Aisee hawa Perfect ni shidaaa. Nishakutana nae aisee na juzi tu nimeamua kunyanyua mikono aende japo Nampenda sana. Ila kila ukizoom huko mbele itakuaje ni mtihani. Maana kila kitu utakua ww ndo chanzo,simu unapiga ww hapokei, ukiuchuna unakuja kuambiwa Una kiburi kisa hujamcheki 😁😁😁na atakuambia nakupigia simu hupokei wakati hakuna simu yake iliyoingia kha 🤣🤣🤣Akiwa na tatizo ww uwe bize nae, na usipokua bize nae anaona humjali, ila ww ukiwa na tatizo hata ukiumwa hana mda wakukucheki hata kukujulia hali mpk akijisikia. Jamani mahusiano na hawa viumbe ni magumu mweeeh. Na ukilalamika kwa kutokujali kwake kibao kinarudishwa kwako unajikuta ww ndo unaomba msamaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ubinafsi mwingi mno kwa hawa viumbe. Hadi unajiuliza kama ww tu hakujali ndo atajali ndugu zako, jibu unapata hakuna. Mwee Haya maisha stress tupu,bora niendelee kupata stress yakutafuta pesa. Watoto wa mama mkwe ni ugonjwa wa moyo.
@@salehsaleh548 😂😂😂😂😂Hatari kweli, unaweza kufa huku umesimama. Yaani mpenzi wa hivi ni kwikwiii, hawatakagi kuambiwa wamekosea, afu wasiri waliopitiliza, hawapendi kuulizwa sana 🤣🤣🤣ugomvi tu ndo hawawezi ila kununa mtashindana hata kama kosa lake. Hawajui kubembeleza, wanachojua wao ni wao tu wabembelezwe, aidha umemkosea au kakukosea utarudi ujishushe ww, ktk wanaume hawajui kuomba msamaha ni hawa!!! Yaani akili yake inamtuma yuko Perfect kila kitu kukuomba msamaha kwake dhambi. Na kusamehe kwa dhati ile nimekusamehe yaishe kweli huo ni mtiti mwengine 😂😂😂😂😂Anaorodhesha makosa balaaa, unakuja kushangaa kitu cha miaka ulishasahau yeye kipo stoo kipyaaaa,unakumbushwa hadi unashangaa afu eti mlishaongea akadai yameisha 🤣🤣🤣afu wanakuaga na fake smile.Yaani nilimsoma tabia zake kama kitabu, afu nikimuangalia nacheka.
Asante Joe, katika mafunzo inepata fundisho tosha. kwani uuhusiano sio kitu rahisi. Ikiwa ina deal na ndungu, jamaa na marafiki. hakika uuhusiano wa ndoa una changamoto nyingi. Hawa wanaume wa aina hii tukonao katka safari. Je una ushauri gani. Naomba uelezee tu kijumla.
Asante saana kaka Joel Nanauka kwa Elimu nzuri.wapo saana na wengne tunapata taabu kuwarudisha kwenye mstari kwan wameshikiria wanavyomin wao kuwa ndio viko sahihi na wasijue ht kama wanaumiza wenza wao ht jamii iliyowazunguka pia..na wanajichelewesha hata bila kujua, ni neema ya Mungu tuu ndo huwafanya waelewe baadae na wengne hufungwq ufahamu kabisa mpk wanazingua kaburini.🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽shukran kwako na Mungu akubariki hujawahi niboa kwenye mafundisho yako..
Asante sana kaka Joel nami pia ni mhanga wa hapo kwenye bad boy na egomatic kweli ni shida sana nimevumilia sasa nimechoka namwache aendelee na maisha yake
Asante kaka mume wangu alikua na sifa ya kwanza na ya pili sana nashukur mungu nilishajitoa kwake now niko napambana na hali yangu natafuta kuliishi kusudio langu 😊😊😊😊😊
Daa Safi sana bro uko sawa udanganyi mana mi nilimpoteza mwanamke niliye kuwa nampenda saaana mpakaleo kwa tabia zangu za kipuzi wape soma na wanawake wawe wanatukweka wazi mapema siyo mtu mmeisha achana kaisha olewa ndipo ana kwambia ulikuwa una nimela 123 inauza sana
Jamani Mimi wangu anazo zoooote nimemkata tena mahakamani na Hana hâta rushusa ya kufika kwangu,hasa na nne na ya mwisho Kwa ujumla vyote anavyoa anavyo sio rahisi kuishi na mwanamme wa aina hiyo.
@@kumekuchaonlinetv Nina watoto naye wawili n'a wa tatu wake kutokea kwa mwanamke mwingine.tena WA kwake Hugo ninayebkuanzia akiwa na miaka Saba SASA ana miaka kumi naa Tano je huo si msamaha . Ada Kula maradhi mimi n'a shule sio lelemama .Mama wa moto Hana habari.
@@devothasimbi6495 Duuuhh! Kwa kweli wewe ni mke mwema sana,yaani umeweza kulea hata mtoto wa mwenziyo-MWENYEZI MUNGU ATAKULIPA MARA ELFU ZAIDI!! 👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏
Duuuh uncle joel huyo Mr perfect ni hatar sana siyo uongo sikujal km nlmpeleka kwe2 kudadeki yaliponishinda nikasepa na tulikaa kwenye relationship kwa 6 years tangu chuo lakin sikujal
JOEL am married to the last on the list and its a nightmare najaribu kuwaeleza ndugu ninacho pitia ina kuwa ngumu nime shukuru ume fafanuwa kwa kiswahili kizuri ili niki share waelewe halafu hawa shauriki watu wa namna hiyo ni ngumu sana
@@joelnanauka Yan tabia zote izo nilipata shida sana kujitoa kwake sababu ilifika muda nikawa najiona mjinga kuwa sehem haina faida kwangu nimepambana ikafika muda nikajikaza kukaa kimya mpaka leo hakuna aliyemwambia mwenzie tuache nikafuta namba kila kitu Nashukuru Mungu maisha yanaendelea tu. Lakin haikuwa rahisi kujitoa
Ni. Shida sana ,wanatesa wanawake waliowavumilivu,
Wanaume waivo wapo wengi sana wanawake tuna teseka sana kwenye ndoa Ila uvumilivu ndo unatusaidia Asante sana kaka mungu akutunze 🎉🎉🎉
MUNGU akupe maisha marefu kaka joel, najifunza mengi sanaaaaaaaaa na masomo yako
Ni Kweli kabisa mwalimu, ila kuna wanaume wengine ambao hawana maamuzi na misimamo yao
Daar ume nigusa
Yaani ni aliyekua mume wangu kabisa na nimemkimbia kweli si utani japo hatujadivoce bado na sitegemei kurudiana kabisaaa
njoo kwangu bac.
Same to me 😂😂 kabisa
Aisee hawa Perfect ni shidaaa. Nishakutana nae aisee na juzi tu nimeamua kunyanyua mikono aende japo Nampenda sana. Ila kila ukizoom huko mbele itakuaje ni mtihani. Maana kila kitu utakua ww ndo chanzo,simu unapiga ww hapokei, ukiuchuna unakuja kuambiwa Una kiburi kisa hujamcheki 😁😁😁na atakuambia nakupigia simu hupokei wakati hakuna simu yake iliyoingia kha 🤣🤣🤣Akiwa na tatizo ww uwe bize nae, na usipokua bize nae anaona humjali, ila ww ukiwa na tatizo hata ukiumwa hana mda wakukucheki hata kukujulia hali mpk akijisikia. Jamani mahusiano na hawa viumbe ni magumu mweeeh. Na ukilalamika kwa kutokujali kwake kibao kinarudishwa kwako unajikuta ww ndo unaomba msamaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ubinafsi mwingi mno kwa hawa viumbe. Hadi unajiuliza kama ww tu hakujali ndo atajali ndugu zako, jibu unapata hakuna. Mwee
Haya maisha stress tupu,bora niendelee kupata stress yakutafuta pesa. Watoto wa mama mkwe ni ugonjwa wa moyo.
Hehehe aisee hii hatariii
@@salehsaleh548 😂😂😂😂😂Hatari kweli, unaweza kufa huku umesimama. Yaani mpenzi wa hivi ni kwikwiii, hawatakagi kuambiwa wamekosea, afu wasiri waliopitiliza, hawapendi kuulizwa sana 🤣🤣🤣ugomvi tu ndo hawawezi ila kununa mtashindana hata kama kosa lake. Hawajui kubembeleza, wanachojua wao ni wao tu wabembelezwe, aidha umemkosea au kakukosea utarudi ujishushe ww, ktk wanaume hawajui kuomba msamaha ni hawa!!! Yaani akili yake inamtuma yuko Perfect kila kitu kukuomba msamaha kwake dhambi. Na kusamehe kwa dhati ile nimekusamehe yaishe kweli huo ni mtiti mwengine 😂😂😂😂😂Anaorodhesha makosa balaaa, unakuja kushangaa kitu cha miaka ulishasahau yeye kipo stoo kipyaaaa,unakumbushwa hadi unashangaa afu eti mlishaongea akadai yameisha 🤣🤣🤣afu wanakuaga na fake smile.Yaani nilimsoma tabia zake kama kitabu, afu nikimuangalia nacheka.
@@khadijajuma7142 nimekueelwaa sasa kwa sasa umeamuwa kuwa peke yako au umrpata mwingine😀😀😀
@@salehsaleh548 😅😅😅saa hizi nirudie tena stress. Acha tu niangalie maisha yangu kwakweli nisijekufa kabla ya mda loh.
@@khadijajuma7142 ukipata kama mm utafurahi na maisha yako😊😊😊
Hapo kwa badboy...uwiii nimeamua kumuepuka watoto watano kila mtu na mama yake...mmi hapana.
Daaaah ahsante Sana kwa mafundisho pia mm ni mmoja wa wanaume niliepoteza mwanamke nmpendae kwa tabia zangu na mifumo yangu ya maisha
Big up kwa kujitambua❤
Halafu kuna wazembe na wasiotambua nafasi zao kwenye maisha ya mwanamke na familia
First Joel nijibu nivimbe
Haya MC Nyoka
Nanauka mawasiliano yako wapi?
Yaan mume wangu ni wa Mama's boy, Mr right, egonomic, controlling ni matatizo kwa kweli, inabidi unamfanya mtu mwanaume wa mbegu tu hakuna lingine
Hahahahahahahaha msaidie
Oo oh😥msaidie bhna
hahaha
Asante Joe, katika mafunzo inepata fundisho tosha. kwani uuhusiano sio kitu rahisi. Ikiwa ina deal na ndungu, jamaa na marafiki. hakika uuhusiano wa ndoa una changamoto nyingi. Hawa wanaume wa aina hii tukonao katka safari. Je una ushauri gani. Naomba uelezee tu kijumla.
Asante saana kaka Joel Nanauka kwa Elimu nzuri.wapo saana na wengne tunapata taabu kuwarudisha kwenye mstari kwan wameshikiria wanavyomin wao kuwa ndio viko sahihi na wasijue ht kama wanaumiza wenza wao ht jamii iliyowazunguka pia..na wanajichelewesha hata bila kujua, ni neema ya Mungu tuu ndo huwafanya waelewe baadae na wengne hufungwq ufahamu kabisa mpk wanazingua kaburini.🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽shukran kwako na Mungu akubariki hujawahi niboa kwenye mafundisho yako..
Asante kwa elimu nzuri , wakwangu ni no 4 na tano uwii ni mtihani sana
Asante Kaka nashukulu nimejifunza mengi juu ya hili SoMo nimeteseka Sana
hahaha hawa bad boy nimecheka sana, asante kwa somo mwalimu..
Aisee ....
Mwanang hilo neno man kuna wanaume wanakeraaaaaaaaa uuuwiiiii
Kuna mwamba mmoja yeye ni controlling type of a person, Mr right na egocentric Harafu ndo mume sasa.. hali inakuwa ngumu sana.. 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Mungu akuweke we baba hii ni zaid ya point mamas boy hii inatesa mnoo
Jamoni imebidi nicheke manake kila aina ilotajwa yupo Mungu akubariki brother
😅😅😅😅😅
Wambie na wadada hao,nao wapo wanaosumbua balaa!
MUNGU akubariki sana,, tangu njue channel yako nmesaidika sana na kujua aina za watu na category zao
kweli kaka tutajilekebisha asnte sana kwaushauli
Yaaaah sijui nisemeje ili nifahamike yani mimi mume wangu ni gubu yani ni lawama tuu 24/7
Pole mtu asieridhika ujue pia hana huruma
Asante sana kaka Joel nami pia ni mhanga wa hapo kwenye bad boy na egomatic kweli ni shida sana nimevumilia sasa nimechoka namwache aendelee na maisha yake
joel master of life me sipo kati ya haina hizo ila nimeona watu wa namna ya aina ya mwisho na asante mungu akubalik
Nashukuru kwa Kujifunza
Tuish nao kwa akili tuu ,Mungu akubariki kwa message unazo fundisha
Haaaa! Haaa! Mada nzuri sana hii,saluti kwako aisee!
mamaz boy
Kuna wanaodharau wanawake na kuwapa maneno mabaya
Jamani me ninae uyu mwenye tabia ya mwisho nikishindwa nitaleta majibu
Asante kaka mume wangu alikua na sifa ya kwanza na ya pili sana nashukur mungu nilishajitoa kwake now niko napambana na hali yangu natafuta kuliishi kusudio langu 😊😊😊😊😊
Asha Alli kwa nn usimsamehe ili maisha yaendelee?
Hawa watu kweli n wanaume wabaya Sana,lakn wenye wako tyr kubadilika Basi hudumu katika ndoa pia
Daa Safi sana bro uko sawa udanganyi mana mi nilimpoteza mwanamke niliye kuwa nampenda saaana mpakaleo kwa tabia zangu za kipuzi wape soma na wanawake wawe wanatukweka wazi mapema siyo mtu mmeisha achana kaisha olewa ndipo ana kwambia ulikuwa una nimela 123 inauza sana
🤣🤣
Huyo mume wangu kabisaa, anajali yakwako tuu, hata misiba ikitokea kwetu atakama amepokea mshahara. Hawezi kusapot chochote Ila itokee jiran wa Kijijin kwao kaumwa ata kukopa atakopa
yaan we acha tu
Mimi nikutana na number 5. Aise ............ Nipo karibu ya kukimbia
Mmoja anayote hayo kaka Joel , nimekutana nae vyote hivyo anavyo
we moto ulikuwakia hakii 😂😂😂
@@ambrose_vevo137 😆😆😆
😂😂😂
Yaani hizo sifa zoote ulizodadavua hapo zinamuhusu Mr right wangu😭zoote jamanii
Asant kwa somo zr
Yes no 4 na no 5 imeshanifikiya Ma Shaa Allah Asante sana Nashkuru nimepata faida sana
Aiseee ndiooo maaana ,
No: 3 Self Righteous & No:4 ,
Sasa namba 2 huyu tunamsaidiaje sababu namjua jamaa yangu mmoja yupo hivi .
Asante Sana kaka kwa mafunzo mazuri mimi nilikimbia kulingana na tabia kama izo.
No 4&5 ndiye niyenae Sasa ! Keeeero
🤣
Nina chembèchembe za 3 and 4 wooi mungu saidia
Nimefanyiwa hayo mengi sana na huyo yote nashukur nimetoka
Mmh Mungu tu ndo anajua maana ni shida
Sidhaani Kama wanajiona kuwa wako hivyo Ila ni wengi sana
I now know where I stand time for change
Emeen Mungu nisaidie
Minajipata kila nimpataye nimoja waapo sijui nifanyenje 😂😂😂😂 ndio uwa nakufatilia ili nijiliwaze❤
Wangu niuyo bad boy hakosi matokeo pia anaiyo yakuuza vitu bt niliamua niachane nae
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapo hapo kwa badest boy
Njoo.chukue huyu wakwang anamsikiliza mama yk
Hapo kwa akina bad boy ni kituko mh bora na mama 's boy 😄😄😄😄
Mpaka mnasherekea Anniversary ya miaka23 ni lazima atakuwa ameshatambulisha watoto 14, Bad boys wote wakimbiwe tu😂😂😂
😅 umenifurahisha Sana kaka, kweli hayo yapo. Mimi nilijionea hao watoto wa Mama
jaman mme wangu iyo nne na tano jaman nateseka san 😢😢😢
Hiyo ya mwisho yamenikuta mimi nilivumilia kwa miaka 17 nimeshindwa nimeondoka asante mtumishi
Huna hakiri m17 yote sasa. Unaenda wp
17mbona midogo ata 30 ukishidwa unaondoka
Kwa hiyo kosa ni karibu na mama yk
Vijana ambao hawajaoa basi wajifunze kwa hili ndio wajitoe kwa miguu ya mama zao na wasimamie nyumba zao wenyewe.
Perfect man kama Adam hawa wapo wengi.
Kuuuuumbe
Hao bad boys jamani.🤣🤣🤣🤣 jamaa anarudi kwa miguu wakati nyumbani alitoka na gari
Hiyo ni mbaya sana
@@rumdeesonsoa1811 ppppp
P
@@rumdeesonsoa1811 ppp
No.4 ya kwangu kabisaa.
mamas boy. najiona hapo
Jamani Mimi wangu anazo zoooote nimemkata tena mahakamani na Hana hâta rushusa ya kufika kwangu,hasa na nne na ya mwisho Kwa ujumla vyote anavyoa anavyo sio rahisi kuishi na mwanamme wa aina hiyo.
Devotha kwa nn usimsamehe ili maisha yaendelee? Hamkubahatika kupata watoto?
Devotha kwa nn usimsamehe ili maisha yaendelee? Hamkubahatika kupata watoto?
@@kumekuchaonlinetv Nina watoto naye wawili n'a wa tatu wake kutokea kwa mwanamke mwingine.tena WA kwake Hugo ninayebkuanzia akiwa na miaka Saba SASA ana miaka kumi naa Tano je huo si msamaha . Ada Kula maradhi mimi n'a shule sio lelemama .Mama wa moto Hana habari.
@@devothasimbi6495 Duuuhh! Kwa kweli wewe ni mke mwema sana,yaani umeweza kulea hata mtoto wa mwenziyo-MWENYEZI MUNGU ATAKULIPA MARA ELFU ZAIDI!! 👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏
@@kumekuchaonlinetv Amina sio kwa uwezo wangu ni nguvu ya Mungu .
Mimi ndoa yangu ndoivoivo Yani Kama ulikuwepo nyumbani kwangu
Be blessed
Bro umetisha Mungu aendelee kukusaidia
Niko no 4.
Umenigusa nimemkimbia mume wangu kwa tabia ya Mama's boy
Emma msamehe bana ili maisha yaendelee!! 😁😁😋😋
Hongera sana
Iyo ya mwisho ni majanga nimemuacha nimeshindwa
Hi yaani nilipitia nanishakimbia tayari nasasa naongopa kudeti tena maana sijui nitapata waaina ngani tena
Ni kwel kabisa
Asante kwa ujumbe mzuri Mungu akubariki kaka Joel 🙏
Mimi ni huyo no5 nifanyeje hayuko care katika mambo yangu lakini yako anataka yawe no1 kwangu mm hataki kujua
Yaan sifa 3,4,na5ni mme wangu ananiumiza sana yaan sifa hizo anazo
Bad boy balaa aiseee😂😂
Duuuh uncle joel huyo Mr perfect ni hatar sana siyo uongo sikujal km nlmpeleka kwe2 kudadeki yaliponishinda nikasepa na tulikaa kwenye relationship kwa 6 years tangu chuo lakin sikujal
Yeah nlikutan namwanaume ,anokufanya mtumwa,anauza viwanja nammbo kibao hkushrikishi ,taarifa unaziskia kwa mama ake au dada zake,au rafiki yake,nliona haina haja tulimwagikana
Me nilishawahi kukutana na Mama's boy kiukweli nilimwacha ndani y mwezi mmoja,for sure wanakera🤣🤣
Shukran sana kaka joel mungu akubariki maneno yako mazur sana
😂😂😂bad boy ni watu wa kuogopa Sana 🤣
JOEL am married to the last on the list and its a nightmare najaribu kuwaeleza ndugu ninacho pitia ina kuwa ngumu nime shukuru ume fafanuwa kwa kiswahili kizuri ili niki share waelewe halafu hawa shauriki watu wa namna hiyo ni ngumu sana
Thank you 😊
Hizo zote anazo mume wangu nasasa hivi nimemkimbia Mana inakufanya ujione mfu.
Iv hii clip ulilekodi mwanzo mwisho 🤣🤣🤣 maana penye bad boy nimecheka kwa saut 🤣🤣
Ahsante mwalimu 🙏🙏👏👏👏
Yaani hapo umeniingele mimi
Yupo huku mmoja
My coach Mungu akubariki
Hapo misipo ila nimekuelewa barkiwa san
Ututumie na ya aina ya wanawake wanaokimbiwa na wanaume
Sawa Sawa
Mr Perfect kuishi nawe nimajanga
Zungumzia na wanawake
Jaman badboy ndo sitak hata kumuona ktk mahusiano heee😂😂😂😂majanga
Nilikutana na mmoja anatabia zote izo doooh
Huyo atakuwa hatari sana
@@joelnanauka Yan tabia zote izo nilipata shida sana kujitoa kwake sababu ilifika muda nikawa najiona mjinga kuwa sehem haina faida kwangu nimepambana ikafika muda nikajikaza kukaa kimya mpaka leo hakuna aliyemwambia mwenzie tuache nikafuta namba kila kitu Nashukuru Mungu maisha yanaendelea tu. Lakin haikuwa rahisi kujitoa
Mwanaume maraya je akimbiwi
Oya endelea kuelimisha na utoe familia ya mwanamke ambae unatakiwa kuoa au kuolewa juu ya sifa zake
😂😂😂😂😂😂 mimi cna lakusema ila mada ya leo nimzuri sanaaa
Kweli kuna watu wana tabia hizo, mimi nlikuwa na mume Ana tabia hizo zote ilibidii nmtoroke