SIMBA DAY 2024 | Ahmed Ally katika utambulisho wa wachezaji wote wa Simba kueleka 2024/25

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Hivi ndivyo wachezaji wote wa Simba waliosajiliwa kwa ajili ya msimu wa 2024/25 walivyotambulishwa ndani ya tamasha la Simba Day 2024 lililofanyika Agosti 03, 2024 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Aliyeifanya kazi hii ni Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally.... Cheki mambo yalivyokuwa...
    Je, ni utambulisho wa nani ulikukosha zaidi????

ความคิดเห็น • 24

  • @gideonnimrod1645
    @gideonnimrod1645 หลายเดือนก่อน +17

    Wangapi wanasema huu msimu ni wakwetu gonga like

  • @annatemba857
    @annatemba857 9 วันที่ผ่านมา

    I love simba

  • @RAJABUSULAIMA
    @RAJABUSULAIMA 11 วันที่ผ่านมา

    Poa poa❤

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 หลายเดือนก่อน +6

    Soup ya vibudu

  • @MerryBrown-jo7tf
    @MerryBrown-jo7tf หลายเดือนก่อน

    Jamaniii hii simba itaniuaa mimi naipenda sana all the best wanaume wanguvuuuuu❤❤❤❤

  • @Daie9Da9322
    @Daie9Da9322 13 วันที่ผ่านมา

    Wow Mashineee Hizi Hapaa ❤❤❤❤ Allah Awatanguliye Awape Subrah Mtimize Lengo Lenoo Ubaya Ubwelaaa😊

  • @gideonnimrod1645
    @gideonnimrod1645 หลายเดือนก่อน +3

    Msimu wa kufurahi wanasimba 🎉

  • @HamidaMzee-m3i
    @HamidaMzee-m3i หลายเดือนก่อน +1

    Zimbwe jr ana mapenzi ya kweli na simba hujitoa asilimia 100

  • @user-bu3rw6rx8w
    @user-bu3rw6rx8w หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ nguvu moja 🦁🦁🦁

  • @user-ne6bp7lo3q
    @user-ne6bp7lo3q หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @ZilaboAmbonisye
    @ZilaboAmbonisye หลายเดือนก่อน

    🦁Nguvu moja❤❤

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 หลายเดือนก่อน

    Hatimae Azam wametuletea utambulisho wetu

  • @Mmohamed244
    @Mmohamed244 หลายเดือนก่อน +2

    Semaji auna baya

  • @ChristinaKisarika-ju8rt
    @ChristinaKisarika-ju8rt 27 วันที่ผ่านมา +1

    Azam
    Azam
    Azam
    Hiyo sound vipi wajameni
    Tunawapenda ila mnazingua

  • @FatumaBakari-nx1wg
    @FatumaBakari-nx1wg 29 วันที่ผ่านมา

    Chek vyuma

  • @DamianSoul-nh5hu
    @DamianSoul-nh5hu 28 วันที่ผ่านมา

    @Ahmed
    Kwa simba hii mbona tumelamba dume kwer kwer yaan hapa tunawaza kuanzia troph of conferences tunaleta tanzania msimu huu ❤❤

  • @allycantara3873
    @allycantara3873 11 วันที่ผ่านมา

    Ni anahataari huyo mavaaaaaaambo😂

  • @user-sy4wf5ll4o
    @user-sy4wf5ll4o หลายเดือนก่อน

    Kwa wenzetu jukwaa lawachezaji limejaa maemsii

    • @SenzoChambuu
      @SenzoChambuu หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @johnsonmichael945
    @johnsonmichael945 หลายเดือนก่อน +1

    Utakoma mndomo umekuponza supu yakibudu ndio inayokunyonga kila siku sio sili sup yakibudu inakunyoosha moak ukome utengue kauli yak supu yakibudu itakutaabisha mpaka ukome kuwazoea hap lazma ujue kidume nani na jembe wew na sup yakibudu na bado

  • @user-gw5lb9ju5m
    @user-gw5lb9ju5m หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @civianipyana4915
    @civianipyana4915 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤