MUNAQASHA ULIOWAFUNGUA WATU MACHO- SHEIKH. MUHAMMAD BACHU MOMBASA 24/9/2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 540

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wallah Allah atunusuru ,watetea maulid hawapo tayari kukubali kwamba wanayo yafanya ni uzushi ,wakristo ukiwambia Yesu sio Mungu wapo tayari wakatwe kichwa kuliko kukubali

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mashalla mohammad Bachu..
    Jamaa ameshindwa na kukimbia maulidi basi tena.

  • @thetravelquestservices
    @thetravelquestservices 11 หลายเดือนก่อน +19

    Bachu hatuko na wewe kiushabiki bali umetufungua macho sisi tuliofungwa macho na watu wa maulidi. Pongezi sana Muhammad bachu Allaah akuzidishie hikma na ilmu.

    • @umarmuhammad6712
      @umarmuhammad6712 9 หลายเดือนก่อน +3

      Kasome ilimu. Huyo sheikh bacho ameshikwa point ya ki ilimu ndo hataki kujibu. Wewe nae ukafwata . Kasome mustwalahul Hadith ndio ujuwe sehemu Gani aliposhikwa swali (Bachu) . Ndugu yangu usiwe bendera fwata upepo soma . Nyinyi ndio bendera fwata upepo ndio mukizuzuliwa mwasema mumeelimishwa ki hikma 😂😂😂 soma boss somaaaa

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 9 หลายเดือนก่อน

      JAMANI KUNA WATU HAWANA HAYA KABISA .. 😂😂😂
      WEWE THETRAVEL HUNA HATA CHEMBE YA AIBU ?

    • @AbuuOthman
      @AbuuOthman 8 หลายเดือนก่อน

      Ule munaqasha hamkuona ebu tuambieni Ninani Aliakuwa akirekebishwa IBARA naninani alikimbia mjadala mpaka akainuka kitini

    • @AbuuOthman
      @AbuuOthman 8 หลายเดือนก่อน

      Hahhaha hivi kumbe hata

    • @anwarambar6141
      @anwarambar6141 7 หลายเดือนก่อน

      Bachu hana lolote, maneno mengi tu

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 10 หลายเดือนก่อน +4

    Ya rabbi mpe umri mrefu shek Muhammad Bachu pengne kizazi kijacho kwa kaz anayoifany huenda bidaa ikatoweka na sunna ikatawala

  • @ismagatarama1285
    @ismagatarama1285 8 หลายเดือนก่อน +5

    Aslm alkum walahamatullah wabarakatuh sheikh said nilivo kuwa nakukubali umeniangusha kbsa bachu allah akuhifath

  • @mwinyihajihassan9299
    @mwinyihajihassan9299 11 หลายเดือนก่อน +9

    sheikh Bachu Allah Barik Feeka

  • @ALIN-7
    @ALIN-7 11 หลายเดือนก่อน +9

    IMEELEWEKA HAPA SHK MUHAMMAD BACHU NDIE AMEPATIA

    • @nayef3903
      @nayef3903 11 หลายเดือนก่อน +2

      Bachu hana elimu alijikojolea

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 8 หลายเดือนก่อน

      Kwako. Tu siyo kwa wenye akili

  • @IbrahimIsmail-te7mw
    @IbrahimIsmail-te7mw 11 หลายเดือนก่อน +3

    alhamdulillah tumejua kuwa ktk barzanjy kumbe kuna hadithi munkar na dhaifu ambazo hazifai kutumika

    • @kitosio
      @kitosio 11 หลายเดือนก่อน +2

      Nimefurahi sanaaaa Kwa kukubali kuwa mwanzo Tu kuwa wametumia Hadithi Munkari. Kakiri mwenyewe nawenzake wamekubali

    • @IbrahimIsmail-te7mw
      @IbrahimIsmail-te7mw 11 หลายเดือนก่อน +2

      @@kitosio hapo tu wamejiroga kwa kututhibishia madudu ambayo yamo mle ndan

  • @mchaothman7679
    @mchaothman7679 11 หลายเดือนก่อน +9

    Mashaallah shekh Muhamad Bachu kamata uzi huo huo wa kur_ani na suna kubainisha ukweli

  • @linmixtv
    @linmixtv 11 หลายเดือนก่อน +4

    Maashallah sheikh bachu Allah akusimamie ni me elimika sana

  • @user-or5dx8wy3v
    @user-or5dx8wy3v 11 หลายเดือนก่อน +9

    Ustdhi saidi ww ndie umeulizwa swali hujibu wamgeuzia mwenzo jibu na vitabu vako ww hutoi kwa vitabu bachuu ywatowa katika vitabu

  • @alaminbahero3604
    @alaminbahero3604 11 หลายเดือนก่อน +9

    Bachu
    أسأل الله الكريم رب العرش العظيم أن يتولاك في الدنيا والآخرة وأن يجعلك مباركا أينما كنت وأن يجعلك ممن إذا أعطي شكر وإذا ابتلي صبر وإذا أذنب استغفر
    جزاك الله خيرا وبارك الله فيك

    • @user-sk8bn4zf6p
      @user-sk8bn4zf6p 11 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/Ux874eUESOw/w-d-xo.htmlsi=0VNjtsj3Ue3h4g4P

    • @Auf-uh3jq
      @Auf-uh3jq 9 หลายเดือนก่อน

      Mwisho mutampa sifa ya uswahaba Sasa eee jamani

  • @hillowbrothers1611
    @hillowbrothers1611 6 หลายเดือนก่อน

    Bachu Allah akuhifadhi

  • @jumaanmasoud7599
    @jumaanmasoud7599 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ilimu gani iliyonayo na hukutoa andiko hata moja.
    Umetuaibisha said hukutoa hoja yoyote

  • @user-ie6qr5tc3y
    @user-ie6qr5tc3y 10 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikhe Allah akuteteye
    Wanacho kitaka hawo makhurafi ni kukuchafuwa tu
    Hawanahoja tokalini khurafi akawa ahli suna waljama

  • @user-lc5cp1hx5s
    @user-lc5cp1hx5s 11 หลายเดือนก่อน +3

    تبين الرشد من الغي
    فإني والله في الله ربي أحبك يا شيخنا ابن شيخنا .

  • @mohammedally696
    @mohammedally696 11 หลายเดือนก่อน +14

    Wallahi na furahi Sana sheikh bachu kumuondokea huyo kitoto cha malindi

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 หลายเดือนก่อน

      Alikosa kujibu pale bachu alikua ajibu na swali la kujibu angrkubali si ungo ile hadthi bachu kwisha ndio kakimbia bachu hana ilimu wallah na nawapia kwa Allah nyinyi munao mfuata bachu basi musije mukafika kwa Allah alafu mukamsingizia bachu ndio kawapoteza

    • @mohammedally696
      @mohammedally696 11 หลายเดือนก่อน

      @@fikafikan8484 Sawa vipi ikiwa bachu yuko Sawa je ww itakuwa umepotea au

    • @mohammedally696
      @mohammedally696 11 หลายเดือนก่อน

      @@fikafikan8484 pili mm simfuwati bachu Bali na fuwata haki na ukweli ambao aloutowa sheikh bachu

    • @mohammedally696
      @mohammedally696 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@fikafikan8484 Kisha nikuulize je ww ambao hujapotea je yafaa kupija matwari ndani ya msikiti nyumba takatifu ya Allah

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohammedally696KAULIZE MAMBRUI ALIPOTOKA MIKOJO BACHU. SASA UNATUULIZA SISI TUKUFANYE NINI?! 😂. MAWAHABI MNABWEKA PEMBENI KAMA MBWA KOKO, MKIITWA MAMBRUI MNATOKA MIKOJO. 😂

  • @husseinvarvani9823
    @husseinvarvani9823 11 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh Mohammed Bachu tumefurahi sana kwa hoja zako na kuweka watu wa uzushi sawa kulingana na upotevu wao
    Allah aku hifadhi na aku zidishie katika ilmu yako

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 หลายเดือนก่อน

      Ilimu gani kakimbia mwenye ilimu hukimbia ama hujibu swali kama akili yakusoma huna hata yakuzaliwa basi pia huna

  • @ashrafbunu2371
    @ashrafbunu2371 11 หลายเดือนก่อน +3

    MashaAllah and I have subscribe

  • @user-nh2wt4yd7w
    @user-nh2wt4yd7w 11 หลายเดือนก่อน +14

    Mashallah sheikh Muhammad Bachu Allah akuhifadhi umeshinda

    • @KubwaKuliko-dk4bm
      @KubwaKuliko-dk4bm 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ilio shinda ni hakki sio bachu na hawa watu wa ngoma walekwenda kiubishi kwasababu wao wameulizwa swali kisha wamegeuza maneno wanasema wao ndio wameanza kuuliza kisha hawakutaka tena kujadiliana wamekwama katika ubishi

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mm sija soma lakini nimeelewa kilicho ulizwa ila ww na hisi uko upande wa bachu ila ngoja nikukumbushe bachu kauliza swali said akajibu Kisha akarundisha swali kwa bachu yy bachu alitakiwa alijibu ima kwa ushaidi au aseme sijui ili said ajibu atufudishe na sisi

    • @KubwaKuliko-dk4bm
      @KubwaKuliko-dk4bm 11 หลายเดือนก่อน

      @@jamilahjamilah4157 kwahio lazime jibu liwe sijui::;yeye alijibu kua hilo suali halipo kielimu kisha akarudisha hoja kwa said kama lipo basi towa wewe pia hakutoa kwahio halipo hil;:nisawa na kuuliza mungu kabla ya kuumba chochote alikua wapi? Nakubali mungu yupo ila nataka kujua alikua wapi??? Sasa ndio swali la saidi aambiwe wanachuoni wa m/hadis wanasema nn kama alivyo uliza!! Anajibiwa hilo halipo tujadili haya maneno au wasimulizi ndio wanajadiliwa na wanachuoni hataki sasa hio ndio ilimu??? Nakukumbusha wakwanza kuuliza swali ni bachu na swali lake ni said asibitishe kama ni kweli wanyama waliongea hakujibu hilo bali kageuza kibao kisha ni ubishiiii

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 11 หลายเดือนก่อน

      Waalaah waislam huwa tuna shabikia kitu bila kujua mm nauchiga wangu said nimemuekewa ila bachu baado sijamuekewa swali umjenga ww bachu mwezako kakujibu Kisha karundisha swali ufafanue au sema hujui yy atufundishe wee umebaki pale pale vp mjibu sijui ili na wangine tupate faida kwanini unakwepa swali maana mm navoo jua kwenye hadithi nahau kunataratibu zake ndio maana mwezako kakwamia hapo hapo nambie nikitabu ngani kinasema mtu akileta hadithi zaifu aitwa muogo hapo tu bachu ujibu hili swali ili tujue usiruke baba

    • @jumu1964
      @jumu1964 11 หลายเดือนก่อน +1

      Inaonekana unapenda Ngoma sana

  • @yusufsharif8859
    @yusufsharif8859 7 หลายเดือนก่อน +1

    These are all beautiful people, learned Muslims with immense beneficial knowledge, peaceful and lovers of Allah, of our beloved Prophet, serving Allah's creation and aspiring to Allah's pleasure. The issue being debated seems impossible to prove true or false for both parties. Conflicts are plots of anagram and almost conflicts are manifestations of our own inner conflicts and a negation of peace, the message of Islam. May Allah unite our hearts and help us raise each other to greater deeds that are in His pleasure. May Allah make them great servants of His and through all of them, bring His Light to guide our paths and unite them in peace.

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 11 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mwenye kiti wa bachu yuko vizuri sana na hawa jamaa janja yao anaijua vizuri ..wanakwepa kusibitisha walilo ulizwa wanarukia jambo jengine mwenyekiti wa bachu kawashtukia mapema

    • @nayef3903
      @nayef3903 11 หลายเดือนก่อน

      Bachu hajielewi kabisa

  • @omarally6819
    @omarally6819 11 หลายเดือนก่อน +4

    Badae nitakuja kulifafanua swali la kizushi la muimba kwaya Inshaa Allaahu Ta'aalaa

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 หลายเดือนก่อน

      Huwezi lifafanua ww na uko wako na mashekhe wenu wote wakiwahabi hawalijibu hilo swali pengine upange urongo na uzushi ila Allah yuwakusubiri na atakulipa vile unastahiki kulipwa

    • @omariisaya7086
      @omariisaya7086 11 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@fikafikan8484sawali lenyewe siyo la kielimu swali kajibiwiwa kwa darili yeye akiulizwa swali anajibu siyo kwa darili alijiandaa kuja kusomeshwa vitabu kaweka alama alafu😂 kajifanya kaifadhi aje atwarii kwa mwalimu alafu 😂 Alafu ajui msingi wa kuliza swali

    • @muniraally4091
      @muniraally4091 10 หลายเดือนก่อน

      Muimba kwaya 😅😅

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 8 หลายเดือนก่อน

      Acha ushoga wew unalambwa nini unaijua kwaya wewe au unatapika tu apa

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 8 หลายเดือนก่อน

      @@omariisaya7086 ww huna ujuwalo mwanzo ni dalili si darili sawa mtanzania bachu mwambie asome kwenye goggle

  • @omarally6819
    @omarally6819 11 หลายเดือนก่อน +3

    Allaah akulipe kila lakheri Shekh Muhammad kwakweli ume tukosha sana, na umedhihirisha wazi kua masufi akili zao zina fanana na punda wala sina shaka kwenye hili

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 หลายเดือนก่อน

      Mashekhe wenu ndivo alivo wafundisha kutusi muisilamu mwenzako punda bachu kawapoteza mana ana bohekaa kama mbwa bila ilimu

  • @salehemohamedi2134
    @salehemohamedi2134 7 หลายเดือนก่อน

    Kujibu sijui ni miongoni mwa ilm sasa sisi maamuma tumekosa mengi ; sheikh bachu siku nyingine sema sijui ili tuone hoja za watu wa maulid inshaallah

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 10 หลายเดือนก่อน +3

    Bachu Mashallah

    • @muniraally4091
      @muniraally4091 10 หลายเดือนก่อน +1

      Thumma mashaallah

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kabisaaaaaa sheikh wangu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 11 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu ibn Bachu ni kijana Aliyekuja kuuwavumbua watu .
    Mimi nilkuwa cjui maneno haya kumbe n mambo ambayooo yapo na hayana mashikooo!
    mpka leo hakuna aliyejibu 19
    n UBABAISHAJI TU .

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 6 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Said anahepa maswali..anataka kutuchanganya na lugha.

  • @AbuSaeed-pz2kb
    @AbuSaeed-pz2kb 11 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo ustazi Said ametiwa kaseti mdomoni
    Hajui chochote maskini

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 7 หลายเดือนก่อน

    mashekhe toeni fatwa kielimu watazamaji waislamu ummat muhammadi unaangalia swali la kwanza ndo la kwanza kujibiwa

  • @mustafahakim-iq7dj
    @mustafahakim-iq7dj 10 หลายเดือนก่อน +5

    nimezingatia bachu amesema hadithi thaifu haitumiki shekh saidi alitakiwa na bachu asibitishe kama hadithi dhaifu inatumika shekh said kakwepa kashikilia swali lake wakati la bachu alilotaka asibitishiwe nikweli wanyama walisemaa

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 11 หลายเดือนก่อน +10

    😂😂🎉Mohamed bacho kiboko yao Allah amuifadhi

  • @bagalucha
    @bagalucha 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barzanji katunga kitabu kilichotengeneza ibada ya uwongo

  • @user-wo6pc5or6t
    @user-wo6pc5or6t 5 หลายเดือนก่อน

    Hvi nyinyi mwajisifusifu kuwa ndio mwajuwa dini vzuri lkni mumekosea ajuwae ni Allah alie kuwa sawa na aliekosea ni yye to almuhimu ni kukaa kipembeni na kurekebishana sio kudharauliana ki dini haifai ikiwa mumesoma kemu tafakarini😢😢😢 innalillahi waina illehi rajiun

  • @MazoeaKunawa-gf1zs
    @MazoeaKunawa-gf1zs 10 หลายเดือนก่อน +2

    Makurafi ndo mlivyo ata ramli baazi yenu mnatetea mnafananisha na xray muogopeni mungu nyinyi makurafi

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 11 หลายเดือนก่อน +15

    Kitabu na Sunnah kila siku inashinda ila Masufi huwa wanaz8ba masikio ili waendelee na ngoma zao

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 11 หลายเดือนก่อน +2

      Hao quran imewataja wana masikio bali hawasikii

  • @user-zw4tf5os8b
    @user-zw4tf5os8b 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wenyeviti nao waandaliwe munaqasha wao!!

  • @suleimanpeteranthony-bq9ft
    @suleimanpeteranthony-bq9ft 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu shekhe said ni muongo na kitabu chake mjinga hana akili wafuasi wake hakuna walicho elewa basi angetoa maneno ili hata wasio na elimu wajue kwa upande wangu mimi siendikwenye maulidi mpumbavu sana shekhe said

  • @user-qm4qd8yk2x
    @user-qm4qd8yk2x 10 หลายเดือนก่อน +2

    niwazi Hawa masufi walipanga kukwepa hoja bachu anauliza kutamka kwa wanyama said anakazana eti niwanachuoni Gani wanamhukumu barzanji au mtu yeyote akitumia hiyo Hadith atakua mrongo hoja kuu sio mtu kua mrongo au mkweli hoja ni hiyo mistari mtu anaweza kua mkweli au mrongo kwa baadhi ya mambo katika maisha yake lakini hili la kutamka wanyama ndio ustadh said alifaa aogelee lakini alishindwa

  • @bintabdulkadir3309
    @bintabdulkadir3309 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ninyi mnahofia kuonekana na watu badala ya khofu kwa Allah

  • @shariffomar
    @shariffomar 11 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani eee tunahitaji uthibitisho pale punda alipotoka akamfuata samaki na mamba wakanongonezana mimba imengia huko yamtume nyinyi watu fungukeni😂😂😂😂😂😂bachu good work

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 11 หลายเดือนก่อน

      Hutaki ushahidi samaki aliopikwa akawa mzima NA akenda baharini?

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ama kweli qiyama karibu. Leo ahlu bid'a wanajiita ahlu sunna wa jamaah! Miguu juu kichwa chini. Dunia ya mwisho.

    • @ummahmed3354
      @ummahmed3354 10 หลายเดือนก่อน

      Yes kiama Kipp karibu ...leo kuona waislamu wakiwa na ndumi kali kwa kuwatusi na kuwakashifu waislam wenziwao hali ya kuwa Rasuurullah ameshaonya kuwa muislamu wa kweli ni yule anamsalimisha muislamu mwenzake kwa mikono yake na NDIMI yake....haya! Sasa imekuwaje na mashekhe ninyi mliojaa cheche kali za chuki na kukosa adabu kwa waislamu wenzenu...eti kisa wanasoma maulidi?

  • @maulidmaulid2106
    @maulidmaulid2106 6 หลายเดือนก่อน +1

    Muhammed bachu yupo sahihi kabisa.mtume akusherehekea siku yake ya kuzaliwa wala maswahaba awakusherehekea.maulid itabaki kuwa uzushi nanidhambi kusherehekea kitu ambacho mtume muhammad swalallahu alayi wasalam akuruhusu kifanyike.ACHENI KUSHEREHEKEA MAULID,ACHENI KUFATA MKUMBO.SHEIKH SAID MUOGOPE ALLAH, KWENYE QURAN AMNA SEHEMU ALLAH AZZA WA JALLA AMERUHUSU MAULID...

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mnawafurahisha watu wasiokua waislamu

  • @salimmapande4668
    @salimmapande4668 11 หลายเดือนก่อน +11

    Subhaanallaah!!! Yaani Mwanzo mpaka mwisho huyu khurafi kashindwa kuutetea hoja moja tu ya uongo, alafu wanashangilia kujitoa ufahamu kana kwamba wameweza kutetea kitabu chao. Kwa mwenye kujua Body Language ameyaona Macho yao yakionyesha fedheha na aibu zilizojaa nyoyoni mwao kwa kushindwa kutetea point moja tu ya uongo wa dhahiri kwenye kitabu chao. Allah atuongoze sote

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 หลายเดือนก่อน +1

      Allah akuongoze ww na bachu mulio potea insha Allah

    • @diagfinamix1861
      @diagfinamix1861 11 หลายเดือนก่อน

      @@fikafikan8484 soma comment zote kwanza ili uone wamepoteya wa kina nani

    • @nayef3903
      @nayef3903 11 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi mawahabi someni mujue elimu fitna ndio munayo

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kashindwa bachu ndio kakimbia kaona ameshikwa ki ilimu kakimbia lakini wavuta bangi wenzake bachu hawajitambui kama bachu mwenyewe nendeni mukasome na bachu wenu wacheni ushabiki

    • @AliMasigaSaleh-vs2jh
      @AliMasigaSaleh-vs2jh 11 หลายเดือนก่อน +1

      Nilisubiri maswali ya Bachu yajibiwe angalau moja lakini wapi.

  • @hajinachembe4310
    @hajinachembe4310 11 หลายเดือนก่อน +7

    Kwa hakika allwah amuhifadhi shekhe Muhammad nasoro bachu, bachu anajenga hoja kisomi, majibu anayoyatoa ni ya kiushahidi uyoo shekhe saidi sjamuelewa kabisaa juuu ya maswali yake pia hata majibu anayoyajibu huwa sielewi kabisaa.

    • @nayef3903
      @nayef3903 11 หลายเดือนก่อน

      Bachu kashindwa kujibu kielimu atumia akili yake akajikojolea

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 8 หลายเดือนก่อน

      Huna uwezo wa kuyaelewa mambo makubwa kama haya ya shkhe said ndo maan unashabkia upuuzi tu

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 11 หลายเดือนก่อน +8

    Ni kweli kabisa bachu ndiye alianza kuuliza swali ,akimtaka Shekh said adhibitishe wapi wanyama walipeana taarifa ilipoingia mimba ya mtume ?badala ya kujibu hilo swali eti naye akauliza swali jamani tuacheni kutetea uongo wa barazanji

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 11 หลายเดือนก่อน +1

      Maajabu kweli kisha, huyo saeed alikua haongea wanaoongea niwale wenye kiti kama wao ndio wasemaji

    • @nayef3903
      @nayef3903 11 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi mawahabi mapimbi bila elimu

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@nayef3903ikiwa hao ni mapimbi....je makhurafi wa kukata mauno na kutingisha mabega maulidini itakua ni nani😂

    • @nayef3903
      @nayef3903 10 หลายเดือนก่อน

      @@Khalid-mf3iu wewe wahabi wajua unachosema ama ushabiki ndio ujualo. Wewe waenda disco wapenda kusikiza nyimbo

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 10 หลายเดือนก่อน

      @@nayef3903kasome tarekh ya Muhammad Abdul Wahab....sio usikie watu wasema wahabi na ww useme....watu wa twariqa ni watu wa migoma.

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 11 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh bachu Allah amuhifadhi ukweli tumeuona. Haki tumeifuata, ahli matwari swali moja tu limewatoa jasho lakope. Saeed hakuongea bali ni hao wenye kiti ndio walokua wanaongea sanaa.

    • @nayef3903
      @nayef3903 11 หลายเดือนก่อน

      Bachu muongo hana elimu alikwepa

    • @omariisaya7086
      @omariisaya7086 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@nayef3903​​@fikafikan8484 sawali lenyewe siyo la kielimu swali kajibiwiwa kwa darili yeye akiulizwa swali anajibu siyo kwa darili alijiandaa kuja kusomeshwa vitabu kaweka alama alafu😂 kajifanya kaifadhi aje atwarii kwa mwalimu alafu 😂 Alafu ajui msingi wa kuliza swali

  • @subirajuma5678
    @subirajuma5678 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ustadh said alikua amejipanga kutoa makosa kwa Ustadh bachu lakini hakujipanga kuvunja hoja, hapo ndipo alipojisahau akabakia akikariri neno moja tu

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli masufi. Ni mchezo waliucheza. Namuona aboudi hapo anamkonyeza said Omar

  • @AsbongeDlamini-vj8vr
    @AsbongeDlamini-vj8vr 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wallah nimefurah Sana na nimefatilia kuanzia mwanzo mpaka mwisho ila bachu hunahoja unaulizwa suali unashindwa kujibu lapili unadharau Sana hiv unaelem gani bachu mbona marehm shekh nasor bachu alikua hayuko hivo

  • @omarshaban4735
    @omarshaban4735 11 หลายเดือนก่อน +3

    Saidi amna kitu kupoteza muda tulikua tunataka faida kuhusu barazanji lakini ww unazunguka swali moja tu

  • @dancanmusakhionganyo4270
    @dancanmusakhionganyo4270 หลายเดือนก่อน +1

    😮

  • @hometownke.9658
    @hometownke.9658 11 หลายเดือนก่อน +3

    Twareeqa hawataki haaki twapoteza time nao al ahdaly alikwisha sema sisi twareeqa hatuwezi kushindwa na yoyote la yarjiuna umyun hawa sumun

  • @selemanealmasse6276
    @selemanealmasse6276 11 หลายเดือนก่อน +3

    se kila aliezungumza uwongo ni muwongo. kwa mfano, Nabi mussa Alaihi salam alizungumza uwongo lakini uwezi kumuita Nabi muwongo. Sheikh Bacho yupo sahii, yatakiwa kujadiliwa baranje kitabu na sio mtu.

  • @user-qm4qd8yk2x
    @user-qm4qd8yk2x 10 หลายเดือนก่อน +5

    shekh said alifel yeye alikaa hapo kumtetea barzanji wakati mada ilikuwa kuhusu kuzungumza kwa wanyama

    • @ibrahimkhamis471
      @ibrahimkhamis471 8 หลายเดือนก่อน +1

      Katika watu wote walio comment wewe ndio umefatilia huu munqash vzur na comment yako mtu akiifatikia vzur atajua nani amemshinda mwenzake apa

  • @AbuSaeed-pz2kb
    @AbuSaeed-pz2kb 11 หลายเดือนก่อน +1

    MAKHURAFI wameichenga maaudhui
    Hizi ni sifa za wanafiq
    MAKHURAFI ogopeni mungu

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      Twariqa siku zote twamogopa Mwenye Ezi Mungu. Lkni nyinyi mawahabi yatakiwa mumuogope Mwenye Ezi Mungu zaidi. Kwa sisi kama uzushi wetu wa Maulid kumsifu Mtume S.A.W na Mtume S.A.W kasifiwa kwa Quran Maswahaba walimsifu mbele yake. Lkni nyinyi mawahabi Uzushi wenu ni mbaya muovu na mchafu zaidi Tauhid yaani mumeweka kigawanyo ktk Tauhid mwamgawanya Mwenye Ezi Mungu kweli muko sawa

  • @allyknassoronassoro7140
    @allyknassoronassoro7140 7 หลายเดือนก่อน

    Sheikh bachu allah akuzidishie

  • @theofanskombenge5573
    @theofanskombenge5573 8 หลายเดือนก่อน

    Bachu mungu AKUPE wepesi,fadhwilah na barakah🙏🙏

  • @abuuzainab8581
    @abuuzainab8581 10 หลายเดือนก่อน

    Maa Shaa Ustadh Said ulimuweka sawaaa

  • @jumaanmasoud7599
    @jumaanmasoud7599 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tuseme sheikh Bachu ameshindwa kujibu haya toa hoja ya kumkadhibisha kwa kitabu kimoja kati ya hivyo ulivyo navyo hapo mezani.

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 11 หลายเดือนก่อน +4

    Miaka 20 iiyopita bidaa zilituzunguka kila corner.Hivi Sasa waislam wameamka na kujua kumbe tulokua tukiyafanya hayajafanyikapo wakti wa Mtume salallaahu alayhi wasallam.Huu wakti mwengine Waislam wameamka

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 11 หลายเดือนก่อน

      Mpaka kajikojoleaa😂,

  • @masoudamour6108
    @masoudamour6108 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona suala aliloulizwa bachu lipo wazi?alitakiwa ajibu

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 11 หลายเดือนก่อน

    Waislamu mmekua watu madhalili Sana. Mtabishana mpaka mwisho wa Dunia.

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid 11 หลายเดือนก่อน

      Hatubishani twaelezana. Wabishanao ni masapota wa mpira na ninavyoona wewe miongoni mwao. Kama wewe waona ni mabishano, sisi twaona ni mafundisho na ovu haliwezi nyamaziwa

  • @princeabuu8297
    @princeabuu8297 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ikiwa watu wa thwarika huyo sheikh Said ndo shekih wenu tegemezi wallah hapa hakuna elimu yoyote zaidi ya kufuata matamanio na fikra zake tu na porojo nyingi zisizo na msingi...!!! Yani swali analouza hata mtoto wa fasli awal anajua huyu sheikh Said hamna lolote apo

  • @swalehsaidmahu2052
    @swalehsaidmahu2052 20 วันที่ผ่านมา

    Said hawezani na bachu kabsa

  • @omarybasho2341
    @omarybasho2341 11 หลายเดือนก่อน +4

    Bachu unatisha

  • @RamadhanZuberi-fy8qb
    @RamadhanZuberi-fy8qb 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bachu kua na adabu huna adab kua na adabu kua na adabu unapokua haswaa katka madh,,har ka hapa

  • @omarally6819
    @omarally6819 11 หลายเดือนก่อน +14

    Wazushi wamefanya khiana kubwa sana kwenye mjadala, na pamoja na khiana yao hawakupata walilo litarajia.
    Shekh Muhammad Bachu ndie alieanza kujenga hoja na kutaka apate majibu yalio enda shule kutoka kwa Saidi muimbaji, na amemtaka Saidi muimbaji awathibitishie wafuasi wa maulid yakwamba Mawahabi hawana elimu, na fahamu zao ni ndogo, haya maneno ya Ja'far kwamba wanyama walitamka......sio urongo ni kweli, na riwaya sahihi hii hapa, kitabu fulani ukurasa fulani, kwaio wasomaji wa maulid kuanzia leo someni maulid na haya maneno yasomeni kwa shangwe na vigelegele!!!
    Lakini kitu kilo shangaza wenye baswiirah na maarifa nikwamba hakugusa kabisaaa hili alilo jengewa hoja na kuulizwa!!!😅😅😅😅😅.
    Bali kafanya ghishu kuwafanyia wafuasi wa maulid na waliozoea kumzulia Mtume uongo😅😅😅.
    Na akasaidiwa kuifanya ghishu hii na mwalimu wake, kwa kukwepa Hija na swali alilo ulizwa, na kutaka ajibiwe yeye kwenye swali lake la uzuka alilo uliza kama njia ya kukimbia NYUNDO za Shekh Muhammad Bachu😅😅😅😅😅.
    Shekh Abuu Ahmad akaliona hili na kutaka lisiendelee lkn masufi wakafanikiwa kwa hila zao kuliwacha hili swali la uzuka, ambalo haliko ndani ya kitabu hata kimoja cha Mwanachuoni liendelee kupotezea watu muda.

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 11 หลายเดือนก่อน +3

      ikisha cha ajabu zaidi sheikh muhamed bachu ndio alitakiwa kujenga hoja ili sheikh said avunje hoja lakini imekua kinyume chake yaani ata sheikh said hakujua kabisa kilicho mleta pale.

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 11 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kweli wamefanya khiyana kubwa lakin ni desturi ya masufi tangu zamani mpaka kitasimama qiyaama sisi tulikuwa masufi na nilipoona ujanja ujanja kama huo ndio ulonitoa huko na kuanzia hapo mafunzo nilianza upya nikawa kuanzia diqhi nilosoma kwao nitafute sheikh wa sunna ni hakikishe kama zipo sawa au hapana lakin nilikuwa siamini tena na nikakiifuta kila kitu walichonifunza, maana khiyana katika elimu ilikuwa ya wazi. Allah awaongoze waone haki na hii ndio tabia yao mashuhuri khiyana kwao ndio dini na aibu hawana wanaongopa na wapomacho makavu kabisa.

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 11 หลายเดือนก่อน +2

      Swali ameanza bachu wao wakageuza eti bachu ndio ajibu swali wao waloulizwa wamelikwepa hawakuja kubainisha haki wao ni tabia yao kupotosha mazuka wao.

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumamahmoud9271MAWAHABI WANABWEKA PEMBENI KAMA MBWA KOKO, WAMEITWA MAMBRUI WAMETOKA MIKOJO 😂😂🤣

    • @zuzadomikano3765
      @zuzadomikano3765 11 หลายเดือนก่อน +1

      BACHU ALI ANGUKA NYINYI ACHENI USHENZI ,NAKOKOTE DUNIANI HAKUNA MLIKO FAULU ,NAKUACHINJAWATU ETÌ MTASIMAMISHA DAULA ISLAMI,LIBIA NAKOTE MLIKO PELEKA UFIDHULI LEO MPOWAPI ?
      NA BIN SALMANI ALLAH AMUHIFADHI KUWAGUNDUA MAPEMA .

  • @AbuSaeed-pz2kb
    @AbuSaeed-pz2kb 11 หลายเดือนก่อน +2

    JazaakaAllahu Khairan yaa Bachu na Abu Ahmad

  • @user-wo6pc5or6t
    @user-wo6pc5or6t 5 หลายเดือนก่อน

    Hy

  • @jumaanmasoud7599
    @jumaanmasoud7599 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ameanza vitabu juu ya meza na hatoi maandiko ameshikilia hoja isio na msingi.

    • @bilalmohamed5133
      @bilalmohamed5133 11 หลายเดือนก่อน

      walibadilisha hoja .hoja ilikua uonga,si muongo.

  • @hajiamiri1658
    @hajiamiri1658 11 หลายเดือนก่อน +2

    Saidi unazingua

  • @JumanneAlly-q7y
    @JumanneAlly-q7y หลายเดือนก่อน +1

    Hawa watu wafeli hapo wanafuata mtu badala ya quran na sinna,

  • @omarally6819
    @omarally6819 11 หลายเดือนก่อน +14

    Lkn imedhihiri yakwamba Shekh Muhammad Bachu Allaah amuhifadhi na shari zote na ampambe kwa afya njema, kua amejipanga khasa kwa ajili ya kuwafundisha wasiojua, kwa hoja za kielimu.❤❤❤.
    Lakini Saidi muimbaji hakujipanga kwa ajili ya kutetea ama kuthibitisha chocho kama mulivyoona, bali tunakata kauli moja tu nayo ni, huyu kijana wa mambrui amewekwa kitako na kushikwa sikio, ebwana weeee, yule kijana wa Zanzibar amejipanga na yuko vizuri sana kwa ajili ya kutuharibia soko letu la biashara ya kumzulia Mtume urongo, tunayo ifanya na watu wajinga, hivyo basi hatuna hoja tunayo weza kuithibitisha ambayo ni sahihi ika wakinaisha hawa wajinga tunao wapotezea muda kila siku na kuwatafunia pesa zao.
    Ila tunakuomba ukwepe hoja zake na ugande na uzuka huu, usiruhusu kuyataja yote alio yaandaa, wajinga wengine wana akili tuta wakosa na pesa zao hatuta zipata tena😅😅😅😅😅.
    Ndio muka muona huyu mpuuzi hata khabari alikua hana yakwamba watu wamekuja wanahitaji kujua ukweli kuhusu kilicho andikwa ndani ya barzanji.
    Bali hata baada ya kujibiwa swali lake la uzuka, yakwamba hili swali umelitunga wewe mwenyewe bila mashiko yeyote ya kielimu, na mimi tangu nizaliwe sijawahi kuliona jambo hili kwenye vitabu vya Maulamaa-yaani kama wewe unae uliza swali hili la uzuka nimkweli na unahisi niswali la msingi, naomba utuoneshe umelitoa wapi, kwenye kitabu gani, ama umetumia kigezo gani cha elimu kinacho kupa njia ya kuuliza swali hili la kijinga?
    Jamaa kuonesha kua hana kitu hata hili limemshinda kumthibitishia Shekh Muhammad Bachu kua lipo😅😅😅😅!!!
    Kazi kwenu nyinyi mlio kubali kutiwa lijamu kama Wanyama na mukapelekeshwa kama mapunda bila elimu, bila hoja ya msingi yakweli wala akili ilio salimika😅😅😅

    • @fasilamohammed1560
      @fasilamohammed1560 11 หลายเดือนก่อน +2

      Hayo ni maoni yako lakini Leo tumeuwona bachu kashindwa

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 หลายเดือนก่อน

      Mtume s a w alisema kutakuja watu warongo na watu watawaona wakweli na wakweli kuonekana warongo sasa bachu mrongo yuwaonekana mkweli lakini kwa mijitu mizuka kama nyinyi

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 11 หลายเดือนก่อน +1

      Weweee huyu hafanyi Tena Tena Tena munaqash

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 11 หลายเดือนก่อน

      @ omarally ww huna ilimu na akili ya kuzaliwa pia huna kasome ww na bachu ushabiki utakupeleka pabaya bachu alikua ajibu sijui ama aseme hio hadithi itskua si urogo ndio jibu la hilo swali na akisema hivo bachu sasa angeingia full kwenye mtengo saaa ndio aingizwe kwenye ilimu wallah mungelimuonea huruma bachu afadhali akimbie mana hamungefuata tena bachu kichwa chake sawa sawa na jumba gofu waishi mapopo ndani hakuna ilimu

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mm nimeshaacha maulid loh hadi panya na kunguni kaongea kiarabu.? Allah atuepusha na majuhalaaa ahlu matwari

  • @AliyKombo-li9fk
    @AliyKombo-li9fk 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna muda wanafki watabaki,pekeyao kla kitu kipo wazi

  • @salehemohamedi2134
    @salehemohamedi2134 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi kusema wanyama walijua pale mimba ya mtume muhammad (SAW) ; hata kama haikutajwa na wanavyuoni inaathiri gani kwenye baatil na halal ; mimi naona imam Barzanji alikua ana imply utukufi wake mtume😮

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 11 หลายเดือนก่อน +3

    USTADH SAIDI WAONYESHA USHINDI MAPEMA SANA ,HUNA HURUMA UNAUWA NZII KWA NYUNDO KWELI !
    UNASEMA MADOGO ILA MAZITO KWA HUYO KIJANA .

    • @magorahassan3491
      @magorahassan3491 11 หลายเดือนก่อน

      Swadakata. Bachu aanakwama pahala padogo sana. Yeye kasema kuwa Barzanji AS ni muongo. Kwa muktadha huo anatakiwa kuthibitisha. Anakwepa swali la msingi kabisa

    • @neemamohamed5926
      @neemamohamed5926 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@magorahassan3491ni kweli kijana kabanwa kwa Swali dogo sana, na kukimbia Swali kubwa la maada😂😂😂😂 je kweli wanyama waliongea😮😮😮😮

    • @LwPrintingPros
      @LwPrintingPros 11 หลายเดือนก่อน +1

      Daa said kaonesha udhaifu sana

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 11 หลายเดือนก่อน

      HUYU SAIDI HAFAI KABISAAA, MPAKA MIKOJO KAMTOA MWENZIWEEEE😂😂😂

    • @LwPrintingPros
      @LwPrintingPros 11 หลายเดือนก่อน +1

      Uwoushindi wake upo wapi

  • @shuaibalula9003
    @shuaibalula9003 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nashangaa Maghurafi nao wanajiita Ahlu Sunnah

  • @mwanakheri2880
    @mwanakheri2880 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Bachu nenda ukasome Mambrui. Utapewa free accommodation, chakula free na ilmu free

    • @SUNSHINE-fu4ec
      @SUNSHINE-fu4ec 11 หลายเดือนก่อน

      Kwani wewe umesoma?🤔😅

  • @AhmedSaid-mk7qs
    @AhmedSaid-mk7qs 7 หลายเดือนก่อน

    Bachu hii ni bangi inamuharibu hochi katoto kinavuta bangi

  • @user-vy8bn6iy8h
    @user-vy8bn6iy8h 10 หลายเดือนก่อน

    Muhamedi kichwa alikujanqmikazoooooo mwisho akajikojolea

  • @jumaanmasoud7599
    @jumaanmasoud7599 11 หลายเดือนก่อน +1

    Said waaangali mahali Bachu ameteleza kwa lugha ya au ulimi utoe makosa lakini hoja ya kutetea mjadala hunaaaa
    Aibuuuuu

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      Si mara ya Kwanza kikojozi bachu kukosa lugha mara nyingi sana tena sana anarekibishwa haijui irabu ibara si msomi

  • @abdukhan4718
    @abdukhan4718 10 หลายเดือนก่อน

    Abuu Ahmad kumbe ndie alie alie Harubu munakasha.......
    Maana kikao cha royal cot... walikubaliana hivi na Nikisha hii wazungumzia chengine.........
    MUHAMMAD BACHU JAMAA YAKO KUMBE NDIE ALIE KUPONZO

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 11 หลายเดือนก่อน +4

    Na wangeachiwa waendelee wenye viti kusimamia mjadala usinge'endelea kwasababu mwenyekiti wa bachu alikua kashawajua wanakwepa hoja walio pewa na kutaka kuharibu nikash kwa kuuliza swali bandia

  • @sarboko
    @sarboko 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi Kuna kitu sikielewei Kwani hapo linahitajika jibu la nini wakati hilo suala halihitaji hata mmwanachuoni wala fatwa yamaulamai wowote. Ukiandika UONGO utaitwa muongo tu.
    Ukiandika ukweli utaitwa mkweli
    Kwani wewe sheikh said Ukienda chooni nfano bahati nzuri ukaharisha na ukasema Leo jamani nimeharisha vizuri sana je pia utahitaji fatua zawanavyuoni kama wewe nimkweli au Muongo. .
    Mwawachuoni atatwambia kamuulizeni mwenyewe kama aliharisha vizuri au vibaya
    Bachu anakuuliza yale maneno ya barzanji nia ya ukweli au yauongo.
    Hajakuuliza barzanji nimkweli au Muongo. Hilo Lakama yeye mkweli au muongo analijua yeye Na Molla wake. Sisi tunataka ututhibitishie ili tushawishike na maulidi maneno yake ni ya ukweli becouse nyinyi mnaitakidi ni maneno ya ukweli.
    Ndo mnayasambaza nakuyasoma.
    Halafu bachu alikujibu kukwambia jafar al barzanji simpokezi wahadithi.
    Nimtu aliona maneno hayo sehemu akakopy nakupesti.
    Je haya maneno ni ya ukweli sheikh said???

    • @midahalomwanga9328
      @midahalomwanga9328 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli anaeandika uongo au kusema ni muongo

  • @mohamedadow1290
    @mohamedadow1290 11 หลายเดือนก่อน +1

    Makosa ya Bachu ni kutumia lafdhi ' wongo" kama angetumia neno kama histori thaifu hatika Barzangi ange shinda.

    • @KubwaKuliko-dk4bm
      @KubwaKuliko-dk4bm 11 หลายเดือนก่อน +1

      Walakin said si aliulizwa asibitishe je hadis munkar kwamujibu wa wanavyuoni inakubalika kutumika??hakusibitisha hilo bali ni ubishi ndio ulio tawala

    • @mohamedadow1290
      @mohamedadow1290 11 หลายเดือนก่อน

      @@KubwaKuliko-dk4bm saiid alithibitisha ya kwa hadithi yoyote si Mawdhui tatumika katika sira.

  • @bagalucha
    @bagalucha 8 หลายเดือนก่อน +1

    Masufi hawaa nafsi zimewatawala,hawajitambui

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j 11 หลายเดือนก่อน +1

    Unganeni mpige vita makafiri wanaoleta ushoga. Acheni kulumbana. Anaetaka maul8di na asome na asotaka na wasisome khalaas

  • @hajihajihaji8351
    @hajihajihaji8351 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi ya masuf nikuipoteza hak,na kuinyanyua batli

  • @husseingitonga8921
    @husseingitonga8921 11 หลายเดือนก่อน +3

    Sio bachu aliye shinda bali ni sunnah na ukweli ulioko.

  • @mamuking257
    @mamuking257 10 หลายเดือนก่อน +1

    Banchu Uko juuuuu

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 8 หลายเดือนก่อน

      Yuko juu kwa dharau lkn lazaid huyu ni wa ajabu sana eti mwana wa zuoni anajisifu kuwe yey ni fst 11

  • @V24hrs
    @V24hrs 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kinachonikera ni jinsi mnavyorushiana VIJEMBE. MNAFANYIANA DHIHAKA.

    • @habibakhalfan1065
      @habibakhalfan1065 10 หลายเดือนก่อน

      Wote_wamechemka_kubishana_hadharan

  • @ngarejumaa1730
    @ngarejumaa1730 11 หลายเดือนก่อน

    majaahili mmekimbia mnaakash

  • @jumaanmasoud7599
    @jumaanmasoud7599 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huna point said
    Yani hata andiko moja hujatoa tangu kikao kianze

  • @JumaKhamis-cw8ec
    @JumaKhamis-cw8ec 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wanasema hawajafika bado kumwita mungu ila wanako elekea ni hatari

  • @omarally6819
    @omarally6819 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kosa la Shekh Muhammad Bachu ni moja tu ktk mjadala huu.
    Nalo ni kukubali kumfata Saidi kwenye uzuka wake, asigande na kutetea nafasi yake kama mtu wa mwanzo alie anza kujenga hoja, na kumtaka Saidi ajibu hoja aliyo jengewa na baada ya kujibu ndio nayeye aulize swali lake la uzuka.

  • @mtagalalahmtagalalah1018
    @mtagalalahmtagalalah1018 11 หลายเดือนก่อน +8

    Yan ni uongo ulio wazi kabisa ,hebu muoneni bachu alivo kua na mifano hai dah yan yey anauliza swali alaf hilo swali ndy lina rudishwa kwake sii haki 😢

    • @omariisaya7086
      @omariisaya7086 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​​@fikafikan8484 sawali lenyewe siyo la kielimu. swali la uyo sayid la kitoto.swali kajibiwiwa kwa darili yeye akiulizwa swali anajibu siyo kwa darili alijiandaa kuja kusomeshwa vitabu kaweka alama alafu😂 kajifanya kaifadhi aje atwarii kwa mwalimu alafu 😂 Alafu ajui msingi wa kuliza swali

    • @mbaroukmuhamed2156
      @mbaroukmuhamed2156 11 หลายเดือนก่อน

      Tatizo bachu yy mwenyewe hajiamini na elim yake ndogo ukifutalia clip anazo muongelea barzanj anamwita muongo na mtu alie kuja na uongo katika kitachake naye anakua muongo mbona kashindwa kusema kua barzanj ni muongo mbele ya watu watakao mkosoa anasema akiwa mwenyewe na mada ni uongo uliomo katika kitabu cha barzanj shida iko hapo kama yeye anasema ni uongo miti haikusema si angetoa ushahidi kua miti haikusema lkn kashindwa kuthibitisha kielimu anatoa mifano ya kokakola 😂 km ni hoja za kielim thibitisha kielim ukiulizwa swali kielim km hujui sema sijui ufundishwe lkn kwanza kwa vile tuna shindana inabidi kwanza ukubali ndipo ufundishwe sio unafundishwa alafu unasema mm nilikua najua hivyo sema nilikua nakutega tu kila mmoja kwenye ushindani wa kutetea upande wake mmoja anaposhindwa shart akubali sasa yeye anatumia elim ya akili yake kutuletea ujanja ujanja tuna sema kapigwa ivi akili za kawaida tu bachu awe na elim zaidi kuliko barzanj 😂😂

  • @user-jq5vo6pi2v
    @user-jq5vo6pi2v 11 หลายเดือนก่อน +1

    Utafika wakati kukamata dini ya Allah nisawa na kukamata kaa lamoto tukaulizwa jee tutaweza kulikamata