FULL MUNAQASHA UONGO NDANI YA KITABU CHA MAULID YA BARZANJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 308

  • @muchikayahyaabdu
    @muchikayahyaabdu ปีที่แล้ว +19

    Mimi natoka Uganda. Nafurahi sana kuona Muhammad Bachu anafundisha huyo sheikh mwengine. Bachu Allah akuhifadhie Ummah ya Rabbi. Shukran

    • @kombomakame9541
      @kombomakame9541 ปีที่แล้ว

      Nimesoma sana na kuhakiki kazi za fasihi andishi nilipokuwa sekondari. Nilichogundua mwandishi wa kitabu ndie anayejua maudhui na Gani alioitumia katika kutunga kitabu. Kwa hio itabidi mtunzi wa barzanji aje awasilishe kitabu chake.
      Mimi SI pendi mijadala ya waislamu kwa waislamu kama hii.

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 ปีที่แล้ว

      Aameen, Bachu wetu Allaah amjalie jannatul firdhaus

  • @iddibakary
    @iddibakary ปีที่แล้ว +4

    Baarakallaahu sheikh Muhammad bachu. Hao wanao mzushia Mtume ndio wanao mkataa .

  • @ibrahimabdi3559
    @ibrahimabdi3559 ปีที่แล้ว +16

    Yarab ambariki sheikh bachu na janatul firdaus, bachu amepanda daraja lake...he is a true, very impressive and very eloquent very knowledgeable in regards to Islamic jurisprudence...may Allah protect and bless you...I pray to Allah to give me an opportunity in this life to see, hear and shake the hands of a true Islamic scholar.

    • @ShafiAthmani-bu6hq
      @ShafiAthmani-bu6hq ปีที่แล้ว

      Ww sabasi acha ujinga nenda ukasome mpuuzi ww kadanganye familia Yako mshamba ww

    • @tocaworld7864
      @tocaworld7864 ปีที่แล้ว +1

      Aamin ya Rabbi.

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 ปีที่แล้ว +1

      Aamiin

    • @NMJAHsaid
      @NMJAHsaid ปีที่แล้ว

      ​@@ShafiAthmani-bu6hqfani ya ufidhuli na matusi ni ya watu wa maulidi. Huyu jamaa kamuombea Muhammad Bachu dua, wamtukania nini?!?!?! Kakukosea wapi? Subhaanallah

    • @maulidimuhammed7851
      @maulidimuhammed7851 ปีที่แล้ว

      ​@@ShafiAthmani-bu6hqDuu huko kukosa hoja.Matusi.Poor on you.

  • @dausibhalo2816
    @dausibhalo2816 ปีที่แล้ว +3

    Shekh bachu Mungu akuhifadh

  • @aymanfeysal
    @aymanfeysal ปีที่แล้ว +6

    Shekhe anauliza muda kama umeishaa apumuee,,jibu hoja acha porojo shekh ,,Allah akuhifadhi,,

  • @HumyrahChannel
    @HumyrahChannel ปีที่แล้ว +2

    Team Muhammad bachu nampemda juu ya Allah, Allahamdulillah

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 ปีที่แล้ว +11

    Kumbe leo nimemuelewa bachu!!! Yuko swahihi kabisa nampenda mtume lakini siko tayari kufwatana na Hawa wajama wenye kumpachika mtume mambo mazito kama haya wanayoyasema wameyatoa wapi jameni!!!!!!!!!!!! ?eeeeh subhanallah!Malikul qudus!

    • @ibrahimmohd-ks8kv
      @ibrahimmohd-ks8kv ปีที่แล้ว +2

      Inapokuja hakki basi kwahakika batili huondokaaa....Allah akubariki shekh nassor ....waatuu wa bidaaa achenii jamaniii...ivi nyinyi ni viziwii au vipofu..hamutochekwa vyo...rudini kwenye msingiii jamnaniii....kwahakika Leo umewafundisha

  • @yusufsuleiman7886
    @yusufsuleiman7886 ปีที่แล้ว +6

    Sheikh sabbas na sheikh diwani , nendeni mkaifadhi iyo aya , Muhammad rasuululaah , dah mnasoma kama gazeti 😢😢😢😢

  • @SwalehSalim-l9l
    @SwalehSalim-l9l ปีที่แล้ว +1

    بارك الله في شيخي محمد باشو. هؤلاء الشعوب المولية يعرفون كل حقيقة عن المولد لكنهم لا يريدون تفويت المال والطعام مثل بيلاو وبريان😊😊

  • @Teralkum
    @Teralkum ปีที่แล้ว +1

    Mash Allah Sheikh Muhammad Bachou, Nimefurahiya sana hizo hoja

  • @Hassantube-vy3vw
    @Hassantube-vy3vw ปีที่แล้ว +8

    احبك كثيرا يا محمد باشو و اخوكم ابو ميسرة مسلم سلفي من مويالي

  • @oman7710
    @oman7710 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuhifadhi Sheikh Mohammed Bachu

  • @othmanabeidy4460
    @othmanabeidy4460 ปีที่แล้ว +14

    MaashaAllah Muhammad bacho Nakupenda kwajili Ya Allah

  • @rukiaabubakar1257
    @rukiaabubakar1257 ปีที่แล้ว +3

    ماشاء الله تبارك الله...الاخ باشو الله يحفظك من كل شر ويزيدك في العلم بسطة لتعلمنا الحق والباطل...آ مين

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 ปีที่แล้ว +1

    Wallah inatia huruma c yakucheka nlijua lile zogo la saabbas kabla nlijua ana hoja za kuitetea mashair ya barzanj kumbe hana kitu wallah sabaas almajaaz mnatuaminisha uongo tu najutia mda wng nlosoma kitabu cha barzanj Mungu Atansameh ckua nikijua

  • @tatuali1379
    @tatuali1379 ปีที่แล้ว +2

    Jamani leoi tumejuw haki Bach mashaa allah

  • @fadhilizomboko459
    @fadhilizomboko459 ปีที่แล้ว +2

    Mash'allah sheikh Bachu

  • @harithsaid1834
    @harithsaid1834 ปีที่แล้ว +1

    Jamani comment zote niza bachu sabas wako wapi tuwapeni comment japo za upendeleo jamani😢😢😢😢😢😢

  • @MwanakomboAbasi-j1r
    @MwanakomboAbasi-j1r ปีที่แล้ว +2

    Bachu ma shaa Allah

  • @SwaleheOmari-c2f
    @SwaleheOmari-c2f 6 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah
    Allah ameleta neema ya kudhihiri kwa ukweli.
    Tulikuwa tunaambiwa uongo kuhusu mambo mengi juu ya uzao wa mtume

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 ปีที่แล้ว +3

    Bachu Allah akujaze kheri nyingi, tunajifunza mengi kutoka kwako

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว +1

    kwakwel jata mim nilipomuona Shwikh mazinge nlijua hapa Kaka Muhammad amebambwa Lkn Mashallah Allah amekustir hakk sik zote itakuwa wazi tu🙄😁🤲🤲🤲

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du ปีที่แล้ว +15

    Hii ni walkover. Sabas kapigwa Knock out!

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂😂Shaikh wangu mazingeeee pole wallah polee😂😂😂😂😂

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 ปีที่แล้ว +19

    Sabas was humiliated 😂😂 Bachu mashaa Allah

  • @Team-t6k
    @Team-t6k ปีที่แล้ว +8

    Sabas Al Majazz😂

  • @alafasyquran9806
    @alafasyquran9806 ปีที่แล้ว +6

    بارك الله فيك وجزاك الله خير yaa Bachu

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 ปีที่แล้ว +8

    Hahahhha sabbas macho yake nasuura yake zinamwambia huweziiii halafuu ana kazanaaa kupiga uongo

  • @MwanakomboAbasi-j1r
    @MwanakomboAbasi-j1r ปีที่แล้ว +1

    Muhimu kujibu hoja sio kuanza maswali tena sasa kama sio kweli shekh mohammad bachu Allah akuhifadhi mambo yako wazi washaona makosa ndio mana wanakwepa maswali

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 ปีที่แล้ว

    ManshAllah cheikh Yaqub uyo ni uvundo

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 ปีที่แล้ว

    Mie ni mama Niko wa Burundi Bachu Allah akulinde umeibua virus vilivo kua binashindwa kupigania ukweli juu ya maulid

  • @othmanabeidy4460
    @othmanabeidy4460 ปีที่แล้ว +18

    Muhammad bacho Hao wana kupotezea time wanajua Ukweli ila wanafuata hawaa za Nafsizao

  • @alinaalina5044
    @alinaalina5044 ปีที่แล้ว +2

    Bachu unabpointi sana ila upo kwenye wakati mgumu nitamuomba mungu hili tatizo lako liishe haraka

  • @yassinyussuf9661
    @yassinyussuf9661 ปีที่แล้ว

    Sabas al majaaz

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 ปีที่แล้ว +7

    Majibu ya sheikh muhammad bachu yanaeleweka kiufasaha na kujibu kwake ni kitaalamu kuliko wanavyo zagaazagaa hao hawaeleweki kabisa

    • @hudhairfaki1217
      @hudhairfaki1217 ปีที่แล้ว

      Allah akubariki sheikh muhamed hao akili pia hawana sasa hawawezi kujua kwamba wamepotea

    • @mohamm7khamis
      @mohamm7khamis ปีที่แล้ว

      Sio Kuzagaaa sema huna elimu ya kuyaelewa

  • @RONJAKIMARATz
    @RONJAKIMARATz ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi nyote ovyo viongozi wadini tena yahaki baada ya kufanya midahalo kama kwa siri kama ulamaa kisha mkakubaliana na kuja kwa pamoja kuwaweka watu katika njia kwapamoja mmekaa mnalumbana ovyo sana nyinyi hamna uwalimu mnauopa uma faida ili makafiri wajue kwamba waisilam wenyewe wanalumbana

  • @ZamuzamuAbdalla-sj4qz
    @ZamuzamuAbdalla-sj4qz ปีที่แล้ว +4

    Sabas Al sheriya ukipenda sabas Al majaaz😂😂😂😂

    • @mansurtwalib4821
      @mansurtwalib4821 ปีที่แล้ว

      huyu Muhammad bacho anamaneno mngi ya kiswahili

    • @nurdinali4026
      @nurdinali4026 ปีที่แล้ว +2

      "muhammad bacho ana maneno ya kiswahili" sisi tuko nje,twataka majibu ya hoja 19 zilizotolewa!!! twajua sabasi Al majaaz ana kiarabu kingi,sisi twataka majibu

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 ปีที่แล้ว

      ​@@nurdinali4026majibu anatoa wapi sasa 😂😂😂😂

    • @muddathirkassim2407
      @muddathirkassim2407 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @Hassantube-vy3vw
    @Hassantube-vy3vw ปีที่แล้ว +4

    Mashalah 😊

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah Hadi nimemuonea huruma Sabas🙄😩Yaan anasema niuelewa mbov wakat maneno yapo wazi 😔mhh mwenye macho haambiwi chizaman

    • @saidsaleem1732
      @saidsaleem1732 ปีที่แล้ว

      Wewe banchu katafsiri vibaya ajafahamu kiarabu 😂😂

  • @arafatabubakar001
    @arafatabubakar001 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hoja 19 washindwa kutetea hata moja,kisha akaweka wazi kwa yeyote yule aje amsaidie bali waliogopa wote.palipo na ukweli uongo hujitenga

  • @FathiSaid-j6v
    @FathiSaid-j6v ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa aliyeevaa kofia ya kijani na miwani huyo nimfuasi wa Sabasi hapo anatamani ampige shekhe wetu Allah amuhifadhi inshallah awanyooshe vizuri

  • @mustafahakim-iq7dj
    @mustafahakim-iq7dj ปีที่แล้ว +3

    Jamani sasa tumejifunza tusiwe tunasema vikanzu hai ona wametufundisha wengi tumesoma icho kitabu subhana llah

  • @alijabal5323
    @alijabal5323 ปีที่แล้ว +7

    Mcheni allah wazushi muna wapoteza watu kuijua haqi.

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 ปีที่แล้ว +6

    Ali Abubakar, Maa shaa Allaah salafi da'awa is the the connection to Allaah

    • @asa9268
      @asa9268 ปีที่แล้ว

      Shekhe jinga jinga tu hilo 🤣anaogopa nahw kwa sababu ni ilimu mawahabi hawana🤣

  • @AbdulRazack-h4k
    @AbdulRazack-h4k ปีที่แล้ว +10

    Kweli Allah umpa utukufu anae mtaka! Watu wa burundi tuna kufagiliya sana mwana wa bachu na swaiba wako Abu qatada mkono kwa mkono hadi peponi.

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 ปีที่แล้ว

      Aameen thumma Aameen, Salafi u Salih ndio uislamu ulonyooka sio uzushi wamemzulia mtume mpaka basi, wameenda hadi sasa eti wametengeneza kitabu cha maulidi, Astaghfirullaah

  • @MustafaOyoo-qz7rp
    @MustafaOyoo-qz7rp ปีที่แล้ว +6

    Bachu yuko kwa haki

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 ปีที่แล้ว +4

    OWONGO ZA MASJHAIRI ZA BAZRANJI ZIMEKUWA NJIYA YA DANGANYA WATU MALI YAO NA KUSAMBASA USHIRIKINA
    وأخرج أبو نعيم عن عمرو بن قتيبة قال: سمعت أبي وكان من أوعية العلم قال: لما حضرت ولادة آمنة قال الله لملائكته: افتحوا أبواب السماء كلها وأبواب الجنان كلها، وأمر الله الملائكة بالحضور فنزلت تبشر بعضها بعضًا، وتطاولت جبال الدنيا وارتفعت البحار وتباشر أهلها فلم يبق ملك إلا حضر. وأخذ الشيطان فغلّ سبعين غلًا، وألقي منكوسًا في لجة البحر الخضراء، وغُلّت الشياطين والمردة، وألبست الشمس يومئذ نورًا عظيمًا وأقيم على رأسها سبعون ألف حوراء في الهواء ينتظرن ولادة محمد صلى الله عليه وسلم. وكان قد أذن الله تلك السنة لنساء الدنيا أن يحملن ذكورًا كرامة لمحمد صلى الله عليه وسلم، وأن لا تبقى شجرة إلا حملت، ولا خَوْف إلا عاد أمنًا. فلما ولد النبي صلى الله عليه وسلم امتلأت الدنيا كلها نورًا وتباشرت الملائكة، وضرب في كل سماء عمود من زبرجد وعمود من ياقوت قد استنار به فهي معروفة في السماء، قد رآها رسول الله صلى الله عليه وسلم ليلة الإسراء، قيل هذا ما ضرب لك استبشارًا بولادتك. وقد أنبت الله ليلة ولد على شاطئ نهر الكوثر سبعين ألف شجرة من المسك الأذفر جعلت ثمارها بخور أهل الجنة وكل أهل السماء يدعون بالسلامة، ونكست الأصنام كلها وأما اللات والعزى فإنهما خرجتا من خزانتهما وهما تقولان: ويح قريش جاءهم الأمين جاءهم الصديق لا تعلم قريش ماذا أصابها. وأما البيت فأيامًا سمعوا من جوفه صوتًا وهو يقول: الآن يرد عليّ نوري، الآن يجيئني زواري، الآن أطهر من أدناس الجاهلية، أيتها العزى هلكت. ولم تسكن زلزلة البيت ثلاثة أيام ولياليهن. وهذه أول علامة رأت قريش من مولد رسول الله صلى الله عليه وسلم.

  • @khamisjuma8813
    @khamisjuma8813 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ndo yule sabass aliyetaka niqash kisha akawa anajisifu ama ni sabass mwengine? Kama ndiyo yeye huyu basi bora akauze mboga mboga sokoni.

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 ปีที่แล้ว +3

    Sabas waboeshaaa, kweli

  • @Menino938
    @Menino938 ปีที่แล้ว +10

    SABBAS ALKUBRA KAPAUKA MDOMO FAMCHEZO WEEE😂😂

  • @Menino938
    @Menino938 ปีที่แล้ว +4

    Sabass anataka kulia

  • @tocaworld7864
    @tocaworld7864 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge na mbogo wameshaelewa

  • @iddrissahalley7234
    @iddrissahalley7234 ปีที่แล้ว +2

    Sioni sababu ya waislamu kujadili barazanji,tunafikra potofu za kujadili mdahalo huo,kwani ukiamini barazanji inakutoa nje ya uislam, tungefikiria kwenda vijijini huko watu hawajui dini mkawafunze dini

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 ปีที่แล้ว +2

    Sabas ameshindwa kabisa kuzijibu nukta za Sheikh Muhammad Bachu. Elimu ndio muhimu sio majoho ya Mufti..Sabas amezunguka sana ili kupoteza tu muda na kukimbia kujibu maswali.

  • @idhaabdun6020
    @idhaabdun6020 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Bachu kawapiga viboko wote hadi Mazinge

  • @myaudimazarahu3532
    @myaudimazarahu3532 ปีที่แล้ว +2

    Mimi siyo mweslam ila bachu unasema kweli sijaona kama amejibu

  • @9119-r4t
    @9119-r4t ปีที่แล้ว +6

    Ukichunguza sana wazushi mpaka.sura zao nuru zimepotea

    • @NMJAHsaid
      @NMJAHsaid ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 ปีที่แล้ว

    Mimi mkristo ila nakufuatilia sana mafundisho yako bachu❤

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 ปีที่แล้ว +3

    Ajiumauma sabasi😂😂😂😂😂😂 mmmmh hujajibuuu maswali kumi naa salaaaaaala

  • @kitosio
    @kitosio ปีที่แล้ว +4

    Shehe Sabbas. Tunaangalia Maneno yaliyoandikwa. Nia IPO moyoni hatuhukumu Nia. Maneno ya MTU kaweka hovyo tunanukuu maandiko hovyo. Angefanya kazi kutunga Fiqhu Tawheed na mengine. Maulidi mmefanya Ibada. Kama kwamba mwzjuwa zaidi kuliko maswahaba

  • @mohammadimagulu6423
    @mohammadimagulu6423 ปีที่แล้ว +5

    Sabas kiarabu kingi sasa wanaokusikiliza hawakuelewi,toa2 tafsili,yamashaili yabarazanji tujue yanamaana gani?

  • @SalimMgalilwa
    @SalimMgalilwa ปีที่แล้ว +1

    Mwamba Mim nimekuelewa sana napo Bachu hapawezi

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du ปีที่แล้ว +3

    Sabas Alsughra!

  • @AliShee-mb2gh
    @AliShee-mb2gh ปีที่แล้ว +3

    Sabas alitakiwa ataje ayah hadith qawl za wanachuoni au vitabu ampinge Sheikh Bachu,je aliyataja hayo kama nlipitwa na nukuu zake naomba ziletwe mtandaoni

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge kwa vile ninavyokujua unanipemua hilo si swali

  • @uwesumtolela9971
    @uwesumtolela9971 5 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha bando limekata sijuwi wameishia wapi ila mwelekeo nimeuona,, alhamdulilah nimejfunza kitu

  • @ramadhanihamisi3977
    @ramadhanihamisi3977 หลายเดือนก่อน

    Huyu shekh anazunguka maswali na anayakwepa kwa kuongea vitu tofauti tofauti haendi moja kwa moja ktk kujibu swali

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 ปีที่แล้ว +1

    We nimkaidi tuu sabas yan nimkaidi Sana.

  • @migwa100
    @migwa100 ปีที่แล้ว +11

    Aaaaa jameni kama huna majibu sema 😂😂😂 maulid sio katika suna za mtume wala sio katika Dini ya kislamu

    • @swalehbakari2667
      @swalehbakari2667 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa

    • @ShabanMohamedi-lb8hs
      @ShabanMohamedi-lb8hs ปีที่แล้ว +1

      Hiyo maulidi yenyewe hujui maana yake

    • @migwa100
      @migwa100 ปีที่แล้ว +3

      @ShabanMohamedi-lb8hs kama mimi sijui moulid mbona huja tokezea kujibu maswali wote mmeshia mitini haki ikija batili huondoka acheni kupotosha watu

  • @jimmyjamal5981
    @jimmyjamal5981 ปีที่แล้ว

    Sabas ana elimu kubwa lkn tatizo lipo kwnye kuongea, hzo ni fani za akina mazinge na Shekh Diwani

  • @mpalawamnongani2053
    @mpalawamnongani2053 3 หลายเดือนก่อน

    Comment nyingi humu za watu wasio na ilmu, bahati mbaya Munaqasha huu ni wa ki-ilmu...tunataka mtu atueleze v2 vya kutufurahisha bali hatuez kupambanua mambo ya ki-ilmu sabab ya hatuna faham tupo tu kama wafuasi wa kristo kazi kusoma kilichoandikwa bila kutia fahm...Wallahi mngemjua huyo sheikh Albarzanji msingefika hata huku kwenye kumzungumzia...wallahi kwetu sisi twalib li-ilm yy ni bahari kwa ilmu yake...Allah atuongoze...

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 ปีที่แล้ว

    Asalaam aleykum.Shekhe muendelezo wa mynaqasha upo wap.walau niwekee link.

  • @MohamedRidewinder
    @MohamedRidewinder ปีที่แล้ว +1

    Shekh Muhammad bachu rudi kasome tena maana illimu ya balagha huifaham uwenda ukawa unaisikia inakupasa ujue mafuhumu ya maneno acha kuwa mughtara'u pia urudi kwenye illimu ya sheria.

    • @abasmaalim5423
      @abasmaalim5423 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 kale ubwabwa ukalale sheheee

  • @mohamedmnango3660
    @mohamedmnango3660 ปีที่แล้ว +3

    Dini ni sheria na Mujtahidina wote ni fuqahaa Bachu asitakabbari bado anasafari ndefu kielimu Allah amuongoze maana nina hakika ikhlasi anayo na juhudi katika dini pia

    • @samirrubeya2379
      @samirrubeya2379 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna kibri hapo kuwa mkweli brother wacha ushabiki jamaa kapigwa na chini mbaya sana.

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 ปีที่แล้ว +1

      Kama Sabas alikaza kipengele cha Sheria kuwa hadi ijulikane nia ya Jaffar mbona amejaribu kujibu hilo moja tu la Asiya na Mariam na hajagusa mengine? Ndio ujue kama hamna kitu maana hayo mengine ndio hayagusiki kabisa hilo moja ndio nafuu kidogo kwake ndio kairukia hiyo hoja ya 19 kwa mbali.

  • @abuuamourmuhamed1934
    @abuuamourmuhamed1934 ปีที่แล้ว +3

    Nashangaa wakati mnatufundisha brzanji mnatuaaminisha kua nikweli hamusemi nimajaaz tunaamini matukio yote niyakweli asia mariam wamekuja kwenye mazazi ya Mtume sasa leo mmezidiwa ndio aaaa eeee nimajaaz

  • @OmanOma-xi3hm
    @OmanOma-xi3hm ปีที่แล้ว +2

    Mm ni suni lakini naiyaga ukweli unaonekan wa situletee u babaifu wana nikera watu wa maulidi cjui wana napata faida gan

  • @dr.abdallahngenya9780
    @dr.abdallahngenya9780 ปีที่แล้ว +3

    Sabas nimemuelewa yeye kasimama kwenye sharia .. Bachu anataka ajibiwe kihuni ..

    • @AliDaud-si3fg
      @AliDaud-si3fg ปีที่แล้ว

      sabas ameweka pingamizi la kisheria halafu kabakia mezani.
      ww ulitarajia kipi kingemfika?

  • @azizihassan1613
    @azizihassan1613 ปีที่แล้ว +2

    WALLAHI huyu SABBAS kaja kunimalizia MB zangu Bure bila ya faida yeyote

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 ปีที่แล้ว

    Nikimuona Bachu nasikiya nilie mtoto mdogo ameibua mengi semen I kweli Bachu uko sahihi

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 ปีที่แล้ว +1

    Mbona naskia sauti ya Radio Salaam hapo

  • @Abuyusuf134
    @Abuyusuf134 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge amechemsha leo😂😂😂

    • @abuuamourmuhamed1934
      @abuuamourmuhamed1934 ปีที่แล้ว +2

      Kachemsha mayai bila maji 😂😂😂😂

    • @Abuyusuf134
      @Abuyusuf134 ปีที่แล้ว

      @@abuuamourmuhamed1934 hahahaha!!!

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 ปีที่แล้ว +1

    SHEKH BACHU BORA UPAMBANE NA MASHOGA NA MABASHA NA WASAGAJI UTAKUA UMEFANYA JAMBO KUBWA NA VIBAKA NA MATARIKU SWALAA ACHA HAYO MAULID....

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 ปีที่แล้ว +3

    Swallu allannabiii siku ndohizo za maulidd zinakarabia cc na mauliidd na maulidd na cc

    • @aymanfeysal
      @aymanfeysal ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @cheshareisah708
      @cheshareisah708 ปีที่แล้ว

      Fanya tu kama unaona ni haki kwako na kama unaiyafanya ki inaadi basi utayarishe jibu kwa Allah.

    • @abasmaalim5423
      @abasmaalim5423 ปีที่แล้ว

      Usitueleze sisi hiyo ni itikadi yako yafaa kuiweka moyoni mwako sawa

    • @salmaali7080
      @salmaali7080 ปีที่แล้ว

      Swalluu allla habbibbbbbyyyyy

  • @akonkwojryorondo4504
    @akonkwojryorondo4504 ปีที่แล้ว +1

    Lkini mbna hawa watu wanapindisha mambo badala y kujibu moja kwa moja

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 ปีที่แล้ว +2

    Wababaika kwel umechagua lamwisho ndio waanza nalo

  • @SangiwaMsangi-x4x
    @SangiwaMsangi-x4x ปีที่แล้ว +1

    Shekhe wabarazanji unadharau halafu unaigunika haki unatafuta namna yakupitisha haki ikiwa unajua

  • @tanzania_001
    @tanzania_001 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa wa maulid Wana jazba hapa ni hoja Kwa hoja hakuna porojo😅

  • @Auf-uh3jq
    @Auf-uh3jq ปีที่แล้ว

    Hawa Mashekhe wapumbavu sana wote hawana adabu hawana hishima
    Mashekhe wanafiki wote Hawa kwani munalazima mupingane
    Mashekhe Hawa hawana adabu

  • @mikidadihussein2961
    @mikidadihussein2961 ปีที่แล้ว +1

    Sabbas al kubwa kuvaa kote mijoho kama kama katuni kajipanga kuvaa lakin ukimtazama 😂😂😂hanogi akiongea mcheki Muhammad bachu barakarahufiqi unajuwa kuongea kisomi naunaelimu kubwa kulko sabbas

  • @MuhsinLali
    @MuhsinLali ปีที่แล้ว +1

    Udhifa na mudhafu eleza mambo wazi...Hata wakiristo ukiwasomea andiko kwa bibilia wakiristo hujitetea eti bibilia inamaana fiche si yeyote anaefahamu...na kina Sabas nao wanatumia mbinu ya MAJAZ

  • @jumamsagati3786
    @jumamsagati3786 ปีที่แล้ว +3

    Jibu maswali unatuletea maneno

  • @alihaidary4143
    @alihaidary4143 ปีที่แล้ว +2

    Sheke sabsi mbona sioni kujibu hoja

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu yangu mpenda wali wa maulidi, achana na maulidi itawapoteza

    • @ustadhoomar1254
      @ustadhoomar1254 ปีที่แล้ว

      Sie weye uliepotea

    • @hassancassim8748
      @hassancassim8748 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga wewe wali unausiana na nn na izi mada acha kukashifu wenzio

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +3

    Uzuri wa dini yetu na utaratibu wake kila kitu ni elimu na Sheria zake ila wengi wetu atuja kaachini kufundiswa ni walimu ila walimu wetu ni Google na diyo maana tumeishiya kushakiya kama mbira wa yanga na simba.tu

  • @MuhsinLali
    @MuhsinLali ปีที่แล้ว +1

    Sasa huyu Sheikh Sabas amebaki MAJAZ ajibu swali.... Sheikh Sabasa ameonelea atawali akili waskilizaji na neno MAJAZ

  • @swalehsaidmahu2052
    @swalehsaidmahu2052 5 หลายเดือนก่อน

    Maulid na wakristo wanafanana kiitikadi

  • @bintshariffmuhammad620
    @bintshariffmuhammad620 ปีที่แล้ว +2

    Maulidi yata somwa mpk mwisho wa duniya❤

  • @SangiwaMsangi-x4x
    @SangiwaMsangi-x4x ปีที่แล้ว

    Mnakimbia ongezeni mfa wamaswali mazinge kayakanyaga

  • @AliShee-mb2gh
    @AliShee-mb2gh ปีที่แล้ว +1

    masufi wafata nyayo za manaswara kutukuza mitume yao kupita mipaka
    lete dalili mtume صلى الله عليه وسلم aliumbwa na udongo wa kaburi lake
    na kama ni majazi elezea ni vp

  • @kombomakame9541
    @kombomakame9541 ปีที่แล้ว

    Waislamu tujiandae na majibu kutoka kwa Makafiri baada ya mjadala.