Ktk siku ulofanya lamaana leo we muandishi 🎉,maana umeniwekea mashekhe wangu vipenzi nawapenda sana kwa ajil ya Allah ❤🎉🎉nikiwaona nahisi km nimeona swahaba wa mtume Mohamad (s,a,w).Allah tujalie pepo yako babul Rayyan nikutane na mama yangu na Kishki,amin🤲
Wallah hyo kilp mm pia nimeiona ata nilishangaa kwanz niliwaza usiku mzm lkn badar nikasema lbda walikuwa wanaongea now nimeelewa mpk nilimwambia mume wang akasema hajui ❤❤❤❤ wsllah nawapenda kwaajili ya allah wallah❤❤
Subhanallah 😢😢😢 Watu hawaogopi Mungu hadi wanafanya fitina Kama hiyo?😢😢, Masheikh zangu nawapenda Allah awape umri tawil na kuwazidishia ilimu ya kheir
Nawapenda saaaana LILLAHI Ma sheikh zangu❤❤❤❤❤❤❤ Namuomba Allah awahifadhi ya Rabb awalipe Mema Duniani mpaka Akheira InshaAllah ya Rabb ya Allahu ya RRahman 🤲😍😍😍
Assalamu alekum lahaula kwa hiyo muziki mulio iweka kwa ni sinema ama maneno ya Allah subhanna masheikh tafadhalini mu zungumze mas,aalla hii sina raha kusikia hii mawaidha
Hiki ni damage control, kwa sababu huyu sh. Bafana ni mtu mkarimu na mwenye kupenda dini yake., lakini kishki ni mwenye kibri, alichokifanya tushatazama, ndio maana anapenda kamera hata katika kutoa sadaka kwa maskini.. na kutukana mashekhe wengine eti wachawa 🚮🚮🚮🚮. Kwanza ajifunze tabia kutoka sh. Bafana
@Al.habeebAl.habaaib una ushahidi huwoo salafi wamegawika? Wanaojigawa wanajitoa wenyewe kwenye dini sahihi ya mtume na kushika njia za batwil, hawoo so salafi Tena watakuwa watu wa bidaa na mahizbi, salafi ni njia ukikengeuka huwezi kuwa salafi na hii njia itabaki mpk kiama saa, ilikuepo na itakuwepo watatoka watu na kupinda lakini hii man haji sahihi ya salafi itabaki kuwa njia ya hakki
@Al.habeebAl.habaaib sisi masalafi hatuna shaka na uhizby wa kishki ni mtu wa bidaa pia kama ninyi tuuh, huwezi ukawa salafi afu vitendo vyako na maneno yako yanapiga vita usalafi, kishki na anashirikiana nao ni mahizbi pia, kishirikina na mtu wa bidaa nawe pia unaingia katika wao, dini ya mtu waangalie na jamaa zake wa karibu watu anashirikiana nao, anaofata nao ndo utajuwa huyu so mkweli
SubhanAllah 😢 Allah awalinde masheikh wangu ❤muzidi kupendana kwa ajili ya Allah ❤❤❤
Allahumma Barik
SUBHANA ALLAH
ALLAH atustri na fitna ni baya sumu kali sana ALLAH azidi kuwa zidishia mapenzi mashekh wetu muzidi kupendana daima THUMMA AMIN 🤲🏼
Ktk siku ulofanya lamaana leo we muandishi 🎉,maana umeniwekea mashekhe wangu vipenzi nawapenda sana kwa ajil ya Allah ❤🎉🎉nikiwaona nahisi km nimeona swahaba wa mtume Mohamad (s,a,w).Allah tujalie pepo yako babul Rayyan nikutane na mama yangu na Kishki,amin🤲
InshaAllah
Vipenzi vyangu wote Allah awahifadhi
Allahumma Aamiin
Duuuh? kama umewaona maswahaba mche mola wako ewe ndugu hiyo ni daraja nyingine hiyo usifananishe maswahaba na watu wakawaida tubia kwa ALLAH
woote hao hizbyyy...
Allah mbarikie mashekh zetu tunawapenda kwa ajili ya mungu
Allahumma Barik
Nawapenda sana mashehe zangu.MWENYEZI awakutanishe peponi Amin
ALLAH awazidishie kheri🙏 tunawapenda wote
Thumma Amiin
Wallah hyo kilp mm pia nimeiona ata nilishangaa kwanz niliwaza usiku mzm lkn badar nikasema lbda walikuwa wanaongea now nimeelewa mpk nilimwambia mume wang akasema hajui ❤❤❤❤ wsllah nawapenda kwaajili ya allah wallah❤❤
Ila umepata ukweli
@ushellahtelevision naaaam alihamdelillah nimefurah snaa
Subhenanllah Allahu akibar siku zote sehemu yenye kheri haikosi fitna Allah awalipe Kila kheri
Kweli kabisa
Subhanallah 😢😢😢
Watu hawaogopi Mungu hadi wanafanya fitina Kama hiyo?😢😢, Masheikh zangu nawapenda Allah awape umri tawil na kuwazidishia ilimu ya kheir
Nawapenda saaaana LILLAHI Ma sheikh zangu❤❤❤❤❤❤❤
Namuomba Allah awahifadhi ya Rabb awalipe Mema Duniani mpaka Akheira InshaAllah ya Rabb ya Allahu ya RRahman 🤲😍😍😍
Thumma Amiin
MashaAllah nawapenda masheikh wangu kwa ajili ya Allah
mashaa Allah ma sheikh wetu Allah awjaaliye iwe ktk mizaan al hasanaat zenyu
Alhamdulilahi nimetangulia kuona hii clip kabula sijaiona ya ufitinaji inaozungumziwa.
Pole Allah atuongoze na atusamehe ka kupapia mamb
Amiin Thumma Amiin
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏 nawapenda Kwajili ya ALLAH Mashelkh wetu ALLAH awape Pepo ya filidas na maisha marefu kwa uwezo wa ALLAH lnshaallah ❤❤❤
SubhnaAllaah 😢😢 binaadamu tuna fitna mbaya
Allaah azidi kutuongoza kwa Neema zake
Kweli kabisa walimwengu wamepotoka
Mashallah ninafurahi saana kuwaona mashk zangyeakiwa pamoja nilipenda saana mawidha shk nurfin aki toa hutba ya Riya.
❤❤❤ InshaAllah Allah atawalipa heri kwa elim mnayo tufunza MashaAllah
Assalamu alekum lahaula kwa hiyo muziki mulio iweka kwa ni sinema ama maneno ya Allah subhanna masheikh tafadhalini mu zungumze mas,aalla hii sina raha kusikia hii mawaidha
Subhaanallah, watu hata wasomi hawawapi heshma!! Ajabu walimwengu hawa
Kabisa
SubhanaAllah
Ndo hali ya walimwengu wa sasa SubhanAllah
Allah awahifadhi
MashaAllah Allahumma Barik
Allah awaidha mashe zetu tuna wapenda kwajili ya Allah
MashaAllah
Nafurah sana nikiwaona pamoja nawapenda kwaajili yaallah
allah alipe kheri masheik wangu na nawapenda ❤❤❤ pia masheikh wangu kwa ajili ya allah na mtume m.s.w nanyinyi mpendane kwa ijili ya allah ❤❤❤❤❤
Ni Allah Herufi kubwa brother ukumbusho tu
Allah amekusafisha baada yakuchafuliwa nawapenda mno kwa ajili Allah Allah awazidishie hekma nabusara
Allah atuongoze na atujaalie mwisho mwema
Allahumma Thumma Amiin
Mungu azidi kumjalia uhai mashekh zetu
Thumma Amiin
Aamin
Subhana Allah
InshaAllah pamoja mpakaa peponi
InshaAllah
Katika kila jambo la kher matatizo lazima yawepo..Muhim subra
Kweli
Mashaallah❤❤
Masheikh zetu Allah awahifadh🎉
Alhamdulillah swala hili limezungumziwa. Maana vichwa panzi walikuwa wanatapika sana mtandaoni
Kweli kabisa ila jawabu unalo sasa
@ushellahtelevision Naam sayyid japo sikuliafik
Yaallah 😢
فمن عفا وأصلح فأجره على الله إنه لا يحب الظالمين ....
Bismillah mashaallah❤
😢😢😢 inatia huzuni Waislamu tuache mambo haya yakuzua uzushi ni namba baya
Kweli kabisa
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Sub-haanaallah
Ndo hali ya sasa ivi
Wallahi nimeogopa Nashukur sijaiyona iyo cripu Allah tuhifidhi
Nawa penda Sana kwaajiri ya Allah
No one talks about the back ground music 😢😢😢
🎉🎉🎉❤❤❤
Cheikh said Mimi nakupenda sana
Assalam halaikum warahmatullah wabarakatu
Waleikum.sallam
Innalilahi wainna ileihi raji3uun music 🎵🎵🎵🎵🎵🎵 whyyyyyyyy
❤❤🎉🎉
Nafurahi kuona ma sheikh zangu wameka pamoja jameni mi nawapenda saana kwajili ya Allah
No music pleaseeeeeeeeeeeeeeeee
❤❤❤❤
Duu ,,mtihani watu kiboko. Poleni mashehe kwa hayo yaliyo tokea. Wasameeni viumbe wazito wanapenda ushadadi kushadadia vitu wasivyo vijua
Subuhanallah
😭😭😭
Ukweli wa mambo ilivyokuwa
😢 lahaula music whyyyyyyyy
Masikitiko makubwa sana kumkosa katika Kongamano hili Al alama mufti mwanachuoni Dr Muhammad Bachu hafidhahu Allah 🤨
❤
🎉🎉🎉🎉
Aya mchuma janga hula na ndugu zake mimi nilisema mbona shekhe wetu mtu safi hanaga ayo mambo ya kudharau mtu
Allah karuhusu ifanyike hivyo ili tupate somo hapo,la msingi,aliyetoa clip aombe msamaha na atubie.
Kweli
🕋🕋🕋🇵🇸🇵🇸🇵🇸🙏🙏🙏
It's not a movie
Nikajua hawa masheikh ni mapacha
Hiki ni damage control, kwa sababu huyu sh. Bafana ni mtu mkarimu na mwenye kupenda dini yake., lakini kishki ni mwenye kibri, alichokifanya tushatazama, ndio maana anapenda kamera hata katika kutoa sadaka kwa maskini.. na kutukana mashekhe wengine eti wachawa 🚮🚮🚮🚮. Kwanza ajifunze tabia kutoka sh. Bafana
SubhanaAllah.wewe ni muislamu kweli?
Mahizbi
Mahizbi ndio nini?
Nyinyi matalafi ndio mahizbi.
Na ndio maana hivi sasa mmegawanyika makundi 222
@Al.habeebAl.habaaib una ushahidi huwoo salafi wamegawika? Wanaojigawa wanajitoa wenyewe kwenye dini sahihi ya mtume na kushika njia za batwil, hawoo so salafi Tena watakuwa watu wa bidaa na mahizbi, salafi ni njia ukikengeuka huwezi kuwa salafi na hii njia itabaki mpk kiama saa, ilikuepo na itakuwepo watatoka watu na kupinda lakini hii man haji sahihi ya salafi itabaki kuwa njia ya hakki
@Al.habeebAl.habaaib sisi masalafi hatuna shaka na uhizby wa kishki ni mtu wa bidaa pia kama ninyi tuuh, huwezi ukawa salafi afu vitendo vyako na maneno yako yanapiga vita usalafi, kishki na anashirikiana nao ni mahizbi pia, kishirikina na mtu wa bidaa nawe pia unaingia katika wao, dini ya mtu waangalie na jamaa zake wa karibu watu anashirikiana nao, anaofata nao ndo utajuwa huyu so mkweli
@AbdulIssa-o7e Hilo nalo linahitaji ushahidi? Taja ulipo ili nikutajie Ahzaab zenu katika eneo hilo
@Al.habeebAl.habaaib mahizbi bwana hamna usalafi hapo kwani siku zote hujui kama kishki ni mtu wa bidaa hizby?
𝙒𝙖𝙡𝙡𝙖𝙝𝙞 𝙣𝙖𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖𝙤𝙣𝙖 𝙢𝙠𝙞𝙪𝙣𝙜𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙠𝙞𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙬𝙖𝙖𝙟𝙞𝙡𝙞 𝙮𝙖 𝘼𝙡𝙡𝙖𝙝.𝘼𝙡𝙡𝙖𝙝 𝙖𝙬𝙖𝙝𝙞𝙛𝙖𝙙𝙝𝙞 𝙢𝙖𝙨𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝 𝙯𝙚𝙩𝙪