AHMED ALLY MAGOLI SIMBA 6-2 TERSANA FREDY KIPIGO CHA KWANZA PRE SEASON NI UONGO PUUZENI HIZO TAARIFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • #usajilimpyayanga #simba #manara #cafcl #ligikuu #yangatv #simbasc #yanga #yangaleo #mayele

ความคิดเห็น • 22

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna mechi waliyocheza Bwana bado mapema sana.

  • @youngvijo
    @youngvijo หลายเดือนก่อน +3

    Mbon mmethibitisha wamecheza wakat mmesema hawajacheza mwanzoni!!?

    • @tanfootballchanneltv
      @tanfootballchanneltv  หลายเดือนก่อน +1

      @@youngvijo hawajacheza na timu nyingne Bali walicheza WACHEZAJI WA SIMBA Kwa WACHEZAJI WA SIMBA wenyewe Kwa wenyewe Mwl aliwagawa TIMU mbili wakacheza Mechi mazoezi na hii n kawaida Kila TIMU inafanya hvo siku ya mwisho ya mazoez Kwa week Taarifa ya wamecheza na TERSANA n uongo imetungwa kutoka hapo walipocheza wenyewe Kwa y

  • @alfoncekasanyi6584
    @alfoncekasanyi6584 หลายเดือนก่อน

    Ifike wakati Uongozi wa Simba uchukue hatua kuzipeleka mahakamani media hizo kwani zinaichafua Sana timu ya Simba

  • @AnjelaPhilipo
    @AnjelaPhilipo หลายเดือนก่อน

    Hawa wanaotangaza uongo wachukuliwe hatua wasichafua Simba yetu

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 หลายเดือนก่อน

    Hamna haja ya kujibu tetesi za kipuuzi, japo idara ya habari ya Simba inabidi wawe wepesi wa kudaka tetesi hiz na kuzikanusha.

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk หลายเดือนก่อน

    Matumiz mabaya ya hizi media na shida zimekuwa nyingi zinaandika ujinga tu kuna vilabu vingi kila siku simba tu kuashwa tu

  • @alfoncekasanyi6584
    @alfoncekasanyi6584 หลายเดือนก่อน

    Midea nyingi Ni za hovyo kabisa zinatoa taarifa za uongo wanatua taarifa za uongo ili kuganga njaa bila kujua madhara ya taarifa za uongo

  • @shabanijuma468
    @shabanijuma468 หลายเดือนก่อน

    Ukuda huu, na mnaposti Ili iweje

  • @msemakweli...
    @msemakweli... หลายเดือนก่อน

    Hasira za nini sasa? si mechi za maandalizi tu au kufungwa ni kuchafuliwa na uzuri mechi za mpira hazichezewi chumbani kwamba ukweli hauwezi kujulikana

  • @stanleybuberwa232
    @stanleybuberwa232 หลายเดือนก่อน

    Hata kuongopa hamjui Fred ni mzambia toka lini

    • @tanfootballchanneltv
      @tanfootballchanneltv  หลายเดือนก่อน

      Ndg yangu ni madhara ya story za kutunga wasamehe 🤣🤣

  • @sidesaid4604
    @sidesaid4604 หลายเดือนก่อน

    ACHENI USENGE,,,PUNGUZENI SAUTI YA MZIKI TUSKIE VIZURI....HALAFU ACHENI UWONGO WA TAARIFA ZA KIJINGA,,,,

  • @OmaryRamadhan-vk9rq
    @OmaryRamadhan-vk9rq หลายเดือนก่อน

    Sasa ally kamwe kipi.kinamuuma?

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 หลายเดือนก่อน

    Alikamwe ndio anatuma hizo taarifa yy anajisahau anadhani YANGA atadumu kama hizo clip zake u tube zitakuja mfelisha interview baadae ajifunze kupitia Manara akiwa bado na umri mdogo kabla hajayatimba uzeeni

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน

    TUNAOMBA HAO WANAOTANGAZA HUO UONGO WACHUKULIWE HATUA WANAIDHARIRISHA TIMU NAKUWAKATISHA TAMAA WACHEZAJI. WALIPIE KWA UONGO WAO. ILI KUVIKOMESHA VIDOMODOMO VYAO.

  • @AbdullrazackHussein
    @AbdullrazackHussein หลายเดือนก่อน

    Yule ally kamwe niumbeatu una muwasha yake yanamshinda

  • @user-yr4pv2vj7m
    @user-yr4pv2vj7m หลายเดือนก่อน

    Mimi Niko uku misri kweri kafungiwa Gori cta juzi

    • @stanleybuberwa232
      @stanleybuberwa232 หลายเดือนก่อน

      @@user-yr4pv2vj7m Misri wanaishi wasiojua kuandika

  • @EpafraditoWilisoni
    @EpafraditoWilisoni หลายเดือนก่อน

    Falaa wewe

  • @user-gb2pl3ln9m
    @user-gb2pl3ln9m หลายเดือนก่อน

    Upuuzi mtupu

  • @harunkaluona7779
    @harunkaluona7779 หลายเดือนก่อน

    Wajinga