🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 91

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 ปีที่แล้ว +2

    Bashiru ana vitu vingi vingi vimejificha sema dada ana moto haendi nae kihekima.

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 2 ปีที่แล้ว +9

    Huyu jamaaa anatakiwa ahojiwe na media kama millardayo ana vitu sana , huyu maza anafeli kumuuliza maswali

    • @barakatabdul3212
      @barakatabdul3212 ปีที่แล้ว

      Kabisa bro

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe mpuuzi na masikini wa akili hivi ni nani aliyekuambia na kukudanganya kuwa muhuni ni lazima avute bange au madawa , Je kwaanza unafahamu maana ya uhuni ni nini ? Wewe ushamba ndio unaokusumbua na kukutawala akili mwako pamoja na maisha ya mtindo wa kokoloni haujui kama wapo viongozi wahuni huko mabungeni ? na haujui kama wapo Marais wahuni ulimwenguni na ata katika nchi yako waliopititia katika huo uhuni ? , au mwenzetu umekulia vijijini ? loooooh na ndio unashanga neno uhuni , ebu nenda kwa wazee wa kariakoo magomeni na sinza wakakuambie history ya rais wako mstafu jakaya kikwete ambaye aliyekuwa muhuni na wengine wengi, Mshamba umekariri vibaya sana eti muhuni mpka uvute bange wewe mshamba kweli kweli, mimi nilikulia katika wauhuni na ata leo hiyo bange sijui jinsi inavyosokotwa , ata madawa sifahamu jinsi yalivyo na yanavutwaje .kwasababu wewe zoba na punguani hasidi hamfahamu kama kuna watu wanavuta bange na lakini wala si wahuni na wala hawana hayo matendo ya kihuni na wengine wapo huko mabungeni pamoja na hao wahuni wenyewe

  • @markmwaghogho9226
    @markmwaghogho9226 6 หลายเดือนก่อน

    Dada hujui kuhoji kabisaaaaa

  • @hamisaabdalah6232
    @hamisaabdalah6232 8 หลายเดือนก่อน

    Napendaga saaaaana hz stor sarut kwako Bashir

  • @kelvinevarist8801
    @kelvinevarist8801 2 ปีที่แล้ว +3

    Hujui kuhoji sister samahani lakini.

  • @hashmseif2184
    @hashmseif2184 2 ปีที่แล้ว +4

    Hujui kumuhoji mtu kabisa

  • @dsuzerbweko4148
    @dsuzerbweko4148 ปีที่แล้ว

    Dah noma aisee hiyo yakutiwa kwenye kiroba alafu mzima alafu unatupwa kwenye maji...umekwishaa...

  • @deepconcept2020
    @deepconcept2020 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unahoji vizuri, keep it up, comments zisikushushe moyo

  • @africano98.
    @africano98. 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji waki anaharib story damn shubakengemti

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 10 หลายเดือนก่อน

    NDANDA LUBEBELA BASHIRI KUTOKA MABIBO BEACH ❤

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 2 ปีที่แล้ว +4

    Ungemuacha aelezee mwenyewe siyo kumuhoji

  • @nabrycedawood6860
    @nabrycedawood6860 2 ปีที่แล้ว

    Unamuingilia sana ssa unamfundisha maisha yake hauna lolote

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 2 ปีที่แล้ว +3

    Simulizi kama hiz huwa napenda sana kuskiliza zina mafunzo

  • @sulleyally5040
    @sulleyally5040 2 ปีที่แล้ว +1

    Ayo tv na dar24 dupa mdupange mtafuteni Huyu jamaa ana madini sanaaa

  • @amirclassic8326
    @amirclassic8326 2 ปีที่แล้ว

    Safi Sana lakini baharia asikiki vizuri asogelee mic

  • @kanyika14kanyika16
    @kanyika14kanyika16 2 ปีที่แล้ว +5

    Vijana tunapitia changamoto nyingi. Mimi Nina mkasa mzito kuhusu safari yangu ya Mbagala Kiburugwa 🤣🤣

    • @ilungasalle
      @ilungasalle 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @janethmnubi8117
      @janethmnubi8117 2 ปีที่แล้ว +2

      Mbagala kiburugwa tupe story

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 2 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣

    • @kanyika14kanyika16
      @kanyika14kanyika16 2 ปีที่แล้ว

      Nilizamia meli kutoka posta Hadi mtwara nikajua nipo Durban 🤣🤣

    • @tonyytelala3096
      @tonyytelala3096 2 ปีที่แล้ว +1

      Mbona tunaishi vizuri tu south Africa 🇿🇦🇿🇦

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu angeachwa ajielezee mwenyewe...mtangazaji maswali hayakuwa na umuhimu

  • @lucyfred2649
    @lucyfred2649 2 ปีที่แล้ว +1

    Anaemuhoji anazingua

  • @boblatino3899
    @boblatino3899 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa anamadini sana ila mtangazaji anakosea kumuoji ajafanya utafiti kabisa

  • @chudomzungu7482
    @chudomzungu7482 2 ปีที่แล้ว +2

    Bab kubwa twahitaji part3

  • @MohamedAli-ho5fq
    @MohamedAli-ho5fq ปีที่แล้ว

    Mimi ninayo stori yangu nilizamia meli.mwaka 1987 December katika bandari ya Kenya mombasa.inaitwa port kilindini .maisha ya Mombasa yalikuwa magumu Sana . nchini kanya nilifungwa mara mbili mara ya Kwanza nilifungwa miezi 6 kwa kosa lakuishi nchini Kenya bila kibala.baada ya kutoka jela sikurudi nyumbani nakaendelea kukaa Kenya ni kashikwa tena na nikafungwa miezi mitatu katika jela baridi inaitwa majengo Preson.baada ya kumaliza kifungo changu sikurudi nyumbani.nikaona apa nitakufa kwa maisha Aya nikaamua nipande meli yoyote intakayoi jua kama inaondoka
    Nilipata habari kwamba kuna meli ya wachina inaondoka kesho yake .nikaenda pale get no 9 usiku kama saa Saba nikapanda ngazi

  • @athumanimtajih
    @athumanimtajih 2 ปีที่แล้ว

    Part 1 jaman,mbona sijaiona

  • @tonyytelala3096
    @tonyytelala3096 2 ปีที่แล้ว

    Mbona tunaishi vizuri south Africa 🇿🇦🇿🇦

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @kalangwapaschal7718
    @kalangwapaschal7718 2 ปีที่แล้ว

    Kijana huyo,ana kitu hidden behind

  • @hashmseif2184
    @hashmseif2184 2 ปีที่แล้ว +1

    Story nzuli anaye muhoj hayupo

  • @muhitiraamissy7198
    @muhitiraamissy7198 2 ปีที่แล้ว +1

    waburundii badoo tupoo kwa mzee dizoongaa uyoo ni jeshii kashapitiya life ngumuu

  • @evancemayala1576
    @evancemayala1576 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi hujui kumfanyia mtu interview

  • @africano98.
    @africano98. 2 ปีที่แล้ว

    Bashir yuko real G

  • @hashmseif2184
    @hashmseif2184 2 ปีที่แล้ว +3

    Unamuhoji mtu unaenda mbele una ludi nyuma hatukuelew

  • @hashmseif2184
    @hashmseif2184 2 ปีที่แล้ว

    Dada hujui kutangaza

  • @sulaimanhemed4045
    @sulaimanhemed4045 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mdada anazingua kweli yaani unajua hasomeki..!

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 2 ปีที่แล้ว

    Stori za uongo

  • @mwananchipicha3212
    @mwananchipicha3212 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa anastory mzuri ila anayemuhoji alitakiwa afahamu mazingira ya Mabaharia na wazamiaji ndo ingekuwa bomba

  • @dsuzerbweko4148
    @dsuzerbweko4148 ปีที่แล้ว

    Ila mwamba nimemkubali muuni flani hv...

  • @zainabshabani2669
    @zainabshabani2669 2 ปีที่แล้ว +1

    Bashir ndava Lubebera Skupingii kaka Msafiri KAFILI

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 2 ปีที่แล้ว

      Hapana huyo kijana anamatatizo hakuna mzazi asie penda mtoto huyu kijana sio mtu mzuri anashida Sana kwanza bange anaonekana anavuta

  • @nurdinkisaria9476
    @nurdinkisaria9476 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii kazi ya kuhoji mabaharia mwachie yule jamaa wa Ughaibuni wewe dada hujui kuhoji unaboa

  • @hawaaabdallah6586
    @hawaaabdallah6586 2 ปีที่แล้ว

    Maswali unayoyauliza yakijinga sana hata huendani na kazi yenyewe

  • @albethoildefonce9117
    @albethoildefonce9117 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji anaonesha kuwa na huruma sana,ndio maana hata anapoteza confidence hivi

  • @shaulitangaugulumo1597
    @shaulitangaugulumo1597 ปีที่แล้ว

    Basi bb yako labda pesa zake za masharti na alikuwa anataka ufe lkn mizimu inakulinda

  • @Chemba67
    @Chemba67 2 ปีที่แล้ว

    Global Tv .....kuna mshkaji kama mtapata muda mtafuteni ana simulizi nyingi mno za kibaharia ...........waweza nicheki

  • @azizaaziza9113
    @azizaaziza9113 2 ปีที่แล้ว

    Siyo bahari sema mzamiaji

  • @hamisaabdalah6232
    @hamisaabdalah6232 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi huwa wanalipwa kidogo baada ya kuhojiwa

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 2 ปีที่แล้ว

    Dada unafanana na brenda fasi

  • @hassanibanzi9322
    @hassanibanzi9322 2 ปีที่แล้ว

    Dada hajui kuhoji kabisa mpaka anaboa

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji kazingua maswali yake yanenda mbele na kurudi nyuma ila huyu kaka ana mambo mengi yakuelezea jamii tukajifunza ingefaa km milard akamuhoji tupate kujifunza

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk ปีที่แล้ว

    Huyu dada atakuwa beki Tatu, siyo mwandishi

  • @julianusjameskimodoi4186
    @julianusjameskimodoi4186 2 ปีที่แล้ว

    Taja kampuni ya Meli ndugu zake wafungue kesi ubaficha ninii sasa

  • @beckooh
    @beckooh 11 หลายเดือนก่อน

    Mdada mtangazaji mpuuzi kwel😂

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

    Wahuni tunauchungu sana na familia zetu sema rahia hawatujui tu, mimi before nilikua naonekana mvuta bange tu lakini leo Mungu kanijalia nipo kiwanjani na nawapiga tag ndugu zangu

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      Sasa kama we ni muhuni SI unatakiwa ubadilike we unaona kula bangi ni ujanja ndio mnavyodanganyana jinga kabisa wewe

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe mpuuzi na masikini wa akili hivi ni nani aliyekumbia muhuni ni lazima avute bange au madawa ? , Je kwaanza unafahamu maana ya uhuni ni nini ? Wewe ushamba ndio unaokusumbua na maisha ya mtindo wa kokoloni haujui kama wapo viongozi wahuni huko mabungeni ? na haujui kama wapo Marais wahuni ulimwenguni na ata katika nchi yako waliopititia katika huo uhuni , au mwenzetu umekulia vijijini na ndio unashanga neno uhuni , ebe nenda kwa wazee wa kariakoo magomeni na sinza wakakuambie history ya rais wako mstafu jakaya kikwete ambaye aliyekuwa muhuni na engine wengi, Mshamba umekariri vibaya sana eti muhuni mpka uvute bange wewe mshamba kweli kweli, mimi nilikulia katika wauhuni na ata leo hiyo bange sijui jinsi inavyosokotwa , ata madawa yanavutwaje .kwasababu wewe zoba hamfahamu kama kuna watu wanavuta bange na si wahuni na wala hawana hao matendo ya kihuni na wengine wapo huko mabungeni pamoja na hao wahuni,

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 9 หลายเดือนก่อน

      ​@husseingabo5497 Wewe mpuuzi na masikini wa akili hivi ni nani aliyekubia muhuni ni lazima avute bange au madawa , Je kwaanza unafahamu maana ya uhuni ni nini ? Wewe ushamba ndio unaokusumbua na maisha ya mtindo wa kokoloni haujui kama wapo viongozi wahuni huko mabungeni ? na haujui kama wapo Marais wahuni ulimwenguni na ata katika nchi yako waliopititia katika huo uhuni , au mwenzetu umekulia vijijini na ndio unashanga neno uhuni , ebe nenda kwa wazee wa kariakoo magomeni na sinza wakakuambie history ya rais wako mstafu jakaya kikwete ambaye aliyekuwa muhuni na wengine wengi, Mshamba umekariri vibaya sana eti muhuni mpka uvute bange wewe mshamba kweli kweli, mimi nilikulia katika wauhuni na ata leo hiyo bange sijui jinsi inavyosokotwa , ata madawa yanavutwaje .kwasababu wewe zoba hamfahamu kama kuna watu wanavuta bange na si wahuni na wala hawana hao matendo ya kihuni na wengine wapo huko mabungeni pamoja na hao wahuni,

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 9 หลายเดือนก่อน

      ​@husseingabo5497 Wewe mpuuzi na masikini wa akili hivi ni nani aliyekuambia na kukudanganya kuwa muhuni ni lazima avute bange au madawa , Je kwaanza unafahamu maana ya uhuni ni nini ? Wewe ushamba ndio unaokusumbua na kukutawala akili mwako pamoja na maisha ya mtindo wa kokoloni haujui kama wapo viongozi wahuni huko mabungeni ? na haujui kama wapo Marais wahuni ulimwenguni na ata katika nchi yako waliopititia katika huo uhuni ? , au mwenzetu umekulia vijijini ? loooooh na ndio unashanga neno uhuni , ebu nenda kwa wazee wa kariakoo magomeni na sinza wakakuambie history ya rais wako mstafu jakaya kikwete ambaye aliyekuwa muhuni na wengine wengi, Mshamba umekariri vibaya sana eti muhuni mpka uvute bange wewe mshamba kweli kweli, mimi nilikulia katika wauhuni na ata leo hiyo bange sijui jinsi inavyosokotwa , ata madawa sifahamu jinsi yalivyo na yanavutwaje .kwasababu wewe zoba na punguani hasidi hamfahamu kama kuna watu wanavuta bange na lakini wala si wahuni na wala hawana hayo matendo ya kihuni na wengine wapo huko mabungeni pamoja na hao wahuni wenyewe

  • @alimjahidsuo6524
    @alimjahidsuo6524 2 ปีที่แล้ว +2

    Mkuu siyo pekee mpanda mitenga ujue kunao waboti boti wanaskikiza msg zako lkn jaribu ujielewe kwa za na kama ulikua unatafuta Kiki fresh.. Kwa maneno yako unavyoengea unaonekana umeyapata kwa stowaway original lkn sio wewe.. =na kwa wanaoishi South Africa Kuna wastaarabu na washenzi pengine wewe uliangukia ushenzini samahani kwa kutumia lugha kali kidogo

  • @venancjoseph1498
    @venancjoseph1498 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kaka inshope nimefika Mimi naishi huku msumbiji

  • @faithreed861
    @faithreed861 2 ปีที่แล้ว

    Jee huyo baba yake bado yu hai ??

  • @robertoantonio5682
    @robertoantonio5682 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mtazaji chenga

  • @magrethmanintveld5477
    @magrethmanintveld5477 2 ปีที่แล้ว

    Baalia, baharia

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Maanayake ni nini sasa

  • @esherjumaa4982
    @esherjumaa4982 2 ปีที่แล้ว

    Ndava ckupingi kaka unaongeaga vitu quality kabisa

  • @sulleyally5040
    @sulleyally5040 2 ปีที่แล้ว +1

    Dupa mdupange wa dar 24 tv unamuachaje huyu jamaa ?

  • @djnangaxtwo2975
    @djnangaxtwo2975 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji chenga😁😁😂😂

    • @leahlucas479
      @leahlucas479 2 ปีที่แล้ว

      Yaani badala aulize ilikuwajekuwaje mkatekwa, ulikuwa ukaweza kutoroka , ulipata mikasa gani huko njiani ulikuwa pekeyako ? Je ulifikampaka nchigani? Au ulifanikiwa kufika South Afrika moja kwa moja.
      Yaani jmn huyu mama

    • @sadamissa5687
      @sadamissa5687 2 ปีที่แล้ว

      @@leahlucas479 interview moja mbovu sana , i never seen before

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 2 ปีที่แล้ว

    vipindi kama hivi muache mtu ajielezee mwenyewe

  • @adamngulube8296
    @adamngulube8296 2 ปีที่แล้ว

    Bashir katoa taarifa za uongo huyo dah!

  • @bonita329
    @bonita329 2 ปีที่แล้ว

    mtoto wa kiume ni wa mama sio baba.
    na mtoto kike ni wa baba

  • @alimjahidsuo6524
    @alimjahidsuo6524 2 ปีที่แล้ว

    Mshkaji unajitahid ktk maongezi lkn unakosoro. Ya wazazi alafu kama mbeach bichi acha kuwaponda wazazi iwe bimkubwa au mdigi.. Ukumbuke msela uko kwenye social media huyo ni ushamba... Umeongea fresh mdigi kakupa ujasiri lkn sio kumuongelea utumbo.. Oyaa za wapi hizo

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa alikuwa kwenye kundi la chakama ni kama kundi au chama pizani kama ccm na cuf

  • @emmanuelbukuku1
    @emmanuelbukuku1 2 ปีที่แล้ว +1

    we reporter embu mind your interviewing ethics unataka aseme nn sasa zaidi ya hayo a expose kila kitu kuhusu familia yake....kasha ongea kuhusu ubaharia....mambo ya familia ataongea akipenda na kwa limit yake....Eish

  • @hawaaabdallah6586
    @hawaaabdallah6586 2 ปีที่แล้ว

    Yaani watangazaji saivi bora msisomee huo utangazaji hamjui kuuliza maswali kabisaaa mnaboa mnauliza maswali nje ya mada mwangalien millard ayo anavyohoji maswali mkoje nyie

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

    Dupa mdupange

    • @justineibrahim9567
      @justineibrahim9567 2 ปีที่แล้ว

      Dada hajafanya utafit kujua historia ya mabaharia na jinsi ya kuwahoji maswaliii jamaaa anaokana na story nyingi sana

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 2 ปีที่แล้ว

    Unaoji Kama unadeka...unaoji Kama unaongea..sauti sio ya kuoji maswali ya kijinga