Magoli yote tisa (9) ya Pape Sakho kwenye NBC Premier League 2022/23
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2023
- P.O.S…..!!! Burudika na magoli yote tisa (9) aliyofunga Pape Ousman Sakho kwenye ligi kuu msimu uliomalizika 2022/23 yakiwemo manne ya mikwaju mizito nje ya boksi.
Je, umeona ‘style’ ngapi za kushangilia? Najua ipo ‘style’ yake moja uliyoimiss zaidi… niitaje?
#SakhoGoals #PapeOusmanSakho #PapeSakho #MagoliYaSakho #SimbaSC #NBCPremierLeague - กีฬา
Hana baya❤piga keleleee kwa p sako
Sako baller
Namkubali sana sakho sijui kwnn kaondoka
Bad na hajapewa goli Bora daah
Daaaaah walimkosea sanaaaaaaa
Simba fans we wil mis you Sakho asante kwa mazuri ulofanya Simba maana hakuna baya umefanya kapambane,kapambane na uwe na maisha mema Ufaransa,thanks to be a Simba player
Tatizo makocha wa Simba hawajui jinsi ya kumtumia Sakho! Sakho ni Supper Sub! Anatakiwa kuingia dakika 45 za kipindi cha pili! Atakupa matokeo mazuri sana! Magoli yote amefunga alipotokea Sub kipindi cha pili!
nina mawazo kama yako
Kweli kabisa
Kamtumie wewe
@@randomclips5474zumu
Wachambuz wasiojua mpira huwa wanamkosea Sana sakho, hivi kweli tanzania kunawinga kama sakho.
Hakuna brother yeye ndo winga pekee mwenye magoal mengi
Kwanini tumuuze mtu kama huyu
Mm enyw najiuliza
Tunammiss sana Sakho😢
Yan winga ya Onana ni tofauti na winga ya Sakho
Nguvu, Kasi, Mashuti.. this man was on 🔥
We miss you sakho
Huyu dogo anafunga magori makali ni hatari Simba msimuuze
Bwana mdogo kabisa Magori makali mnoooooo
❤❤❤❤❤
Namkubali sana sakhoo
Simba wamrudishe sakho wetu
Nilichogundua Leo huyu jamaa nimtu 1 hatari sana
Sakho fundi tusimuuze mazee apewe tuu nafasi afu Bado mdogo umri unaruhusu
Supper Subb!!
Uyu mtoto mrudisheni bn
Juma
Anajua
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kwahio onana ndio alikua mbadala wa sakho??????!!!!
"ngungu boy umepigaje hapo"
Ndo shida ya timu zetu wauza wachezaj wazuri wachukua akina onana
Pape sakho
Siku zote tik tak ndio goli bola af chaajab kapewa yule zuchu
🎉🎉🎉🎉 sakho ni hatari sana
Kuna wakati najikuta natukana bila hata kufikiri, hv hawa viongoz waliwaza nn kumuuza sakho na kumleta sawadogo, ona wakamtoa baleke na phili wakareplace na jobe na frade watu ambao hata tabora united hawawez kuwasajiri, Daaaah, ila hawa viongoz wana mbigu yao! Let's go sakhoooo
Jeeeshi rimepotea😂😂❤❤
Tatizo sakho hachezi KITIMU WENZIE WANAMPASIA YEYE MDA WOTE HATOI PASI KWENYE 18 NI HILO TU MENGINE YUPO POA SANA
Sakho ni mchezaj mzur sana sema Simba sijui hua wanafel wap
Haswaaa ni hatari sn
I miss u sakho
Good performance 🦵👍👍💪💪
Me mwenyewe nishammisi tu sijui Simba walifeli wapi😢😅
Dg fund
Yan dogo nilvo nikimkubali had mtaan naitwa sakhoo
Simba haipendi furaha nduguvinapenda majozi,mtu kama huyu unamuuza kwakipengele gani ndugu?ukiangalia sakoh alikua ni mtu mwenye uwezo mkubwa simba alikua anaiweza so wanaleta wachezaji vipofu now dah inaumiza saaaaaaana
Tatizo tamaaa ya fedha hawafokasi mbele kinachokuja kugharimu badae
Watulete Sako wetu
Mrudishen sakho haraka sana
Oya uyu m² wew achatu kwann tuka mtoa
sakho huna baya
❤🎉
Ombi langu jmn viongozi msimuuze P.O.S WETU
Tusimuuze kabisa
Yani hadi nimemici sakho
Wamludishe sakho wetu jamani
Saidoo anabaki Sakho anaondoka 😂😂 viongoz wa simba mkapimwe akili
Magoli ya matangazo kabisa
Hassan Ahmed amefanya nichekw ety hiih aloo weeeh 😂😂😂🤣🤣
Hyu jmaa magoli yke yte mazuli nais ndo anaongoza kufunga magoli mazuli
Unamuacha sakho unachukia saidoo
Ila daah Sakho tunakumic na tutaendelea kukumic magol yake yalikua ya ajabu na yakuvutia
Leo hii simba ilipofikia tunacheza naka tim, kadogo, kana, tuvimbia, simba inavimbiwa na mtu, kweli, ata, yanga, awatuwezi
Aliye cheza simba kwa uchunguuuu na kwa jashoooo huku ikiiheshimu logo ya Simba ni Sako tumebaki na mabitozi
Arudishwe dogo
Wanazinguaa
Uyu dogo arudi tu jaman😢 tusha mkumbuka yani
Atakuwa mchezaji mkubwa sana duniani
Huyu kijana jamani tulimpoteza kimakosa
Sakho sijui aliwakosea Nini viongozi wa Simba
Wasenge 2 wale wamemwacha mchezaj mzr
@@alexaidan6437 pumbavu kabisa
Arudi tu huyu kijana maana tumebaki na mabishoo
Kina fredy wanafanya tour uwanjan yaan
Dah. Kama tumelogwa yani, wakat wenzet wanawang'ang'ania wachezaji wao wazuri sisi tunawauza dah inabidi viongozi muwe na akili ndo kila siku timu mpya ebu angalieni alahaly wapo mpaka wazee ila wana umuhimu kweny hicho kikosi sasa mtabakia mnaangalia mafanikio wakipata wengine nyie kila siku mnaishia palepale hampigi hatua afu mnatuletea wachezaji wasioeleweka
Mwakani tunae
Nakapenda haka karudi tu
Simba walikosea hapa huyu dogo ni balaa
Ndo wasafi walikuwa wanasema hajaisaidia simba
HUYU SAKHO ANANIUMA VIBAYA MNO , KWANINI SIMBA WALIMWACHA AONDOKE ASEE
Hahahaha Tabulelee Rahaa
Mrudixheni sako
Du tuna acha wachezaj wazur tuna chukuwa makalash t
Tff ubaguzi wao jamn hili goli la ihefu lilipaswa liende Moja kwamoja kuwa goli la mwaka msimu mzima
Me mwenyewe nishammisi tu sijui Simba walifeli wapi
Labda 0:43
Inaniuma
Nijana nitakukumbuka
Wamludixhe bhan
Ftfft wauni tu
Cm iwe namafaili .adog
Huyu dogo alikuw mashine
Daimoñdi
mwamba wetu ninge penda aludi tuuuuuh
Sasa uyu walimuuza wanini wanalet mAboya2
Tutamkumbuk san sak
Mchezaji kama huyo mnamuza kizembe tu,mnaleta wazee
Kwani sakhoo saiv yuko wap
Ufaransa
Yan sis simba tunaviongoz wajinga Sana dah hadi nimechanganyikiwa tumeleta onana
dog hatari sana arudishwe msimbazi
Mrudishe huyu
Nmekubal hy mwamba
Namkubali sana sakhoo
P O M Sako alicheza kazikazi nasiyo hawa wapaka bulchi
Namkubali sana sakhoo