ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

ALLY BONGE AFOKA NA SAKATA LA MANULA/ MPANZU VIPI! AMPA BARBARA RUNGU SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

ความคิดเห็น • 13

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 หลายเดือนก่อน +4

    Ndugu yangu unaujua mpira. Nimewaandikia Viongozi mara 3 kuwaomba walete mgeni kwenye namba 2 lakini hawasikii. Misimu yote mitatu udhaifu wa Simba ulikuwa kwa Shomari. Cha kushangaza leo ati bado yupo Simba kwanini? Hawezi kabisa kukaba ni majanga matupu. Huyo kijiri haitoshi kabisa. Jitafakarini muda bado upo.

    • @mussachomolla3827
      @mussachomolla3827 หลายเดือนก่อน

      Unaongea vizur lkn kijil anatosha Mzee usijal sana

    • @MamboMbuli
      @MamboMbuli หลายเดือนก่อน

      NSSF hawana waledi wa maneno yao,,Wana wivu ,,,kusafiri ni kutamu sana

    • @adelinibrahim9283
      @adelinibrahim9283 หลายเดือนก่อน

      Usijali kijiri mashine kapombe anaweza akakalia bench sana akizuba kidogo

  • @baracknyerembe2192
    @baracknyerembe2192 หลายเดือนก่อน +1

    kofi la meno🤣🤣🤣🤣

  • @VictorMgodomi-xj1ey
    @VictorMgodomi-xj1ey หลายเดือนก่อน

    Unauhakika anabaki

  • @mohamedjuma1960
    @mohamedjuma1960 หลายเดือนก่อน

    Kwa onana umenifurahisha

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 หลายเดือนก่อน

    Unajua ndugu yangu simba inarudishwa nyuma kwa uswahili mwingi na mipango ya hovyo kwa timu zingine.. Otherwise simba as a team are on the right track..
    Kuna timu zingine ushindi wao ni mipango mingiii nje ya uwanja...
    Mfano ni huyu ufunguo wa upande wa pili baada ya kuona hawataweza Bei yake wakamtumia Dada yetu kampumbaza kaacha ofa za hela nyingi wao wanajisifia wametoa hela nyingi kuliko wengine...
    Safari hii na sisi tusijisahau mipango nje ya uwanja ili twende nao Sawa

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 หลายเดือนก่อน

    Kamwe si choko yule mtoto, azam media ipo kule ingeanza kutoa updates zte kabla mechi

  • @IssaAbdallah-rt2sh
    @IssaAbdallah-rt2sh หลายเดือนก่อน

    Awesu mbovu sana Tena Wala hafai Tim kama Simba timzake hizo ndogondogo tu hana lolote

  • @engyhy1985
    @engyhy1985 หลายเดือนก่อน

    Nakubaliana na Kaka Bonge, kama Onana akipata mwalimu mzuri na kumpa mambo ya kufanya na mambo ya kutofanya atakua mtu hatari sana

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 หลายเดือนก่อน

    Midunduka ni midunduka tu --- na akili zao ni za kidunduka tu --- mkigongwa mnatafuta visingizio ---- Hao wavulana wenu mtawakataa wenyewe " Mpira wa kumwomba Mungu ! Hamna kitu "

    • @user-xl5sv7lz4g
      @user-xl5sv7lz4g หลายเดือนก่อน

      Kwani we Aujawai gongwa