ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Napeda jinsi unavyo tusikizi sisi machambiki wako ..na sisi pia tunakusikiza hogera sana ..sauti ipo safi sana..from Kenya
Siwezi Kula Mende mzaziii. Kuleni tu
Hapana kanisa mende teneh aaha siwez kula mm at a kidogo😂😂😂😂😂😂
yani natoka kumuua mende naingia yutube nakutana na video ya mende 😂😂
😂
Yani mwenzako nimeua Jana usiku naingia you tube nakuta hii habar yani nimechoka😁
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂
Video yako haijawez kuwaokoa mende dhidi ya kiatu changu kazi iendelee
😂😂😂ajanishawishi lazima wafe
@@JenipherDandu kabisa yan 🤣
Duuhh !!Apo kwenye dawa nimeishiwa nguvu miee
Duuuu adi kwenye vipodoz timekwishaaa mende haooo😂😂😂
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 Big up 🔥🔥 Justin ShedChina Mende😂😂😂😂😂😂😂😂
ACHA wale hao wachina mpaka nyoka wanakula mm nikiwaona TU ndani nawauwa alaaaa😮
Mmmh mi siwez kula Mende nikiwa naakil yngu timam
Hapana siwez kula mende kamwe
Mende. Ni ndugu..na .tende..yani. .Kwa kingeleza.....teds
Tofauti. Mende. Ana. Miguu ...uenda ..anajisi.......tende.ni.mmea...
Mm siwezi kula mende.
Hapana siwezi😮
Nyie mende wamenichosha hadi nakosa amani 😭😭
😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
Kwakeli labda unilishe nikiwa sjitambui😂😂😂
Siwapendi 7bu wanaishi Sana chooni mimi nikiwa Ona chooni pia Ata nikikuona ndani simtaki naona kama mchafu mmmmh
Wakuje kwangu wazisheke wanilipe nimefunga nyingi sana😅
Mende nayo lazima niuwe hata kama wanaleta faida sitaki
😮😮 sili mende ng'oo
Mende Wanao liwa ni Mende WA KUFUGWA sio hao Mende WA Toilet. Ni tofauti kubwa Sana IPO.
Hapana nimajabu kabisa mende WA wash room RTC
Hata wafunge my dear nimende tu siwezi kula
Kumbi Kumbi walinishinda mende nitaweza😂😂
Siwezi kula mende kwakel, asilan siwezi😢😢😢
Watangaze biashara ya mende ili tuache kuwaua lakin hivi hivi lazima wafe
Unasimulia vizuri kaka we 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
China😂😂😂not surprised, wanakula kila kitu
Kwakweli kuhusu hawa wadudu nimej8hisi kutapika jamani uwiii alafu sowapendi kabisa wakiingia ndani kwangu lazima.niwaue tu
Hatamimi pia siwezikula Mende hatakidongo
Mm siko tayar kula mende
kama ni ugonjwa bora nife kuliko kula mende
La hasha! Acha tu wamchina wakulane ni mijidudu ni tabia ya wao. Onene yayaa!
Siwezi kula Mendes hata unipge na rungu
😮😮😮😮siko tayari mie
Akitengeneza mtu mwengine nakula 😂
Sito. Wahikula mende😮
Olemba nalye mende yayashi😂😂
asanti sana
Siwezi kula mende😅😅😅
Kama hakuna chakula n mende tu heri nife kwa njaa , siwezi kula mende never
tamu sana tena sana eehhh ehhhh 😅😅😅
Siwez kula mende Aisee..
Mmh!!! Mende huyo 😂😂
Mimi siwezi kula mende maana nawachukia kweli kweli
Wenye kula wana bahati lakini mimi hata singependa hata kuona akiliwa
wacha2 wachaina wakule walisha zoea mimi 2 ikae🙆♂️🙆♂️
Wacha ikae mm nitakupa like 2😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Aaa, me sipo tayari kula mmmhh
Mimi😂siwezi😂kula mende kbs
Sasa unasema vizuri Sana ila kuna mende na di kelele dikele njo ina waze kula apana mende
Siwezi kula bro
Tamu sana
Mmmh siwezi hata kujalibu
Si kweli kula mende 😂😂😂
Nipo tayari kula 😂😂😂
Weeee kuwezaaa
Nimetoka kumfukuza mda huu bila kumuua😂ila kwny kumla tutasameheyana wapendwa😂😂
Wacha ni cheke mie hehehe.kula mende tena haya twende nalo
Siko tayari kula mende
Mimi mende simpendi😂
Mie siwezi. Kula Naona kinyaa
Weeeeeeee mimi siwezi nachukia sana mende na vile hupenda kukaa mahali pa chafu
Kwakweli cwez duh😂
usiku nimeua mende😂😂😂
Kuna vitu vyengine wacha vinipite😂😂😂😂
Mmmmh jamani tutakufa vibaya mno kila siku kwatoka jambo jipya
Which is the best insecticide for mende expecially the small ones
Ngoja kesh niwakamate nijalb kuwakaanga ntajalibu mmoja Kama kweli ni mtamu
Maajabu kula mende
Hohohoho siko tayari kumla huyo mdudu aki tapika nitakayo tapika si ya nchi hii hoho
Mmmh😂😂😂 nikajuwa paazi
Nimeanza sasa hivi 😂😂😂😂😂😂
Mmmm siwezi kula Mende ety
Nilisha wahi Kula senene hvyo nah is laadha ya mende ni kama ya senene
Naomba hasara yakula mende
Hapana hata kama nikikosa mboga nyumbani mende sahau kifo cha mende ni pale pale😢😢😢
Mmh kwa hapo na nikose tu kwahapo hapana 😅
Mm chitakura mende
🤣 🤣 🤣 🤣 Yani siwapendi hata kidg
Somo ni nzuri lakini nime shangaa kusikia eti kwamba kuna watu wanao zikula Mende kwangu mimi sili kitu namna hii kabisa. Naandika kutoka drc butembo
Kwan senene na kumbikumbi mnakula
Mbona china wanakula kila kiumbe unachokijua, iwe nyoka, kobe, chura, konokono, paka, panya, mbwa,.....
Hii imekaa poa sana mishikaaki😂
mimi nilishindwa kula mende ila konokono nimewahi kula iko kama firigisi
Hata mi nimekula ila sio hao kaka kunanamna wametofautiana maeneo ya mbinga wanaita machenene
Huo upumbavu wenu pelekeni kwenu uzunguni sisi nikiatu na mende mwanzo mwisho
Bhabha mende gete eyene yaya gete😂😂😂
yaya gete nkoi
Anakuja vocha zetu ,hamna mtzd atakula huu uchafu mmmmh
Wapo wengi tu😂
Mm mende napiga naua
Me kila siku naua mende tena nawapa sumu
😂😂yni nimewamwagia sumu saiz nakutana na hii
Yaan mm mende na nyoka ata kama nakula ntatapika
Ndiyo nipo tayari kula
Weye je unaweza sisi hatuwezi
Lol kwanza nikimuona mende tu naanza kusikia kichefchef
mmmmh jamani duniani kua mambo mengi
Siwezi kula🙏
Mende ni uchafu wanakula kinyesi nakusambaza magonjwa
Mimi siwezi kukula awo maduudu kama mende
MiMi nimtz lakini mende nisha kula saana mpaka kenge yoote sababu nasafili mataifa mengi cos Mimi nimfanya biashala Hata SASA Niko nje asante 🙏🙏🙏😎
Kwa kweli hapana nikimuona tu nataka nipige kelele bc akiruka ndio usiseme simpendi kwa kweli
Siwezi kula mende
Siwezi kula Mendes kamwe
Siwezi ata kidogo
Hatareee😂😂😂😂😂😂
enjoy kwako sisi hatuezi
We me kwanza sitaki kumuona niko na forbea yake me wata ni koma 😂😂😂😂😂me nilikuwa nafkiria wanaleta pesa kumbe ni bala tupu😂😂😂
Napeda jinsi unavyo tusikizi sisi machambiki wako ..na sisi pia tunakusikiza hogera sana ..sauti ipo safi sana..from Kenya
Siwezi Kula Mende mzaziii. Kuleni tu
Hapana kanisa mende teneh aaha siwez kula mm at a kidogo😂😂😂😂😂😂
yani natoka kumuua mende naingia yutube nakutana na video ya mende 😂😂
😂
Yani mwenzako nimeua Jana usiku naingia you tube nakuta hii habar yani nimechoka😁
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂
Video yako haijawez kuwaokoa mende dhidi ya kiatu changu kazi iendelee
😂😂😂ajanishawishi lazima wafe
@@JenipherDandu kabisa yan 🤣
Duuhh !!Apo kwenye dawa nimeishiwa nguvu miee
Duuuu adi kwenye vipodoz timekwishaaa mende haooo😂😂😂
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 Big up 🔥🔥 Justin Shed
China Mende😂😂😂😂😂😂😂😂