BAHARIA ALIYEJITOSA PAKISTAN!/ AFICHUA MASHAMBA YA UNGA/NIMECHEZEA MAISHA/ MILION 200/ WATU WANAUAWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2024
  • MAISHA NI SAFARI ISIYO NA MWISHO, UNAWEZA UKALALA MASIKINI NA UKAAMKA UKIWA TAJIRI. KAMA HUIJUI KESHO YAKO UNAPASWA KUMUOMBA SANA MUNGU ANAYEFAHAMU NINI UTAKACHOKIPATA KWA NAMNA ALIVYOKUPANGIA.
    DAR24 MEDIA TUMEPIGA STORI NA BAHARIA CHAD AMBAYE AMETUMIA MKASA WAKE KAMA FUNDISHO KWA VIJANA WANAOTAMANI KUPITIA NJIA FUPI ILI KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU.
    INAFURAHISHA KWA UPANDE MMOJA LAKINI KWA UPANDE MWINGINE INAHUZUNISHA SANA KWA SABABU HUENDA LEO ANGEKUWA ANA KAMPUNI KUBWA AMBAYO INGEWEZA KUWAAJIRI VIJANA WENGI, LAKINI HUENDA NJIA HARAMU ALIZOTUMIA NI KAMA MUNGU AMEMUADHIBU NA KUAMUA KUMRUDISHA KATIKA HATUA YA SAHIHI ILI APATE RIZKI YAKE KIHALALI.
    KARIBU UFUATILIE KISA HIKI CHA KUSISIMUA.
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #mbanga #dupamdupange #dar24

ความคิดเห็น • 29

  • @dar24media
    @dar24media  4 หลายเดือนก่อน +4

    Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761.
    kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante

  • @xongejayasini5656
    @xongejayasini5656 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri sana mzee baba ila jaribu kuweka Playlist kwenye Chanel yenu yan iwe rahisi mtu akiingia tu anaziona story zote

  • @user-cw7xw9cu6m
    @user-cw7xw9cu6m 3 หลายเดือนก่อน

    dar24 mpo vzur san nawakubali sana

  • @user-ib3yx7qk5r
    @user-ib3yx7qk5r 4 หลายเดือนก่อน +3

    Unakosea Sana kuwatia hao stoloway mabaharia,
    Hao ni stowaway na ni watu hatari Sana Kwa Mabaharia hao.
    Hao kukutana nao kwenye Meli mnaweka sehemu na mnawafungia Kwa usalama wenu na usalama Wa meli.
    Hao SIO MABAHARIA HAO NI STOW AWAY watu hatari Sana kwetu sie mabaharia wenye document tunaofanya kazi kwenye meli

  • @ZubeidaRashid-tq1yd
    @ZubeidaRashid-tq1yd 4 หลายเดือนก่อน +1

    Oya kazi nzuri mnafanya ila huo mziki unazingua

  • @InnocentRichard-qs8ux
    @InnocentRichard-qs8ux 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mapambano forever

  • @bminawandu
    @bminawandu 4 หลายเดือนก่อน +2

    Muendelezo lini mnaweka dakika cha he sana

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hio gari nimeicheck kwa google ni kali ata saa hii ukiwa nayo bado watamba

  • @adamsichinga7173
    @adamsichinga7173 4 หลายเดือนก่อน

    Sound track iko juu

  • @ellynkyalu6423
    @ellynkyalu6423 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mchongo mchongoma na kazi iendelee

  • @habibseif8989
    @habibseif8989 4 หลายเดือนก่อน +1

    hyu jamaa anaonekana atakua na story nzuri sna

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 4 หลายเดือนก่อน

    Pamoja

  • @ismailRamadhan-nh6cs
    @ismailRamadhan-nh6cs 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi

    • @JOHNJOHN-pu7wb
      @JOHNJOHN-pu7wb 4 หลายเดือนก่อน

      Unataka waeke yote afu maokoto youtube yawapite ?😅

  • @vkmalove1307
    @vkmalove1307 4 หลายเดือนก่อน +1

    Saut haisikiki

  • @PetiteMartson
    @PetiteMartson 4 หลายเดือนก่อน +1

    Muendelezo lini mzee❤❤

    • @emanueljohn9601
      @emanueljohn9601 4 หลายเดือนก่อน

      Muendelezo ni Jumatano na Jumamos kaka

    • @PetiteMartson
      @PetiteMartson 4 หลายเดือนก่อน

      @@emanueljohn9601 thank you bro

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 หลายเดือนก่อน

    👊👍✌.

  • @josephomba3340
    @josephomba3340 4 หลายเดือนก่อน +1

    Datsun 1200

  • @NassorTwahiru-kf8fo
    @NassorTwahiru-kf8fo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tanga finest 💪

  • @boblatino3899
    @boblatino3899 4 หลายเดือนก่อน +1

    Balaa kabisa uyu mwamba

  • @mustakimibrahimsemindu6807
    @mustakimibrahimsemindu6807 3 หลายเดือนก่อน

    Sound travk ina bore

  • @yohanakashinje1548
    @yohanakashinje1548 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nayo siyo yakukosa

  • @francistadayo1569
    @francistadayo1569 4 หลายเดือนก่อน

    Hii yamoto sana

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dupaaa

  • @autoroyaledubai
    @autoroyaledubai 3 หลายเดือนก่อน

    mtangazi kwan ww ndo unatoa story maana ww na mhojiwa wote 50/50

  • @Entertainmen_tv2024
    @Entertainmen_tv2024 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nda mfup aana

  • @putotamu7044
    @putotamu7044 4 หลายเดือนก่อน

    Msenge huyo siri ya jando Haitolewi