Muhtasari: Mwanzo 1-11

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Mwanzo 1-11, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Mwanzo, Mungu anaumba ulimwengu mzuri na anawapa wanadamu mamlaka ya kuutawala, kisha wanatenda uovu na kuharibu kila kitu.
    #BibleProject #Biblia #Mwanzo
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 3

  • @essiey
    @essiey ปีที่แล้ว +1

    Wow special thanks from swahili people, may you be blessed mightly you are a hudge blessing in tanzania, and we love you

  • @epiqueaveceric4063
    @epiqueaveceric4063 2 ปีที่แล้ว +1

    Amazing! We are using these tools in Kenya!!! ;--)

  • @Praiselord4
    @Praiselord4 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna soft copy ya hii