BAHARIA BALOZI:NILIAGA KIAINA MTAANI/ NINGETOSWA BAHARINI/SOKA LIKANIOKOA/KOMBE LA DUNIA!/BASTOLA.08

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ค. 2023
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #baharia #safari #mbanga

ความคิดเห็น • 48

  • @dar24media
    @dar24media  ปีที่แล้ว +4

    kipindi hiki kinaruka kila siku ya jumamosi na juma tano saa nne kamili asubuhi..kama una mkasa/tukio lolote wasiliana nasi kwa namba...#0653127761

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 ปีที่แล้ว +6

    Mnyamwezi anajua sana kusimulia, hadi inashawishi kuzamia...

  • @hilalaman2155
    @hilalaman2155 ปีที่แล้ว +13

    Mkubwa kaish….😂iyo story ya mwamba ndio story bora ya mwaka kwa mabaharia

  • @africatanzaniatours5980
    @africatanzaniatours5980 ปีที่แล้ว +7

    Jamaa anasimulia vizuri Sana , napenda Sana

  • @crizeyaden6158
    @crizeyaden6158 ปีที่แล้ว +5

    Kama tin white 😂😂😂😂

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 ปีที่แล้ว +4

    Stori tamu Sana halafu jamaa anajua kujieleza

  • @fadhilplatnumz8474
    @fadhilplatnumz8474 ปีที่แล้ว +1

    Duh- stering ✔️ kavuruga sana ULAYA huko safi sana 👍 tukopamoja hadimwisho wastori - Veema pia- Dar24 kwastori zenye Mafundisho👍

  • @DianaSalim-jo2xs
    @DianaSalim-jo2xs หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥

  • @johnrambo9642
    @johnrambo9642 ปีที่แล้ว +1

    Miaka 1000 mzg ni hatari ❤

  • @abdullaalwikabil3371
    @abdullaalwikabil3371 ปีที่แล้ว +4

    Ukikataliwa kesi yako mara ya pili ulikuwa ukimbie tu udiende tena mahakamani au imagination ulikuwa ukimbilie ireland au Scotland ukajiripue kiburundi kiriwanda au kisomali update kuoshi ndivyo watu wanavyofanya kosa lapili ulikuwa ujichanganye nawatu wa nyumbani au waafrika wanaojua mitikasi ya uk wangekupa information ya kwenda nchi nyengine na bilevile wangekutafutia kazi zawiziwizi

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy ปีที่แล้ว +1

    brother yupo sahihi kabisa,pia umenikumbusha mbaali hizo zilikua zinaitwa Jairo check

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk ปีที่แล้ว +1

    Twende kazi, ndani ya mbanga

  • @romaemily
    @romaemily ปีที่แล้ว +2

    Noma

  • @yazidusaidi8843
    @yazidusaidi8843 ปีที่แล้ว +8

    Nimekuwa nikiinjoi sana mazungumzo haya, stori za huyu jamaa zinanikumbusha mbali sana kama mzawa wa Tanga, jamaa na marafiki wengi walijaribu kuzamia, wachache walifanikiwa wengi haikuwa riziki, kwa kila namna stori hizi zinatufundisha mengi.

    • @qasammamachinya4448
      @qasammamachinya4448 11 หลายเดือนก่อน

      Poa sana ,enzi za kuzamia, asee, vijana kuwaen wazarendo

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 10 หลายเดือนก่อน +1

    Balia mwana sana

  • @user-bo9vv9wl6e
    @user-bo9vv9wl6e ปีที่แล้ว +1

    Ulikua unatutembelea ma Bolton Manchester

  • @HappyChannelUk
    @HappyChannelUk ปีที่แล้ว +1

    Nice bro

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 ปีที่แล้ว +1

    Bro yupo makini sana

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 ปีที่แล้ว +2

    Tupo Newcastle sasa ...nakubali

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 ปีที่แล้ว +1

    Daah wanangu tukakwee tumbwi.. Mbele kuchele wazee

  • @benedictmhina4819
    @benedictmhina4819 ปีที่แล้ว +1

    Nimeskia tusi kweli hiyo baharia😁😁😁😁

  • @quwwangaemanuel7360
    @quwwangaemanuel7360 ปีที่แล้ว +1

    Next pls

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 ปีที่แล้ว +1

    Respect

  • @user-vg3tw2mh7v
    @user-vg3tw2mh7v ปีที่แล้ว +2

    Tulikiwa tunaisubri

  • @bakariabdallah8702
    @bakariabdallah8702 ปีที่แล้ว +3

    mchele n'gombe kuku ubavu😂😂

  • @gily5931
    @gily5931 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwana case yako ya Immigration uliimalizaje?

  • @rayasuleiman5114
    @rayasuleiman5114 ปีที่แล้ว +2

    Breki ya kwanza kwenye kokoriko😂😂😂😂

    • @mizzourepresentin8694
      @mizzourepresentin8694 ปีที่แล้ว +1

      Nilicheka mnoo niliposikia hii ....breki ya kwanza mwewe sio😂😂😂😂😂

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk ปีที่แล้ว +2

    Breki ya Kwanza kokoriko 😂😂

  • @zainulahmed8206
    @zainulahmed8206 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anajuwa kuongea sana kama kurudi juzi iyo story anavyoicharaza

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk ปีที่แล้ว +1

    Waingereza ni wazungu WA roho aisee

  • @ephraimmwano6378
    @ephraimmwano6378 ปีที่แล้ว +1

    mbona haiendlei

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +2

    anamisi vitumbua vya moto 😄

    • @Chemba67
      @Chemba67 ปีที่แล้ว

      hahahahahahaha

  • @user-bo9vv9wl6e
    @user-bo9vv9wl6e ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha wewe si mshkaji wake dido? Alikua anakuja sana huko Newcastle pamoja na chukiii

  • @mtupeacetz2589
    @mtupeacetz2589 ปีที่แล้ว +1

    Mi dupa mdupange.

  • @hamisihassankengejr4375
    @hamisihassankengejr4375 ปีที่แล้ว +1

    Story ya dogo Azizi ni yangu kabisa hii Norway 2013 full kulia daeile

    • @salimgharib9888
      @salimgharib9888 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂 wascani hao wagumu kutoa Uraia

    • @hamisihassankengejr4375
      @hamisihassankengejr4375 ปีที่แล้ว

      @@salimgharib9888 Nilisota nao mpaka nikarudi bongo mwamba but now nipo nao kama kawa

  • @user-bd4kh2gw6h
    @user-bd4kh2gw6h ปีที่แล้ว

    0:29 0:30 0:30
    Pool

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb ปีที่แล้ว +1

    Ni mchechemuzi

  • @johnrambo9642
    @johnrambo9642 ปีที่แล้ว +1

    Oya hivyo vitu bure kula nini tee bite bite hz eeh😂😂 au vinapatikana kwa mtonyo wako kama mtonyo wako kwann viwe na mda maalum na kama free kwann free tuu sabab maalum au nikwanch za wenzet umoja flan

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 ปีที่แล้ว +1

    Episode zote niko,mkebe ndio nini mkuu