MUHAMMEDI BACHU KITANZINI NA USTADH SAIDI MAMBURUI MUNAKASHA BARZANJ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024
  • Bacho akimbia munakasha

ความคิดเห็น • 95

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah shekh bachu uko sawa tunakuelewa kielimu sana tu jazakallah khaira huyo side hawezi nawezake kumsaidia barzanji bado vichwa vao bado havijafunguka hajuwi hata munkari inamaanagani haikubaliki bado masuali nimagumu kwao hawanauwezo wakuyajibu hata moja tumefahamu toka tanga hapa wanamaliza tu kusadikisha kuwa hawawezi kuyajibu ila kiyamusaaa

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 5 หลายเดือนก่อน

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea
      SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث

  • @IddySharifu-sg1xz
    @IddySharifu-sg1xz หลายเดือนก่อน +1

    Bachu mungu akuzidishie hao hawako kielim ilawako kiubishani washa athilika na mambo ya bida

  • @عمرأحمد-ص9ل4ش
    @عمرأحمد-ص9ل4ش 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi Sheikh Muhammad bachu na akulipe kwa sababu huu mjadala uliumaliza kitambo pale ulipomwambia akifungue kitabu akisome.......haki itoke kwenye vitabu na sio akilini.

  • @masudbasra566
    @masudbasra566 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo kijana wa mambasa ha.na elimu yoyote aende akasome asipoteze muda kweny3 mtandao

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 ปีที่แล้ว

    Message from USA 🇺🇸 marekani

  • @Omanzikra-ft5cr
    @Omanzikra-ft5cr 6 หลายเดือนก่อน +5

    Masha allah ww sheikh bachu sisi tuliofanikiwa kufika darasani wenye juzuu zetu 30 kichwani huwa tunakuelewa sana sasa basi huyo mwalim said hatusemi kua hajui ila iposiku allah atamuongoza kama yeye mwenyewe atataka kuongoka ila sheikhe bachu tunakuombea kwa allah endelea kutuelimisha allah atakulipa kheri nahakunavitu vya maulidi kwenyedini yetu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 5 หลายเดือนก่อน

      MaSheikh wanaofuata mahaji ya salafi kama kassimu mafuta
      Wamesema jamaa kaenda kwenye niqashi akiwa hana elimu
      Kashindwa niqash kutokana kaenda kwenye jambo halielew
      Afu wewe unatuambia anajua sasa tukuskilize wewe au yule kassimu mafuta muongo 😂😂
      Wewe hapo ulipo huna elimu na lau ungekua na elimu ungeona makosa ya nahau na makosa ya kwa mwenye kujua elimu ya ‎مصطلح الحديث
      KASOME SHEIKH ACHANA NA MAMBO YA MITANDAONI

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน +1

      ''Hadeeth lazima turudi Kwa wanazuoni wa hadeeth '' ''uchumi lazima turudi Kwa wasomi wa uchumi'' bachu hujui kitu.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน +1

      Bachu ni hapo hapoooooo, hutoki kule Tanga ulitoa porojo ukawazonga zonga watu mbumbumbu wakakuona wa maana sana

    • @mrishosudi1896
      @mrishosudi1896 3 หลายเดือนก่อน

      Hakunaga Swali ambalo Kwenye DINI ya KIISLAM halipo
      Jibu nikweli au sikweli.
      finish

    • @Sultan-o7m9s
      @Sultan-o7m9s 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mrishosudi1896hapana Kuna maswali katika Uislam Ukiuliza Unaonekana kam ni Uchache wa elimu Swali la Shehe Saidi Lilisema.kama Barzanj ni Mpokeaji Hadithi wakat yy msimuliaji amechukua pahala na akaandika Mbona Swali lipo wazi kama Halipo Katika Aqida ya kielimu tuliosoma Tumeshangaa kwa swali lilotolewa na Mada hapo haikuwa kumjadili Mtu na Mtume S.A.W ALIkataza Kuwajadili watu waliokufa sbb Allah ameshapitisha hukumu Baina yao ni.hadith sahihi hii na kilichopaswa Kujadiliwa hapo ni Maneno na sio mtu mfano jadili.maneno.ya nyerere na usimjadili nyerere utakuwa umefahamu

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 หลายเดือนก่อน

    Mr bachu jamaa kakuzidi kielimu na maarifa huyu na hao walikaa na kukuandalia mtego ambao huwezi kuchomoka!!!! Ukiona unaelimu sana basi ujue kuna zaidi yako!

  • @SadaSalim-t6v
    @SadaSalim-t6v ปีที่แล้ว +6

    Maulid xi haramu ustadh Muhammad

    • @swaibusalum
      @swaibusalum  ปีที่แล้ว +1

      Kwe mwamba maulidi yatasomwa tu

    • @hassanhussein2422
      @hassanhussein2422 ปีที่แล้ว

      Lete dalili

    • @mohammedsiga7202
      @mohammedsiga7202 10 หลายเดือนก่อน +2

      @@hassanhussein2422
      We lete dalili maulidi ni haramu 😂…

    • @hassanhussein2422
      @hassanhussein2422 10 หลายเดือนก่อน

      @@mohammedsiga7202 Na WWE si ulete Ile Una kataza

    • @mohammedsiga7202
      @mohammedsiga7202 10 หลายเดือนก่อน +2

      @@hassanhussein2422 😂😂 sasa ndugu yangu anaye pinga ni nani .. mimi nasoma maulidi wewe ndio wanikataza ..nipe dalili 😂😂

  • @swalehsaidmahu2052
    @swalehsaidmahu2052 4 หลายเดือนก่อน +2

    Umejibiwa lkn huelewei dj said

  • @HusseinSingano-kq5yy
    @HusseinSingano-kq5yy 7 หลายเดือนก่อน +3

    Shekhe bachu wallah nahiyo elimu yako huwezi kumfasiri barzanje

    • @idrisaabdallah1680
      @idrisaabdallah1680 3 หลายเดือนก่อน

      Mmmh,.... Kumbe kazi hipo ila mwenyezimungu atuongoze...

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez ปีที่แล้ว +3

    Ww Mohammed bachu kama hujui siuseme ili waambiwe😊😊😊 sio aibu bwana😂😂😂.

    • @JinaHadad
      @JinaHadad 10 หลายเดือนก่อน

      muhammad bachu ww bado mchache kwenye elimu unagomba nisha waisilamutu ww utakuwa kama baba yakoo ww

  • @aljahuur
    @aljahuur ปีที่แล้ว +3

    Ustadh saidi umemkamata pabaya uyu saduku

    • @hassanisihaka910
      @hassanisihaka910 5 หลายเดือนก่อน

      SAIDI HAPOTOSHI
      Yupo sahihi huyu mwehu kukurupuka na hilo swali aloulizwa hawaezi kutoka

  • @OmariHamed
    @OmariHamed 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe huyu mtt bachu anasema balazanji ni uongo kutoka kwa kichwa chake sio wanawa vyuoni? Duu mtoto kaingia cha kike. Sema sijuiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂

  • @omarmohamed7434
    @omarmohamed7434 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bachu kaekewa mtego kanaswa kashindwa kujinasua😅😅😅😅😅😅

    • @binbadru8408
      @binbadru8408 2 หลายเดือนก่อน

      Mtego gani?

  • @sanganyamsanu8009
    @sanganyamsanu8009 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahahah, Bachu na elimu yake ya kukariri leo kapatikana

  • @sharifakhalfan2475
    @sharifakhalfan2475 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ploint 19 haikujibiwa hata moja matokeo kuunda swali tuongozen msitupotoshe

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 5 หลายเดือนก่อน

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea
      SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mpe nafasi sheikh saidi akujibu " km hujui sema hujui''

  • @JafarySeifu
    @JafarySeifu 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo bachu analuka Luka tu jibu swali unaloulizwa

  • @abubakarmustwafa-lg8fe
    @abubakarmustwafa-lg8fe ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂Bachu kalemewa sana!!!Hakuna swali?!!!!Unamfundisha mtu kuuliza maswali?!😂😂😂Pole Mzee,umekwaa kisiki

    • @hillowbrothers1611
      @hillowbrothers1611 10 หลายเดือนก่อน

      Hiyo saidi dj wenu aache kupoteza umma Hana swali ya msingi

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 5 หลายเดือนก่อน

      @@hillowbrothers1611 MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea
      SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث

    • @salmadamkanapate7547
      @salmadamkanapate7547 2 หลายเดือนก่อน

      Umwamby banchu Allah anauona na anasikia ​@@hillowbrothers1611

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mauldi hakuna hitma hakuna arubaini vitu hivi ni uzushi

  • @MohammedMohammed-y8c
    @MohammedMohammed-y8c หลายเดือนก่อน

    Tunataka utekelezaji wa mambo yatakayotufaa Akhera na sio mabishano yasiyoleta tija kwa yoyote ktk jamii

  • @RashidMuhunzi-pr5xj
    @RashidMuhunzi-pr5xj หลายเดือนก่อน

    Haapa AKIRUDI ni ELIMU TUUU!! DAAH!!

  • @OstaziRamadhan
    @OstaziRamadhan 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa Alina msingi nauyo jamaa atoki apo sababu amichukua jambo kilabuni ana oja sawa na mlevi wa kwetu lwangwa

  • @Ramadhanijuma-g3y
    @Ramadhanijuma-g3y 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Mohammed hawo jamaa wanakupotezea mda wanakuw km chekechea

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 หลายเดือนก่อน

    Mr bachu njia 2 tu: toa jawabu kama huna sema sina…..

  • @hk_ballers
    @hk_ballers 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu hana mpinzani. Brother Said hana majibu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 5 หลายเดือนก่อน

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea
      SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 หลายเดือนก่อน

    Sio hakuna swali: sema sijui

  • @ThabitMwangu
    @ThabitMwangu หลายเดือนก่อน

    Bachu mdomo unampoza adabu zake ndogo

  • @HassanSaidiothman
    @HassanSaidiothman 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu unajitoa ufahamu. Wewe umeulizwa swali jibu kama Una hoja. Mbona unarejesha swali kwa muulizaji?. Kama hujui si useme sijui?.

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo mmeenda kwenye mjadala kwaajili ya kushindana ndio maana hamkutoboa mmeenda kuonyeshana to kujua kuongea bac

  • @AdamAlzubedi
    @AdamAlzubedi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tangulini Sheikh na DJ wakaelewana?

  • @OstaziRamadhan
    @OstaziRamadhan 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli tunashuudia akuna swali na niwaongo yeye saidi na mwalimu wake awako sawa mu nkicha

  • @OstaziRamadhan
    @OstaziRamadhan 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani nilichelewa kuusikiliza uhu mjadala kwani uyo jamaa kweli ni mzima au ana tatizo amengangana ata akielekezwa akuna icho kitu atufudishe basi wanyama walisema kweli kwa ushsidi

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 หลายเดือนก่อน

    Bachu hajui kuongea ispokua yupo sawa maulid hakuna hayajakatazwa leo sheh alokua kenya abdalla saleh farsy alidarasisha mwaka 1973 maulidi hayamo ndani ya uwislamu ni uzushi hayajakatazwa leo

  • @maulidharuna183
    @maulidharuna183 2 หลายเดือนก่อน +1

    mohammad .mbona unakunywa maji sana hahaha

  • @OstaziRamadhan
    @OstaziRamadhan 4 หลายเดือนก่อน

    Ukosawa uyo bachu najifunza kutoka kwako

    • @OstaziRamadhan
      @OstaziRamadhan 4 หลายเดือนก่อน

      Bachu ni msomi tujifunza kutoka kwako kaka akuna swali apo

  • @ThabitMwangu
    @ThabitMwangu หลายเดือนก่อน

    Bachu akili zako mbovu

  • @عمرأحمد-ص9ل4ش
    @عمرأحمد-ص9ل4ش 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi munaofurahia na kudai Sheikh Muhammad amepatikana, mbona hamujlizi kwanini bachu yuwafungua vitabu na Sheikh wenu Said hatujamuona kufanya kadhalika.

  • @AbdallahKawambwa-qx8tl
    @AbdallahKawambwa-qx8tl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh said wewe ni kichwa kafundishe hako kana kaharamu

  • @AllyNyube-y6d
    @AllyNyube-y6d 19 วันที่ผ่านมา

    Lait ungelkua unafanya mdahalo wa kuwapa elim wenze2 wakristo bc ungefany la maan tafuta levo zko kama wadogo zako ndo ulowazd kielim

  • @SwalehAlly-b7o
    @SwalehAlly-b7o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu Leo umeingia kwenye mdomo wa mamba ,laiti ungejua bachu Bora usingeenda

  • @عمرأحمد-ص9ل4ش
    @عمرأحمد-ص9ل4ش 2 หลายเดือนก่อน

    Kama kitu kipo kama ustadh Said anavyojidai si akitoe kwenye vitabu??

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 2 หลายเดือนก่อน

    Uchache wa ilmu ni fitna😮Bachu mtihani 😮

  • @abduljecha7779
    @abduljecha7779 ปีที่แล้ว

    Utoto uko kweli

  • @uwesumtolela9971
    @uwesumtolela9971 5 หลายเดือนก่อน

    Mmenimalizia bando langu Bure Kwanin mmoja asikubali kujibu Ili tuzisikie hizo hoja

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 5 หลายเดือนก่อน

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea
      SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث

  • @OstaziRamadhan
    @OstaziRamadhan 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe uliesema mohammadi amenasa amenasa kipi apo yukosawa kwa wenye akili mohammadi uko vizuli

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 2 หลายเดือนก่อน

      Yuko vizuri kusema hadithi munkari ni hadithi ya uongo Hadith maudhui atatwambia vipi hassani lighairi atatwambia inapatikana vipi ukweli bachu kafeli kwenye hukumu za Hadith ndio maana unamuona anarapa ili angalau apate kuendelea kuweza kusema

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu ปีที่แล้ว

    Wasomi vijana wanapanuana ubongo

  • @AliHemed-tk8fw
    @AliHemed-tk8fw 11 หลายเดือนก่อน

    She said anakuzinguwatu huyo naakaoge alale

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน

      Kila siku ulikua unasema barzanj ni muongo lkn Leo unasema si muongo wakt mwengin ulikua unasema ''jiongo''

  • @AbdallahKawambwa-qx8tl
    @AbdallahKawambwa-qx8tl 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman huyo kijana ni mwehu anapanda NA waisiilam wenzie huyo ni mmarekan kibaraka

  • @husseinvarvani9823
    @husseinvarvani9823 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dj said is just trying to prove himself right but he is lacking knowledge in tauheed

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 5 หลายเดือนก่อน

      What a stupidest comment i have ever read

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 5 หลายเดือนก่อน

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea
      SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث

  • @AllyJohn-u5c
    @AllyJohn-u5c 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh said wapotosha huma

  • @AllyJohn-u5c
    @AllyJohn-u5c 11 หลายเดือนก่อน

    Shekh Said waupotosha huma

  • @OstaziRamadhan
    @OstaziRamadhan 4 หลายเดือนก่อน

    Bona kuna wajinga wengi apo wanatia fujo wamejua bachu awakuwezi wanatia fujo

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 3 หลายเดือนก่อน

    Bachu hapa ulipigwa sana

  • @SadaSalim-t6v
    @SadaSalim-t6v ปีที่แล้ว +1

    Nani aliyekwambia maulidi ni haramu ww

    • @swaibusalum
      @swaibusalum  ปีที่แล้ว

      Akasome tena

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 6 หลายเดือนก่อน

      Time uhalali wake ili tujuwe kama si haramu

    • @mrishosudi1896
      @mrishosudi1896 3 หลายเดือนก่อน

      ​​@@AliSalim-yu4mona wewe towa Uharam WA Maulid

  • @OstaziRamadhan
    @OstaziRamadhan 4 หลายเดือนก่อน

    We saidi unamzalilisha mwalimu wako

  • @KisuwaMwabaka
    @KisuwaMwabaka 3 หลายเดือนก่อน

    Said umedhalilisha wenzako

  • @OstaziRamadhan
    @OstaziRamadhan 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenye akili anajua akuna swali apo uyo na mwalimu wake awajielewi