Mwenyezi Mungu mpe shifaa Sheikh wetu Muhammad Bachu napia maisha marefu yeye na familia yake. Watu wa twarika ama kweli hapa ndio mwisho wenu. Maulid na twari ni bidah. "KULLU BID'ATIN DALALA WA KULLU DALALATIN FIN-NAAR"
Shukran sana Sheikh wetu na kwa kweli ukweli ukidhihiri uongo hujitenga. Nimepata faida kubwa sana na kwa kifupi ninachukua zile point 19 ulizozitoa nitaziandika chini Ili niweze kuwasaidia ndungu zangu waislamu Ili waweze kuifahamu ubaya ya Maulidi na shirki iliyomo na insha'Allah waweze kurudi kwa njia ya Allah.
Maashallaa hongera saana wa jazaakallahu khairan yaa fadheelata sheikh Bachu atwaala llahu umruka wa zaadaka llahu ilmak. kweli hoja zako zina nguvu saana na ndio maana haqq siku zote itaipiku baatwil
😁😁😁Kumbe Shk Ali Abubakar alishasema kuhusu Nahw na Balagha halafu Sabasi ndo akaja kujibu hoja humohumo lkn akashindwa kutoa Qarina kuonyesha kuna balagha kweli. Allah akuhifadhi akhui Muhammad Bachu
Shekh Muhammad bachu ndiyo mtu wasunna anaejua kupamban na masufi na vikundi vikundi 😢sio wengine wanajitakasa tu na hamna kitu zaid ya chuki kwa wanasunna wenzao..ALLAH akuhifadhi shekh wetu bachu
Sabbas na yusufu diwani walihemewa walikuja na kina mazinge huyo mazinge ndio mtupu kabisaaaa ila kwakua watu wabidaah hata uwape dalili milioni hawawezi kuacha bidaah zao, ila mwenye akili na mwenye kupenda haqi ataachana na maulidi
Kunakazi kubwa sana ya kumfundisha bachu lugha na maana zake tena hasa anapotafsiri vitabu ya wana zuoni kama Barzanji Kuanguka kwa masanamu maana yake uzalio wake mtume umeudondosha utawala ulio kua unaabudu masanamu na ushirikini yaani hata hili bachu hajui yaani mtihani sana huu inaonyesha hata walimu wake nao hawana elimu yaani haya hili duh
Kwa kweli mm si katika mawahabi ila kwa maulidi siyapendi kutoka moyoni ni uzushi mkubwa mtu ametoa hoja badala ajibiwe kwa hoja mtu unaleta visheria sheria tunataka uthibitisho wa hoja hizo jamani huyu sheikh kajifunika na mtandio kaniudhi sana 😢😢😏😏😏😔😚😒😡😡😠
By Allah. It is sad when we indulge in these issues when there are so there are so many threats against our principles as Muslims and as human beings. Our very own religious book is burnt and desecrated. Our countries are burning with flames of wars and hunger. Wake up dear brothers. These issues are insignificant. Differences are natural. Do what benefit mankind.
Wengi tume muelewa Bachu kwakua yy katafsiri maneno lakin hatuja muelewa Sabas kwakua kachimba kielimu ambayo hakuna hata kimoja tunacho kijua ndio mana hatujamuelewa kwa haraka hii ni elmu na fani za elmu ktk kujib mwaswali yuko sahihi kabisa lakin nina uhakika kuna vitu vingine vimelezewa Bachu pia hajavielewa na kma angevielewa basi angemjib Sabas kwa kumpinga kwa kutoa fact ktk nyanja zile zile alizo pita Sabac ndiomana yeye anatoa mifano ya chuma kwa mahindi na ndiomana alisema mwanzoni ilitakiwa kuwepo na mtu wa lugha ili ahakikisge tafsri kilugha je alivyotafsiri Bachu ni usahihi ?
Ili tufahamu zaidi kikubwa ni kusoma Elimu ni pana siyo kila mtu anatoa tafsiri kulingana na alivyosoma tu anatakawa asome pia na fani za elimu hata quran kuna walimu wanaifafanua vizuri hadi unaelewa siyo unapewa tafsiri peke yake bila kupewa maana yake. Ni kama kiingereza unaweza ukakuta neno moja linatumika katika sentensi tofauti tofauti na maana tofauti, In short tusome tu Sheikh Sabbas anaenda deep ili tuelewe kiundani but sisi tunapenda ushabiki hatutaki kuelewa
@@jumatina2234 katika hoja 19 alizotoa Shk. Bachu, ni hoja moja tu ambayo Shk. Sabas alifanya jaribio la kujibu kwa kutoa hoja ya "majazi". Hoja ya majazi ilibomolewa na Shk. Bachu kwa kuleta kunukuu kitabu cha Barzanji a kuthibitisha kuwa siyo kweli uwepo wa Bi. Asia (ra) na Bi. Mariam (ra) ulikuwa ni majazi. Hoja za Shk. Bachu ni nyepesi kabisa lakini kwa sababu hakuna majibu sahihi ya kuvunja hizo hoja ndipo Shk. Sabas akaamua kujificha nyuma ya "kanuni za kuhukumu", "majazi" na nyiye mnachofanya ni kuunga mkono Shk. Sabas kujificha kwenye hilo pazia. Maneno ya kutoka kwenye kitabu cha Barzanji yameletwa, badala ya kujadili kama hayo maneno yana ukweli ama la, unaanza kuleta hadithi ndefu ili mradi ukimbie jukumu lilikupeleka pale. Ni shida hii.
Shekh Muhammad maashaa Allaah umeshinda vita kwa hojja na dalili. Masufi wamevuka nguo kweupe hadharani mbele za watu, nawao ndio wanao jinata kwamba fahamu zao ni nzuri, nasisi fahamu zetu ni mbovu, lkn hayo ni madai yao mabovu tu, lkn kwenye Niqaash chua zime jitenga na mchele. Hahahahahahahaha. Yule FAASIQ haji upepo naona kimya!!!😂😂😂😂😂
Sisi tulio nchi za uarabuni makkah na madina tunazo karibu kwenye miji mitakatifu lakn tangu nije huku cjaona maulidi hata cku moja mwaka ni wa tano huu ssa kwetu Africa ndio tuwe twashindana na vtu ambavyo havikutajwa kisheria maulidi ni bidaa hayafai
Kama haujashududia Maulid, basi jiandae na kushuhudia yale ambayo haukutegemea katika maisha yako, kama Majumba ya Kamari, Nyumba za madanguro, klabu za Usiku, Makafiri kuruhusiwa kuingia Makka, na kumtafuta Mrembo wa mwaka. jiandae
Masha Allah sabas huyo achana nae maana hajui lugha ilivyo wala maneno yanavyotumika sasa kama kuanguka kwa masanamu anaelewa kuanguka hivyo unadhamu hapo unaelewana nae vipi mwambie asome maana ya hicho kilichotumika kwanza ndio muelewane nae huyo Barzanj ni msomi mkubwa sana katunga hiko kitabu kwa lugha ya kisomi sana
Elimu ya kiislam ni Pana sana huu uwanja ata mazinge haumuhusu huu ni wigo Mpana umeme wa gas huoo ila pia hawa kukaa na mazinge kwenye mezan ziid ya wakiristo hawaweI kwahyo apo kila mmoja anakula kwake
Dah katika niliyo yabaini kwa sabbasi niukubwa wajina na joho wala sio elimu mana hata قرآن hajui kusoma akati ndo masdari ya kwanza ktk lugha akimbilia balagha Na ktk kumshauri shekh sabbasi akarudie tena kwenda madrasa kujifunza upya قرآن na ahifadhi kabisa.
Kwa interview kabla mdahalo. Ali Abubakar amenukuu point nzuri sana. Kusiletwe mambo na Nahwu, Balagha etc. Watu wake kwatika maudhui, dalili ziletwe za Kielimu. Kisha AlKubra ameende huko huko kueleza Nahwu. Tutaacha lini mambo haya, watu waelimishane? Sisi ambao hatujasoma tupate faida. Mazinge ameuliza swali la kijuha, samahani kutumia hii lugha. Eti mdudu chungu ameongea lugha gani. Enh!😮
Yani maneno yako ni sawa na kusema someni tu quran haina haja kujua kiarabu wewe hi barzanji imeandikiwa kwa fani tofauti tofauti bila kujua hizo fani huwezi kujia aliyeandika amemaanisha nini ili uielewe barzanji lazima ujue background ya fani zilizotumika
Hio ndio shida yenu mawahabby wazungu wamewatengeneza na mmetengezeka kiburi kinawaweka mbali na Allah kila mhabby ni msomi na nishekh anaweza hukumu hukmu yyte polen sana
Mumeharamishiwa mama zenu ni kweli kabisa na ni aya katika Quran. Lakini je inaingia je hapo.ambapo alitakiwa kujibu na siyo kuleta maswala ya kina mama.mbona haya ni mambo ya ajabu sana tena sana.
Bachu hajatok kwenye mada ila anakufafanulia tu anachokusudia kukufahamisha kwausahihi ila kwakua huoni ndani na hunapakutokea unasema ameingia kweny bahar nyengine kaingia kweny bahar nyengine kivip apo nainawezekan vp wakat mada nimoja
Assalaam Alaykum. Nimeskitika sana niliposikia kuhusu mjadala kuhusu kitabu cha sheikh Bazranji. Nasema hawa ndugu zetu kutoka na sect ya wahhabiya wameleta balaa na fitna. Hata inchi ya Saudia sasa wameanza kuwona matunda ya hawa watu. Alhamdulillah watu wengi wanaanza kuwa mbali sana na fikra za wahhabism. Msomaji mkuu kutoka US Dr. Yasir Qadhi amesoma Madina. Alikuwa mmoja katika ndugu zetu wa kina Wahhabism. Alhamdulillah amefarikiana nao. Amezungumza sana na hatari ya fikra za hawa Jamaa. Nawaomba ndugu zetu kutokana na hawa wanaojiita salafi wasikilize maneno ya huyu sheikh. m.th-cam.com/video/dRtYCJ7bE5I/w-d-xo.html Nawaomba ndugu zetu: wacheni kuvuruga watu. Wawacheni watu ambao wametangulia mbele ya Allah. Jishughulisheni na mambo ambayo yataleta manufaa. Allah atupe hidaaya.
Wallahi skh.Bhachu Allah akupe ufahamu zaidi.mimi binafsi nilichukia maulid toka kitambo,kufikia sasa nimeichukia zaidi kuliko mwanzo
Tatizo humuelewi sabas elimu yake kubwa unaelewa hilo porojo la bachu.
Mwenyezi Mungu mpe shifaa Sheikh wetu Muhammad Bachu napia maisha marefu yeye na familia yake.
Watu wa twarika ama kweli hapa ndio mwisho wenu.
Maulid na twari ni bidah.
"KULLU BID'ATIN DALALA WA KULLU DALALATIN FIN-NAAR"
Amiiin Amiiiin
Kasome rafiki
@@tifuomar kwa mamako ama?
@@mabruqjumamponda7629kwa hilo jibu lako ni wazi huelewi dini.. Pepo iko chini ya mama alafu hapa unamkejeli mamake .
Mtume anasema asiye Na elimu ni sawa Na jumba bovu kasome wacha kuafiki kitu ambacho hauna elimu nacho unafuata fuata tu
Shukran sana Sheikh wetu na kwa kweli ukweli ukidhihiri uongo hujitenga. Nimepata faida kubwa sana na kwa kifupi ninachukua zile point 19 ulizozitoa nitaziandika chini Ili niweze kuwasaidia ndungu zangu waislamu Ili waweze kuifahamu ubaya ya Maulidi na shirki iliyomo na insha'Allah waweze kurudi kwa njia ya Allah.
Kwa hakika watu wa maulid hawana dalili.
Mashallah sheikh Muhammad kwa kuwtandika watu wa adhwalala wataelewa tu
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Tusome tuache mbwembwe
Allaah akuhifadhi Shekh Muhammad Bachu
Kazi nzuri unayoifanya sheikh ❤ nafataga kila kipindi chako apa Zambia 🇿🇲
NIWE MKWELI WALLAHI,
SIJAPATA KUSIKIA HOJA HATA MOJA IKIVUNJWA KWA HOJA NA HAO WATU WA BIDA'A,
ALLAH AKULIPE KHERI SHEIKH BACHU
Baaraka llahu fiyka sheikh Mohammad Bachu, Allah azid kukupa moyo wa kubainisha hakk
Amyn
Maashallaa hongera saana wa jazaakallahu khairan yaa fadheelata sheikh Bachu atwaala llahu umruka wa zaadaka llahu ilmak. kweli hoja zako zina nguvu saana na ndio maana haqq siku zote itaipiku baatwil
Sheikh Muhammad nipo hapa nakukubali san Allah akuhifadhi
Sheikh Bachu maashallah
Shekh bachu mashaaAlhah
Sheikh Muhammad Nassor Abdallah Bachu, hakika ALLAH akuhifadhi.
MaashaAllah ❤ sheikh muhammd Bachu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Jazakallah sheikh bachu imebainika wazi alhlu madufu hawana kitu na niaibu hasa kwao
Ahlul madufu😆😆😆
@@mohamedhozi8110😅😂😂😂😂
Maulidi wametuletea Mashia " mazinge na mbogo bakonzi"mungu amewapa elimu ya kiwafundisha wakristo "elimu hii mungu amewapa wengine"
Sabbas ni mweupe kabisa, anajihami tu, UKWELI umeshajulikana Asante sheikh Bachu
Kweli ndugu yangu hapa huyu hawamuwezi
Mashallah tumeelewa Shekh Muhammad Bachu
Shukran yaa ustaadh.
Allah akupe afya njema simba wetu bachu hakkki tumeiyona waganga wapiga lamli hawana hoja ukweli umeshajulikana
😁😁😁Kumbe Shk Ali Abubakar alishasema kuhusu Nahw na Balagha halafu Sabasi ndo akaja kujibu hoja humohumo lkn akashindwa kutoa Qarina kuonyesha kuna balagha kweli.
Allah akuhifadhi akhui Muhammad Bachu
Shekh Muhammad bachu ndiyo mtu wasunna anaejua kupamban na masufi na vikundi vikundi 😢sio wengine wanajitakasa tu na hamna kitu zaid ya chuki kwa wanasunna wenzao..ALLAH akuhifadhi shekh wetu bachu
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh,
Allah awahifadhi mashekhe zetu, kama umefatilia vizuri sehemu ya 2:17:00 hadi 2:23:15 utaelewa vizuri sana
BarakaLlahu fiik, sasa tunangoja mjadala wa Mombasa kwa hamu
MBONA namuelewa sana shekh bachu Mimi
Mashallah sheikh Bachu ww kiboko Wallahi
Bachu You went to Humiliate Sabas and you did 😂😂 namuonea huruma
Bachu alihepa swali la ustadh sabasi, akafikiria kenya ni Tanzania,alitaka kuhepa swali la ustadh said lakini haikuwa rahisi.
Sabbasil kubraa yaani msabasi mkubwa au pia jina lashekhe lina majazi Pole ustadhi
Mashaallah sheikh bachu Allah akuhifadhi
Sabbas na yusufu diwani walihemewa walikuja na kina mazinge huyo mazinge ndio mtupu kabisaaaa ila kwakua watu wabidaah hata uwape dalili milioni hawawezi kuacha bidaah zao, ila mwenye akili na mwenye kupenda haqi ataachana na maulidi
Sheikh bachu umemuosha vibaya sabasi al majaz hakujibu hoja hata moja.
Mashallah Sheihk 🙏 🙏 🇸🇪 🇸🇪 🇸🇪 🇸🇪
Sabas wa kwenye tv yule na huyu mbona tofauti mpk yuwatia huruma
Sheikh Muhammad Bachu ni kidume cha Allah.
Sasa hio ndio majaaaaaaaaaaaz 😂😂😂😂😂
Sina jamb , zaid ya kukuombea kwa allah ulinz uliotukuka ____ al a khy muhammad bachu
Yan mtu Hana hoja anakuja mara Sheria mara majjazz haeleweki hawa watu n mtihani sana bachu umemaliza kazi
maulid ni uzushi
Nassor bachu shukran sana kaka kwa kutoa kutu kwenye kichwa changu.
Muhammad bachu acha porojo kajfunze hekima inaonekana huna hekima ktk dini unachofanya hakuna mwanazuon amefanya
Kunakazi kubwa sana ya kumfundisha bachu lugha na maana zake tena hasa anapotafsiri vitabu ya wana zuoni kama Barzanji
Kuanguka kwa masanamu maana yake uzalio wake mtume umeudondosha utawala ulio kua unaabudu masanamu na ushirikini yaani hata hili bachu hajui yaani mtihani sana huu inaonyesha hata walimu wake nao hawana elimu yaani haya hili duh
Hiyo hoja ya masanamu kudondoka imejibiwa vizuri tu kwenye munaqasha. Unaporudia hoja hiyo hiyo tena wala takuelewi unakuwa na maana gani.
Hakika
Bachu endealea wachape hawo usiwaache wabane kabisa
Kwa kweli mm si katika mawahabi ila kwa maulidi siyapendi kutoka moyoni ni uzushi mkubwa mtu ametoa hoja badala ajibiwe kwa hoja mtu unaleta visheria sheria tunataka uthibitisho wa hoja hizo jamani huyu sheikh kajifunika na mtandio kaniudhi sana 😢😢😏😏😏😔😚😒😡😡😠
Asalaam aleykum.sehemu ya pili ya huu munaqasha.tunaomba muendelezo wake.inshaallah.
Hakika Mimi kwa elimu yangu namuelewa sana bachu sasa upande wa pili waturahisishie tuwaelewa kirahisi
By Allah. It is sad when we indulge in these issues when there are so there are so many threats against our principles as Muslims and as human beings. Our very own religious book is burnt and desecrated. Our countries are burning with flames of wars and hunger. Wake up dear brothers. These issues are insignificant. Differences are natural. Do what benefit mankind.
Sheikh bacho ma Shaa Allah hoja unazo na elim unayo
Wengi tume muelewa Bachu kwakua yy katafsiri maneno lakin hatuja muelewa Sabas kwakua kachimba kielimu ambayo hakuna hata kimoja tunacho kijua ndio mana hatujamuelewa kwa haraka hii ni elmu na fani za elmu ktk kujib mwaswali yuko sahihi kabisa lakin nina uhakika kuna vitu vingine vimelezewa Bachu pia hajavielewa na kma angevielewa basi angemjib Sabas kwa kumpinga kwa kutoa fact ktk nyanja zile zile alizo pita Sabac ndiomana yeye anatoa mifano ya chuma kwa mahindi na ndiomana alisema mwanzoni ilitakiwa kuwepo na mtu wa lugha ili ahakikisge tafsri kilugha je alivyotafsiri Bachu ni usahihi ?
Ili tufahamu zaidi kikubwa ni kusoma Elimu ni pana siyo kila mtu anatoa tafsiri kulingana na alivyosoma tu anatakawa asome pia na fani za elimu hata quran kuna walimu wanaifafanua vizuri hadi unaelewa siyo unapewa tafsiri peke yake bila kupewa maana yake. Ni kama kiingereza unaweza ukakuta neno moja linatumika katika sentensi tofauti tofauti na maana tofauti, In short tusome tu Sheikh Sabbas anaenda deep ili tuelewe kiundani but sisi tunapenda ushabiki hatutaki kuelewa
@@jumatina2234 katika hoja 19 alizotoa Shk. Bachu, ni hoja moja tu ambayo Shk. Sabas alifanya jaribio la kujibu kwa kutoa hoja ya "majazi". Hoja ya majazi ilibomolewa na Shk. Bachu kwa kuleta kunukuu kitabu cha Barzanji a kuthibitisha kuwa siyo kweli uwepo wa Bi. Asia (ra) na Bi. Mariam (ra) ulikuwa ni majazi.
Hoja za Shk. Bachu ni nyepesi kabisa lakini kwa sababu hakuna majibu sahihi ya kuvunja hizo hoja ndipo Shk. Sabas akaamua kujificha nyuma ya "kanuni za kuhukumu", "majazi" na nyiye mnachofanya ni kuunga mkono Shk. Sabas kujificha kwenye hilo pazia.
Maneno ya kutoka kwenye kitabu cha Barzanji yameletwa, badala ya kujadili kama hayo maneno yana ukweli ama la, unaanza kuleta hadithi ndefu ili mradi ukimbie jukumu lilikupeleka pale. Ni shida hii.
Mm kwa upande wangu cjamfahamu hata kidogo majazi akubra
Mwambieni bachu adanganye tu watu wa tanga asirudi mobasa tena ata aibika zaidi
Asalam alaikum shekh
Mfundishe huyo ustdh Nassor
How is he even a sheikh if isn’t hafidhul Quran 😢😢😢😢😢😢😢😢
Shekh Muhammad maashaa Allaah umeshinda vita kwa hojja na dalili.
Masufi wamevuka nguo kweupe hadharani mbele za watu, nawao ndio wanao jinata kwamba fahamu zao ni nzuri, nasisi fahamu zetu ni mbovu, lkn hayo ni madai yao mabovu tu, lkn kwenye Niqaash chua zime jitenga na mchele.
Hahahahahahahaha.
Yule FAASIQ haji upepo naona kimya!!!😂😂😂😂😂
Yaaani wewe hujielewi kabisa. Unamuitaje mwenzako faasik Dah hivi unajielewa?
Bachu ulipigwa kipigo na saidi hutasahu weye
I under stand dr bachu. But sabas inna lilah wanna ilahi rrajiuun
Ukweli umebainika kilicho baki ni aidha kuufuata haki au kuendelea kuogelea kwenye dimbwi la batili kazi kwako tafadhali.
Wacha kuogopa kujibu maswali kama huna hoja baba sabass Waka wazi maana sikuelewi kabixa naongea Sana lkn ujiumauma2 baba
"Tv niuongo leo ni live"
Sabas chuma unacho leo😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂kilimramba
🤣🤣🤣kilimramba ile proper brother
Niqash ya shirki iwapi? Allah Aturuzuqu Ikhlas ili hii nikash ipate barka.
Sjeikh sabaas ana elmu kubwa mno
Hajajibu hoja hata 1😂😂😂
Hakuna hoja alojibu zaidi ya kuzungukazunguka tu
Pangua hizo hoja za bachu usijiumeume baba😊😂😂😂😂 unaskitisha Sana Wewe sabass😊
Watu wa mlo haooo😂😂😂
Umeona
Sijuikama hawajali baada yakujuaukweri. Wazushiwa maulidi
Maulid yalikuako zama zamtume ikisomwa...Huyo Bachu Amekuja kufitinisha waialam ...kuna kazi kubwa yakuslimisha nakusadia waislam maskini...Bachu Analeta fitna katika umma wakiislam ....hio nikazi yashetani ..kazi zamuhomu zawaialam ziko nyngi zakuupeleka uislam mbele
Kumbe Mtume alisoma maulid?
Daaah... Kuna haja ya kuanza upya kusoma dini. 😢
Ww kojoa ulale kama huna elimu kaka
Hata kuandika hujui baada ya waislam wasema wailaam, labda huyo mtume wa wailaam ila sio mtume wa waislam,
Ni waailaam ndo mtume wao alisherekea maulid yake,sio mtume wetu sisi waislamu
*Fanyeni Kazi ya Allah na Allah atawalipa kila lililo na khair In Sha Allah.. Mke ndio kamkosa😂😂*
😂
Dadaetu akapike ubwabwa wa maulidini !!Subutuuu😂😂😂
@@AliIbrahim-lv5cq 😁😁😁
@@ibrahimjumaa538hatutaki dada yetu akafundishwe majazi 😂😂 elimu mbovu
@@hassanmohamedlaizer569 😁😁
Sisi tulio nchi za uarabuni makkah na madina tunazo karibu kwenye miji mitakatifu lakn tangu nije huku cjaona maulidi hata cku moja mwaka ni wa tano huu ssa kwetu Africa ndio tuwe twashindana na vtu ambavyo havikutajwa kisheria maulidi ni bidaa hayafai
Kama haujashududia Maulid, basi jiandae na kushuhudia yale ambayo haukutegemea katika maisha yako, kama Majumba ya Kamari, Nyumba za madanguro, klabu za Usiku,
Makafiri kuruhusiwa kuingia Makka, na kumtafuta Mrembo wa mwaka.
jiandae
Masha Allah sabas huyo achana nae maana hajui lugha ilivyo wala maneno yanavyotumika sasa kama kuanguka kwa masanamu anaelewa kuanguka hivyo unadhamu hapo unaelewana nae vipi mwambie asome maana ya hicho kilichotumika kwanza ndio muelewane nae huyo Barzanj ni msomi mkubwa sana katunga hiko kitabu kwa lugha ya kisomi sana
Maiki mbona nzimaa shekh acha kuzuga😆😆
Elimu ya kiislam ni Pana sana huu uwanja ata mazinge haumuhusu huu ni wigo Mpana umeme wa gas huoo ila pia hawa kukaa na mazinge kwenye mezan ziid ya wakiristo hawaweI kwahyo apo kila mmoja anakula kwake
Ibrahim bakozi utadhalilika!! Acha HAYO mambo kapambane na wakristo
Dah katika niliyo yabaini kwa sabbasi niukubwa wajina na joho wala sio elimu mana hata قرآن hajui kusoma akati ndo masdari ya kwanza ktk lugha akimbilia balagha
Na ktk kumshauri shekh sabbasi akarudie tena kwenda madrasa kujifunza upya قرآن na ahifadhi kabisa.
Hapo sasa
yaan huyu shekh yeye kang'ang'ania majazi majazi hana lingine
Jibu maswali baba usilete mbwembwe nyingi mdomo umekauka mate tayari kablah ya kujibu😂😂😂😂😂😂 utajiramba Sana mdomo
Hayo maswali ya kwanza 5 hajajibu hata moja
Bachu rudi kusoma hoja za kitoto kabisa
Bachu kawagaragaza....ile mbayaa
Kwa interview kabla mdahalo. Ali Abubakar amenukuu point nzuri sana. Kusiletwe mambo na Nahwu, Balagha etc. Watu wake kwatika maudhui, dalili ziletwe za Kielimu. Kisha AlKubra ameende huko huko kueleza Nahwu. Tutaacha lini mambo haya, watu waelimishane? Sisi ambao hatujasoma tupate faida. Mazinge ameuliza swali la kijuha, samahani kutumia hii lugha. Eti mdudu chungu ameongea lugha gani. Enh!😮
Yani maneno yako ni sawa na kusema someni tu quran haina haja kujua kiarabu wewe hi barzanji imeandikiwa kwa fani tofauti tofauti bila kujua hizo fani huwezi kujia aliyeandika amemaanisha nini ili uielewe barzanji lazima ujue background ya fani zilizotumika
Al majaaz , jamaa alikuwa anaombea maiki ilete shida ila apumue kidg🤣😂😂
Kisha sabas ywasema msijali ntajibu nina mda mrefu lkni mda umeisha hukujibu kitu
Hio ndio shida yenu mawahabby wazungu wamewatengeneza na mmetengezeka kiburi kinawaweka mbali na Allah kila mhabby ni msomi na nishekh anaweza hukumu hukmu yyte polen sana
Mkumbkumke walimwengu mnaoskiliza maneno ya Hawa watu wapo kwa sabu yakufarakanisha waislam
Hii siku nilifurahi sana
we bachu huna heshima
Zamani mlisema hana elimu saivi hana heshima ipo siku mtasema hana nywele😂😂😂😂😂
Bid'a na ushirikina hafai kuheshimiwa
Hhahahhaha! Ktk haki hakuna kumheshim mtu
Shekh sabas hakujibu kitu amebambanya tu
Bid'aa imekaribisha ushia kwa usunni.
Huyu bachu anatisha kwa hoja
Mumeharamishiwa mama zenu ni kweli kabisa na ni aya katika Quran.
Lakini je inaingia je hapo.ambapo alitakiwa kujibu na siyo kuleta maswala ya kina mama.mbona haya ni mambo ya ajabu sana tena sana.
Usimuite ibntaimia meite sh. Njia
Achana na bachu, juzi alikimbiya shekhi moja wa kenya walim fundisha nahaw paka aka acha kiketi wazi .
Acha unafiq
Asant bachu natamn uwe mwalimu wg mpak kufa kwang
Mmoja anasema KITABU kinauongo lkn maulidini anaenda kula ubwabwa
Bachu hajatok kwenye mada ila anakufafanulia tu anachokusudia kukufahamisha kwausahihi ila kwakua huoni ndani na hunapakutokea unasema ameingia kweny bahar nyengine kaingia kweny bahar nyengine kivip apo nainawezekan vp wakat mada nimoja
He didn’t wanna answer the question . All he talked about is hukumu . I new he wouldn’t be able to answer them 😅
I love you sheik Muhammad bachu. May Allah protect you ❤
Hii ilikuwa sarakasi tu hamna ilmu yoyote iliyotumika
Niwambie ukwel tu kama tatizo ni kitabu tutabadilisha kitabu na kutumia chengine lakn kwa kuacha maulidi hiyo hapana nehi
Hahahaa!! Ubwabwa uendeleee!!
Majaazi wal kubra katandikwa mpaka akageuka dubu si nchezo
We bachu ukasomee hoja zako hazina vichwa wala miguu
Assalaam Alaykum. Nimeskitika sana niliposikia kuhusu mjadala kuhusu kitabu cha sheikh Bazranji. Nasema hawa ndugu zetu kutoka na sect ya wahhabiya wameleta balaa na fitna. Hata inchi ya Saudia sasa wameanza kuwona matunda ya hawa watu. Alhamdulillah watu wengi wanaanza kuwa mbali sana na fikra za wahhabism. Msomaji mkuu kutoka US Dr. Yasir Qadhi amesoma Madina. Alikuwa mmoja katika ndugu zetu wa kina Wahhabism. Alhamdulillah amefarikiana nao. Amezungumza sana na hatari ya fikra za hawa Jamaa. Nawaomba ndugu zetu kutokana na hawa wanaojiita salafi wasikilize maneno ya huyu sheikh.
m.th-cam.com/video/dRtYCJ7bE5I/w-d-xo.html
Nawaomba ndugu zetu: wacheni kuvuruga watu. Wawacheni watu ambao wametangulia mbele ya Allah. Jishughulisheni na mambo ambayo yataleta manufaa. Allah atupe hidaaya.
Nawe Muhammad bachu unawekaje mdahalo na mtu kama huyu mate yanamkauka mdomoni na hawezi jibu hoja ata moja maulidi ni bidaa kwisha
Huyu anababaika kwakua hana dalili. Alisema atavunja hoja ndani ya dakika 5 kapewa 20 analalamika ni kidogo,je inge kua amepewa hizo 5?
Sabas ana ilmu kubwa na hikma ipo unajua unapo uliza kitu ujue umesimamia wapi
watu wa mawlid tuache unafiki hapa tumepigwa
hahahahhah
Tunaomba na nakash ya shirk uitume