Asante Sana kwa ushauli wako MUNGU akubaliki Mimi ninashida nahitaji msaada Mambo yamenizidia nahitaji msaada na ushauri tafadhari nipe no tuwa siliane
Kimaadili kijana wa kikristo haruhusiwi kuja Kwako Wala wewe kwenda kwake Wala kukaa mazingira hatarishi kwenu. Mkitaka kukutana yanatakiea mazingira ya uwazi na pale inapobidi wewe au yeye kuja Kwako lazima kuwa na mtu mwingine. Huo ndio uchumba mtakatifu
1.) Kuwa na urahisi wa kuwasiliana na kutimiza ahadi zako. 2.) Furahia na kuonyesha furaha yako hata katika vitu rahisi/vidogo vidogo. 3.) Uwe ni mtu wa kutoa shukurani kwa kusema ahsante pale unapotendewa jambo jema au la maana (gratitude) 4.) Toa kipaumbele kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki pale inapobidi. Kujitolea ni muhimu zaidi (volunteer) 5.) Kuwa mtu wa msamaha na pia uwe mtu wa kuepuka vikwazo.
@chrismauki wewe ni mwalimu bora sana kwenye hii nyanja ya Saikolojia. Hakika unatuelimisha sana.
Hii topic hata kabla sija isikiliza nime like kwanza.
Wewe kama mimi. Mie nina channel zangu ambazo hata kabla sijaanza kusikiliza kilichopostiwa huwa na-like kwanza maana najua kilichomo ni madini tu 😂
😀 same here.
Ubarikiwe sana mwalimu ktk maisha. Yangu umenijenga
.
Namshukuru sana Mungu kwa jinsi nilivyo kiukweli sjapungukiwa ninafuraha muda wote kwa nilivyo napenda kush
Kushukuru hata kama Sina sijapewa sijapata ninacho Niko hivyo Asante Mungu
Asante kwa soma zuri ,,,,,nimependa hapo pa kuepuka makwazo
Kushukuru ii Tabia ni Nzuri sana❤️
Asante sana kwa maneno yako yenye hekima.
Ahsante sanà ubarikiwe..
Safi Sana,,
Asante sana Dr. Chris so far that has shaped my life.
Dr mafundisho yako mazuri sana nikihitaji msaada wako nakupataje
Nimekuelewa Big Boss
Asantee sana Mwalimu i catch the lesson
Ahsante sana Daktari. Unatusaidia
Asante kwa mafuzo yako doctor
Shukran san umenifungua akil
Asante Sana kwa ushauli wako MUNGU akubaliki Mimi ninashida nahitaji msaada Mambo yamenizidia nahitaji msaada na ushauri tafadhari nipe no tuwa siliane
Barikiwa kwa meseji nzuri umenitoa mahali
Asante kwa ushauri
Thanks nmeshukuru kwa Mambo mazuri hayo
Dr Asante kwa ushauri mzuri, Mungu akubariki
Mungu akubariki
Asante Dar mauki
Shukrani kwa ushauri wako
Mhh jmn like zenu kwa wale wanaoluke kabla kusikiliza plz like hapa😂😂😂😂
Ushauli mzuri sana
upo sahihi kbs dr
Tabia nyingine usiwe mtu wa kuomba omba msaada au kulia njaa kila wakati
😆
Hongera kwa mafunzo
kaka uko sawa sawa
Wao
Lesson learned, Thanks 🙏
Thanks 🙏😘 so much for good notification , inasaidia sanaaaaah!🙏🙏🙏
Mniombee.
Tabia hizo. ziwe ndaniyangu
Mwalim bora sana 🙏🙏
Nafaidika kwa kuwa membre wa channel yako Mwalim.
Ubarikiwe sana..👌
Kweli Mwalimu
Dr mauki nna shida nawewe lakini private pls
Amina
Mkuu nahitaj mawasiliano yako. Nazid kujifunza kutoka kwako Dr.chris
Naitwa Robert mchumba wangu ana tatizo lakukataa kuja nyumbani kwangu
Kimaadili kijana wa kikristo haruhusiwi kuja Kwako Wala wewe kwenda kwake Wala kukaa mazingira hatarishi kwenu. Mkitaka kukutana yanatakiea mazingira ya uwazi na pale inapobidi wewe au yeye kuja Kwako lazima kuwa na mtu mwingine. Huo ndio uchumba mtakatifu
Kumbe😮😮😮😮😮@@priscaalphonce1662
💯💯💯
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
1.) Kuwa na urahisi wa kuwasiliana na kutimiza ahadi zako.
2.) Furahia na kuonyesha furaha yako hata katika vitu rahisi/vidogo vidogo.
3.) Uwe ni mtu wa kutoa shukurani kwa kusema ahsante pale unapotendewa jambo jema au la maana (gratitude)
4.) Toa kipaumbele kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki pale inapobidi. Kujitolea ni muhimu zaidi (volunteer)
5.) Kuwa mtu wa msamaha na pia uwe mtu wa kuepuka vikwazo.
Napendaaa sana vityu vyako Dr mauki we nijia kwangu
Thanks for summary 😂😂
Santee
Apo kwenye chuki mbona mim.duuuh, alafu unaweza jishusha akakutangaza
Naomba no yko ya wahtspp
Doctor Nina hitaji ushuli wako nipo ktk wakat mgum niomba naomba ya watsap
DR NASHUKURU
Kwakweli
Tayari
Niongezee kidogo hapo Dr.
Thank you
Excuse me
I am sorry
These 3 words will take you further in life. Learn to say them.