwa kuna mijusi mingi nimeua mijusi mara kadhaa,kwa sasa nina matatizo sana kazini kwangu yaani ni kama nimeachishwa kazi, na mijusi yote imekimbia na sioni hata mmoja je nifanyeje

  • @ElodyDjasmine
    @ElodyDjasmine 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nitajiri

  • @TumainJohn-t6e
    @TumainJohn-t6e หลายเดือนก่อน +1

    Mbona huwa nabahatika kuona mijusi wadogo mara nyingi

  • @JudithMurithimiru-vy9rc
    @JudithMurithimiru-vy9rc 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naurisha hio sumbi inapatikana wapi arapu hio maji nitaimwaga wapi nihelesee nijua

  • @puritymiranda1973
    @puritymiranda1973 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niki ona huwa pesa yaja kwangu

  • @charlesonditi-jl8eu
    @charlesonditi-jl8eu 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba uniambie maanake

  • @AbihudiJoel
    @AbihudiJoel 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niliona mijusi kwenye kibaraza changu wakipandana je hiyo niisharagani

  • @beatricendyakoa6628
    @beatricendyakoa6628 12 วันที่ผ่านมา

    Mimi niliwai kuota mjusi wa mstari akiwa chini ya godoro langu

  • @GggvvKkhhu
    @GggvvKkhhu 3 หลายเดือนก่อน

    Kwelii imenitokea mjusi mkubwa mweupe sasa chakushangaza nilikua nqmkuta sanaa jikoni af mwili ukawa unanisisimka sanaa badae nikapata msiba wa mdogo wangu anaenifata ila toka msiba ulivotokeaa cjawahi kumuona tenaaa yule mjusi na nilipanga nimmwagie maji ya moto yani nilikua najua kabisaa kama kuna kitu 😭😭😭

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  3 หลายเดือนก่อน

      Pole sana mpendwa 🤝❤️

  • @JamilaOmarl-j7d
    @JamilaOmarl-j7d 2 หลายเดือนก่อน

    Na ukiwaona kwa nyumba yako wako wawili na mmoja anauma mwenzake sehem za kichwani inamaana gani

  • @NEBERT-rc6bb
    @NEBERT-rc6bb 6 หลายเดือนก่อน

    nakitu aina ya jige. inakaa kwanyumba

  • @blessslight5585
    @blessslight5585 6 หลายเดือนก่อน

    Mim jmn naitaj namba zauyu madam nitaz pataj naomben msaada plz 🙏

  • @CafenoSimiyu
    @CafenoSimiyu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilimuua nikisema nimbaya

  • @AnnaSimonpazia
    @AnnaSimonpazia 3 หลายเดือนก่อน

    Je akikutemea mate

  • @Shakirahassan-jn6ox
    @Shakirahassan-jn6ox 5 หลายเดือนก่อน

    Alafu wa langi ya udongo na sijui muda mwingine anakuwa mdogo mdogo mala nyingine anakuwa mkubwa ila langii moja tu ni warangi ya udongo na kingeni ninachoogopa .ukitoka nnjee amna mjusi kama uyu nnjee wako wale wenye rangii rangii na awajawai ingia ndani ndio mana nashangaa uyu wa rangii ya udongo uwa anatokea wap😢😢😢😢

  • @RukiaMdide
    @RukiaMdide หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kila ninapokwenda nakutana nao hasa milangoni

  • @bunuzingondo527
    @bunuzingondo527 5 หลายเดือนก่อน

    Nimepokea pesa kupitia nguvu za ulimwengu

  • @YassinSablak
    @YassinSablak 5 หลายเดือนก่อน

    Mm naamini maneno yako nikweli

  • @PendoMosha-ld5og
    @PendoMosha-ld5og 5 หลายเดือนก่อน

    Nanastahili kuzalisha pesa nyingi zaidi

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilitoka safari ya kikazi, kuna mjusi mmoja akanilamba kidole akakimbia inamaanisha nini?? Na mijusi ninao wengi sana ndani kwangu.

  • @Meech056
    @Meech056 6 หลายเดือนก่อน

    Wa tano

  • @ChampionDullah
    @ChampionDullah 2 หลายเดือนก่อน

    Na mpaka leo awo mijusi wapo kuna muda nawaona mda mwengn siwaoni

  • @bettykendi8101
    @bettykendi8101 5 หลายเดือนก่อน

    Mwaraabu akimuona lazima wanamuia ama wanaambia mfanyi KAZI amuue coz wanawaogopa Sana but mimi nilisema sitawahi

  • @catherinemondo8717
    @catherinemondo8717 3 หลายเดือนก่อน

    😢njee ukimpata àmekupa Kwa nyumba?

  • @kiwangochristian67
    @kiwangochristian67 6 หลายเดือนก่อน

    Hellow madame Nina swali kwako Ukiwa unafanya spel yoyote then ghafla ukamwona you kiumbe anar itwa kalunguyeye! Je hyo niishara ya Ni na je unafaa utamke maneneno gan yenye nguvu kwa huyo kiumbe!?

  • @LuswagaKayagila
    @LuswagaKayagila 6 หลายเดือนก่อน

    chumbani kwangu naonaga mavi yao tu nionyeshe njia ya kuwafukuza

  • @emmytopbeauty
    @emmytopbeauty 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi alikaa hivyo lakini nikamkuta amekufa kwenye nguo

  • @BihawaLibenanga
    @BihawaLibenanga 6 หลายเดือนก่อน

    Dada naomba unisaidie mama yangu nimemuelekeza kuhusu kufanya spell lakini akiloweka chunvi hailowani nifànye nn ilinimxaidie maana anasumbuliwa xana na mizimu

  • @RahmaYadan
    @RahmaYadan 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna siku nikama wiki mbili zimepita nilirudi nyumbani wakati na fungua mlango gafla kwenye paa wakadondoka mijusi wa wili ikabidi niwauwe wote,

  • @zainaomar1545
    @zainaomar1545 3 หลายเดือนก่อน

    nisumu labisa tena hatari ni sumu kali sana

  • @EstherNkwale
    @EstherNkwale 2 หลายเดือนก่อน

    sasa kama mimi niliwaona wawili ndani mmoja sebleni mmoja nje mmoja nilowauwa wote

  • @ZeinabRashid-e7z
    @ZeinabRashid-e7z 5 หลายเดือนก่อน

    Mm nilitaka kufungua biashara siku ya kufungua nilipata mijiskafiri mingi hiyo NI nn dada..

  • @januaryrubuga3351
    @januaryrubuga3351 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna mijusi ya aina 2 kuna hao wa ndani na wale wanaouzunguka nje ya nyumba je wote maelezo hayo yanawahusu?

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  3 หลายเดือนก่อน

      Video inahusu mijusi ya ndani ya nyumba,,sikiliza video

  • @AminaPonda
    @AminaPonda 3 หลายเดือนก่อน

    Dada naomba unisaidie mimi nimeona mijusi wawili ila kwanza alikua anachezesha mkia huyu mwingine anachezacheza kisha wakakutana pamoja je ni ishara ya nini?

  • @AMANISADIKIEZECHIEL
    @AMANISADIKIEZECHIEL 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi inakuwa Mara ya pili Niki funguwa mulango wainje nakuta mjusi ju ya mulango ina maana gani?

  • @Ambwene
    @Ambwene 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi wajusi hawang'ati

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  6 หลายเดือนก่อน +1

      Hawang'ati

    • @ferejifaraji8644
      @ferejifaraji8644 2 หลายเดือนก่อน

      @@NGUVUZAUNIVERSE kna mjusi huwa anapenda kuingia ndani kwang na mlango unafungwa huwa anakaa ukutani ananiangalia namtoa nje lkn ikipit mwezi namkuta ndani xijui maan
      a yake nn

  • @hansamosnyanda7614
    @hansamosnyanda7614 4 หลายเดือนก่อน

    Hizi vitu zinanileteaga ndoto mbaya na zingine zikiingia usingizi unapotea kabisa na chaajabu. unakuta mjusi anajificha ndani adi unafanya usafi ndio unamkuta kwenye kona mweusi mkubwa adi anatisha . Mungu anisamehe maana nishauua mingi kupita maelezo

  • @gogofrema1315
    @gogofrema1315 4 หลายเดือนก่อน

    Vipi ukiishi na mume anaekudanganya unaweza fanyaje ??