Congratulations baba karobo kazi zenyu nzuri kila participant anacheza part yake vizuri na kazi yenu imenipa mafunzo snaa katika maisha yngu uvumilivu hasa baba karobo mateso unayopitia unavumilia sana na kumpa moyo karobo kuwa yataisha zingatia masomo Ewe Mwenyezi MUNGU bariki baba karobo mlinde usiku mchana pamoja na waigizaji wake nawapenda nyote na MUNGU awepe nguvu za kutoa movie zenyu ili kutufunza,kutuburudisha na n.k❤❤❤❤❤❤from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimewahi kutoka kenya 🇰🇪team strong 💪 team baba karobo 😍😍kma umefurahi maamuzi ya baba wa mama karobo kumpiga huyo wa viguu kma udi gonga likes tukisonga 😂😂🤣🤣🤣🤣
Kwa hili mama karobo haina haja ya kumlaumu kibanio ndio hana lolote hata machozi aliyokua analia ni ishara ya unafiki shida za kaka ake anazijua kwa nini amuache pale
Iyi mouvie ya baba yang kipofu kuanzia Léo ndaacha kuitizama maana mbere kama nyuma nyuma km mbere kuanzia mouvie inaanza mbaka Apa turipo fika hatuoni mabadiriko yeyote
They should say something to baba karobo hao n like wananomba as hao ndo actors /hao ndo wanacheza hio movie mwambie kitu baba karobo na watu wake si kuomba like tu
Toka Kenya 🇰🇪🇰🇪 nakukubali Sana Baba karobo
Yani wa Kenya hamlali comments zote wakenya tu😂😂
Jamaniii karobo mhindi halafu mtanzania nmeipenda hiii karobo binti yetu
from kenya🇰🇪🇰🇪 napenda filamu yako sana ❤️❤️❤️ salam kwa karobo na zujati❤️❤️
Congratulations baba karobo kazi zenyu nzuri kila participant anacheza part yake vizuri na kazi yenu imenipa mafunzo snaa katika maisha yngu uvumilivu hasa baba karobo mateso unayopitia unavumilia sana na kumpa moyo karobo kuwa yataisha zingatia masomo Ewe Mwenyezi MUNGU bariki baba karobo mlinde usiku mchana pamoja na waigizaji wake nawapenda nyote na MUNGU awepe nguvu za kutoa movie zenyu ili kutufunza,kutuburudisha na n.k❤❤❤❤❤❤from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
kutoka burundi na fuatilia sana baba karobo mungu amsaidie apone upofu wake .nakarobo mwanaye mungu awe naye katika hali ngumu anayo pitia
Matumizi mabaya ya neno la Mungu hayoo
😅
@@kenedymkwawa6978😂😂
😮😮😮
@@kenedymkwawa6978😊😊😊
Jamani nipeni like zangu kbx .napatikana huku Bujumbura
Wapi team strong like zetu hapa from oman
From Burundi 🇧🇮 nimecerewa wandu zangu Kama nawewe imekufunza Kama Mimi like zangu
Nyote wa kwanza CongoDrc zambia kenya na watanzania
nimengoja sana wa kwanza toka Kenya pita na kalike tu
Hako hapo
Wow 🎉🎉🎉tunawapeda sana tulikuwa tunawasubiria sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Jamani nafatilia sana hii movie nipeni like wenzangu kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimewai jamani nimempenda babake mama kalobo anamlea mtoto Kwa nidhami ila mama kalobo fasheni kaiba moyo wake awezi badilika
Mama. Karobo sema ulitamani. Machungwa Ayo 😂😂😂😂nimefurai Sana leo
Long awaited from Kenya.. nice Jacob
Nabapenda sana group yenu, tena Asante Sana kutufundisha
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi like me my ❤❤❤❤❤😂❤❤
❤❤❤🇰🇪🇰🇪
❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉
@@elizabethcatherine-jm8fr 😘😘😘☺️
@@elizabethcatherine-jm8fr 😋😋😜😜
Wateja walikua wamepanga foreni kuisubili kwangu studio maana ilipoishia 29 sio poa ile bakora kwa baba mkwe wa baba karobo😂😂😂
Mashaallah alijaaliwa
baba karobo uwe mkali sana kwa mama karobowa kambo asikutawale kabisa ni picha nzuri sana bi bosi wa Tanga muheza
Na Mimi nimewahi leo naomba like tano tu
Izo like niza nini 😂
Leo ni wa mwisho kutoka 🇲🇿🇲🇿🎉naomba like 2 😢😢😢
😅😅😅😅😅😅pole tuko pamoja
🎉
Nawakubali sana Tena sana jaman mungu aendelee kuwapa nguvu zaid maan mnanifrahisha hatar pia nawapend sana
Mimi naibenda sana this movie ❤❤❤❤❤❤😢😢😢pakarobo or baba John waja kujelewesha movie 31
Huuuuum,dakika 2 tuuuu,,,,37 personnes,,baba kalobo juuuu saaaana
Nice ❤❤nice KAZI zuri sana
Leo staki kudanganya number 80 waiting wapi like ya mkenya
Congratulations keep it up good job 🎉
Namimi niko 👍👍🌻🌻🌻🌻 lik 🎉🎉🎉 tano 🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷
Na mimi Léo wa muba kwanza nipeni like zenu
Leo sikuenjoy ,, jitahiti kutoa zaidi ya hii
Miwakwanza toka zambia kucharo like zangu hapa🎉😂😂😂😂
Mkwe baba kalobo kazi nzuri
Nawapenda nyote ila baba karobo jamani umeteseka sana
Wa kwanza kutoka drc 🇨🇩 nipeni like zangu
Nmecheka et shetan nae aliumba viumbe vyake😂😂😂😂😂
Leo nimeanguka nayo 😂 like ata mbili bas mtz wenu kutoka kenya trukana county
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 kama unapata funzo kw hii filam wap likes 🎉❤
Leo wakwaza na mimi jaman lak kwa karobo❤❤❤🎉🎉🎉
Ila huyu mama karobo feki km kwel kwenye maisha ya uhalisia umeolewa na unaish km unavyo igiza hupaswi kuishi Dunian unatakiwa uishi kuzim
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Bah😂😂😂😂😂ati-b1
Nimewahi kutoka kenya 🇰🇪team strong 💪 team baba karobo 😍😍kma umefurahi maamuzi ya baba wa mama karobo kumpiga huyo wa viguu kma udi gonga likes tukisonga 😂😂🤣🤣🤣🤣
😅
Unaelekea wapi???
Sana
😂😂😂😂😂
@@HabibaHabiba-z6g 🤣🤣🤣
Wakwanza mm leo kutoka tanzania like zangu jaman🎉🎉❤❤❤
❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿✔️
Karobo gener kwakweli!!
Ila Fasion na Loy mmekera sijapenda
Sijavifurahia vingine
Fashion umeonyesha ukatiri na vimewafanana
Wapenzi wa Baba Karobo tufahamiane🇧🇮
Nimefika atleast mapema..KAZI nzuri Baba karobo
♥️👍
❤❤
😅
NKO live in +254 🇰🇪🇰🇪hii movie naipenda kama mpenzi wangu 😅like za watanzania na wakenya wenzangu na wapenda snaaa❤❤❤❤
Mmmmh unapenda hii move kama unavompenda mapenz wako
Kumbe ulimjui vizurii mama karoboee ni bonge la mnafiki hatariii
Jamani leo na Mimi nimewah wanao mkubali baba kalobo weka like please
Sija chelewa bado naombeni like zenu jmn.
So interesting kafurahi sana mama karobo akichapwa Na babake Na nikauzunika sana Kwa kuona Baba karobo Na mwanaye karundishwa Kwa tabu tena
Watching from Saudi Arabia
jamani mimi wa kwanza kabisa hapa😂😂😂😂 leteni sana tukafungulie biashala
Wapil hapa love you lafikiake zujati
Jamani wakwanza tuliokuwa tunasubiri kwa hamu ❤❤
🎉🎉😂Leo nimewayi niko wakwanza nipeni mauwa yang🎉🎉
Mm ndio mtu wa Kwanza nipeni like zangu
Kutoka Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 wapi likes❤❤
❤❤
❤️❤️❤️🇰🇪
❤❤nipitie bro 🇰🇪
❤❤❤❤❤❤
❤❤
iyi movie ni fire ❤❤🎉🎉
Ambao tunamkubali zuliat mshepu mtulinga,,,,,please gonga,,like,tujuane ❤😂😂😂😂😂😂
😂
😂😂😂😂😂
😂😂
😅😅😅😅
Mzee wa mtulinga 😅
Jamani Leo wakwaza nipe like zangu japo 20🎉🎉🎉🎉🎉 nimefurai sana
Mama karobo ana shida kweli yaan naombeni like zangu jmn
Kwa hili mama karobo haina haja ya kumlaumu kibanio ndio hana lolote hata machozi aliyokua analia ni ishara ya unafiki shida za kaka ake anazijua kwa nini amuache pale
Unaenda kupikia ubwabwa
mama karobo utaisoma namba
Leo nimebatika kwa wa kwanza namombeni like zangu jamani from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏
Sijachelewa jamn ata saa alija isha kazi nzuri
Hivi Yale mate ya fashion SI yanatoa wadudu mudahuu😂😂😂😂😂😂😂
Hatr
Viwango byenu viko juu sana yani hakuna kama nyinyi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wa pili toka 🇨🇩🇨🇩 jameni karobo kwenu amuna redio umejuwaje ku imba ki hindi
❤❤🎉kutoka kenya kazi nzuri best of your series🎉🎉❤❤
Wa kwanza DRC, kuitazama
Hende leeni kutowa movies zenu mapema
Ma karobo kills it
Mm wa 551 naombeni like ikiwa kwenye dk ya 3 imewekwa kwa watch 😂😂😂😂😂😂😂😂
😅
@@SalamaTaura watu wako motooo inasekunde tu washaidaka
Jameni karobo naye kapata mchumba wa mchongo duh🤭😆😆
Wa kwanza nipen like ata moja
Wakwanza kabisa jaman nipeni hizo like japo 10
Big up Watu wangu nawependa sana.am great from Mozambique 🇲🇿. Nitapenda kuwona Baba Kalobo aki pola.!
Mimi nampenda karobo jamani ni kazuri haka katoto ❤
Kigali Rwanda we❤u
Mama karobo roho mbaya sana ana roho ya utu 😊😮😮😮
Sielew kabsaa mipango haiendi sawa mpk sasa
Namkubali sana zuu na mshepu wake wapi like ❤❤😊
Pia Mimi 😂
Hiii ni ya moto sana na mimi ndo wakwanzaaa😅😅😅😅😅
Iyi mouvie ya baba yang kipofu kuanzia Léo ndaacha kuitizama maana mbere kama nyuma nyuma km mbere kuanzia mouvie inaanza mbaka Apa turipo fika hatuoni mabadiriko yeyote
Km umechoka unaskip tu utuache tunaoipenda ww kaangalie wengine uko
Kwan umetumwa uangalie 😏😏😏
Ni kwel Kila siku mim nasema labda baba karobo ataona lakin wapi ila ngoja tuone uko mbele
Kupona haponi sijui kwann
@@BabuKashi-k9q 🤣🤣🤣🤣🤣🤣tuwe na subra
Leo nimejaribu 😂naombeni likes zenu kidogo tu
Wa kwanza naomba like zangu
Aaaah hatamimi sijapenda baba karobo kurudi tena mikononi mwa mama karobo
Wa kwanza jaman nipen like zamgu
Leo pia nimewahi
Roy is such a wonderful woman 😊
Léo mi wakwanza nataka like yangu. mozabique pemba
Nipeni like zenu Tafadhalii 20second Leo nimewahii
Kutoka Rwanda jamin nawapenda
Mama karobo chunga sana baba yako ni mukare sana 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Kigali ❤❤❤❤❤munaweza nyote
Nimekuwa wa 50 fifty naombeni like zangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Daaah da Kibanio kamchukue kaka yakooo mmmh karudi kwa lile shetaniii😢
mnaomkubali mama karobo gonga like
Hivi like zinafanyaje maana naona tu watu naomb like like bhx nam naombeni like huenda kuna Jambo plzzz
Mm pia najiuliza sana nakama nipesa Kwa nn wasitafute zakwa mpaka wasubili like???kaz nzur baba Joan tuko na ww Sako kwabako
They should say something to baba karobo hao n like wananomba as hao ndo actors /hao ndo wanacheza hio movie mwambie kitu baba karobo na watu wake si kuomba like tu
Hamna kitu ni ushamba tu, nawashangaa hâta namimi
Kalobo umetisha sana wanaompenda kalobo dondosheni like
Nani kamsikis fasheni kasema mama kalobo anampenda vizuri 😅😅😅😅😅😅gonga like tujuane
Waoo karob na omar mahab niue saf san na mista lahas ikiwa uyo ikiwa simkewak jitaid kufunga nae ndoa mmependez ikisha mmendan
From kenya wapi likes❤❤❤❤ 🔥
wakwanza toka Kenya.wapi likes