FULL MUNAQASHA | USTADH SAID SHIRAZY NA BACHU - MJADALA BACHU ALIOSHINDWA KUJIBU SWALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 206

  • @zuenajuma-si7wp
    @zuenajuma-si7wp ปีที่แล้ว +6

    Hongera sadi mungu akuzidishie elim tupate kufaham zaidii❤❤❤❤❤❤❤

    • @AbuuzahirIdrissa
      @AbuuzahirIdrissa 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mjinga tu huyo unaempenda

  • @JafariMuzaffar
    @JafariMuzaffar 3 หลายเดือนก่อน +4

    Assalam aleykum warahmatullaahi wabarakaatuh. Hongera sana shehk , ma'allim bachu ALLAH akuhifadhi , na akuzidishie ilmu ili uendelee kutufudisha

  • @سليمه-ح2ن
    @سليمه-ح2ن ปีที่แล้ว +4

    Hongera ustaadh said machozi ya ushindi hayo ❤

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 ปีที่แล้ว +2

    Angesema hajui tungesikia mengi mash ALLAH sheikh said dawaa zako na unavyomtetea mtume twaona

    • @abdulgadafi1922
      @abdulgadafi1922 7 หลายเดือนก่อน

      Ogopa Mungu saidmansoor Kwanza swali lilikua linafaa liletwe hivi je kulingana na kauli ya ulama wa kusahilisha hadithi je kauli ya Barzanji ni ya uongo?kama ni uongo toa thibitisho na kauli ya maulama...sio venye said Ameuliza aty je Barzanji ni Muongo kulingana na hadithi munkar alio tumia? Na kama ni Muongo Toa thibitisho kutokana na Maulama.....Hatuendi hivo baba Mkweli saa zingine hadanganya...na Muongo saa zingine hasema ukweli...

  • @MohamedKibwana-mc5wu
    @MohamedKibwana-mc5wu หลายเดือนก่อน

    Maashallah sheikh Said Mungu akuzidishie elmu

  • @faisalyunus4283
    @faisalyunus4283 หลายเดือนก่อน

    Shekh said ni msomi kwa kila mwenye atamfahamu kwa kuzugumza kweke amemakinika hana maneno mengi na ni mpole haropoki maneno yaso leta natijaja na ukosefu ya adabu dio sifa ya mwenye ilimu shukran shekh said

  • @shukah7
    @shukah7 ปีที่แล้ว +3

    Ustaad Saidi ""nope"" mashaallah ume weza❤❤❤❤

  • @swalehfarid5466
    @swalehfarid5466 4 หลายเดือนก่อน +4

    Raha Sannaaa ALLAH Awalipe Kwa Kumtetea Bwanamtume Swalla Llahu Aleihi Wasallam

  • @abdallahmohamed2928
    @abdallahmohamed2928 9 หลายเดือนก่อน +2

    Na'am swadaqta Al akhy Bachu, anamsomesha kwa hoja zenye tija vizur sanaaa kijanaaaa ila kijana kaishalishwa matango poli ajifanya haelewi sub'hanallah 😂📌

  • @fay9687
    @fay9687 ปีที่แล้ว +8

    Hawaogopi hata mungu subhanallah yaani kazi kupoteza watu balaa hawa Allah anawaona

    • @salmaali7080
      @salmaali7080 ปีที่แล้ว

      Subhanallaj wajua waongea nini wewe

    • @issakikwazi-jm5rq
      @issakikwazi-jm5rq 3 หลายเดือนก่อน +1

      akina nani hao? maana hapo kuna pande mbili

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi fujoo😂😂wakiwa peke Yao porojo kama lote

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi walikufa miguu juu😂😂😂

  • @سليمه-ح2ن
    @سليمه-ح2ن ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah ustaadh saidi Allah akuzidishie ufahamu wa kielimu mashaa Allah uko ngangari ❤

  • @kauga6934
    @kauga6934 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sh banchu Allah akuzidishie

  • @kitaaonlinetv2990
    @kitaaonlinetv2990 22 วันที่ผ่านมา +1

    msichanganye kweli na uongo na hali ya kuwa mnajua ukweli..

  • @habiybothman3286
    @habiybothman3286 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huu mnakasha ili uuelewe vzr unatakiwa uwe hujasoma ila ukiwa unesoma maana yake utakua lzm ktk hizi pande mbili umeegemea upande wako na hapa huwez kuupata ukwel ila hamdulillah nimejifunza vzr sana mashallah

  • @SaidKhamis-o8r
    @SaidKhamis-o8r หลายเดือนก่อน

    Mwenye elimu hasifu

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 ปีที่แล้ว

    Allah akubarik ustath said akuifathi popote ulipo

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 ปีที่แล้ว

    Maulidi ya sowe niyamtume awabariki Al lhssan tv

  • @saidawadh-sx9fy
    @saidawadh-sx9fy 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli hakuna jawabu zuri tena sahihi kama kujibu sijui Bachu jifunze kitu hapo

  • @M.Mvamba
    @M.Mvamba 3 หลายเดือนก่อน +2

    ْاللَّهُمَّ صَلّ علَى سَيّدِنَا مُحْمَّدٍ وَعَلَى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَبَارِك وَسَلّمْ

    • @HassanLuqman-w5l
      @HassanLuqman-w5l 3 หลายเดือนก่อน +1

      اللهم صلى على محمد ( سيدنا) هذا بدعة

  • @AthumanSultan-kd3dj
    @AthumanSultan-kd3dj 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nabii Mussa pamoja na elimu yake yote Mungu alimuonyesha zaidi yake huna hekma

  • @caliaweys4006
    @caliaweys4006 ปีที่แล้ว +3

    سبحان الله

  • @AishahMuigu
    @AishahMuigu ปีที่แล้ว +5

    Ukweli kwa mtu asieegemea upande wowote, ni kuwa maulidi hayawezi kutetewa kihakika. Na alieangalia debate ajua shaykh saeed alikwama kwa nukta moja ili asisonge ukafichuka ukweli kuwa upo urongo ndani ya barzanji. Allah amhifadhi shaykh Bacho.

    • @issakikwazi-jm5rq
      @issakikwazi-jm5rq 3 หลายเดือนก่อน

      shekh kama akili yako ni mgando uliza ufahamishwe mbona swali liko wazi Bachu kashindwa kujibu ?

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 หลายเดือนก่อน

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea
      SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث

    • @MuslimChannelTZ
      @MuslimChannelTZ 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@issakikwazi-jm5rqwewe na bachu nani mwenye elimu zaidi ?

    • @ababakryally8827
      @ababakryally8827 2 หลายเดือนก่อน

      Bachu hana elimu wahabi huyo mropokaji

  • @UstadhkishkiAlikishki
    @UstadhkishkiAlikishki 8 หลายเดือนก่อน +2

    Masha allah bachu

  • @KhamisAwesiAbdalla-of4no
    @KhamisAwesiAbdalla-of4no 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sh. Said shekh polite anajua kuongea ki elimu

  • @abuushehe3030
    @abuushehe3030 4 หลายเดือนก่อน

    Maashaa wangee ukweli wapotouma wawisimu watuwamaulidi allaawongoze

  • @mamuking257
    @mamuking257 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh banchu mungu akuzidishie elimu

    • @KhamisAwesiAbdalla-of4no
      @KhamisAwesiAbdalla-of4no 10 หลายเดือนก่อน

      Hakuna elimu ya aina hio hana hekima hata ndogo muislam hatakiwi kumzarau muislam mwenzak

    • @SadikiKingo
      @SadikiKingo 9 หลายเดือนก่อน +1

      Dah ila niliangalia hii clip na mwanangu akasema neno nilishtuka kidogo kuusu bachu km anajua nini kinazungumziwa alisema hv huyu mwenye madev anazungumza Sanaa Hana point za maneno yanayotakiwa kuzungumza

    • @saidimurisa4600
      @saidimurisa4600 8 หลายเดือนก่อน

      Azidiahiwe hicho kiburi ama

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana mtume (saw) pamoja na maimamu wote,walipoulizwa maswali : walikua wanajibu na kama hawajui walikiri ila boss wangu hakubali…..maalimu bachu usidharau watu na kuna watu wanakutia kichwa tu bila ya maarifa( be care full

  • @Omanzikra-ft5cr
    @Omanzikra-ft5cr 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kiukweli ikiwa ulisoma utaelewa kua bachu katoa elim yakutosha mm kweli ni mwanamke lakin nimemuelewa mabruk bachu ila ustadh said waambie masheikh zako wakufundishe tena ili ukija sikunyingine uje ujibu maswali ulio ulizwa ila usije na hadithi munkar wala hadith dhaifu njoo na hadith sahihi alaf acheni kuwadangaya waislam waambienitu ukweli vituhivi vya barzanji uongo nimwingi

  • @KaushingKaushing-p6b
    @KaushingKaushing-p6b 11 วันที่ผ่านมา

    Maulid yasisomwe hayafai

  • @abdulgadafi1922
    @abdulgadafi1922 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wallahi mimi nimefuatilia nimeona kweli watu wa maulidi kuna ufiche flani wamo ndani ya Uongo

  • @MrishoKhamisi
    @MrishoKhamisi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani uisilaam dini ya aki bachu analopoka sana kasema mambomachafu amelekebishwa sana akisoma anasaihishwa sana muniambe nani mwalimu au lugha kwakwe bado

  • @ThabitisalumJuma-o9l
    @ThabitisalumJuma-o9l 3 หลายเดือนก่อน

    Maashaa nimefaidika sana na huu mjadala
    Bachu umeelimisha waislamu vya kutosha kama kitu hakina dalili basi hakifai kufutwa

  • @SaidKhamis-o8r
    @SaidKhamis-o8r หลายเดือนก่อน

    Hebu kubali kwanza

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy ปีที่แล้ว +4

    Mwenye alifatilia huu munaqasha amefahamu Sana ukweli uko wapi kwa mana bacu alienda vizuri Sana Ila saidi alikuwa ameshatayarishwa kwa kubaki naswali lilelile .wakati limeeshajibiwa bacu alijibu swali.Allah akuhifadhi sheikh bacu

    • @salmaali7080
      @salmaali7080 ปีที่แล้ว +2

      We wajua unachokiongea mbona cc hatukuona wala kusikia swali kujibiwa

    • @salimasalim405
      @salimasalim405 ปีที่แล้ว

      Wacha unafiki ww kajibu swali gani wkt kakimbia kwenye kiti na sheria waliokubalina wasiende mbele mpk swali aliloulizwa ajibu 😅😅😅 Allah akuzididhie hekima na elima sheikh Sayd❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @saidimurisa4600
      @saidimurisa4600 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wengi wenu hua ni ushabiki tu lakini bachu alishindwa live

    • @VuaiAli-zt9ib
      @VuaiAli-zt9ib หลายเดือนก่อน

      Uache uongo.

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw ปีที่แล้ว +3

    Mbwembwe nyingi bachu kuja chali😂😂😂😂

  • @khitamcaptainveca5045
    @khitamcaptainveca5045 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kusema kitu chiko kwa kitabu changu ni uongo na uwezo kuthibitisha kwani niko kwa unongo.
    Iyo ni mtihani

  • @caliaweys4006
    @caliaweys4006 ปีที่แล้ว +1

    Wewe kijana mbiriyani muogope allah

  • @AbuuAnuwar-ip7dr
    @AbuuAnuwar-ip7dr 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa alibanwa kisawasawa kabisa siku hii🤣🤣 naamini hii siku ilikuwa mbaya sana kwake,
    Nabaada yakubanwa akaona kuwa hapa kuna kina kirefu chabahari akaanza kupungu speed anaposoma kiarabu nasio kawaidayake 🤣🤣

  • @KarimuKapundijr
    @KarimuKapundijr 7 หลายเดือนก่อน

    Bachu unajua sana ❤

  • @foos81
    @foos81 ปีที่แล้ว

    My Allah give peace oll sheiq faith 👈🤲

  • @سليمه-ح2ن
    @سليمه-ح2ن ปีที่แล้ว

    Jamani raha Hadi basi❤😂

  • @OmariHamed
    @OmariHamed 2 หลายเดือนก่อน

    Bachu kwanza nahau ni ziro alaf hana ushahid wa hoja ni mawazo yake tu😂😂😂😂😂

    • @MuhamedChabaga
      @MuhamedChabaga หลายเดือนก่อน

      Nazani umekurupuka kuandika

  • @adamwanyonyi8852
    @adamwanyonyi8852 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu huyoo umeshindwa usikatae 😢😢😢😢🤫🤫🤫🤫nyamaza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ogopa LION

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

    Bachu unaulizwa, umemaliza?😂😂😂 Bachu sema hujui uone

  • @zeitunMohammed
    @zeitunMohammed ปีที่แล้ว +8

    Wallah kwa huu mnaqasha nmepata mafunzo. Ambaye alianza kwa majigambo ,ww ni third eleven, mm ni first eleven,nakupa doze ndogo2, akili yangu ni Mara kumi,Kisha was kimbia mbiyooooo.ukiacha mnaqasha

    • @aminaabdullahi-tp5kn
      @aminaabdullahi-tp5kn ปีที่แล้ว +5

      Hakukimbia aliona Saeed aongea Atakavo yeye si kuelimisha watu....kitu ushaambiwa Ni MUNKAR..si uwachane nacho ndio bachu akaamuwa kukiwacha...hakukimbia MUUOGOPENI ALLAH

    • @mozain9892
      @mozain9892 ปีที่แล้ว +3

      ​@@aminaabdullahi-tp5knhapo kwenye munkar bachu ndo katoa hukmu ya uongo na jee kweli wanazuon ndivyo wasemavyo kua kutumia hadithi munkar unakua muongo?au kile kitu ulicho andika niuongo?hapo ndo kume mkimbiza bachu sabab alitakiwa athibitishe kwa maneno ya wanazuon kwann amuite barzanji ni muongo

    • @akbarosman3892
      @akbarosman3892 ปีที่แล้ว +2

      Nenda katafute elimu wee wacha maneno mengi, makhurafi ni wajuzi wa kuimba tu

    • @m.n.a2306
      @m.n.a2306 ปีที่แล้ว

      @aminaabdullahi.tp5kn...Tafuteni maana ya .MUNKAAR (it's NOT haram

    • @aminaabdullahi-tp5kn
      @aminaabdullahi-tp5kn ปีที่แล้ว +1

      Sawa si harram....Saeed angetuambia ilifikaje...ama Kwa Nini ikaitwa hadith MUNKAR bachu aliona Ni MUNKAR Na pia ki elmu umebiwa Wacha na nayo....mbona mumekuwa vinganganizi Kuna hadith sahih Na Suna teleeee hebu tuxifanyieni kazi hizo

  • @AhmadiMadua
    @AhmadiMadua 5 หลายเดือนก่อน +1

    We bacho ni mjingakweli

  • @AthumanSultan-kd3dj
    @AthumanSultan-kd3dj 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu muoga anaongea sana jjibu Moja tu muongo kumbe muongo yeye

  • @MussaMc-g6j
    @MussaMc-g6j 6 หลายเดือนก่อน

    Dj. Anafungua akifunga tu hasemi kitu ..au kakaririshwa 😂😂😂😂😂

  • @IsakaKinyonga
    @IsakaKinyonga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bacho bado hunaelim ya mnakasha

  • @abdulgadafi1922
    @abdulgadafi1922 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kijana hana kauli yoyote said anakatalia kauli moja mbna aleti elimu mbna hatufundishi hata kitu

  • @suezcanalfreightltd84
    @suezcanalfreightltd84 25 วันที่ผ่านมา

    Mtihani hui

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 ปีที่แล้ว +1

    Aseme kama hajui azikiwe amekaa sana

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 หลายเดือนก่อน

    Kenya watu wanasoma sana dini sio wepesi

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu lugha hujui

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 ปีที่แล้ว

    Huyu dogo bachu anajua sanaa

  • @blazeking2331
    @blazeking2331 ปีที่แล้ว +4

    Sasa hawa majuha wa maulidi washerehekea ushindi gani ?

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Juha ni wew na uyo ng'ombe mwenye vichwa vi5

  • @NasirJussa
    @NasirJussa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu dj Said anajidai Muhammad bachu anatia sakna baada kumkosoa ilo kosa moja la kiubinaadamu tu ila baadae hakuna sakna zozote Kila kitu kimewekwa mahala pake ni choyo tu na husda ila dj Said kiukweli humwezi bachu muhuddi

  • @WetendeMaher
    @WetendeMaher 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jama Hana jawabu wasidanganye watu na maulid

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 ปีที่แล้ว +1

    KWAKWELI NIMEMENDA MJADALAA LAKINI NIMESIKITISHWA SANA NAMAKELELE YA MASHEKHEE SASA MWAZOZANAA SASA HIZO NIKELELEE TUU TABIAGANI HIYOO ??? KUWENI WASTARABU SIKUNYINGINE SISI TANZANIA TUNA MIJADALA LKN SIYOO HIYOO ISIYOO NA STAHAAA

  • @SHWAIBUATHUMANI
    @SHWAIBUATHUMANI 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nmempenda shekh saidi

  • @caliaweys4006
    @caliaweys4006 ปีที่แล้ว +5

    Watu wa mawlidi muogopeni allah

    • @akbarosman3892
      @akbarosman3892 ปีที่แล้ว +1

      Hao makhurafi wamemsingizia mtume hao hawana elimu wala hawamuogopi Allah

    • @salmaali7080
      @salmaali7080 ปีที่แล้ว +2

      Una uhakika gani watu wa maulidd hawamuogipi Allah we mwenyewe labda hata swalla huswali

    • @shukah7
      @shukah7 ปีที่แล้ว

      @caliaways heshima huna Allah ni Capital letter no small plz

    • @issakikwazi-jm5rq
      @issakikwazi-jm5rq 3 หลายเดือนก่อน

      maulidi yatasomwa mpaka kiyama kisimame

  • @IkrimGeorge
    @IkrimGeorge หลายเดือนก่อน

    Bachu alkuja kielimu said alkuja kubishana

  • @VuaiAli-zt9ib
    @VuaiAli-zt9ib หลายเดือนก่อน

    Anajichekesha kama Kichaa lakini kujibu Hoja anatapatapa.

  • @twahahamisi9924
    @twahahamisi9924 4 หลายเดือนก่อน

    Hata ukiwambali mtu akipima maharage katika mzani utaona mzani umeelemea wapi nimeona na alhamdu lillah

  • @hamzamohamedKeslivol
    @hamzamohamedKeslivol 6 หลายเดือนก่อน +2

    Na umefeli wapi kusema hujui

  • @KhatibKhamis-x9t
    @KhatibKhamis-x9t ปีที่แล้ว +3

    Mpiga minanda tu huyu hana elimu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 หลายเดือนก่อน

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea
      SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث

  • @hassanyassin159
    @hassanyassin159 6 หลายเดือนก่อน

    Dah,ushabiki tu hapo. Watu tumeelewa ukweli

  • @RashMash-l1b
    @RashMash-l1b 6 หลายเดือนก่อน

    bachu yupo sahihi kabisi,huyu saidi ababaika hatumuoni na swali la kimsingi mwenye akili ashaelewa haki iko wapi,mana maneno ya bachu yapo wazi kabisa,sijui huyu saidi hajaelewa nini zaidi yaubishi tu.

  • @MuhammadKibagai-u4k
    @MuhammadKibagai-u4k หลายเดือนก่อน

    Waalimu wa nje hebu waseme ukweli. Bacho kajibu swali au anazunguuka tuu anaruka swali

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa anae taka kuelewa kiurahisi Suali alilouliza Ustadh Said Omar Hadithi aloitowa Bachu ni munkar ni ktk vigawanyo vya Dhwaifu sasa yeye ilikuwa athibitishe mtu akitumia Hadithi Munkar ktk kitabu chake au yale maneno kupitiya kwa wanazuoni wa Mustwalahi Hadithi kuwa ni uongo. Kwa mfano Imam Ahmad Ibnu Hambal au Sheikh ibnu Taimiyah wao pia ktk vitabu vyao wamezitumia Hadithi Dhwaifu munkar kwa hivo pia hayo maneno ktk vitabu vyao itaitwa ni uongo? Bachu aliogopa kujibu kusema sijui alijuwa huko mbele kuna kichapo. Elimu hana ndio mpaka leo amepotea haonekani tena na kelele na hamasa zake kimnyaaa

    • @abdulgadafi1922
      @abdulgadafi1922 7 หลายเดือนก่อน +1

      Assalam Aleikum.Bismillah wwe Nina swali Moja Wwe ni Wa Maulidi

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 7 หลายเดือนก่อน +1

      abdulgadafi1922 Alhamdulillah tena mimi ni yule wa damu kabisa mpaka siku ya kiyama Maulid yamo ndani ya roho yangu madamu ni kusifiwa Mtume S.A.W

    • @AmiriKassim-l5d
      @AmiriKassim-l5d 3 หลายเดือนก่อน +2

      Swadakit Hilo ndo swali aliloshindwa bachu ndo maana sai hataki kwenda mbele

    • @hikmanabdallah8783
      @hikmanabdallah8783 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sahihi akhyii

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Mm nimeelewa Ivo pia, bachu sio mkweli kushindwa...

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

    Ata kule tanga alienda kumzonga tu yule ust sabasil lkn ata kwa sabasil kubra hatoki

  • @kitaaonlinetv2990
    @kitaaonlinetv2990 22 วันที่ผ่านมา

    maaludi ni bidaa kataeni kubalini..

  • @SheikhMohamud-cl1jx
    @SheikhMohamud-cl1jx 2 วันที่ผ่านมา

    Masufi mjue dini barzanji ni khurafi na dj huyu arudi madrasa bachu hamawezi fika mnaeza piga kelele hdu qiyama

  • @allyrashidi9875
    @allyrashidi9875 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu ,,Hawa maghurafi ni wazushi na hawataacha uzushi mpaka kiama,,achana nao

  • @MansourYusuphu
    @MansourYusuphu 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu mohd bachu angelikua ni mimi hapo asingenigusa coz ufahamu haujui kabisaaaa

  • @fay9687
    @fay9687 ปีที่แล้ว +1

    Wewe si ndio ulimuita uje umfundishe kuhusu maulidi mbona wakazana na mtu wa barazanji

  • @nouhamour545
    @nouhamour545 หลายเดือนก่อน

    Dharau ndio zimemponza Bachu

  • @JumaMohamed-y4w
    @JumaMohamed-y4w 6 หลายเดือนก่อน

    Buchu umekwama takhriji ya rawaya si tayari ushetaja mnkari sasa tena takhriji gani wakati ushasema munkari ndiyo takhriji.

  • @AthumanSultan-kd3dj
    @AthumanSultan-kd3dj 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi Yako kutukana tu mtu anaweza kupewa utajiri akautumia vibaya na elimu vivohivyo elimu ya sifa elimu ya majivuno majivuno mkubwa ww umepatikana huna hekma kabisa

  • @blazeking2331
    @blazeking2331 ปีที่แล้ว +1

    Maskini nawaonea huruma Allah awaongoze njia ya haki

  • @allyrashidi9875
    @allyrashidi9875 6 หลายเดือนก่อน +1

    Saidi hajasoma,mbona hatufundishi Elimu yoyote hatoi Aya Wala hadithi ya kutetea urongo wa Maulidi

  • @fay9687
    @fay9687 ปีที่แล้ว +2

    Afadhali mdahala wa tanga kuliko huko mombasa hamna elimu kabisa

  • @MussaMc-g6j
    @MussaMc-g6j 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu ww unajua mpka unakera

  • @yasserabubakar6167
    @yasserabubakar6167 2 หลายเดือนก่อน

    Huu mujadala nimeangalia zaidi ya mara kumi kuangalia ukwelinimeona huyu abu ahmad ndio aloharibu huu mujadala …

  • @abuushehe3030
    @abuushehe3030 4 หลายเดือนก่อน

    Shekhebachu tunakutemea mm mwenyewe nilikuwa kweyeuwongohua

  • @abdallahvindili2269
    @abdallahvindili2269 ปีที่แล้ว +2

    Bachu wala hutaki mambo mengi hoja yako wataka waseme je wale wanyama kuongea Ni kweli?

    • @salimasalim405
      @salimasalim405 ปีที่แล้ว

      Leo limekua swali hilo sio tena uongo na ushirikina ? Mbn wanafki nyinyi mawahabi 😂😂😂

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 หลายเดือนก่อน

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea
      SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Sheikh said htaaki mambo mengi anataka suali lake lijibiwe.

  • @Said-q1p7g
    @Said-q1p7g 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh said wajna kasome ujuwe dini yako mauldi c dini hili liko wazi hata wendaazimu kucheza hawaiti dini

    nani haja muelewa bachu nani hajamuelewa tukiacha ushabiki ,tunaona bachu yupo sahihi kabisa

  • @allyelbusaid9888
    @allyelbusaid9888 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ninachowasifia mawahabi wao hawajui neno kushindwa hata wakishindwa kweli.. Nyuso zao ni kavu mbele ya hadhara hata wakionyeshwa ukweli wa mambo ulivyo

    • @AmiriKassim-l5d
      @AmiriKassim-l5d 3 หลายเดือนก่อน

      Hao si watu wa misimamo bila elim

  • @abuushehe3030
    @abuushehe3030 4 หลายเดือนก่อน

    Kwann watumaudi siwalewa

  • @JumaMohamed-y4w
    @JumaMohamed-y4w 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu kasome mustwlahil hadith acha janjajanja

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 หลายเดือนก่อน

    Hivi kweli mtu yupo kwenye mjadala wa kielimu kwaajili ya Allah anaonyesha dharau hivyo "Nimeletewa mtu ambaye si first eleven"? Hii ni U'jubun. Hata hivyo kama mtu hujawahi kuona si ndio hujui?

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 9 หลายเดือนก่อน

    Hapa nimesibitisha kua elimu imeanza Zanzibar ndio ikafata huko mombasa maana Bachu yupo ktk mstari hao masheikh wa kenya wanamtoa ktk njia

    • @MansourYusuphu
      @MansourYusuphu 9 หลายเดือนก่อน

      Hujui kitu nyamaza

    • @AmiriKassim-l5d
      @AmiriKassim-l5d 3 หลายเดือนก่อน

      We Bado hujasoma

    • @hikmanabdallah8783
      @hikmanabdallah8783 3 หลายเดือนก่อน

      Hata mm nipo zanzibar ila kwa hili sheikh said yupo sahihi

  • @KarimuKapundijr
    @KarimuKapundijr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ww saidi basi fafanua tujue mbona swali lako alieleweke

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Huelewi ww

  • @AhmadiMadua
    @AhmadiMadua 5 หลายเดือนก่อน

    Bacho umeyakanyaga hunachochote

  • @MansourYusuphu
    @MansourYusuphu 9 หลายเดือนก่อน

    Nandomaana huyu bachu baada ya munakasha huu baadhi ya wanafunzi wake wamemkimbia

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +1

    DAKIKA YA 12 BACHU ALITABIRI KILICHOTOKEA MASAA KADHAA BAADAE.

  • @mamuking257
    @mamuking257 ปีที่แล้ว +3

    Tuko saudia tumeona live banchu ni msomi na said Ame shindwa kutetea maolidi

    • @Lundege_Hips
      @Lundege_Hips 9 หลายเดือนก่อน

      Said ameshindwa kutetea maulid

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa jamaa walijipanga sana na mitego walishaiandaa kuhakikisha jamaa hawachomoi

  • @ibnuidrisa3996
    @ibnuidrisa3996 ปีที่แล้ว +3

    Huyu bachu inaonkana anajua nahaw tu tena kidog san hata swarf haijui

    • @ibrahimabdul8257
      @ibrahimabdul8257 ปีที่แล้ว

      Hahaha mustwalahul hadeeth imemtoa jasho