Jamal asante kwa kutufahamisha kuhusu nyoka lakin mimi bnafsi sina mda wa kukagua macho wala mng'ao ili nijue ana sumu au hana nikimuona mdudu aitwae NYOKA ni nduki tu atajua mwenyewe na sumu zake😁😁
This jàmaal is very bright in real sense maana anadiscuss vitu sensitical issues to discuss na vyenye maana,,, big up bro , wasafi walikutambua professor mapemaa🔥🌍🌍🌍
Leo mmchelewa kuweka mpk wapiga dili fake wamejipatia views uko , Ila wamenikosa ,, Wasafi tv the xtory ndo habari yenyewe km unakubaliana na Mimi bac gonga like
I am Kenyan Scientist based in the U.S. I am so impressed with this production. I would like to connect with the narrator or the owner of this production for future collaborations.
The content of this story book, I would say like a PhD paper for someone. This will gain a lot credibility in future due to the contents you are giving out. Hongera Jamal na team yako maana vitu unavyovileta vinamaana kubwa sana . lakin kitu kingine nimengundua unasoma sana Jamal, mfano ni hii story book pamoja na Time Traveling
Hongera. Kazi, Nzuri sana. Mi ninaombi 1, Tuletee historia ya Nicole tesla mvumbuzi wa Dc, Pia ukipata mda tuletee Historia ya thomas Edson.... Napenda sana kama utafanikisha Historia Nicole Tesla Maana watu wengi, Hawamfahamu ingawa Anamchango mkubwa ktk Dunia, Respect Nicole Tesla.
nyoka ni viziwi ! sikuwahi jua hili kabla congrats Mwl~Jamal Mungu akupe maarifa zaidi ili uendelee kutufunza hii ndio tofauti ya story.book na simulizi zingine kwakweli ~ we love u professor :)
Big up Jamal! Upo Poa sana! Gonga like Kama unamkubali huyu jamaa Kama ninavyomkubali
Hakika nimeyajua nisiyokuwa nayajua, Salute kwako brother Jamal endelea kutufumbua zaidi. Like hata 10 zinanitosha tu jamani japo nmechelewa
mungu kaumba
Wa 31 cjawah pata like naomba na mm like yako
Hakika uko vizuri kaka una diskasi vizuri hakika nimeyajua mengi nisiyoyajua
th-cam.com/video/DtTJ3v6mTR0/w-d-xo.html
@Hadithi Innovation qqq
@Hadithi Innovation qqqqq
@Hadithi Innovation q
The Story Book Ya Wasafi Inazidi Kupenya Siku Hadi siku na Sasa Mmenifurahisha Kwa Kuweka Na Subtitles This is Great Job
Jamani mie mnatoa comment za kujadiri kile tunacho kiona sio kuomba like zitakusaidia nn Asante Sana Jamar Leo nimejifunza jambo
Salute kwako professor WCB
4 life
Kweli
The story book on top
Jamal asante kwa kutufahamisha kuhusu nyoka lakin mimi bnafsi sina mda wa kukagua macho wala mng'ao ili nijue ana sumu au hana nikimuona mdudu aitwae NYOKA ni nduki tu atajua mwenyewe na sumu zake😁😁
Htr Sana
Mungu akubariki kaka
😂😂😂
This guy has an amazing voice and understands how to use it. Such a great narrator💪
One love from +254
This jàmaal is very bright in real sense maana anadiscuss vitu sensitical issues to discuss na vyenye maana,,, big up bro , wasafi walikutambua professor mapemaa🔥🌍🌍🌍
From Congo Kinshasa watching now
Km unaamini watu wengi huogopa hiki kiumbe kushinda ata mwalimu wa Math gonga like
Leo mmchelewa kuweka mpk wapiga dili fake wamejipatia views uko , Ila wamenikosa ,, Wasafi tv the xtory ndo habari yenyewe km unakubaliana na Mimi bac gonga like
@th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html
@@masongaofficial oàå111box
Kama umefurahia subtitle kama mimi naomba likes....nainjoy sana apa good job bro.
This is why am so beyond in love with Wasafi media bcoz whenever u give them opinions and request they do 😊😍(English subtitles)
Thank you for requesting subtitles because it was so enjoyable and really helped 😊❤
Nko pori lakn nachek kibishi...twende sawa 🐍
😂
th-cam.com/video/DtTJ3v6mTR0/w-d-xo.html
😂😂😂🏃🏃
@@angelapius7526 mambo
Wadauu wezangu wa the story book gonga like 💗 zako hapa wapendwa wa story book
@th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html
Hpo tunakuelewa vzr Prof.jamal
From Canada
Hawa wadudu hatar ila Allah atulinde na kila hatar
amin
@@ibsharmbuly3618 inshallah
Amina In Sha Allah
Inshaallah amin
Amin 🙏
I love the story book we will buy you to come and teach us in nairobi
Professor Jamar mungu akupe maisha marefuu uzid kutufungua akiri zitu🙏🙏🙏
WANAUME ACHENI UOGA
Habar za jioni wapendwa naombeni like zenu just shoo love 💖
Pamoja sana
Shukrani na sifa zote apewe mwenyez MUNGU/❤💓💓💓💓❤
I am Kenyan Scientist based in the U.S. I am so impressed with this production. I would like to connect with the narrator or the owner of this production for future collaborations.
Ok
@@emmanuelhenriko how do we contact you
Yaaani Nimesisimka na Nimejifunza vitu vingi Sana Jamal u kill it wallah
Ipoo powa
Nimejifnzaa saaaanaA ahsante profesaa nakukubali saaanaa
Cwezi maliza naogopa 😡😡😡
Heshima kwako mzee I can't wait to watch next episode.
Jamal yaani wewe hutabiriki kabisa........thank you for this beautiful story yet educating😘😘😘
I can see changes good job The story book team for adding subtitles
Nimeipata vyema
kun watu hawajasklz ila washa dis like daaah🙌 acheni roho mbayaa kenge nyiee
Hatari sana
Professor Jamar amemfunikaa mtigaa
Hata robo haezi mfikia acha ushabiki maandazi
Asante sana Professor Jamal April, tunasubr hiyo nyngne
Hongera san kaka ila tunaomba usituchele weshee sana iyo tuzid kujifunza
Ni mtanzani ila nipo nairobi, naikubali sana the story book 🙂
Mi nishabik no 1 wa the story book jamal ntakuombea kwamungu me ma
gonga like twende sawa
Sio like kila muda, comment ulichosikia na kuona📌😤
Anaye kubali huyu jamaa gongo like twende sawa
Vitoto vya nyoka vinazaliwa tayr vikamanda♊😂😂😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁tukae humo
hhhhhh
🤣🤣🤣🤣🤣 umeona eeeh?
Mtoto wa nyoka ni nyoka
😂😂😂kabisaa
Proffesor Ebu Ngoja Kwanza Maana Hizi Story Za Nyoka hizi Aaah Ebu ngoja Kwanza...Nakuja Lakini..... Usiondoke😂
😂😂😂😂 me nmekaa njee jani limeanguka kweny mti nimekimbia 😂😂😂
@@yakiniramadhan8921 🤣🤣🤣
th-cam.com/video/DtTJ3v6mTR0/w-d-xo.html
@@yakiniramadhan8921 hhaha
@@yakiniramadhan8921 😂😂😂😂
Huyu Kaka nampenda Sana jaman😊sauti yako na store zako nafarijika sana
Daaaaah! Napenda sana mm The Story Book💖💖💖
Ni vizuri zaidi ku tafsiri kwa lugha nyingine zinazofaa unaandika apo chini ni vizuri zaidi kabisa asante
story ni ndefu sana aseeh jamal
Asante... Nimefarijika sana kuskia simulizi hii, ila sikujua hawa jamaa kama ni viziwi
Hapo kwenye subtitle mmefanya jambo kubwa sana, hapo #theStoryBook itakua worldwide 🔥
Big up for this creativity 🙌
😍
Nakubal sanaaa jamal
The content of this story book, I would say like a PhD paper for someone. This will gain a lot credibility in future due to the contents you are giving out. Hongera Jamal na team yako maana vitu unavyovileta vinamaana kubwa sana . lakin kitu kingine nimengundua unasoma sana Jamal, mfano ni hii story book pamoja na Time Traveling
I don't trust some of the content he provides eg. Asnake can not see, how is it possible
@@thesilencer5114 they can't see Properly, Not At all .
SHADRACK KISANJI 𝒐𝒚𝒂 𝒂𝒄𝒉𝒂 𝒌𝒖 𝗸𝘂𝗸𝘂𝗿𝘂𝗽𝘂𝗸𝗮 𝐡𝐞 𝐬𝐚𝐢𝐝 𝐬𝐧𝐚𝐤𝐞𝐬 𝐚𝐫𝐞 𝐧𝐨𝐭 𝐠𝐨𝐨𝐝 𝐢𝐧 𝐞𝐲𝐞𝐢𝐧𝐠 𝐭𝐡𝐞𝐲 𝐢𝐧𝐜𝐚𝐩𝐚𝐛𝐥𝐞 𝐛𝐮𝐭 𝐭𝐡𝐞𝐲 𝐜𝐚𝐧 𝐬𝐞𝐞
Kaka unasauni unique sana wasafi wakikupoteza awatapata kama wewe tena
Asante na nimefurahi sana kwa Makala hii. Kazi nzuri.
Bro Jamal, Mungu akuongezee hekmaaa, you are blessed and talented
Ilo dude ulilo lishika ni hatarr🔥🔥🔥 aixee mi na nyoka walaa' weka mbali zaidi
Professor jamal...lots of appreciation
#professorjamal mung amueke daima #namkbl wew je gonga like twende pmja
Hyu jamaa anajua acheni tyuuuuuu anajua
Jamal Mustafa uko vizuri bro
Naogopa nyoka kuliko Simba.
Kwanini sijui Mungu aliumba Nyoka.
Hongera. Kazi, Nzuri sana. Mi ninaombi 1, Tuletee historia ya Nicole
tesla mvumbuzi wa Dc, Pia ukipata mda tuletee Historia ya thomas
Edson.... Napenda sana kama utafanikisha Historia Nicole Tesla Maana
watu wengi, Hawamfahamu ingawa Anamchango mkubwa ktk Dunia, Respect
Nicole Tesla.
Subhan Allah, ndugu Jamal Shukran kwa uchambuzi huu, Allah bless you, Ameen
Anae elewa the Stor bok ya leo agoge like hapa
Daaaah Jamal ata usemeje siwezi kuacha kuwaogopa nyoka
Siwapendi nyoka kwa kweli subhanallah ☺ndo naanza kutazama 😟
Aangalie tuuu
💞💞💞 hongera jamal
Wasafi na jamal hongeraaaaa
nilikua nimelala lakn nikaskip usingizi kwasabab ya professor Jamal's voice
Brother upo vzr sana napenda sana story book
Jamaa anajua aisee
Keep moving Jamar, wcb4life,
Mmm kwaher sio kwa nyoka hao
Nyoka n kiumbe saf sana anaebisha a like na anae kubali coment iwe chin yangu 😋😋
APASASA *THE STORY BOOK* ITAPENYA INTERNATIONALLY MAANA SUBTITLE IMEWEKWA HII ITAKUWA KIPINDI LA DUNIA
Thanks for the ENG SUB
I salute this man ...is a man I really look upto big up broo🙏❤️💪🔥
Pamoja sana professor
Nakubali mwamba jamari
This is more than interesting. Thk u Jamal
Asante kaka nmeyajuwa nlokuwa siyajuw mungu akulinde broo salute kwako
Jaman na mmi naomben Like
Ahhh nyoka ni viziwiiii....
Mbona huwa wanapigiwa zumari na kucheza cheza
Hongera sana, tupo pamoja
Jamani msinizoee mm ni hatari😂😂😂😂Black Mamba for everybody😍😍
Nauelewa sanaaa jamali unatufungulia dunia mungu ajubariki
Doh!! Mimi nipo Serengeti Usingizi leo utakuwa wa manga'mng'am kabsaa
Uko vizur saana endelea kutuelimisha tusivyo vijua
Title chini bonge la ubunifu....Sasa mpaka wazungu uku Japan tunakuelewa🤣
Brooooo umejitahidiiii sanaaaa kuhus hiiiiiii
Subhanallah jamany ni hatari sana nyoka anaogopeshaaa
Jamal upo vzur sana ila kasoro yko Ni moja tu kasoro yenyewe siijui
Jmn😂😂😂😍
Njombe joto aslimia tano boss wangu na wanaishi vzr tuu,,, much love from Kenya
Nakupenda sana pofessor Jammal
Upo vizuri
Sio watu wazima watutu, Mmoja ndo anaogopa Nyoka Ni Wote bro 😂😂😂👊 #Jamali
Kazi njema bwana haruc mtarajiwa
Nakubali Jamal April
Noma sana jamal April
hii story ya majoka imenitisha mzee jamal ni noma sana
Professor jamal 📖
@th-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/w-d-xo.html
Dah mtiga noma sana nilikuwa cjui kama nyoka awa sikii na awaoni vzr kweli mungu katuurumia🔥🔥🔥
nyoka ni viziwi ! sikuwahi jua hili kabla
congrats Mwl~Jamal
Mungu akupe maarifa zaidi ili uendelee kutufunza
hii ndio tofauti ya story.book na simulizi zingine kwakweli ~ we love u professor :)
Ebhana naona professor ameanza kuweka English subtitles, good step!
Ni faya mjomba😂
@@collihmushi5944 ààr
Kali sanaaa cant wait for another onee
Kitaalamu vp bwana.sema kwa rugha ya kingereza