Ma sha ALLAAH, ALLAAH SW akuzidishie ilm. Kwetu tunauita, "Shalqeedda" kwa lugha ya "Burji". Makao yetu hasa ni Kusini mwa Habeshi na Mashariki mwa Kenya katika jimbo la Marsabit. Hakuna nyumba au ploti isipokuwa ina miti zaidi ya mitatu ya Shalqeedda (Mringa). Kwetu sisi ni mboga na huwa tunapika karibu kila siku.
Naomba uandike vitabu kuhusu fainda za hizo miti ushapishe kwa lugha nyingi usambaze kwa misikiti na bookshop na watu watanunua sababu ni elimu muhimu kwa vizazi vingi mungu akuongezee hekima zaidi brp
ELIMU NZUR SANA BT NAHOFIA HIZO IDADI YA MBEGU 22 ZA MLONGE MTU ATUMIE ASUBUH NA 22 JION. UKILA NYINGI KWA SIKU NA KWA MUDA MREFU HUWA ZINAPUNGUZA UFANISI WA FIGO
Alhamdulillah shekh kwakutufahamisha mti huu,Allah akulipe kher na nataka zake .
Sheikh wetu Mashaallah mungu akuifadhi kwa kila sharii nlikuwa na mshikila katka kutafuna mbegu za mrungi waeza changanya na maziwa wabda ukanywa
Masha Allah Sheikh BarakAllah feek Swaahibu Al-Ashjar
MashaAllah, Shekhe utusaidie na somo la uzazi wa mpango
Shukran sana Allah akutakabalie kila unalolitaka alhamdulilah kuna tufaidika nimengi tulikua hatuyajui alhamdulilah shukran sheikh wetu
Ma sha ALLAAH, ALLAAH SW akuzidishie ilm. Kwetu tunauita, "Shalqeedda" kwa lugha ya "Burji". Makao yetu hasa ni Kusini mwa Habeshi na Mashariki mwa Kenya katika jimbo la Marsabit. Hakuna nyumba au ploti isipokuwa ina miti zaidi ya mitatu ya Shalqeedda (Mringa). Kwetu sisi ni mboga na huwa tunapika karibu kila siku.
Huko mnapata homa kweli ?, Hamuumwi umwi,Si eti
Mpo wapi nipate kuja
Shukran sana kwakutufahamisha mimi nimezoeaa kuipik tu kama mbog
Mashaallah x2. Jazzakah-la kheri innshaallah.
God bless you Sir
shekh tunashukulu sana kwa mafunzo haya
Masha allah
Allah akuhifadh Al hbb sheikh yussuf bin Aly.......... shukrn kwa darsa ..yako
Asante sana sheikh wetu
Mashallah Allah akulipe kheir Sheikh Yussuf
Inshallah Allah akuzidishie subra ya dhati moyon mwako
Mungu awajaliye
Nakuaminia shekhe shukran sana
Mashaa Allah Allah akuhifadhi jaazakallah kheri
Shukran sheikh
Mashaallah
Mungu aendelee kuwapa nguvu
Shukran jazaqallahu khair
Masha'Allah.Napenda kujuwa kids uongo ni mti gani
Kifa uongo mti gani
Shukran sheikh Yusuf kwa faida ya dawa ya presha na nguvu za kiume
Naukumbali sana mimi
Shekhe mashaalaah
Burundii 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunakupataa Sanaa vidio zako ustaziii
Barakallahu fiika
Mashalla. Barikiwa
Mungu akutunze uzidi kutoa Elimu
Mashaallah tabaraka Allah
Maa sha Allah shukrani sana shek wetu
MaashaaAllah MaashaaAllah
Shukran jazakallahu ljannah
Nakukubali sana
Ahsnt kwa kuendelea kutuelimisha dkt Allah akubarik .
Allah ambarik sheh
Bjr Pia jambo ni shabani tunashukuru kwa mafasiriyo na penda sana
SHUKRAN . ALLAH AKUBARIK
Mashaallah sheikh unatusaidia
Mashallah barakallahu fiiki ya sheikh
Shukrani
Good soo educative very simple and very well explained
MashaaAllah mmungu akubarik
Jazakallah brother
Shukuran ya shiehk Allah akuripe kira raher
Shekh mm Mme wangu uume wake ausimami vzr nifanyeje naomba unionyeshe dawa
Naomba uandike vitabu kuhusu fainda za hizo miti ushapishe kwa lugha nyingi usambaze kwa misikiti na bookshop na watu watanunua sababu ni elimu muhimu kwa vizazi vingi mungu akuongezee hekima zaidi brp
Inshallah Amiin
ما شاء الله بارك الله فيك
Asante sana shukran
Allah azidi kukupa elimu na akuondolee maradhi tuzidi kupata faida
Amiin
mungu akupe maisha marefu uzidii kutusadia
Mashaallah shukrani sheikh wetu
Waaleykum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh
Ma Shaa Allah
Jazakallahu khayran
Walaiku muislam
Asante Allah akuongoze
MashaAllah MashaAllah
Alhando lilah
Rabi zidina nliman anlimum🇲🇿
Chehe eu peço seu contato
Mashalla barikiwa
Jazakallah khaiy
Mwenyez mungu akubariki
Ishalah
Shukran Allah atufanyie wepes
ALLAH Wakbar
Mlonge au jina lingine unafahamika kama (Moringa) unapatikana sana kwa wingi mikoa ya Pwani, bagamoyo zanzibar, dar.. wahindi wanatumia sana kwao huko
Asallaamu allaaykumu shekh kama sijui Dua au aya hiyo nitafanyaje
Wabongo bwana unabakia maishalaaa maishalaaa umeuliza uyo mti nigan kwaza uujue naulimtibu nn akapona kingine kam kweli nidawa unapatikan wapi nampate vizibitisho kwaza kamlaa yakutumia lakini nyee mkisikia tu tangaz mnakimblia maishalaaa
Namshukuru mungu mungu mamaangu alikua hoi Kwa Sukari kutoka 22 hadi imebalance 6 tiba Za miti shamba tu hajawah tumia hospital kweli miti ni Tiba.
Andika vizuri kwanza tukuelewe 😂😂😂
Shukran
Ostaz asante sana presha inasumbua sana,kifa uongo nakuomba unijuze pia
Masha Allah jazakallah kheir sheikh
Mshaallaah
Nimeipenda
Hiyo kifaurongo ni ipi
Waalaykum salaam warahma tullah wabarkatuh
Na oba naba
Ushindwe kwa jina ya yesu
Masha allahu jazakallahu kheir
Allah atufanyiewepeesi
Like that
Mronge upo sana2. ...nguvu za kiume sinauhakika
Asalam alykum. Nijuuze Friday za mti wa muegea.
asantee kwa.ufahamu shekhe
Mlonge
sio mrungi
Asalaam aleykum shekh naomba tuonyeshe mti kifa omwongo
🙏
Wowo masha alaha
Allah akujaalie kila la kher shekh
Ammin thuma ammin
Kifauongo ni mti Gani sisi watu wa kilimanjaro hatujui
Asalm alaikumm ukowapishehe
samahani kaka angu nasumbuliwa na bawasili naomba nisaidie dawa nateseka sana naomba unisaidie mwenyezi mungu atakulipa innshaalla
Asante
Sheihk huo mti mwingine hauna jina lingine wenye maradi sukari mzungi na mti mwingine cujui
Naomba usaidizi my son ako nashida ya kuongea akitaka kusema jehova anasema joba choba naomba unisaidie bt niko mbali na yeye ✈️
Walykum salam warhmatullah wabarakatuh
Tanzania
Nimeingia ku comment hapa nilijua nitawakuta wanaume wengi wapo hapa hili la nguvu za kiume ndio mtataka Maada hii. Shikamooni wanaume salute kwenu 😜🤔
Wacha mambo yako wewe
@@momomella9845 Haaa....haaaaa
@@zenaal-baalawy3262 we umejuajeeeeee jamani
Amin amin
Apo nimekubali, ahh mronge ni noma uwoo. Ni Dawa tosha
Tena kwa ukimwi ni balaa
tiba bora nimekubar mronge
Sheikh nina mwezangu ana uvumbe pia maumivu kwenye sehem zake zahaja kubwa ukiona comment yangu panapo majaliwa please nijibuni
Hio si bawasili?
ELIMU NZUR SANA BT NAHOFIA HIZO IDADI YA MBEGU 22 ZA MLONGE MTU ATUMIE ASUBUH NA 22 JION. UKILA NYINGI KWA SIKU NA KWA MUDA MREFU HUWA ZINAPUNGUZA UFANISI WA FIGO
Naomba msaada kwa mgonjwa wa moyo anatumiaje
Nafurahiya matibabuyenu